MAMA MWENYE NYUMBA (39)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
Suzan akaishika dudu na kuilegesha kwenye kitumbua kisha akapeleka kiuno chake mbele, na dudu ikaingia maalipake taratibu kabisa, “Hoooo tamu, jamani mume wangu usije kuondoka, ukaniahacha mwenzio nitapata wapi utamu kama huu”SASA ENDELEA...
Aliongea Suzan huku akikata viuno mzungusho kama vya kigugumizi hivi, sambamba na Edgar alipiga kiuno cha mkandamizo
Mama Sophia baada ya kumshusha Edgar pale njia panda ya makabe, aliendesha gali lake moja kwamoja mpaka nyumbani kwake, cha kwanza alicho fanya nikuoga, kisha aka akajilaza kitandani akiwa mwepesiiii, maana siku zote alizo kuwa anakutana na Edgar na kupeana dudu, alikuwa anafaidi na kujisikia mwepesi, kwa mziki aliokuwa anapewa na kijana huy mdogo, ndio maana akusita kumpatia kiasi kikubwa cha fedha mala kwamala anapo kutananae, fedha ambazo uomba kwa mkewake kwaajili ya matumizi yake binafsi, kwa haraka haraka mpaka leo hii amesha mpatia zaidi ya million kumi, mama huyu sasa alikuwa anapanga kumchukuwa Edgar moja kwa moja toka kwa Suzan, mama Sophia alipanga ayo pasipo kujuwa mida hii mwanae pia alikuwa anapanga kitu kama hicho unajuwa ni kwanini Sophia nae alipanga kumchukuwa Edgar toka kwa Suzan?
Hebu kwnza turudi Songea, baada ya kupigwa na mumewe akisaidiana na yule kimada wake, dada yake Edgar alienda moja kwa moja nyumbani kwa wazazi wake, njiani aliwaza mambo mawili, moja aliwaza kuwa akienda nyumbni kwa mume wake, na mume wake akimkuta itakuwa balaha zaidi ya ile ilyo mkuta, pia akajuwa kuwa akienda kwa wazazi atapat atamsaada wa matibabu, lakini wakati akiwaza hilo akakumbuka jinsi mala ya mwisho alipo enda na wadogo zake kudai pesa za mgao, njinsi walivyo shushuliwa na mama yao juu ya kukataa kumsaidia baba yao pindi amevamiwa na vibaka, nakujeluiwa, lakini siku zote mtu mbaya uwa haonagi noma, yaani usije kutemea kuwa eti alie kufanyia ubaya, kuna siku ataona aibu
Dada yake Edgar alinyoosha njia moja kwa moja mpaka nyumbani kwao na alipo karibia na kwao akaanza kuandua kilio upya huku akifungua ile nguo aliyo fungwa kichwani ili wazazi wake waione, ni kweli damu ni nzito kuliko maji, mzee Haule na mkewake wakampokea binti yao na kuingia nae ndani, hawakutaka kuhoji juu ya kilicho tokea, kwanza wakampigia simu Selina awasaidie usafiri, nusu saa baadaae Selina alifika na gari lake aka mchukuwa mgonjwa akiwa na mke wa mzee Haule wakaelekea BARAKA Hospital, ni ile ile ambayo baba yake alilazwa, licha ya kuwa katika maumivu, makali lakini alishangaa kuletwa pale, maana alisha wai kusikia juu ya ghalama kubwa ya uduma za pale
“Usijari mwanangu utapona tu, maana hapa huduma zao ni nzuri sana nakumbuka baba yako alitibiwa hapa alipoumia mguu” aliongea mama Edgar akimpa moyo mwanae, “mh! kumbe ata baba alitibiwa hapa hapa?” alijiuliza kimoyo moyo mke wa bwana kazole, madaktari walimpoka haraka sana na kuanza kumhudumia ikiwa na kumpatia chumba cha kupumzika, na matibabu yakaanza, baada ya lisaa limoja tayari alisha shonwa nyuzi sita kwenye jelaha la kichwani na kupewa dawa kadha, wakishauliwa kuwa mgonjwa apumzike kidogo kisha ndio aende nyumbani, wakati wakisubiri mgonjwa apumzike kidogo kama walivyo shauliwa ndipo mke wa bwana Kazole akaanza kumsimulia mama yake kilicho tokea huku Selina akiwasikiliza, maana mda wote alikuwepo maali pale, akisaidiana na mama Edgar kumsimamia dada yake Edgar
Baada ya kufaidi kitumbua kwa nusu saa nzima kule bafunu, Edgar na Suzan walimaliza kwakuoga kisha waka ingia chumbani na kujibwaga kitandani, wakapitiwa na usingizi, kiukweli swala la kulala mchana kwa Suzan lilikuwa kama tabia toka wiki chache zilizo pita, wakati mwingine ata akiwa ofisini usingizia kuwa anamteja kisha ulala kidogo, wote wawili walistuka saa moja kasoro wakaamka nakujianda, baada ya dakika chahe walikuwa njiani wanaelekea Full dose pub pasipo kujuwa kuwa mzee Mashaka yupo pale toka walipo mwacha mchana, tena mida hii mzee Mashaka alikuwa amesha kutana na binti wajana, walikuwa me kaa kimahaba wakiendelea kupata kinywaji, napasipo kujari macho ya watu waliendelea kufanyiana michezo ya kimahaba, hii yote ni kutokana na kuzidiwa na kilaji
Mida hiyo Sophia alikuwa njiani akitoka nyumbani kwake akielekea kibamba kwa Suzan lengo likiwa ni moja tu, kwenda kuongea na Suzan juu ya uusiano wake na Edgar, naakiwa na sababu muhimu za kufanya hivyo lengo lake likiwa ni kwamba Suzan amwachie Edgar, ili yeye aishi nae, sababu kubwa iliyo msukuma Sophia kufanya hivyo ni kwamba, kwa week tatu mfululizo sasa, Sophia alikuwa anajisikia tofauti sana kiafya, uchovu wa mala kwa mala, kujaa mate mdomoni, kuchagua vyakula maana kuna baadhi ya vyakula akila alitapika kabisa, nazaidi kilicho mshangaza hamu ya ngono kupita kiasi, yani muda wote alitamani awe karibu na Edgar, amwigize dudu, ndipo leo asubuhi alipo pata wazo, na kuamua kwenda kupima ujauzito, majibu aliyoyapata nikwamba yeye Sophia anaujauzito wa week sita, kwamujibu wa daktari ujauzito huo ulikuwa salama kabisa, kitu cha hajabu Sophia alifarijika sana asa akichukulia ule ujauzito ni wamwanaume anae mpenda sana
Baada kurudi kwake na kupumzika mpaka jioni huku akiwaza ili na lile ndipo alipomua aende kwa suzan akamwambie alicho kifanya na Edgar na hali aliyo nayo, akijuwa kuwa kwa vyovyote vile Suzan ata mtimua Edgar na yeye atampata kiulaini kabisa, nakuishi naye, wakati ana katiza mbezi ndipo alipo liona gari la suzan liki kata kona kuelekea full dose, kwakuwa alikuwa upande wapili wa barabara, kuelekea kibamba, akashindwa kukata kona hivyo akapitiliza kwalengo la kwenda kugeukia pale stendi mpya alafu arudi tena, aje aingie full dose, akiona kuwa tena wakisha lew kidogo itakuwa lahisi kwa yeye kuongea yamoyoni, huku wakina Suzan na Edgar wakiwa hawajuwi chochote, walisimamisha gari kwenye maegesho ya ile pub na kushuka
Lakini wakati wanashuka Suzan akaliona gari la mzee Mashaka, pale pale lilipo kuwa tokea mchana, kuna kitu kika mjia Suzan kichwani, ika mjia kumbu kumbu ya sikuile ya mzee Mashaka kuwepo maali pale na mwanamke mmoja wakifanyiana mambo ya kimahaba, “Edgar, ngoja kwanza, nisubiri kwenye gari nakuja sasa hivi, rudi kwenye gari” aliongea suzan akimshika Edgar mkono na kumrudisha ndani ya gari, kitendo ambacho kilimshangaza Edgar, lakini hakuwa mbishi, akaingia kwenye gari na kutuilia, akimwona Suzan akitembea kuelekea ndani ya ile bar, huku akilishangaa gari moja, ambali yeye Edgar alilitambua mala moja kuwa ni gari la boss wake Suzan, na lilisha mmwagia sana maji machafu
Lakini wakati Suzan anaingia ndani ya ile bar, alishuhudia gari la Sphia nalo likiingia pale pub kwa speed kali sana na kusimama kwa bleck kali sana kisha Sophia aka shuka kwenye gari lake akiangalia huku nahuku, alipo tazama kwenye gari Edgar aka bonyea chini na kujificha, akimchungulia Sophia kwa kiio cha kati cha gari kijulikanacho kama back vew, alimwona Sophia akitazama kule kwenye lango wa kuingilia ndani ya bar, ambako Suzan ndiyo alikuwa na malizikia kuingia ndani huku akionekana kuwa amebadirika ghafla sana, nikama kuna kitu kime mchefua, Edgar alimwona Sophia akitimua mbio, kumkimbilia Suzan kule ndani alikoelekea, nikweli Sophia alimwona Suzan akienda na kusimama katikati ya ukumbi wa ile bar, akatazama huku nahuku,kamana mtafuta mtu flani, kisha aka tembea kuelekea upade wa nyuma wa ile pub, ambako yeye Sophia alikaa sikuile aliyo changanya dawa kwenye mvinyo alio wanywesha Edgar na Suzan, akaongeza mwendo kumfwat Suzan kule alikoeleka, akizani kuwa Edgar atakuwa kule ndie anaye mfwata Suzan
Sophia aka endelea kumfwata Suzan, akiongeza mwendo ili asimpoteze machoni mwake, akamwona akipotelea kwenye maua na kuzunguka upande wanyuma wa ile bar, nayeye akawai nakuvuka yale maua, akamwona Suzan akitembea kuifwata meza moja ambayo alikuwa amekaa mwanamume na mwanamke wakilana mate, Sophia akawoma Suzan akiongeza mwendo kuifwata ile meza, akazidi kusogea huku aki mtazama Suzan ambae alionekana kama anajambo ambalo siyo jema anaenda kuli fanya maana alimwona anatembea kwa haraka sana, Sophia akiwa ataua chache nyuma ya Suzan, akamwona akifika kwenye ile meza na kusimama mbele ya wale wapenzi wawili “inamaana ndiyo mchezo wako huu” alimsikia Suzn akiongea kwa sauti ya upole, na wale wapenzi wakastuka na kumtazama Suzan
Hapo ndipo Sophia alipo iona sura ya baba yake mzee Mashaka, moyo wake uka piga paaa! kwa mstuko alioupata, akatulia tuliii kusikilizia tukio lile ambalo aliona lina weza kuwa zaidi ya anavyo lishuhudia, maana alicho kifahamu yeye ni kuwa baba yake mzee Mashaka na rafiki yake Suzan hawakuwa na mazoewea ya ukaribu wa hivi, sasa leo kulikoni, kiukweli mzee Mashaka akuamini macho yake baada ya kumwona Suzan amesimama mbele yake, “hooo! Suzie.. hooo! mmmh! karibu....” aliongea mzee Mashaka, pasipo kujuwa anaongea nini, “nauliza ndio tabia yako, unasingizia kuwa unavikao na wafanyabiashara wenzako, kumbe una yako” aliongea Suzan kwa sauti ile ile ya upole, “siyo hivyo mama, tuta yaongea, ebu wewe nipishe kwanza” alisema mzee Mashaka akimgeukia binti wa jana ambae alikuwa ametulia akiwa sikiliza
“Eti nini?, nikupishe uongee na huyu Malaya wako, tena usinitibue nika mpasua pasua sasa hivi?” aliongea binti wajana akigonga gonga meza kwa hasira, kuona hivyo Suzan ambae ugomvi kwake ni kitu kibaya sana, akageuka na kuondoka zake, akiwa acha mzee Mashaka na binti wajana wakimtazama huku binti huyu akiachia msonyo wa maana, kwenda kwa Suzie, muda wote Sophia alikuwa akifwatilia maongezi yale, nakwamuda aliokuwa akiwasikiliza nakuwa tazama akamkumbuka yule mwanamke kwamba alisha wai kumwona baba yake siku za nyuma, alijikuta anapata furaha na hasira, furaha ni kwakugundua mchezo mchafu wa rafiki yake kutembea na baba yake, aliona itamsidia sana kama silaha kumpokonya Edgar ka Suzan
Hasira alizo zipata ni kwaajili ya huyu binti anaye mchuna baba yake, Sophia alibaki akiwatazama baba yake na hawala yake ambao walikuwa wakimtazama Suzan akiondoka mbio mbio, nakupotelea kwenye maua, pale alipo ingilia mwanzo, Sophia akamwona baba yake akiinuka kama alie stuka toka usingizini, nakuanza kumfwata Suzan kule aliko elekea, huku yule mwanamke akijaribu kumdaka mkono bila mafanikio, “wewe unaenda wapi ebu rudi hapa” lakini mzee Mashaka alikuwa tayari amesha ondoka zake mbio mbio, hapo kitendo bila kuchelewa, Sophia aliinuka na kuisogelea ile meza aliyo kuwepo binti wa jana, kisha haraka kama umeme, aliinua chupa ya bia iliyo kuwepo mezani na kumpiga nayo binti wa jana usoni, ika sikika sauti ya puuu!
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni