Notifications
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…

TANGA RAHA (41)

SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Nikawatazama kwa umakini na kuwashuhudia wakiwa akatika makindi tofauti to-fauti,Wazee sana,wazee kiasi,vijna na watoto
SASA ENDELEA...
“Munataka nini?”
“Tulikuwa tunauhitaji uhuru,tumeupata kutoka kwako asante sana,tupo tayari kukusikiliza wewe kwa kila kitu”

Hata jini ambaye ananijibu simjui ni yupi kati ya kundi kubwa ambalo limetuzingira mimi na Rahma
“Kwa leo tunakuomba tutoke tukatafute japo kitu cha kula,kisha saa kumi na mbili tutakuwa tumerudi”
“Eddy ukiwaruhusu hawa huko kwengine mambo yatakuwa si mazuri”

Rahma aliniambia
“Kumbe hata wewe unawasikia?”
“Ndio”
“Sasa munaniahidi nini nikiwaruhusu kwenda kuchukua chakula?”
“Amani itakuwa juu yetu”
“Hamuto wadhuru wanadamu wengine kama huyu?”
“Hatuwezi fanya hivyo,tunakuahidi”

Nafsi moja inaniambia niwaruhusu na nyingine inaniambia nisiwaruhusu.Nikamtazama Rahma akatingisha kichwa nisiwaruhusu.
“Acha wakatafute kitu cha kula,unadhani hapa wakikaa watakula nini?”
“Haya kama umeoamua hivyo”
“Haya nendeni ila saa kumi na mbili jioni nawahitaji hapa”
“Turuhusu tuanze na mwili huu.”
“Khaaa”

Nikautazama mwili wa mzee Ngoda kisha nikawatazama Majini,sura zao baadhi zimejaa upole na masikitiko makubwa,wengine wapo kwenye rah asana.
“Kwanza ni nani aliye fanya hivi?”

Akajitokeza jini wa kiume mwenye mwili wa kawaida tuu na kushuka chini kitendo cha kuka-nyaga ardhi mwili wake ukakamilika kama wa binadamu wa kawaida,kwani wote anao elea elea angani miili yao imekaa kama donge kubwa la maji.

Akapiga magati mbele yangu na kuinama
“Nisamehe mkuu haikuwa dhamira yangu ufanya hivi ila nilimuona kama adui yetu ndio maana nikamdhuru”
“Sawa nimekusamehe”

Akanyanyuka kwa furaha na kurudi juu na mwili wake ukafanana sawa sawa na we-zake.

Nikawaruhusu na ndani ya dakika mwili wa Mzee ngoda haukuwepo mbele ya macho ye-tu,walisha utafuna.

Wakaondoka kwa furaha huku wakishangilia na kutuacha mimi na Rahma
“Eddy nahisi kama nipo kitandani,naota vile?”
“Mmmm upo kwenye maisha halisi mke wangu”
“Eddy wewe umewezaje kuwaamrisha hawa viumbe kwa maana hawaeleweki”
“Wee acha tuu mke wangu”

Tukaanza kushuka kwenye ngazi zilizopo kwenye handaki tulilo lifungua,Tukakuta mafuvu mengi ya vichwa vya watu pamoja na mifupa ikiwa imesambaa chini,Mwanga wa bluu uliopo ndani ya handaki ukatusaidia sana kuyaona mazingira yaliopo humu ndani
“Baby huu mwanga unatoka wapi?”
Rahma aliniuliza kwa sauti ya kuninon’oneza
“Hata mimi sijui unatokea wapi?”

Tukaendelea kutembea kwenye eneo la handaki,lililo na eneo kubwa sana.

Tukaingia kwenye moja ya ukumbi na kukuta kila kitu kilichomo ndani ya ukumbi huu kimetengenezwa kwa dha-habu,kuanzia viti,meza ukuta sakafu vipo kwenye namna hiyo.

Nikataka kuokota kikombe cha dhahabu ila Rahma akanizuia
“Ona kule”

Rahma akanionyesha mzee aliye keti kwenye kiti cha dhahabu akiwa ameshika fimbo ndefu ya dhahabu huku mikononi mwake akiwa amevalia pete nyingi.

Nikashika kifimbo changu vizuri na kuanza kuoiga hatua za taratibu huku Rahma akiwa nyuma yangu akinifwata.

Tukafika eneo alilopo mzee huyu ambaye ni wamakamo sana,hata macho yake yanafumbuka kwa shida.
“Nikipindi kirefu sana nilikuwa ninakusubiria wewe,na leo nimekuona”
Mzee alizungumza kwa sauti ya kukwaruza kwaruza
“Nani....Mimi?”

Nilijiuliza swali na kujijibu mwenyewe na kumfanya mzee kutingisha kichwa chake
“Ndio,Imepita karne na karne nikiwa namtazamia atakaye shika falme yangu ya kuwaongoza hawa majini.Tangu ulip kuwa tumboni mwa mama yako niliweza kukulinda hadi ukafika hapa.”
“Samahani mzee wangu wewe ni nani?”
“Mimi ni mfalme wa wafalme”

Nikakaa kimya kwani jibu alilo nipa sikujua kama ndio jina lake alisi au ni mbwembwe tuu,Akasimama akisaidiwa na fimbo yake,vazi zima alilo livaa nimepabwa na dhahabu.
“Sogea karibu,Usiniogope”

Rahma akanishika mkono,nikamtazama na kumkazia macho hadi akaniachia mko-no.

Nikamsogelea mzee na akaninyooshea mkono wake ulio valia pete na bangili nyingi zilizo tengenezwa kwa madini ya kila aina.

Nikampa mkono wangu na kitu kama shoti kikautetemesha mwili wangui kwa sekunde kadhaa na kikaachia
“Wewe ndio mridhi wangu,Utaifanya dunia kuwa katika uwezo wako,waongoze wanadamu ka-tika njia ya kumtafuta MUNGU.Ila unakazi kubwa sana ambayo mimi niliishindwa na kujifungia humu ndani kwa siri”
“Kazi....kazi gani hiyo?”
“Nitakuambia,Jina langu ni Suleima Mfalme wa wafalme,Nilipewa uwezo mkubwa na MUNGU katika kuvitawala viumbe vyake,vya baharini na nchi kavu.Watu wengi wanatambua kuwa sasa hivi nimefariki,ndiovyo maandishi yalivyo katika vitabu vitakatifu vya MUNGU.Ila nimepewa nafasi hii ya kuonana na wewe ili roho yangu ikalale mahali salama,nikiwa nimekuachia kazi yangu ya kuendeleza mapambano dhidi ya majini 72 yalio niasi”
“Ehee nitawezaje?”
“Vizuri,Uwezo wako ni mkubwa kuliko mimi.Unasauti kubwa katika viumbe hivi kuliko mimi.”
“Mungu alinipa uwezo mkubwa sana wa kuwatawala ila hao 72 waliniasi na niliwafungia kwenye Gudulia la Shaba na kuwadumbukiza mtoni,Baada ya mimi kufa katika enzi zile wakaja kufunguliwa na watu wa Babilon ambao walikuwa wakitafuta mali na kusababisha majini hayo kuwa huru na kuleta tabu kama unayo iona katika dunia ya sasa”
“Baada ya BARBATOS na wezake kurudi katika mamlaka yao,Ndipo nami MUNGU alipo niruhusu nirudi duniani na kuwa katika handaki hili lenye udongo ulio jaa Baraka za Mungu nikisubiria wewe kuzaliwa na kuja kuwa mridhi wangu na laiti nisinge rudi basi Dunia ingezidi kuangamia”

Nikashusha pumzi na kubaki nikimtazama Mfalme Suleiman,ambaye kwa kipindi chote nilim-soma kwenye histori za vitabu tuu.
“Majina hao ni BARBATOS ambaye ni mkuu wao au Mungu wao,BAAL anamiliki mashariki mwa duni,BUER anawapa umashuhuri watu,AGARES huyu husababisha mitetemeko ya ardhi,ni mzee anatumia mamba katika kusafiria,AMON ananguvu nyingi na anamwili wa mbwa mwitu ila anakichwa cha joka lenye ndimi zinazo tema moto ila anabadilika na kuwa kama binadamu anatumika katika upatanishi wa marafiki”
“Sasa hao wote wapo wapi?”
“Duniani”
“Hao walio salia ni wafuasi tu,Kikubwa ni kupambana nao kwa kutumia hekima ambayo ume-pewa”

Mfalme Suleima kwa ishara akaniamrisha nipige goti moja chini wa mguu wa kushoto huku mguu mwengine wa kulia nikiunyanyua kidogo na kuuwekea kisuku cha mkono wa kulia na ngumi ya mkoni wikiwa imegusana na paji la uso na kuangalia chini.

Akanishika kichwa na kuanza kuomba kwa lugha ambayo sikuitambua,akatumia dakika zaidi ya kumi katika kufanya maombi yake.

Akavua pete mbili kidoleni mwake na kunivalisha,kwenye vidole vyangu vya mkono wa kulia,kisha akaniinua na kunivisha joho lake.
“Nimekukabidhi mamlaka yangi juu ya majini wote wema ambao nilikuwa nao humu ndani,Ila hakikisha hawatekwi na majini waliomo dunia.”
“Nitalihakikisha hilo hakuna linalo tokea”
“Kazi unayopaswa kuanza nayo ni juu ya wale wote wanaotumia nguvu za giza,kuwateka watu wa Mungu katika majengo yao waliyo yaanzisha duniani kote”
“Sawa”

Mfalme Suleiman akamuita Rahma kwa ishana,akaja na kusimama kando yangu.Akachukua pete yake nyingine na kumvisha Rahma kwenye mkono wake wa kushoto
“Pete hii inanguvu ya ushawishi na ikusaidia kumtuliza jazba pale mume wako atakapofanya maamuzi yaliyo kinyume palipo na ukweli”
“Sawa” Rahma alishukuru kwa sauti ya unyenyekevu
Mfalme Suleiman akatukumbatia kwa pamoja huku akinipiga piga mgongoni,akasogea nyuma kidogo,
“Utajiri wangu upo juu yako”

Gafla mwanga mkali ulio ambatana na radi ukjatawala ndani ya ukumbi na kusababisha teteme-ko kubwa la ardhi.

Mfalme Suleiman akanyoosha mikono,wau wawili wenye mavazi meupe pee na madawa mawili mgongoni mwao wakasimama pembeni yake na kumnyayua kwenda juu hana kupotea naye na mwanga ukarudi kama kawaida.

Kila kitu kinacho endelea kwenye maisha yangu ninaona kama mkanda wa kuigiza,Tukatoka nje ya handaki na sote tukaelekea ndani.

Mida ya saa tisa jioni tukasikia vishindo nje ya nyumba ikatulazimu tutoke nje kuangalia ni nini kinacho endelea.Nikakutana ana kundi la majini ninao waongoza wakikatiza katiza nje wengine wakiwa wanaelea angani.
“Kuna nini?”
Nilimuuliza mmoja wa majini ambaye alisimama mbele yangu
“Mkuu kuna hali mbaya imetoke?”
“Hali gani?”
“Wezetu wapatao 250 wametekwa”
“Wametekwa....!!? Na nani?”
“Tunakuomba utupe ruhusa tukawakomboe”
“Wapi?”
“Sehemu ambayo wapo ni kwenye kisiwa kimoja kipo karibu na bandari ya Tanga”
“Ngoja unaweza kuniambia ni nini kimetokea?”
“Mkuu twende ukajionee”
“Eddy unataka kwenda wapi?”
“Ngoja nikaone mke wangu”

Jini la kiume ambalo ninaongea naye akaniishika mikono na gafla kufumba na kufumbua nikaji-kuta nikiwa katika anga na sikuamini macho yangu baada ya kuukuta mji mzima wa Tanga uki-wa umetawaliwa na damu nyingi lizilizo tapakaa maeneo mbalimbali ikiashiria watu wengi wa-metafunwa na majini yangu.

Nikabaki nikihamaki kwani hali ilizidi kuwa mbaya,watu walikimbizama hovyo kuyaokoa mai-sha yao.Jini aliye nishika akanishusha juu ya gorofa moja la bandari.

Kwa kutumia uwezo wa fimbo nilio nao nikaamaru majini wote kutulia,Wakatutii kwani maamlaka niliyo nayo juu yao yamezidi kuongezeka.Wakalizunguka eneo ambalo mimi nipo wakisubiri nini nifanye.
“Nani aliye waamuru kufanya huu upuuzi wakati niliwaachia kwa roo njema?”

Niliwauliza kwa ukali na majini wote wakaa kimya
“Aliye jijua kuwa amefanya tukio la kumla au kumdhuru binadamu yoyote ambaye ni mwema akae upande wangu wa kushoto”

Majini wakajigawa hadi mimi mwenyewe nikashangaa kwa jinsi wanavyo nisikiliza kwa umakini wa hali ya juu.
“Mkuu sisi ni wachache kati ya wale ambao wametekwa na wanadamu wenye nguvu zinazo en-dana na wewe.”

Jini mmoja alizungumza kwa sauti nzito akiwa katika kundi la majini walio watafuna watu.
“Hiyo sio mada niliyo nayo,nimeuliza ni kwanini mumewala watu wasio na hatia?”
“Mkuu wezetu ambao wametekwa walipandikizwa roho ambazo ni mbaya ndio maana wakawala watu na sisi tulio nusurika tukajua tumeruhusiwa kuwala watu ndio maana hata sisi tukawala”

Nikaangalia chini na kuona jinsi ukimya wa sehemu tuliyopo ulivyo tulia,Magari mengi yaliacha milango wazi huku mengine yakiwa yameangushwa na kuwashwa moto.
“KUMBUKA KUNA WATU WANAHITAJI MAJINI ILI KUYATUMIA KATIKA KAZI ZAO ZA KICHAWI NA WAGANGA,KUWA MAKINI NA HAO WATU.”
Sauti ya taratibu ilisikika masikioni mwangu,na ninauhakika hakuna jin lolote aliye weza kuisi-kia
“Sasa nifanye nini?”
“UNATAKIWA KUWAREJESHA KWANZA HAO 250 KAMA WALIVYO KISHA UANZE LILE AGIZO LA KWANZA ULILO PEWA.”
“Nitawarudisha vipi?”
“CHAGUA WAFUASI KUMI,NANE WAAMRISHE WAENDE KWENYE KILA KONA YA DUNIA WA-KIWA WAWILI WAWILI,KISHA WAWILI WABAKI KATIKATI YA MKOA WAKO”
“Sijakuelewa,hao nane waende pende za dunia mzima au kwa huu mkoa tuiopo?”

“KWEENYE DUNIA,WANAKWENDA KUZUIA KUBADILISHWA KWA WEZAO,NA ENDAPO WEZAO WAKIBADILISHWA ZAIDI WATAWEZA KUKUANGAMIZA KWA MAANA WANAJUA SIRI ZAKO ZOTE”

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

18 Simulizi Tanga Raha
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni