Notifications
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…

MUWASHO (9)

Ukeni, wa Ngozi, Sehemu za Siri, Sehemu ya Tisa

Jina: MUWASHO
Mwandishi: Seif Jabu

SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA...
(Katika eneo hilo walilikuwepo ilikuwa ni kijiwe cha wavuta bangi wa chuo hiko na bangi hizo walikuwa wakinunua kwa God mwenyewe kutokana na kuwa kijiwe cha wanafunzi wengi kuna sehemu walikuwa wakihifadhi soda na vitu mbali mbali ndio maana God alipata soda ya kutumia,

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
God bila kupoteza mda wala dakika alipofungua ile soda aliipeleka chupa na kuichomeka katika uke wa Monica,

Kutokana na maumivu aliyopata Monica alipiga ukelele wa nguvu na sauti yake kusafili moja kwa moja mpaka kwenye ngoma za masikio ya Mernah na kufanya mernah kujua alipo Monica na kuongeza mwendo ili kumuwahi,

God aliizamisha chupa ya soda katika uke wa Monica huku chupa ikiwa imefunguliwa na kuleta maumivu makali sana kutokana na gesi ya coca cola,

Hakuna kitu kinachooumiza kama hicho, Monica aliumia sana alisikia maumivu makali sana ambayo hajawahi kuyasikia tangu azaliwe,

Mernah alijitahidi kuwahi ili kuona kama ataweza kuokoa maisha ya skola kwani ukelele aliosikia ulikuwa unaashilia kuwa yuko kwenye hali ngumu sana ya maumivu makali,

God baada ya kumaliza alichokusudia aliondoka zake ila wakati anatoka tu bila hata dk1 kumalizika Mernah alifika na kukuta Monica yuko Kwenye hali ya sintofahamu akamsogelea akapigwa na butwaa kuona chupa ya coca cola iko kwenye sehemu ya siri kwa Monica,

"Monica!?…… Monica!!!???…..,"

R aliita awezavyo ila sauti ya Monica haikutoka kabisa kuitika wito,

Mernah alijaribu kuigusa chupa ile ili atoe msaada ila alipoigusa tu mtoto wa kike Monica alipiga ukelele wa hali ya Juu sana na kutokana na kuwa alikuwa haongei ukelele ule ulifanya Mernah ajue kuwa maumivu aliyonayo Monica ni makari sana,

Mernah alichukua simu akampiga Seif akamuomba amkute pale alipo na kweli ndivyo ilivyo kuwa seif alifanya vile alivyoambiwa akaenda na gari mpaka karibu na eneo lile alipokuwepo Mernah.

"Mernah nipo hapa kwenye maji uko wapi?"

" vuka maji uje moja kwa moja unafuata nyayo za miguu hujaziona?"

"Nimeziona Mpenzi sekunde kadhaa nipo hapo,"

"Sawa Mpenzi,"

Seif alivuka maji yale kwa haraka sana alipoyamaliza aliona nyayo zingine mbele akajuwa zitamfikisha moja kwa moja mpaka alipo Mpenzi wake, na kweli ndivyo ilivyokuwa Seif aliongozwa na nyayo za miguu mpaka alipo kuwa Mernah,

"Mernah kuna nini?"

"Monica ..Monica…..,"

Mernah aliishia kusema jina la Monica pasipokusema chochote kile Seif ikabidi amshike mkono ili amuulize kulikoni,

"Kulikoni Mernah? Hebu niambie Monica amekuwaje?"

"Monica ameumia ona… onaaa……,"

Seif alipoangalia vizuri alibaini kuwa Monica alikuwa ana chupa ya soda katika uke wake?

"Khaaa nani kafanya hivi?"

"Ni mada ndefu kidogo seif kwanza tumsaidie tumpeleke hospital,"

"Inabidi tupite kwanza Polisi,"

"Kufanya nini?"

"Hospital hawatampokea bila kupita polisi."

Wakiwa katika kutafakali nini wafanye gafla walisikia kishindo kikitokea nyuma yao na kusikia hatua za miguu zikiwa zina kuja walipo.

Baada ya kusikia hatua zile Seif na Mernah walikimbia ila kukimbia kwao walikimbia wakiwa Monica, Seif alimbeba Monica kisha wakaanza kutafta njia ya kutokea ili watu wale wasiwaone kwani walihisi huenda wakawa ni watu wabaya wanaotaka kuja kumumalizia Monica,

Seif alikuwa ni kijana shupavu sana na mwenye nguvu kwa hiyo kumbeba Monica takribani Dk3 haikuwa kazi ngumu sana kwake alihangaika naye mpaka wakafika alipokuwa ameacha gari akamuingiza ndani ya gari na Mernah akaingia ndani ya gari kisha wakaianza safari wasiyoijuwa kwani hawakuwa na jibu lasimi watakapo mpereka mgonjwa wao,

"Sasa hebu tushirikiane huyu mgonjwa tunampereka wapi?"

Lilikuwa ni swali kutoka kwa Seif kwenda mernah,

"Si Hospital au wapi?"

"Nimeisha kwambia kuwa huyu mgonjwa kumpeleka hospital mpaka upite Polisi uchukue PF3."

"Basi tupite huko polisi,"

"Una maelezo ya kutosha?"

"Kuhusu nini?"

"Kuhusu tukio zima,"

"Sina maelezo yakutosha,"

"Sasa tufanye nini?"

"Wewe utakacho niambia ndicho tutakacho fanya,"

"Kuna rafiki ni Dokta Mkubwa sana katika Hospital ya tumbi sasa cha kufanya wacha tumpeleke tumbi,"

"Ungemuuliza kwanza kama yupo,"

Seif alifanya kama alivyoshauria na mernah alimpigia simu Dokta lvete aliyekuwa akifanya kazi katika Hospital ili kujua kama yupo au laa,

"Hallow…..,"

"Mhhhh ni Seif au naota?.."

"Ni mimi mwwnyewe Seif,"

"Mmmh leo umenikumbuka?"

"Ndio, vipi upon kazini?"

"Hapana nipo nyumbani?"

"Oky bado unaishi kule kule Mbezi mwisho?"

"Ndio, unataka uje kunisalimia,"

"Ndio,"

"Karibu Mimi nipo,"

"Sawa, Dk kumi nitakuwa hapo,"

"Sawa, karibu"

Seif alijifikilia ataanzia wapi kumweleze Dokta Ivete tatizo walinalo ili hali alimaliza miaka bila kuwasaliana naye na kuna kipindi Dokta Ivete alikuwa akimpigia Seif ila seif akawa hapokei simu akimtumia meseji hajibu,

Nitaanzia wapi mbona ni haibu hii nilimkatia mawasiliano bila hata kosa na isitoshe akijua kama mimi na Mernah ni wapenzi atanisaidia kweli?

Seif akikuwa akiwaza sana ataanzia wapi kuongea na ila wakati akiwaza alikuwa anazidi kukaribia kufika kwa Dokta Ivete,

"Mpenzi wangu mbona kama una mawazo sana?,"

"Kawaida tu,"

.

"Nisamehe kwa anaumwaa kwenye matatizo yasiyo kuhusu,"

"Usihofu haya ni masuala ya kawaida tu mpenzi wangu,"

Safari iliendelea ya kwenda mbezi mwisho baada ya mda flani kukatika walijikuta wako nje ya Geti la Dokta Ivete,

"Mernah ningoje kwanza nakuja sawa?"

"Sawa,"

Seif alingia ndani akakaribishwa na mwenyeji wake akakaa sebureni wakaanza kusalimiana kama unavyojua tena waliopoteana miaka zaidi ya miaka miwili mitatu salamu zao zinakuwa ndefu sana,"

"Seif za siku? Za kunigaya?"

"Nzuri vipi hujambo?"

"Sijambo kabisa sijui wewe"

"Na Mimi ni mzima mungu anajalia mdogo mdogo,"

"Oky basi ngoja nikuandalie kichangamsha kinywa,"

"Ohh!!! Ila niko na watu kwenye gari wananisubilia,"

"Mbona hujawaleta ndani?"

"Kuna kitu nataka niongee na wewe kwanza,"

"Kitu gani?"

"Nina tatizo na msaada ni wewe hapo?"

"Tatizo gani?"

"Nina mtu kwenye gari anaumwa tena yuko hoi taabani,"

"Kwanini msimpeleke hospital?"

"Nikimpeleka hospital itakuwa balaa maana itahitajika karatasi ya polisi na Mimi sina,"

"Si upite polisi?"

"Nina maelezo ya kutosha kuhusu mgonjwa kwa kuwa hata Mimi nimefanya kumsaidia tu,"

"Anaumwa nini?"

"Amebakwa kisha akawekewa chupa ya soda ukeni,"

"Nini!!! Seif usiniletee balaa mwenziyo,!?"

"Nisaidieee…..,"

"Hapana sina msaada kabisa kwa hilo jambo,"

"Kwa hilo jambo siwezi kutoa msaada wa aina yoyote ile,"

Dokta Ivete alikataa kata kata kumsaidia Seif katika tatizo lililokuwa lina mkabili na kufanya seif kuwa na mawazo zaidi,"

"Kweli umekataa kunisaidia Ivete?"

"Seif umenikumbuka Leo kwa kuwa una shida?"

"Siyo hivyo Ivete,"

"Ila?"

"Ivete hayo tngeyaacha kwanza,"

"Unaumia moyo kwa kuacha kukusaidia? Hebu kumbuka Mimi ulivyoniumiza kipindi kile ulifikilia nina moyo wa chuma?"

"Siyo hivyo wala nisingependa tufike huko,"

"Basi yameisha ila msaada kwangu haupo."

"Sawa, asante."

Seif hakuwa na namna tena alimuaga Ivete kwa uzuri bila kuonesha chuki yoyote ile na kumwambia maneno mazuri,

"Ivete wacha nikajaribu kutafta msaada pengine hapa siyo mahala pangu wacha niende mungu aliponipangia,

"Sawa seif nakutakia mafanikio huko unakokwenda,"

"Sawa basi tutazidi kuwasiliana,"

Seif alitoka akafungua mlango hatua zikaanza kuelekea nje huku huku akiwa na mawazo tele kichwani, alipofika kwenye gari Mernah alimshangaa sana kumuona akiwa na mawazo mengi sana,

"Seif kulikoni mbona hivyo,"

"Wewe acha tu,"

"Vipi amekataa huyo Dokta?"

Kabla seif hajatoa sauti alisikia sauti ya Ivete.

"Ingiza gari ndani umlete huyo mgonjwa,"

"Sawa,"

Seif alirudi katika hali ya kawaida baada ya kuona Ivete amekubali kutatua shida take,"

Gari iliingizwa mpaka ndani kisha Seif alichofanya alimtoa kwenye gari Monica akampeleka mpaka ndani akaoneshwa chumba husika akamuingiza akamlaza Juu ya kitanda, Ivete alipofunua kitenge ili amuangalie mgojwa alibaki ametaharuki kwa kuona chupa aina ya coca cola ikiwa ndani ya uke.

"Seif mbona kazi ipo?"

"Ni hatarii,"

Yamepita masaa mangapi tangu afanyiwe kitendo hiki?"

"Masaa manner,"

"Nipe kale kasanduku nikuoneshe,"

"Sawa,

Ivete alianza kazi yake ya utabibu kwa kumtabibu Monica ili kuona kama atachomoka kwenye hatua ya umauti,

"SEIF, Kazi ni kutoa hii chupa kwanza kisha ndio mambo mengine yatafanikiwa,"

"Au niivute?"

"Siyo hivyo unavyofikilia wewe,"

Ivete alichofanya alimchoma sindano ya kumsinzirisha ili Monica asiendelee kupata maumivu wakati wautoaji wa chupa ile japo Monica alikuwa hakitambui,

"Seif kazi imekuwa nyepesi kwa mtazamo wangu maana chupa ndio tayari imetoka,"

"Kwa hiyo sasa hivi yuko poa akimka tunaweza kwenda,"

"Sikia Seif hili tatizo ni kubwa saba maana soda ile ina gesi sana na imepenyeza mpaka kwa viungo vya uzazi hapa cha kufanya ndani ya siku mbili ili apoteze maumivu kabisa kisha nyie mtakaa naye mumshauri mumpeleke hospital kubwa kwa matibabu zaidi,"

"Sawa ninekuelewa ulichokisema Ivete nitafanya hivyo,"

"Sawa,"

Upande wa pili God alitoka akaenda ghetto kwake akiwa anaamini kuwa Monica hatapona atakuwa amekufa na hakuna MTU aliyeona,

Ila kwa upande wa Chuo habari zilikuwa zimetapakaa kuwa Monica alionekana sehemu akiwa amekufa, na Monica zilimfikia habari hizo akaenda kumtafta Monica chumbani kwake ila hakumuona alipopiga simu yake ilikuwa inaita bila kutoa majibu,

Mungu wangu Monica amekufa? Hapana au wamemuona Mermah? Ngoja nimtafte Mernah kwenye simu,"

Alimpigia na Mernah ila nayo haikupokelewa kabisa akabaki anawaza sana,

mhhh mbona sielewi Mimi wote kwanini hawapatikani? Mbona ni mtihani huu jamani ngoja nimpigie God nimuulize,

Mernah alimpigia God kutaka kupata uhakika wa mambo mawili kwanza kujua Monica kama ameuuwa pili kujua kama Mernah kaisha uliwa pia,

"God niambie kwanza hivi wewe ndie uliyemuuwa Monica?"

"Monica yupi?"

"Sikia nijibu kwanza hili swali jingine Mernah umemuuwa?"

"Mernah? Hapana, kwani amekufaMo

"Ina hisiwa hivyo,"

"Hapana, alafu uliniuliza mdada mwingine nani vilee??."

"Monica,"

"Mrefu mwenye umbo la mkato mkato macho yake ya mviringo?"

"Ndio,"

"Huyoo nimemuuwa,"

"Nini? Mke wangu umemuuwa?"

"Mke wako?"

"Mke wako?"

"AAA!!!… Niambie umemuuwa kweli!?"

"Ndio ilaa..ilaaa….,"

"Ila nini?"

"Sikia nikwambiee yule binti alijua mipango yetu alikuwa nyuma ya dirisha wakati tunaongea kuhusu kumuuwa Mernah,"

"Hata kama alijua hakufaa kuuliwa yule ni mtu mhimu kwangu,"

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
46 Muwasho Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni