SHEREHE KUZIMU (35)
Jina: SHEREHE KUZIMU Mtunzi: Frank Silaa SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... Mume wake na mwanae walikuwa tayari wameshatangulia mkutanoni. Baada ya kupingana kwa muda mrefu na nguvu ile iliyokuwa inamsukuma hatimaye alijikuta njiani, akitembea kwa mwendo mkali kuelekea kule kwenye mkutano. …