Notifications
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…

MTAA WA TATU (10)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA KUMI
Mama yako ni
mwanajeshi yule hasira zikamshika na kuanza kuwapiga mawifi zake
yani alimkamata nywele
mmoja na kuzing'oa
hakika aliwapiga vibaya sana
Mpaka baba yako anafika pale kumtuliza mkewe
Shangazi yako mmoja kang'olewa meno mawili ya mbele".....

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
"Familia zikaitwa kikao kikawekwa
Mama yako akaulizwa sababu ya kuwapiga mawifi zake watatu.
Akajibu kila kitu,
Baba yako nae akasimama na kuwauliza dada zake je kuna mmoja wao mwenye mtoto jibu hakuna,
akasema naomba mniache na mke wangu
Tupate mtoto au tusipate
ni mipango ya Mungu
Nikaona sio vyema
mama yako kuteseka
nikaamua kumfata na kuongea nae
Kuna dawa nilimpa anywe nikimwambia ni ya kuondoa tumbo la chango,
basi akanywa
usingizi ukampitia
Kwani ile dawa ilikuwa na kilevI
Baada kulala tu nikaitumia nafasi hiyo kumfungulia
Jinni wangu mahaba na kumwambia afanye mapenzi na mama yako
Baada kufanya nae
Mama yako akastuka na kuuliza niko wapI".....
Nikamjibu dawa tayari kimebaki kitu kimoja tu
Akafanye mapenzi
Na mumewe kupata mchanganyiko.
tena yasipite masaa matatu awe kafanya hivyo.
Akarudi nyumbani
kwake na kumkuta
mumewe kasharudi kutoka kazini
Basi akadai haki yake mimba ikatunga hapo ukaja kuzaliwa wewe
Kwa kifupi wewe nusu
Jinni nusu Binaadamu pindi ukikasirika
Sana unakuwa kama shetani
Na ukimtaka mwanamke yeyote utimize haja zako huwezi kumkosa
Kwanza baba yako ni Jinni mahaba"....
Hafidhi akacheka sana yani sana na kusema
"Hahahahaha
Shukrani sana bibi kwa hadithi yako hakika umeitunga vyema.
Lakini hakuna kitu kama hicho, haiwezekani mimi niwe Jinni tena ukome
kuniambia kitu kama hicho"
Hafidhi akatoka nnje
akiwa na hasira
njia nzima akawa akijiuliza
mimi Jinni

(EMBU TUMPIME SISI WENYEWE SIKU ILE WAKATI AMELALA HAFIDHI ALIOTA MAJINNI YAMEMZUNGUKA, GHAFLA NAE AKAWA JINNI
KINGINE WAKATI ANAMSIMULIA STORY BEATRICE HAFIDHI MACHO YAKE YAKAWA KAMA SIMBA MPAKA BEATRICE AKAANZA KUTETEMEKA
KITU GANI KILITOKA MACHONI KWAKE KIKAMUINGIA SHARIFA MPAKA MTOTO AKALAINIKA ILIKUWAJE KULE BEACH AKAANZA KUFUKA MOSHI MPAKA JAMAA AKASEMA MSHIKAJI KAWASHA BANGE
ANAPATAJE MADEMU KIRAHISI WAKATI SISI TANASARANDIA DEMU MMOJA KWA MWAKA AU MWEZI MIEZI HATUPATI JIBU LA KUKUBALIWA
HAFIDHI KAKATAA YEYE SIO JINNI EMBU TUWE PAMOJA)

Hakika mwanaume kichwa kilimuuma baada kuambiwa yeye nusu Mtu nusu Jinni.
Sema homoni zake za kibinaadamu ndizo zenye nguvu zaidi
Akiwa na hasira Jinni anachukuwa nafasi yake.
Akajisemea hapana kisha akacheka
ha!ha!ha! tehe!tehe!
yule bibi mwanga nini?"
Akajiuliza hivyo pasipo kupata jibu
Akaichukuwa simu yake na kutaka kumpigia sijui
Baba yake au Mama yake.
Sema akasita kufanya hivyo
Akafika nyumbani kwao wa kwanza kumpokea kwa bashasha ni
Zay
“whaoo mume wangu huyo karibu sana naona umechoka
My baby maji ya kuoga nishakuandalia zamani jiandae ukaoge kisha upate chai nzito"
Hafidhi akabaki
kutabasamu tu
maana Watoto wa nyumba ile ni
Shida tupu.
Akatamka
“thank you my dear kisha akamchumu na kuingia ndani.
Kina
Beatrice wakabaki kushika tama tu,
“mmeona Mimi noma sio nyie kazi kung'aa sharubu tu. Salma akacheka na kusema
"ndio ndio wifi
langu mwenyewe waambie hao"...
Mwanaume akatoka ndani akiwa kajifunga tauro tu
kifua wazi yani
alikuwa na sixpack ya maana kifua ambacho kila binti alitamani
Kujilaza pale,
Akauliza
"Wife maji yapo kweli au unantania wewe"...

"Yapo bwana my dear au twende nikakuogeshe
Zay akamshika mkono
Hafidhi ikawa sitaki na taka mwishoe mwanaume akazama bafuni peke yake, hayo maji sasa kwanza yana uvuguvugu fulani hivi
kingine kuna
Iriki sijui Abdarasini
Maji yananukia si mchezo
akajisemea nitakuwa pilau leo"......
Baada kuoga akaingia chumbani kwake akavaa akatoka na kukuta kaandaliwa chai nzito.
Ndani ya mtaa wa kwanza kulikuwa na vilio.
Bila shaka kuna msiba
vijana wa mtaa huo walikusanyika na kuanza kuchangishana pesa za rambirambi
Kumbe Jimmy baada kupigwa ile jana usiku alikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu
Sijui kwenye nondo walimchomoa vipi,
Akakata roho akiwa hospitali
Ajabu hakuna aliyeweza kufahamu yule jamaa katokea wapi
Wa jana usiku katokea wapi kama mtaa wa tatu hakuna mbabe kama yule
Sijui mtaa wa pili wakati wanapanga hivyo
Hafidhi nae ndio anaingia hakuna aliyeweza kumtambua si ilikuwa usiku,
Basi akatafuta kiti na kukaa
Watu kutoka kila kona ya mji walifika kwenye msiba huo sijui kutoka
Mtaa wa pili hadi watatu walikuja.
Kama ujuavyo kwenye msiba hakuna ubaguzi au maswala ya bifu,
Taratibu zote zikafanyika hatimae wakaenda makaburini
kuzika hiyo hakuna cha maiti kulala sijui siku nne au wiki
Baada kuzika kiongozi wao akasimama na kusema maneno haya
“Mungu ametowa na ametwaa jina la bwana lihimidiwe, ndugu yetu kaka yetu
Kipenzi chetu Jimmy hakika hatutoweza kukusahau kamwe.
Na tutapambana mwanzo mwisho kuakikisha tunalipa kisasi,
Dahaa ndugu yetu kifo chako cha kinyama sana nenda kaka kwa amani
jenga nyumba kubwa huko ili siku tukija tufikie kwako baba"....
Mtaa wa tatu au wapili kama huyu kenge katokea mmoja kati ya mitaa hiyo
basi kawaponza wengi tutawasha moto kila kona ya
Nchi kudadeki semeni
Ameen".....
Wakati anaongea hivyo
Hafidhi alikuwa anamtizama tu na kutabasamu maana alitambua
kitu kimoja kabla wao hawajawasha moto yeye ndio kashaanda kibiriti na amekuja hapo kwa kazi moja tu,
kuwaonyesha yeye ni nani.
Safari ya kurudi majumbani ikaanza kutoka makaburini
Sharifa akamsogelea yule kiongozi na kumnong'oneza kitu
Akashtuka na kugeuka nyuma kabla hajakaa sawa kitu kizito kilitua
Usoni kwake kumbe. Mwanaume alishachonga kitu na
Sharifa basi yule kiongozi akayumba na kwenda chini uso hautamaniki
Damu zinamtoka kwa wingi.
kila mmoja akashituka kumbe jamaa mwenyewe ndio huyu
Hafidhi akatoka mbio ikawa sasa mkimbize mkimbie
na kelele za mwizii huyoo
Basi anakatiza kichochoro hiki na kutokea kile kwa makusudi akaingia mtaa wa
Pili kelele za mwizi zikapamba moto
Mwanaume akatokezea kwenye uwanja
mkuubwa wa mpira akafunga break
Na kugeuka nyuma
kutizama umati wawatu wanakuja
mwenye panga sime shoka sijui nini
yani watu wa mtaa wakwanza na wapili wote wapo hapo si mwizi
lazima auwawe

Hafidhi akicheki kikundi cha watu wanakuja, wazee vijana watoto yani kila mmoja na siraha yake.
Mwanaume akabaki kusimama tu
Baadhi ya watu walikuwa tayari washamfikia, mwizii",,,,,,pigaa pahaa, puhuu, tihii,
ilikuwa sauti ya kipigo huku watu wakirushwa huku na kule.
Hakika mwanaume akasimama vyema na kuwaonyesha
yeye ni nani,
hakutaka kuuwa
alitaka kuwafunza
Adabu.
Asikwambie mtu
yani mwizi akimbizwe mitaa ya Tandale au Tabata
kisha asimame kwa kupambana, labda asiwe binaadamu wa kawaida.
Vitofa vikarushwa
machepe
na mapanga vikapigwa
Hafidhi alikuwa anakwepa na kuwapa fataki
nzito, yani alikuwa akipiga na kuvunja kabisa
Kama mkono mguu potelea mbali.
Mwanaume
baada kuona kawachakaza vya kutosha miili imelaliana tu.
Wakati mapambano yanaendelea kwa mbaali kuna kiumbe cha ajabu kinakuja maeneo hayo
kiumbe ambacho ni kama upepo hivi sema kinawaka moto.
Kwa kasi ya ajabu akamuingia Hafidhi
mpaka yeye
mwenyewe akajishangaa
maana.
Mwanaume akawa na nguvu
Za ajabu
uwanja ukawa hautoshi tena
Mtu mmoja kwa watu zaidi ya Hamsini,
vumbi likatimka jasho likavuja
kuna kitu kimoja
Mwanaume alikifanya kwa kutimua mbio tena. Na kupotelea kwenye nyumba moja wapo.
Huku wananchi
wenye hasira
wabishi kama nini
wakibaki kumtafuta kila kona, sijui kajificha wapi.
Ndani ya mtaa wa tatu siku hiyo kulikuwa na ugeni wa mabinti wawili
Sada na mwenzie Husna wote ni binamu zake kaka mkubwa
Mzee wa nyapu, nae baada kupotea kule kwenye mapambano akaibukia sehemu nyingine kabisa
Akiwa anahema akajisemea
"Duhuu kweli mimi noma, yani halaiki ya watu wote wale nimepigana nao".....
Akafika nyumbani kwao na kuingia ndani
si Beatrice wala nani kila mmoja akabaki kumshangaa pindi walipoweza kumuona akiingia humo ndani.
“hivi shost huyu Mtu au Jinni?

”kwanini unauliza hivyo Joyce?"

“nauliza hivi kwa sababu haya mambo anayo yatenda si yakawaida lazima uwe na nguvu ya ziada,
“ndio nguvu ya ziada lakini Joyce tambua kitu kimoja kila kitu kinawezekana chini ya juwa kingine Hafidhi ni mtu wa mazoezi
hivi umuoni hata
Jet le jinsi anavyo wachapa watu wazima kama watoto vile
Au Rambo ndani ya msitu yuko peke yake
mbele ya Mavetnam kama mia mbili hivi"

“Zay bwana embu usitake kunichekesha mie zile si Actor tu hakuna ukweli wowote pale
kwanza ingekuwa kweli huyo
Rambo anaweza yote yale si angetumwa kwenda kumkamata Osama bin laden peke yake mbona hakwenda"....

“ukiona hivyo ujuwe hawakuwa na pesa ya kumlipa"
Wakati wanaendelea kuongea Hafidhi akatoka ndani na kuwaambia twendeni"....
nawao bila kuuliza wakanyanyuka na kumfata basi wakaongozana mpaka sehemu moja hivi kumbe alienda nao
kwa bibi sijui kawapeleka kufanya nini.
Baada kufika pale wakaingia ndani
kwanza yule bibi akashangaa
Hafidhi vipi mbona kaja na ugeni wanini.
“Joyce kaa pale
Zay njoo ukae hapa"
nao wakakaa kama walivyo ambiwa na kutulia kimyaa,
“sasa bibi nimekuja na hawa mabinti kwa ajili ya kitu kimoja tu.
Uwaambie mimi ni nani".....
Hakika yule bibi akashtuka na kutoka nnje akamwita Hafidhi kwa kumwambia
“embu nifate"
Hafidhi akamfata baada kufika nnje yule bibi akamuuliza
“hivi wewe unaakili kweli?...yani unataka kumwaga mchele penye kuku wengi
sikia nikwambie kitu hii ni siri yako
wewe hatakiwi kujuwa mtu yeyote yule, kitu kingine kule kwenye mapambano
ulitaka kuuwa nikamtuma baba yako aje
kupunguza hasira zako"....
Hafidhi akutaka kuongea chochote
akarudi ndani na kuwaambia
kina Joyce
“twenzetuni wachumba"
unajuwa mpaka hapo hawakuweza kumuelewa kabisa.
Yani walimfata kama mazezeta vile.
Mwanaume anajiuliza hivi yule bibi
katokea wapi?....kanijuwaje kama mimi ni
Jinni ni kweli au"....
Mbona mimi niko sawa tu, kama ningekuwa Jinni
kila mtu si angenikimbia itakuwa yule bibi mchawi kudadeki zake"
Wakati Hafidhi akiwaza hivyo njia nzima
Joyce na Zay walikuwa wakiulizana
“sasa mbona katuleta huku kisha tunarudi pasipo kufanya chochote?"

“itakuwa yule bibi kagoma kuachia ghetto
ndio maana tunarudi bila kusuguliwa"....
Zay akajibu hivyo akiwa amekasirika vibaya mno na kumlaani yule bibi kwa kuwakosesha uwondo.
Yani mawazo yake anawaza ngono tu,
“kweli wewe mwehu yani tuache vyumba vyetu vyenye hadhi
twende tukafanyie kwenye
banda la kuku lile"....

“Joyce shika adabu yako, ile ni nyumba sio banda la kuku
kama ni banda jenga lako mbona hauna"...
Zay akawa mkari baada kuambiwa nyumba ya bibi ni kibanda cha kuku.
“Shika adabu yako mwenyewe kwanza ukumbuki wakati tunafika
pale
Hafidhi alitamka nini kumwambia yule bibi"

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
8 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni