MUUZA CHIPS (85)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mwandishi: MoonBoy
SEHEMU YA THEMANINI NA TANO
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
"kumbe una akili wewe"
Sasa je ni nini alikiongea mama miriam mpaka baba miriam kacheka na wakati alikuwa mbogo muda si mrefu,.. Usikose ili kujua huo mnong'ono wa mama miriam uliomfurahisha baba miriam..
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
Lakini ghafla mama miriam anaanza kulia huku akisema
"lakini yote ya yote je mtoto atakuwa wapi saa hizi"
"mi sijui.. Na wewe ndio ulikuea nae kazini"
Baba miriam kageuka tena kawa vile vile mkali kama mbwa koko…
Sasa tukija huku kwa akina sabra na dada yake kama unakumbuka sabra alikuwa na hamu ya kujua siri ya mali zao
Mana katika usia sabra yeye hakuepo alikuwa shule hivyo alidokezewa tu kidogo, jasmini hakutaka kumficha mdogo wake mana akiendelea kumficha huenda akaharibu na mambo mengine,..
"dada mimi nakumbuka baba alipofariki mimi nilikuwa shule, hivyo sijui alisema nini"
Aliongea sabra huku akiwa karibu sana na dada yake, wakati huo yapata muda wa saa tatu usiku wakiwa mezani wakipata chakula
"sikiliza sabra… Nakumbuka siku ile baba anakufa, hata mimi sijui lolote kuhusu mali zetu.. Ila nakumbuka aliniambia hivi"
SASA TUUJUE UKWELI JUU YA MALI ZAO
Siku hio mzee Juma akiwa mgonjwa sana na ndio tajiri aliokuwa akijulikana katika mji huo,.. Siku zilikwenda huku akitafakari amuambie nani siri ya utajiri wake, mzee huyo ni baba wa watoto watatu lakini kwa bahati mbaya mmoja alifariki dunia,..
Siku moja mzee juma akiwa kazidiwa na hali mbaya,.. Na alikuwa anauguzwa nyumbani, wakati huo mtoto aliokuwepo hapo alikuwa ni jasmini peke yake,.. Na sabra alikuwa yupo shuleni… Shule za bweni,.
Baba aliwaomba wauguzi wote watoke nje na abaki na mtoto wake peke yako
"nakumbuka siku ile baba aliniita peke yangu,.. Madokta wote walitoka nje mana alikuwa akiuguzwa nyumbani"
Huyu ni jasmini sasa anamhadithia mdogo wake…
"mwanangu jasu… Mimi baba yako kwa sasa sina muda tena wa kuishi nanyi"
"ndio baba"
Jasmini aliitika huku machozi yakimtoka mana mzee anaongea maneno mazito sana,
"mwanangu, ninachokuambia leo naomba umshirikishe mdogo wako, ili akipata yeye basi nawe umepata au ukipata wewe basi naye kapata"
"sawa baba nitamwambia"
Aliongea jasmini na asijui baba anataka kusema nini
"jasu… Kama unavyoona mali zetu ni nyingi sana tena sana… Lakini sio za halali mwanangu"
Jasmini alishtuka kuskia mali zao hazikuwa za halali bali kuna nguzo imeegemea kwenye mali hizo,..
"baba una maana gani"
"dada yako Ashura ndio hizi mali"
Jasmini ndio kazidi kuingiza hofu juu ya maneno ya baba yake…
"babaaaaa"
"mali hizi nawaachieni ninyi, lakini zina nguzo za kuzizuia… Wahenga walisema,.. UWA MTU UPATE VITU… Mali hizi bila kuua mtoto wako hutokaa kuziona tena.. Utazisikia kwa wenzio mwanangu. Na mimi nimezitunza toka mkiwa wadogo mpaka sasa mumekuwa ina mana utashindwa kuziendeleza"
Sasa tuachane na kumbukumbu, tuje huku kwa akina chidi akiwa na miriam, wakati huo halima kesha lala kitambo sana lakini sasa miriam alikuwa anaogopa kulala kitandani na kijana chid, yaani miriam alivaa nguo za kulalia vizuri tu, lakini sasa chidi si kaona kinguo cha ndani ile stimu yake, baada ya kuona zakaria nae kaanza kusumbua, hivyo miriam anaogopa kulala
"ila omi we sijui upoje, nanii yote hio jamani"
Aliongea miriam huku akiwa kakaa kitandani,
"we panda, na licha ya yote mi sikufanyii chochote"
"mmmhhh na uvimbe huo kweli usinifanye chochote wewe"
Chidi wala hakuwa na haja ya kumlazimisha miriam
"mi naenda kulala na wifi yangu kule"
Chidi hakukataa alimwacha aende mana anajua huyo ni sawa na kuku wake hivyo hawezi kumshikia manati,..
Nusu saa mbele miriam alikuwa kalala kwenye sofa, mana alikuwa kachoka sana hivyo alivyojitupia tu kwenye sofa na usingizi ukamchukuwa,.. Chidi aliamka na kwenda kumchukuwa kisha akamlaza kitandani,.. Kiukweli miriam alikuwa kaumbika yaani chidi alikuwa anamkagua mwanzo mwisho,… Chidi hajawahi kumuona miriam kwa ukaribu lakini leo ndio anamuona akiwa hajitambui,… Alianza kumpapasa mapaja yake huku akimbusu kila kona ya shingo yake,.. Lakini kumbe miriam alikuwa hajalala wala nini, sema alikuwa anaogopa mwanzo utakuwaje hivyo kushikwa kote huko alikuwa anajisikia raha mno,.. Lakini sasa chidi hajui kama miriam alikuwa yupo macho
"kufanya mapenzi pasina hiari ya mtu sio sahihi ni sawa na kubaka"
Chidi alijisemea kimoyomoyo huku akimfunika blanketi,.. Miriam alichukia sana kwa kuona kaachwa,… Miriam kwa kusudi alilitupa lile blanketi afu akajibinua vizuri kitu kilichomtamanisha chidi aendelee kumshika shika
"mamuu, we mamuu"
Chidi alimuita miriam lakini ghafla miriam kakurupuka na kumgeukia chidi, na chidi alijua anakandamizwa kibao, lakini alishangaa miriam kuukimbilia mdomo wa chidi na kuanza kuunyonya denda, chidi aliduaa na kujiuliza kuwa
"huyu si alikuwa hataki huyu"
Chidi nae kuona hivyo alianzisha jalamba aliolitaka miriam,.. Miriam alikuwa ni mwanamke mwenye aibu mana toka azaliwe hakuna mwanaume aliefanikiwa kuivua chupi yake ispokuwa chidi tu na ndio anaanza leo hii… Kwanza ile kanga ilitolewa pembeni, kisha chupi ikawepo peke yake,… Kama kawaida vidole vya chidi vilianza kuishambulia naniii ya miriam
"babuuuuu,.. Unataka uitoe na vidole nini jamani? heeee"
Aliongea miriam baada ya kuona mashambulizi ya vidole yanazidi kuwa makali.. Chuchu za miriam zilikuwa kama za mtoto wa darasa la sita, yaani ni zaidi mwiba kwa jinsi zilivyokuwa kali… Umbo lake sijui lilikaaje kaaje yaani hakukuwa na mfano kiukweli, mana kila mwanamke anapendezeshwa na sehemu moja tu… Kuna mwingine mzuri wa sura lakini umbo hakuna, na kuna mwingine ana umbo la maana lakini sura hakuna.. Lakini kwa huyu mtoto wa kike, mmhhh sijui ni sehemu gani ilio tofauti.. Milio baina yao ilianza kusikia haswa haswa kwa miriam alikuwa na mdomo usiowezekana kufumbika,..
Tukija huku kwa wazazi wake na miriam maskini mama alikuwa anatetemeka kitu ambacho hakijawahi kutokea, yaani alikuwa ana wasiwasi juu ya mtoto wake
"wewe mwanamke si ulale lakini"
Aliongea baba miriam huku akiwa kalala
"najua nitamuona mwanangu… Lakini kama kaenda kulala na mwanaume, basi mtoto wangu hana thamani tena"
Aliingea mama kana kwamba naye anajua kuwa mtoto wake ni bikra hivyo kama kalala kwa mwanaume basi…
"una maana gani ukisema hivyo"
Aliuliza baba miriam lakini mama miriam hakutaka kumwambia kama mwanae ni bikra mana huyo ni baba, hatakiwi kujua siri ya mtoto wake wa kike…
"wala tu sina maana nyingine"
"hebu lala bwana tutajua kesho.. Yule ni mtu mzima"
SASA TUENDELEE NA KUMBUKUMBU YA AKINA JASMINI WAKATI BABA YAKE ANAMUACHIA USIA
"hapana baba, nitaweza…. Ila baba sasa mimi nitafanya nini"
Alijibu miriam baada ya kuulizwa na baba yake kuwa, mali hizo alikuwa nazo toka wakiwa wadogo, sasa yeye atashindwa kuziendeleza.. Ndio jasmini akajibu ndio ataweza ila atafanya nini ili ziendeleee
"kwanza nikuulize… Una mchumba"
Baba alimuuliza mwanae kama ana mchumba
"mmhhh ndio baba"
"vizuri sana… Sasa mlazimishe akupe mimba,.. Ukishajifungua huyo mtoto mpeleke katika lile jengo tunalosalia kama kanisa,.. Kuna karatasi zipo kwenye droo hizo ndizo zitakazokutambulisha kuwa wewe ni mtoto wangu.. Na huyo mtoto uhakikishe ametimiza umri wa miezi mitatu, yaani ile tarehe ya kuzaliwa kwa mtoto huyo, hakikisha inafika tarehe kama hio lakini iwe imetimiza mwezi wa tatu"
"sawa baba, nimekuelewa"
"lakini pia kuna masharti…. Na masharti hayo, unaweza kuyakosea wewe au akayakosea mdogo wako, hivyo unapaswa kumwambia mapema ili ajue"
"baba niambie hayo masharti, nipo tayari kuyatekeleza"
"naomba nisiki…. Nisikilii… Ni…. Ni…. Ni… Nisi…. Nisi…. Nisi
.. Kwa…. Maki… Makiiiiin… Makini mwanangu"
"ndio baba nakuskia"
"sharti la kwaa…. Kwaaa… Nza… La kwanza… Ni… Ni…. Uu… Uuu……………."
Mzee aliongea kwa tabu, lakini alieleweka, ila haikuchukuwa muda mzee alifariki dunia….
SASA HAPO NDIO MWISHO WA KUMBUKUMBU YA JASMINI KUMWAMBIA MDOGO WAKE UKWELI WA MALI ZAO
"hhhhhhhhmmmmmmmm"
Sabra aliguna baada ya kuambiwa ukweli, ila jasmini hakukaa kimya kwa ugunaji wa sabra
"unaguna nini"
"hayo masharti dada"
Masharti hayo sisi hatujayasikia lakini sabra kayasikia na kayajua na ndio mana kaguna,…
"yana nini, mbona simpo tu… Au kuna moja umeshaharibu wewe"
"dadaaaaaaa"
Jasmini alianza kuogopa mana Sabra alionekana kuna sharti moja keshalikosea
"Sabra, hebu niambie umekosea lipi kati ya hayo matatu"
Wakati huo jasmini alikuwa analia lakini sabra alikuwa akifurahi ndani ya moyo wake
Katika kutafuta pesa kwa njia isio ya halali, hua ina masharti yake, sasa tabu ni pale unapoyakosea masharti hayo, jasmini alikuwa akiyafahamu masharti aliopewa na baba yake, hivyo anajua akiyakosea basi kuna balaa litawakuta kwa kuharibu masharti hayo,.. Sabra hakuwa akicheka kama ilivyo kawaida bali alikuwa ni mtu mwenye furaha kimoyomoyo baada ya kutajiwa basdhi ya masharti yanayotakiwa kutimizwa na wote, yaani kuna sharti moja linatakiwa litekelezwe na wote,.. Sasa jasmini alipata hofu baada ya kumsikia sabra ameguna kwa kusikia moja ya masharti hayo,
"yana nini, mbona simpo tu… Au kuna moja umeshaharibu wewe"
"dadaaaaaaa"
Jasmini alianza kuogopa mana Sabra alionekana kuna sharti moja keshalikosea
"Sabra, hebu niambie umekosea lipi kati ya hayo matatu"
Wakati huo jasmini alikuwa analia lakini sabra alikuwa akifurahi ndani ya moyo wake
"dada, mimi niliguna tu, lakini hakuna nilichokosea"
Aliongea sabra baada ya kuulizwa na dada yake kuwa, alikosea sharti gani kati ya hayo matatu, lakini sabra kumbe aliguna tu kwa furaha lakini sio kuwa kuna kitu alikosea
"ok, kwahio umeshajua kinachotakiwa kufanywa, hivyo naomba tumlinde huyu mtoto ndani ya hio miezi"
"sawa dada, mana kuishi bila pesa sijazoea hivyo haina budi kufanya hivyo"
"sio haina budi, yani ni lazima iwe hivyo mana baba katuachia lasilimali nyingi hivyo hatuwezi kuzipoteza"
Aliongea jasmini huku wakiendelea kupata chakula cha usiku,..
"lakini dada, kampuni zetu ni nyingi, na jinsi baba alivyotuachia utatakiwa na wewe umuachie mwanao kama ulivyoachiwa… Sasa utamuachia nani"
"heeeee si bado tunazaa bwana.. Mbona baba kamtoa dada saumu na mpaka leo hajatoa tena ndio tunatoa sisi"
"hhhhhmmm apo sawa"
Sasa tukija huku kwa akijana chidi na miriam, ukumbuke walikuwa katika levo zingine zenye msisimko wa ajabu…
Midomo miwili kati yao ilikuwa ikipishana katika ustadi ulio tulivu,.. Miriam alikuwa ana kitovu cha kishimo kilichomfanya chidi apagawe kwa kukiona,
INAENDELEA...
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni