Notifications
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…

MY DIARY (23)

Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
TULIPOISHIA...
Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Nilitamani nimchomekee hiyo mimba lakini nikaona itakuwa ni zaidi ya dhambi mbele za mungu.

Kwa hiyo niliamua kuitoa ile mimba kitu ambacho kilinisababishia matatizo makubwa sana kidogo nipoteze uhai. Siku hiyo nakumbuka nilipelekwa kwa daktari kwa ajili ya kuitoa hiyo mimba. Kwa ushenzi wa daktari huyo siku hiyo alinichezea sana sehemu za siri kabla hajafanya kazi hiyo ilibidi nimuulize mboma hafanyi kazi yake anazaidi nipandisha tu stimu. Ilinibidi aniambie tu ukweli kwamba amezidiwa kwa hiyo nimsaidie tu kwa hilo.

Alienda mbali na kusema kuwa eti kwa uzoefu wake alishawahi kutoa mimba zaidi ya 100 lakini hajawahi eti kukutana na mwanamke mwenye maumbile mazuri kama mimi. Yaani sijui mwenzenu nilikuwa na pepo la ngono maana kila mtu ananitamani na kuongea vitu vya ajabu ajabu. Alinambia kuwa yupo tayari kunirudishia hela yangu niliyotoa kwaa ajili ya kutoa mimba kama tu nitakuwa tayari kwa ombi lake hilo. Sikuwa na jinsi kwa kweli kwa sababu alishazisasambua sana sehemu zangu za siri kwa kutumia vidole vyake.

Nilikuwa najisikia kama mtu aliyefanyiwa masaji siku hiyo. Basi nilikubali kurudishiwa elfu 50 yangu ya gharama ya kutoa mimba. Basi dokta huyu mshenzi wa tabia na hasiyejua maadili ya kazi yake akaanza kufanya mapenzi na mimi kabla ya zoezi lile la kutoa mimba.

Dokta aliendelea kufanya yake tena bila hata ya kutumia kinga kitu ambacho kiilnishangaza kutokana na umaarufu wake yeye na taaluma yake. Nilijiuliza maswali mengi sana siku hiyo je daktari huyo alikuwa hajui maana ya ngono salama? Je haogopi maradhi au amedanganyika na huu unene wangu. Yaani mungu amsamehe tu Yule mwanaizaya na wengine wote wanaotumia shida za wanawake kuwaingilia.

Wakati najiuliza maswali hayo na kumuonea huruma daktari huyo kwa sababu alikuwa ameponzwa na tama alimaliza kazi yake ya kutimiza haja zake. Alijifuta jasho na kuanza kunifanyi akile ambacho kilinipeleka pale. Mungu wangu aliniingiza mikasi na kunichokonoa kitu ambacho kilinisababishia maumivu makali. Ujue mimba ilikuwa kubwa sana na haikuwezekana kuitoa kwa kutumia vidonge. Nakumbuka kauli yake kubwa ilikuwa ni relax legeza mwili mtoto atoke.

Kwa kweli siku hiyo nilitokwa na damu nyingi sana nikashindwa hata kutembea baaada ya hapo. Alinifariji kwa kunipa vidonge ambavyo ningevitumia na kusaidia kuondoa maumivu. Nilienda nyumbani kwa njia ya tax na sikuweza kutoka ndani kwa mda wa siku tatu. Yaani ilibaki nukta tu nipoteze uhai na kwa bahati majirani walinisaidia na kunipeleka hospitali ambapo nilitundikiwa dripu za maji na kuongezewa damu. Nilipona lakini tukio hili sitakuja kulisahau maishani mwangu.

Sikuishia hapo kwenye kuwaza yale mazingira ya pale rumande yaliendelea kunifanya nikumbuke matukio mengi yaliyowahi kunitokea maishani hasa mabaya machoni pa watu na mbele za mwenyezi mungu. Akili yangu ikakumbuka tukio la kupigwa mtungo, kwa wale wasiojua maana ya kupigwa mtungo ni kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya wawili bila makubaliano nao au ulikubaliana na mmoja wengine wakazamia sehemu zingine mchezo huu wa wanaitaga mande. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa mara baada ya kutoka Dar nilipotoaka kufuatilia mambo ya bodi ya mikopo.

Simnakumbuka siku ile nilikutana na mwalimu John pale mlimani city ambaye ndo alikuwa mwanaume wangu wa kwanza ambaye alinifundisha mapenzi. Na baada ya purukushani mimi na rafiki yangu Joyce tulienda mahali na kukaa. Nakumbuka siku ile niliwaeleza marafiki zake John juu ya tukio hilo la kukutana na Mwalimu John akiwa na kidemu kingine. Kwa kile nilichozani ni upendo wa dhati kwa shemeji yao walinifariji sana na wengine walinitumia hela. Basi baada ya majanga hayo kuisha siku nikiwa zangu moshi marafiki hawa wa mwalimu John walinitafuta wakiwa watatu na siku hiyo nakumbuka walikuwa wenyewe tofauti na mara ya kwanza nikiwa na mwalimu John na tukaenda club na kesho yake tena kwenye maporomoko ya maji.

Nakumbuka walinitoa out tukachoma nyama na kunywa pombe tena pombe kali hali iliyonipelekea kulewa sana, Sijui kama walipanga kunizimisha maana nililewa sana mpaka nikazima.Kesho yake asubuhi nilijikuta guest tena nikiwa uchi wa mnyama.Sikumbuki hata nilifikaje hapo lakini pembeni niliona pakiti nyingi za kondomu zilizotumika na zisizotumika.. Nililia sana siku hiyo na kwa jinsi pakiti za kondomu zilivyokuwa nyingi ni dhairi kuwa waliniingilia wote watatu.

Nilivyoangalia pembeni nilikuta kuna kikaratasi kilichoandikwa “shemeji jana ulilewa sana kwa hiyo tukahamua kukuchukulia chumba upumzike” na pembeni ya hicho kikaratasi kulikuwa na noti 3 za elfu kumi. Nilitamani kuzichana chana zile noti lakini nilishindwa kwa sababu nilikuwa sina hata shilingi mia.

Niliamua kuoga na kurudi zangu ghetto kwangu huku nikiwalaani wanaume kwa ukatili waliojaliwa kama huo wakunilewesha na kunipiga mtungo. Nilihisi pia waliniwekea madawa ya kulevya kwa sababu kwa wakati huo haikuwa rahisi mimi kulewa kupita kiasi hadi kufikia hatua hiyo ya kupigwa mtungo. Kipindi hicho tayari nilishakuwa mjana na nilikubuhuu kwenye anga hii ya starehee.

Tukio hili lazima nilikumbuke sana kwa sababu na yenyewe nililiandika kwenye diary yangu. Wakati naendelea kutafakari matukio makubwa yaliyotokea mara walikuja wanafunzi ambao nilikuwa nasoma nao chuoni. Walipewa nafasi ya kuongea na mimi hapo rumande na kwa umoja wao waliniletea vyakula vizuri utafikiri nilikuwa naumawa nimelazwa hospitalini. Walinifariji sana na kuniambia kuwa wanajua sihusiki na kifo cha mwanafunzi mwenzangu. Walienda mbali zaidi na kuniambia kuwa marehemu mara baada ya kutoka club alipitia kwa mwanamke mmoja ambaye ni wa mtaani hapa namaanisha sio mwanachuo mwenzetu lakini alikuwa ni mke wa mtu ambaye mume wake ni dereva wa malori yaendayo nje ya nchi.

Waliendela kunisimulia kuwa mume wa mke huyo siku zote alikuwa akitega mitego kumkamata mwizi wa mali zake. Kmbe Msouth alikuwa na mahusiano na mke wa dereva huyo na kama unavyojua dunia haina siri dereva alipata taarifa kuwa mwanachuo huyo huenda kulala na mkewe mara baada ya yeye kuondoka na kwenda nje ya nchi. Hapo nilipandisha masikio kama punda na kutoa mimacho kama bundi ili nielezwe vizuri kuhusu tukio hilo na kwa haraka haraka nikajua muaji alikuwa akijulikana.

Hapo nilitamani niwe na simu ili niweze kurekodi maneno hayo ambayo yalikuwa ni ushaidi tosha wa kunitoa gerezani. Basi wakati wakiendelea kunipa stori rafiki wangu wa kufa na kuzikana Joyce aliingia huku na yeye akiwa ameniletea chakula Kwa kweli Joyce alinipenda sana na upendo wake huwa uanonekana kwenye shida na raha. Basi wale wanafunzai wa chuo ilibidi waondoke ili kumpisha Joyce maana isingewezeakana waruhusiwe kukaa mda mrefu.Tena yule askari alikuwa akinifanyia tu ustaarabu kwa sababu hapo kulikuwa na utaratibu mgumu sana wa kuongea na mtuhumiwa ukizingatia kuwa kosa lenyewe ni la mauaji.

Joyce alinambia kuwa ameshaanza mikakati ya kunitoa na ameshaongea na mkuu wa upelezi wa mkoa na ameahidi kutusaidia. Aliaapa kuwa atatumia njia yoyote hata kama ni rushwa iwe ya hela au ngoni ilimradi tu anitoe gerezani. Alinambia tayari ameshamuahidi polisi atakayefanikisha mimi kuachiwa huru kitita cha shilingi milioni mbili. Aliposema milioni 2 nikakumbuka zile hela za wazungu na hapo matumaini ya kutoka selo yakaongezeka.Ilibidi nimuulize vipi ameshazichange zile dola. Akanijibu bado na hazina haraka sana kwani ameziweka kwenye account yake ambayo ni kwa ajili ya dola tu.

Sikuwa nahofu kwa hilo kwa sababu ni mtu ambaye nilikuwa namuamini sana na amekuwa akijitoa kwa hali na mali. Aliniaga kuwa anakwenda Arusha kuweka mambo sawa na atarudi kesho. Nilimruhusu kiroho safi kwa sababu hata huko alinambia kuna kigogo anakwenda kuonana nae ili aone kama anaweza kutusaidia. Joyce alivyoondoka niliendelea kutafakari mambo yaliyonikuta huku nikilinganisha moja baada ya lingine. Nilimtafakari sana rafiki yangu Joyce tulivyotoka mbali nikambuka alishawahi kuniambia kamwe nisimwamini mwaume yeyote duniani kwani kufanya hivyo ni sawa na kumuamini mbwa anayechechemea au mwanamke anayelia.

Maneno hayo yalinijia kwa sababu Msouth alikuwa ni kijana mpole sana na kwa jinsi alivyonipenda nilijua kuwa hawezi kuwa na msichana mwingine yeyote zaidi yangu. Sasa kuambiwa kuwa alikuwa na jimama mtaa wa pili na tena alikuwa akivizia mumewe aondoke na yeye aende kujinafasi kwa kweli nilishangaa sana.

Hapa ilinifanya nikumbuke tukio la mdogo wake Joyce kwa sababu licha kuwa Joyce alienda Arusha kushughulikia swala langu lakini pia alikwenda kwa ajili ya mdogo wake ambaye na yeye alipata majanga kutokana na kuwaamini wanume kupita kiasi. Mdogo wake huyo alivyofika tu chuoni alipata mwanaume ambaye walipendana sana. Alifikia hatua ya kumpeleka mwanaume huyo nyumbani kwao lakini mama yake alivyomuona tua alimkataa kwa madai kuwa atakuwa ni muhuni. Lakini mtoto huyo wa kike hakutaka kuelewa. Baadaye alipata ujauzito lakini mwanaume yule aliukataa kwa madai kuwa hakuwa wake.

Mdogo wake Joyce kwa uchungu aliamua kuilea hiyo mimba huku familia nzima ikiwa imemtenga ikiwa ni pamoja na wazazi wake na ndugu wa karibu isipokuwa dada yeke yaani Joyce. Tukio hili na mengine mengi huwa yananifanye niwachukie wanaume kwa ukatili ambao huwa wanatutendea. Lakini sikuishia hapo niliwaza na jinsi sisi wasichana tunavyowatendea wanaume. Nilijiuliza inakuaje mwanamke anabeba mimba kwa miezi tisa na anajifungua salama lakini baadaye anamtupa mtoto huyo chooni. Huu ni ukatili kwa sababu kwa nini ulee mimba alafu utupe mtoto mara baada ya kujifungua.

Hapa nilimkumbuka jirani yetu mmoja ambaye na yeye alifanya utumbo huo na kwa sasa yupo gerezani. Mimi kiimani yangu najua kutoa mimba ni dhambi lakini ipi bora kuitoa au kulea kisha kutupa mtoto tena chooo. Haya tuyaache hayo kwa sababu dunia ina mambo mengi yanayosababisha watu kuwa wakatili je vipi kuhusu msichana anayehamua kutembea na shemeji yake, ndugu yake, kaka, mjomba na pengine hata baba. Nikajikuta najisemeha sio tu wanume ni wakatili bali hata sisi wanawake ni wakatili.

Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
68 My Diary Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni