MY DIARY (22)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mtunzi: __
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo.
TUENDELEE...
Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada. Nilivyofika na mimi nikajilaza pembeni na kuanza kuunyonya kama vile nalamba koni.
Joyce alichukia kwa sababu hiyo sehemu niliyompokonya ndo ilikuwa ni rahisi sana.Akawa hana jinsi akamfuata yule dada na kuanza kumchezea, wakanyonyana ndimi na baadaye Joyce alijitoa ufahamu akahamia sehemu za siri za yule miss. Nilitamani kufunga macho maana nilihisi kichefuchefu lakini zile sauti za raha alizokuwa akizitoa yule miss zilinifanya na mimi niendelee kuangalia movie hiyo.
Nilihisi kuwa alikuwa akifanya makusudi maana zile kelele hazikuwa na bure. Hawa watu sijui ni wazoefu wa hizi kazi maana walikuwa wakizipatia sana niliendelea kujiuliza maswali mengi sana. Sikutaka kupoteza mda na kufanya makosa badala ya kumchezea Joyce mimi nilichukua kile kifaa cha bandia na kumwiingiza yule dada sehemu zake za siri na hapo kelele zote ziliisha. Joyce alitumia nafasi hiyo kuanza kunichezea na mimi. Yaani ilikuwa ni full kupandishana stimu.
Mmmmh wakati naendelae kumfanyia mautundu Yule dada zile njemba zilizokuwa zinapasua kuni zilikuja na walianza kazi yao na yule miss aliyekuwa akipiga makelele. Mungu wangu wanaume wote wawili alikuwa akiwamudu, mmoja alikuwa akimnyonya huku akiwa amepiga magoti na mwingine alikuwa nyuma yake huku akimzungushia kiuno. Ni dhairi huyu dada hii ilikuwa ni kazi yake maana mmmh haisimuliki kwa kweli.
Basi Joyce akachukua njemba yake na mimi nikachukua njemba yangu na shughuli ikaanza. Nakwambia niligeuzwa geuzwa na kuvurugwavurugwa kama samaki
kwenye kikaangio. Kweli hawa wanaume walikuwa wapo kazini utafikiri walikuwa wamesomea. Kukojoa hawakojoi kazi kubadilishabadilisha tu mastaili yaani full kukomeshana akimaliza huyu anakuja mwingine. Ingawa walikuwa wanne tu lakini nilijuta maana ndani ya lisaa tu nilikuwa nimeshafanya nao wote.
Uvumilivu ulinishinda kwa kweli ikabidi niombe maji ya kunywa.Yaani sehemu zote za mwili zilikuwa zimewaka moto sio ikulu, sio kooni kote ni moto kwa dozi niliyokuwa nimepewa. Sikufichi shughuli hii ilikuwa ni ngumu sana mpaka nikajuta kuzaliwa. Baada ya kupumzika tuliingia ndani kwenye kile chumba maalumu na kuendelea na zoezi hilo haramu la kuchakachuana.
Joyce ingawa alikuwa na uzoefu lakini na yeye siku hiyo alitamani kulia kwa jinsi madaktari hao walivyokuwa wakijua kumshughulikia mgonjwa. Maana kuna wakati mtu unasikia raha kumaanisha umefurahishwa na uendeshaji gari wa dereva lakini kuna wakati mtu ulikuwa ukihisi karaha na unapiga kelele za uchungu ili dereva apunguze mwende lakini wapi ndo kwanza alikazana na kuongeza mwendo utafikiri labda alikuwa akiwahi msiba au harusi.
Zoezi liliisha lakini hata kutembea ilikuwa ni shida. Tuliondoka mimi na Joyce huku tukiwaacha wale wazungu na Yule dada.Tulikubaliana kuwa hiyo hela ingine tutapewa baada ya miezi 3 na kama xxx hiyo itakubalika vizuri sokoni basi dau litaongezeka na kulipwa dola elfu 5 na sio elfu 3 zilizobakia. Kwa hiyo dola elfu 2 tulipewa kama kifuta jasho tu. Na kwa jinsi nilivyochoka sikutaka hata kusikia habari za hela niliomba watupeleke ghetto kwa gari.
Tulifika ghetto na kitu cha kwanza ilikuwa ni kukimbilia kitandani na kulala.Sio mimi sio Joyce wote tulikuwa hoi bin taaban. Nikiwa usingizini nilisikia mlango ukigongwa na niliamka na kwenda kuufungua. Mungu wangu nilikutana na mapolisi na kwa haraka haraka niliwauliza niwasidie nini tafadhali?
Walijitambulisha kuwa wao ni askari polisi na wamekuja hapo wanashida na Leah.
Kwa hofu niliwaambia kuwa Leah hayupo na mimi ni rafiki yake. Polisi wale waliangaliana mara mbili kisha wakatoa picha na kunionesha. Ilikuwa ni picha yangu tena niliyoiweka kwenye proifle yangu ya WhatsApp.Nikawaambi sawa hiyo ni picha yangu lakin Leah sio mimi ni dada yangu.Hapo nilitumia akili zangu za kuzaliwa kuwachanganya maana sikujua tatizo lilikuwa ni nini. Walinambia nahitajika kituo kikubwa cha polisi kwa ajili ya mahojiano.
Sikuwa tayari kwa kweli ikabidi niwaambie tatizo sio kwenda polisi kuhojiwa, swali ni kwamba kuhojiwa kuhusu nini au tatizo ni nini? “usitake kutusumbua tukahamua kutumia nguvu ni bora ukatii sheri abila shuruti” alisema polisi mmoja kwa hasira. Ingawa ilikuwa ni haki yangu kujua kosa kabla sijaenda polisi lakini sikutaka kubishana nao, niliamua kutii sheria bila shuruti.
Niliingia ndani na kumuamsha Joyce na kumueleza kuwa kuna mapolisi wamekuja kunichukua.Joyce kusikia polisi alikurupuka kitandani na kwenda kujificha nyuma ya mlango utafikiri yeye ndo alikuwa akihitajika. Nilitamani kucheka lakini mawazo yakanijia usikute ni yeye ndo anatafutwa kutokana na zile biashara zake za madawa ya kulevya.Nilimwambia anipe zile dola zangu nizifiche.
Akanambia kwa kifupi hili ni jasho lako wewe ziache humo kwenye pochi nitaenda kuzichange ili upate hizo million 4 zake au uniamini? Aliniuliza Joyce huku akinikazia macho. Hofu yake kubwa ilikuwa ni mapolisi kama wangeingia humo ndani ingekuwa ni shida maana kuna mizigo yake alikuwa ameificha ambayo kwa mujibu wake ni kwamba zile zilikuwa ni hela.Nilitoka nje na kuingia kwenye gari la polisi. Wakati tunaondoka Joyce naye alitoka na kuniambia ngoja tuende wote.
Hapo Joyce hakuogopa tena kwani hata hao mapolisi wangeingia ndani isingekuwa ni shida alishaificha mizigo yake.Tulipofika polisi nilimwacha Joyce nje na mimi niliingia ndani. Baadaye waliniingiza kwenye chumba cha upelelezi.Walinieleza kuwa natuhumiwa kuhusika na kifo cha msouth kijana ambaye nilikuwa naye club masaa machache kabla ya kifo cheke. Hapo kwa kweli nilishituka sana na machozi yalinidondoka nisijue cha kujibu. Nilipatwa na uchungu sana huku nikijua kuwa MR University ambaye alikuja kwangu usiku atakuwa amehusika moja kwa moja.
Yule mpelelezi naye alibaki akinishangaa tu hasijue nini kilikuwa kikiniliza. Baadaye alinambia kulia sio suluhisho cha msingi wanataka kujua nini chanzo cha kifo cha mvulana huyo.Ilinibidi kuongea tena kwa jazba “Sasa sikia mimi nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana huyo ila sihusiki kwa lolote” umeleza vyema sasa unahisi labda nani anahusika aliuliza yule mpelelezi.Nikamwambia tulikuwa club na kila mtu alienda kimpango wake baadaye alikuja kwenye meza tuliyokuwa tumekaa
Baada ya yeye kuja nini kiliendelea aliuliza tena mpelelezi ambaye alikuwa akiongea kiustaaratibu sana. Alikuja kaka mmoja ambaye siku zote alikuwa akinitaka kimapenzi na aliyofika hapo aliniuliza huyo Msouth ni nani? Mimi nikamjibu kwa dharau kuwa ni mpenzi wangu jibu ambalo lilimuumiza na akanipiga kibao. Hivyo mimi nilisikia maumivu nikajiinamia na Msouth kuona hivyo ikabidi anitetee na kuanza kupigana na MR. Ugomvi ulikuwa mkubwa sana na baadaye mabausa waliingilia kati na kuwatia nguvuni. Wakiwa nje Yule Mr aliita bodaboda na kuwatoroka na baadaye Msouth naye aliondoka. Niliendelea kumueleza Yule mpelelezi jinsi tukio lilivyokuwa siku ile kule club.
Baada ya hapo wewe ulienda wapi? Aliuliza yule mpelelezi ambaye alikuwa akitumia lugha nzuri huku akiandika vitu muhimu kwenye file lake. Mimi nilichukua bodaboda nikaenda ghetto kulala.Sawa na mbona polisi walikuja kwako asubuhi hawakukuta? Aliuliza swali ambalo niliona gumu lakini nikamjibu kwa kifupi kuwa sikulala pale. Ulilala wapi na kwa nini hukulala kwako aliendelea kuniuliza maswali magumu.
Sikulala pale kwa sababu yule kijana wanaomwita Mr yeye alikuja kwangu usiku akaniambia nimpe penzi nikakataa. Akaondoka lakini aliniambia kuwa atanifanyia kitu kibaya na pia alisisitiza kuwa sa zile amekuja mwenyewe ila baadae atakuja na kikosi chake. Kwa hiyo mimi kwa kuhofia usalama wangu sikuweza tena kulala pale. Umejibu vizuri sana maelezo yanayojitosheleza alisema afande huyo ambaye alikuwa na mbinu nyingi za kukufanya ueleze siri nyingi.
Kwa hiyo wewe ulilala wapi mrembo aliuliza kwa kuchombeza afande huyo. Niliendelea kukaaa kimya nisijue cha kumjibu. Akanambia usiwe na hofu au hupendi kuitwa mrembo? Nikajisemea usikute tayari ameshanitamani. Ilibidi nimdanganye kuwa nililala guest lakini sikutaka kumwambia jina la guest.
Akaniangalia usoni, kisha kifuani na kuniuliza una uhakika kuwa haya yote uliyosema ni sahihi?Nikamjibu kwa kujiamini ndio. Akanambia basi nisiwe na wasi ngoja wamtafute huyo mtu anayejiita Mr. Nikajua wataniachia nirudi zangu la hasha nilirudishwa rumande.
Baadaye Joyce aliruhusiwa kuja kuniona. Nilimueleza kinachoendelea na alinionea huruma sana.Alinambia atapigigana na kupambana kwa hali na mali na kuhakikisha kuwa natoka rumande. Basi nilimkabidhi funguo za chumba changu na kumwambia aende kutoa ile mizigo haramu polisi wasije wakaenda kupeleleza ikawa majanga mengine tena. Nilimwambia pia aende kuchanji zile dola kwani zinaweza kutusaidia tukaonga ili nitoke rumande. Joyce aliondoka huku machozi yakiwa yanamtoka hasiamini kilichokuwa kinatokea. Mimi mwenyewe kwa kweli niliumia sana na kujuta kuzaliwa. Nilifikiria sana kuhusu maisha yangu na kujiuliza kwanini mimi kila siku afazali ya jana.
Nilimwaza sana marehemu baba yangu jinsi alivyokuwa tajiri mkubwa, jinsi alivyokuwa akipendwa na watu eti leo hii sina pa kushika. Kweli dunia adaa walimwengu shujaa, na siku zote dunia sio mbaya bali walimwengu ndio wabaya.Niliwaza sana pia safari yangu ya mahusiano na mapenzi na idadi ya wanaume nilitembea nao kisa shida za maisha nikajikuta na idadi kubwa sana mpaka wengine niliwasahau.
Wakati naendelea kuwaza mikajikuta nakumbuka tukio lililotokea mwaka jana chuoni na nikajuta kwa nini nilikataa kuitwa mama.Ujue katika harakati zangu za kuhakisha nasoma nilijikuta naingia kwenye mahusiano na walimu wawili bila wao kujijua..
Mmoja alikuwa ni mme wa mtu na mwwingine alikuwa bado hajaoa. Nilijikuta nikipata mimba tena ya Yule mwalimu ambaye alioa na ana watoto. Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni