Notifications
  • MWALIMU MKUU (6)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SITAILIPOISHIA...Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“”Asante mama”alijibu ramekiMama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.*********Upande wa bi sani alifurahi…
  • MWALIMU MKUU (5)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Mama roly alivyosikia rameki anataka kumwaga alimtema yule nyoka na kumficha pangoni mwake, rameki alimpambu mama roli kwa kasi ya ajabu kama ndege ya vita ikimbiavyo angani“Ramekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! tombaaaa”rameki na mama roli walipiga madafu kama manne “heeee rameki siamini???!!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwannn??”rameki aliuliza“DUDU LOTE HILI…
  • MWALIMU MKUU (4)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Mwalimu mkuu alistuka kuguswa na kitu kwenye makalio yake alijua rameki atakuwa kaweka mzigo nyuma yake rameki alivyoona ajakaa vizuri alisogea ili akae vizuri mwalimu mkuu alistuka kitu kama tango kikimgusa tena alipitisha mkono ili aone nn alistuka “MUNGU WANGUU”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alistuka mwalimu mkuu alivyoshika tango lake akapaza sauti“AAAAAA MWALIMU…
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…

MAMA MWENYE NYUMBA (34)

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
Wakati huo huo wakasikia hodi, maana kunamtu alikuja kuwa tembelea, mama Edgar akaenda kumtazama huyo mpigaji wa hodi, alikuwa ni mzee Ngonyani

SASA ENDELEA...
“Karibu shemeji, pita ndani” alikaribisha mama edgar na mzee Ngonyani akaingia ndani, “vipi huyi bwana ameamkaje?” aliuliza mzee ngonyani akitaka kujuwa hali ya mgonjwa, “kwakweli hali ina zidi kubadilika, amevimba vimba mpaka inatisha” alisema mama Edgar akionyesha kwa mfano, “ingia ndani ukamwone” mzee Ngonyani kusiki hivyo akaingia chumbani, kwenda kumtazama rafiki yake, nikweli alimkuta akiwa katika hali mbaya, tofauti na alivyo mwacha jana, “shemeji huyu bwana anaitajika apelekwe hospitali haraka sana, na kwahali yake hatuwezi kutumia baiskeli , wala pikipiki, hapa ni gari tu!” aliongea mzee Ngonyani, nakumfanya mma Edgar apige kelele, “huuuwiiiiiiiiii, mao nene” ela yenyewe nitaitoa wapi mimi”

Hapo sasa ika ni kuzungu zungu, maana ni kweli fedha yote mzee Haule alienda nayo kwenye pombe, nailiyo baki ndiyo iliyo bebwa na yule mnyang’anyi, wote watatu walijadiliana kwa muda, wakaona bola wawapigie simu mabinti zake ili waje kutoa msaada, simu iliyo tumika ni ya mzee Ngonyani, maana simu mpya ya mzee Haule ilisha bebwa, wakwanza kupigiwa simu alikuwa ni dada mkubwa wa Edgar, ambae alikuwa ana andaa chai leo mume wake alikuwa ame wai kazini, alipokea simu na kusikia, tukio lililo mtokea baba yake, lakini jibu lake halikuwa zuri, “sina hela yoyote, ndo akome kwenda kulewa lewa” kisha akakata simu, wote wakatazamana, kisha wakawapigia simu wengine wawili majibu yakawa hayo hayo, nasalio a simu likawa lime kwisha “hivi hawa watoto ni wakwenu au mliwachukuwa kuwalea tu?” aliuliza mzee Ngonyani akishangazwa na tabia ya watoto wa mzee huyu, lakini mama Edgar akamkumbuka mkwe wake kijana Milanzi, ambae ame muoa binti yake wapili kutoka mwisho Faraja, ambae alikuwa anakaa mtaa wa pili toka kwao, ng’ambo ya barabara ya kwenda tunduru, japo walijuwa wasinge kuwa na msaada wa fedha lakini ange changia maalifa

Wakati Edgar akiwa chuoni darasani, Suzan alikuwa ofisini akifanya kazi, maana alikuta lundo kubwa la kazi, huku mala moja moja aki chukuwa simu yake a kutuma sms, au kusoma sms toka kwa Edgar, yani walikuwa wana chat, Suzan aliandika hivi “yani leo umenipa kitu kipya kabisa” Edgar naye akiwa anaificha simu chini ya meza akajibu, “mh! kitu gani hicho?” waliendelea kuchat huku kila mmoja akiendelea na kazi zake, “ile staili ya kulala kiubavu ubavu, uku tuna tazamana alafu nika kupandishia mguu mmoja juu yako,” edgar aliisoma hiyo sms kisha aka rudisha ya kwake, sasa kipya kipi hapo kilicho kufulahisha?” “jinsi ulivyo kuwa una nifanya, yani mpaka nikaona kizungu zungu, utamu ulikolea,”

Wakati wanaendelea kuchat kwenye simu ya Edgar zikaingia sms mbili tofauti na Suzan, yakwanza ilisema hivi, “asante sana kwa utamu ulionipa jana, mwenzio nili taka kupitiliza kwa usingizi” hapo Edgar akatambua ilikuwa inatoka kwa mama Sophia, akaijibu “pole sana mama, lakini si uliwai nyumbani,” jibu ilo lilimfulahisha sana mama Sophia nakuachia tabasamu pana usoni kwake kiasi cha kumshangaza ata mume wake ambae alikuwa anajitazama kwenye kioo anavaa kofia, akijaribu kuficha sehemu aliyo pigwa ngumi jana, pale full dose, “vipi una chati na nani?” aliuliza mzee Mashaka akiendelea kuiset kofia yake ya mduara (pama) mama Janeth anani simulia kuhusu kikundi chetu cha vikoba,” alizuga mama Sophia, huku mume wake akijiandaa kutoka, “bado huja koma tu! jana umenusulika leo unatoka tena?” aliuliza mama Sophia huku akiendelea kuandaa sms kwaajili ya kumtumia Edgar, “naenda kumwona yule dogo alie nisaidia jana, nika mpatie chochote, maana bila yeye ningeumbuka sana” aliongea mzee Mashaka akichukuwa lile begi lake, aki muaga mkewake nakutoka nje

Hapo mama Sophia akatuma sms kwenda kwa Edgar, “asante mpenzi, husi sahau juma mosi nataka tena” alituma sms ile na kusubiri jibu ambalo lilichelewa kidogo, “poa tuta wasiliana, nipo darasani” Edgar baada ya kumjibu mama Sophia, akaisoma sms ya pili ilyo toka kwa Sophia, “najuwa juzi hukuwa una fahamu chochote wakati tuna fanya, ila nakuomba juma tatu tukutane mapema wakati Suzan akiwa kazini, ili unipe utaamu, tafadhari usi katae,” hapo Edgar akajisemea, “kazi hipo hivi mbona wana wake wamjini wana maajabu sana” alijisemea hivyo akiiandika sms na kuituma kwenda kwa Sophia, ilisomeka hivi, “lakini siunajuwa kuwa mimi nipo na Suzan?” akatega kusubiri jibu la Sophia , na wakati huo huo ikaingia sms toka kwa Suzan, “mume wangu, naomba tuku tane mda wa chakula cha mchana, kuna jambo la kuongea” nikweli muda ulikuwa umeshaenda sana, ilikuwa saa sita na nusu bado nusaa kutimia saa saba, muda wa chakula

“Nikukute wapi mama?” aliuliza Edgar kwa sms, nakuja mwenyewe, nikukute pale bar usichelewe mume wangu?” sms hiyo ya Suzan iliambatana na sms toka kwa Sophia, ikisema “kwani yeye Suzan ananini cha ziada? we usijari nitakufanyia kila unachotaka, mladi uni timizie ninacho taka” hapo kikafwata kimya Sophia akiwa ofisini kwake ata kazi azikunoga akasubiri jibu,alipoona kimya akatuma sms nyingine, “plizzzz Eddy husika kimya, naomba uni jibu” alisisitiza Sophia pasipo kujuwa mwenzie amevurugwa na sms ya Suzan, dakika chache baadae akapokea sms, “poa lakini iwe siri yako” hapo moyo wake uka lipukwa kwa shangwe akajibu faster, “husiwaze baby, sema usi saau kufuta sms ukimaliza kusoma”

Bwana kazole akukaa sana kazini kwake, akaelekea dukani kwa mzee kalolo, kwenda kumwonyesha simu yake mpya kama angependa kuinunua, nikweli aka iuza kwa kiasi cha elfu amsini tu! tofaui ya laki moja nanusu iliyo nunuliwa siku mbili tatu zilizo pita, bwana kalolo akaziunganisha zile amsini na lakimoja na semanini aliyo mpola mzee Haule, akawa na jumla ya silingi laki mbili na selathini, huyo akaludi kazini kwake na kutoa udhuru akarudi nyumbani kwake, ambako alimkuta mkewake akiendelea na shughuli zake, kwanza alimpatia pesa za kwenda kulipia malejesho ya vikoba, huku mke wake akimpatia taalifa ya kuvamiwa kwa baba yake uku aki onyesha kuto kujari juu ya tukio ilo, “mzee nae anasema ameibiwa pesa amezitoa wapi yeye” aliongea bwana kazole kwa zalau ya hali yajuu, wakati akijuwa fika kuwa yeye ndie alie fanya ualifu huo, kiukweli siyo dada mkubwa tu ata hawa wengine walikuwa hivyo kasolo binti mdogo wa mzee haule, alie mwachia ziwa Edgar anaye itwa Faraja, yeye lichaya kuwa ndoa yake ilikuwa na umri mdogo wa mwaka mmoja, toka aanze kuishi na mume wake kijana Milanzi, lakini pia yeye na mume wake Milanzi awakuwa na kipato chochote zaidi walitegemea kufanya kazi dogo ndogo, za vibarua ilikuingiza kipato, kiukweli ilikuwa vigumu kuijuwa tabia yao, maana ata hicho chakuwaomba hawa kuwa nacho

Mzee Mashaka alisimamisha gali lake kwenye maegesho yay a ben ya wananchi, nakushuka kisha akaelekea ndani wakati anaingia ndipo alipo kutana na Suzan akiwa anatoka mbio mbio, “he! wapi tena naona hupo mbio mbio?” aliuliza mzee Mashaka na Suzan akasimama na kusalimiana na mzee Mashaka, kisha Suzan akatumia akili akumdanganya mzee huyu juu ya sehemu anayo kwenda, basi mzee Mashaka akamkabidhi Suzan shilingi laki tano “kampatie yule mdogo wako, jana amenisaidia sana, poa basi tuta wasiliana baadae” wakaagana na kila mmoja akashika njia yake

Edgar alistuka sana na kukosa amani moyoni mwake baada ya kusikia kuwa kuna jambo wana takiwa waongee, “jambo gani au amesha stukia kama na msaliti?” kiukweli Edgar alikosa amani, ata mda wakutoka darasani ulipo wadia alionekana mnyonge sana aki toka kuelekea kule bar, Joyce naye alikuwa ame wai kwenye mlango wa darasa la kina Edgar ili ampate Edgar, ambae akumwona asubuhi, nikweli alimwona akitoka nakushika njia kuelekea upande ambako wanafunzi wengi mda huo walikuwa wana elekea, ni kule bar Joyce aka mkimbilia “Eddy weee! eddy..nisubiri” Edgar akasimama na kugeuka akamwona Joyce akija mbio mbio, hapo mapigo ya moyo wake yakaongeza kasi, akona kati ya watu wanao taka kumwalibia huyu ndie mmoja wao, wakati Joyce akimkaribia ndipo Edgar alipo mwona Masoud akitokea mbele yake na kumshika mkono Joyce, “unaenda wapi?”

Aliuliza Masoud, na Edgar kuona hivyo akaanza kutembea kuelekea aliko kuwa anaelekea, “niache bwana,”aliongea Joyce kwa hasira, huku akijotoa mkono wake kwa Masoud, nakuanza kumkimbilia Edgar, “Edgar nisubiri bwana” aliongea Joyce, na Edgar akasimama, akamtazama tena Joyce, safari hii alimwona yule kijana alie jaribu kumzuwia akija nyuma ya Joyce, wote wakafika pamoja, “Joyce una jifanya mjanja siyo?” aliuliza Masoud mala tu alipo mfikia Joyce mbele ya Edgar, “najifanya mjanja kivipi, wewe sindo ulijifanya mjanja, endelea na kademu kako” alisema Joyce nakumshika mkono Edgar kisha wakaanza kutembea kuelekea kule bar, wakimwacha Masoud amesimama akiwatazama kwa hasira, walifika pale bar wakakubaliana watengane meza maana yeye alikuwa miadi ya kukutana na Suzan kwamba alikuwa na maongezi muhimu, hivyo Edgar akamlipia chakula Joyce, kisha kila mmoja akatafuta meza yake na kukaa mbali mbali, dakika chache baadae Suzan aliingia pale bar akione kana katika hali ya utofauti kidogo, walisalimiana huku kila mmoja akionyesha utulivu na kumtazama mwenzie kwa umakini sana, waliagiza chakula nakuanza kula, huku Suzan akijitaidi kumwongelesha Edgar ilikumchangamsha, ikiwa pamoja na kumpatia zawadi yake toka kwa mzee Mashaka, adi Edgar alipoone kana kuanza kuchangamka, ni baada ya kuona kuwa kumbe Suzan ajastukia lolote, kumbe moyoni suzan alikuwa anajambo la kumweleza Edgar, ndipo alipo sikia simu yake ikiita, akataza mpigaji alikuwa ni Selina

Wakati kijana Milanzi na mkewake Faraja dada mdogo wa Edgar, wakijianadaa kwedaa kwenye miangaiko yao ya kila siku, ndipo walipo mwona mtoto moggogo wa kati ya miaka nane akija na kuwa aambia kuwa wana itwa kwa mzee Haule walipo fika pale walikuta hali ya mzee Haule ina zidi kuwa mbaya, maana mguu ulizidi kuvimba, hapo hapo Milanzi akatoa simu yake na kumpigia mume mwenza bwana Kazole, simu iliita bila kupokelewa, akaamua ampigie shemeji yake, yani dada wa mke wake, simu ika pokelewa, hapo milinga akamsimulia kilicho tokea kama yeye alivyo simuliwana mzee Ngonyani, lakini yalikuwa ni marudio kwa mke wa bwana Kazole, “sasa meambiwa mimi mganga?, akachukue ela alizonywea mipombe zimpeke hospital”

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA TANO

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
6 Mama Mwenye Nyumba Simulizi Z6
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni