Notifications
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…

MY DIARY (3)

Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA TATU
TULIPOISHIA...
Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na kuendelea na masomao ingawa kwangu ilikuwa ni kitu kigumu sana.Sikuzoea kusoma kwa shida hasa ukilinganisha na historia yangu.

Maisha yalibadilika sana na kilichokuwa kinanisaidia wakati huo ni hela ambazo baba yangu alikuwa akiniwekea kwenye akaunti yangu pamoja na zile ambazo nilikuwa nikimwibia.Nilikuwa na akiba ya kutosha kwenye akaunti yangu lakini bado hazikunipa amani na furaha kutokana na tabia yangu ya kuwa na matumizi makubwa sana.Nilijaribu kutaka kuacha shule lakin walimu na wanafunzi wenzangu hasa Joyce walinisaidia sana mpaka nikamaliza kidato cha sita.

Ingawa uwezo wangu kimasomo ulishuka sana liakini nilikuwa na uhakika wa kufaulu na kujiunga na chuo.Nilipomaliza elimu yangu ya sekondari hapo Marian girls mkoa wa pwani nilitafakri sana wapi nitaenda. Baadaye niliamua kwamba nibora niende Moshi na kukodi chumba changu na kuendelea na maisha yangu huku nikisubiri matokeo ya form six. Nilipachagua Moshi kwa sababu kwanza maisha yalikuwa ni rahisi sana na pili nilitaka kufanya utafiti na kujua mahali ambapo lile shamba la baba lipo ili niweze kupata hayo madini ambayo ndio urithi nilioachiwa.

Hivyo nikabaliana na ule msemo kuwa life is change(maisha yanabadilika) na kuamua kujishusha kabisa na kuishi maisha ya chini kabisa ili niweze kuishi kwa viakiba vya hela ambavyo mda wowote vingeweza kuisha. Niliendelea kuishi hivyo kama kifaranga cha kuku kinachoamini kesho kitanyonya ingawa mama yake hana maziwa. Niliishi kwa matumaini kuwa siku moja nitarudi juu na kuishi maisha niliyoyazoea. Kila siku iendayo kwa mungu mawazo yangu yote yalikuwa huko kwenye hilo shamba la marehemu baba yangu ambako aliniambia ameficha madini ya Tanzanite. Pakoje na pana umbali gani kutoka mjini hayao ndo maswali nilioshindwa kujijibu nikabaki navuta taswira ya sehemu ambayo ni mafichoni sana.

Wakati mwingine nilimkumbuka sana mama yangu lakini sikjua jinsi ya kumpata na nilijuta sana kwa nini aliamua kuachana na baba yangu na kurudi kwao Dubai. Nilitamani sana kwenda Dubai kumtafuta lakini sikuwa na mbele wala nyuma.Basi niliendela kuwaza na kuwazua nisijue nini hatima ya maisha yangu na siku hiyo nilimkumbuka sana mwalimu mmoja ambaye alikuwa field shuleni kwetu huyo alitokeaga kunipenda sana lakini mimi nilikuwa nampotezea sana.

Siku hiyo nilimkumbuka sana mwalimu huyo kwa jina la John kwa sababu ndio mwanaume wa kwanza kunitoa wanawali wangu. Nakumbuka kipindi hicho nilkuwa nipo form six mwanzoni na tulienda tour yetu ya mwisho huko Amboni Tanga. Sipendagi kulikumbuka tukio hilo lakini ngoja nilisimulie kwani ndio chanzo cha mimi kuyajua mapenzi.Huwezi amini kwa uzuri wa sura na umbo niliokuwa nao mpaka nafika form six nilikuwa simjui na sijawai kulala na mwanaume.

Najivumia kwa hilo kwani wasichana wa siku hizi kidato cha kwanza tua wameshaanza hayo mambo. Basi mwalimu huyo baada ya kunifuatilia sana shuleni na kunishindwa aliamua kutumia nafasi hiyo ya kwenda kutembele mapango ya kale huko Tanga vizuri. Nakumbuka mimi nilikuwa kiranja wa michezo na mwalimu huyo na mwalimu huyo kijana alikuwa mwalimu wa michezo msaidizi akishirikiana na madam Kunambi. Hawa watu walikuwa ni mtu na binamu yake na ukweli huo hakuna mtu aliyeujua zaidi yangu mimi. Hata hiyo nafasi ya field ya John ndo madam alimfuatilia. Siunaju tena shule kubwa kama zile ni kazi sana kupata kwa ajilia ya mafunzo kwa vitendo(field). Ukweli huo nilikuja kuujua baada ya kufanya ziara Amboni huko mkoani Tanga. Basi siku hiyo usiku ulipofika tulikwenda kulala Lodge moja ambayo ni maarufu hapo mjini Tanga.

Tukio hilo sijui lilipangwa au la kwani eti kila chumba walitakiwa kulala watu watatu lakini alibaki mwanafunzi mmoja ambaye ni mimi hivyo madam akashauri kuliko kulala watu wa nne ni bora mimi nikalale nae.Basi usiku madam akanipeleka mahali (outing) kwa madai kuwa alitaka kunionesha uzuri wa mji wa Tanga. Basi tulienda sehemu moja ambayo kwa kweli ilikuwa ni nzuri sana akaagiza vyuku tukaendelea kula raha ili hali wanafunzi wenzangu hawajui.

Mimi baada ya hapo nilikuwa nakomaa na soda zangu lakinji baadaye madam alinishawishi ninywe red wine. Alinishawishi sana nionje na nikajikuta nakunywa na kutokana na ladha nzuri iliyokuwa nayo mimi niliongeza speed nikijua kuwa haina kilevi.Nakumbuka ilikuwa ni natural sweat red wine yaani ni wine ile ya matunda kabisa, tena ilikuwa ni tamu kama juisi.

Hapa naweza sema ingawa mimi nilikuwa mtoto wa kishua lakini sikuwai kuzinywa zaidi ya kuziona kwenya friji.Basi baadaye madam huyo ambaye na yeye bado ni mbichi(mdogo) kiumri. Baadaye madam alimpigia Mwalimu John ambaye tulimwacha kule walipolala wanafunzi na yeye alikuwa amelala chumba cha mbali kidogo kutokana na jinsia yake

Basi mwalimu huyo baada ya kunifuatilia sana shuleni na kunishindwa aliamua kutumia nafasi hiyo ya kwenda kutembele mapango ya kale huko Tanga vizuri.

Nakumbuka mimi nilikuwa kiranja wa michezo na mwalimu huyo kijana alikuwa mwalimu wa michezo msaidizi akishirikiana na madam Kunambi. Hawa watu walikuwa ni mtu na binamu yake na ukweli huo hakuna mtu aliyeujua zaidi yangu mimi.

Hata hiyo nafasi ya field ya John ndo madam alimfuatilia. Siunaju tena shule kubwa kama zile ni kazi sana kupata kwa ajilia ya mafunzo kwa vitendo(field).

Ukweli huo nilikuja kuujua baada ya kufanya ziara Amboni huko mkoani Tanga. Basi siku hiyo usiku ulipofika tulikwenda kulala Lodge moja ambayo ni maarufu hapo mjini Tanga.

Tukio hilo sijui lilipangwa au la kwani eti kila chumba walitakiwa kulala watu watatu lakini alibaki mwanafunzi mmoja ambaye ni mimi hivyo madam akashauri kuliko kulala watu wa nne ni bora mimi nikalale nae.Basi usiku madam akanipeleka mahali (outing) kwa madai kuwa alitaka kunionesha uzuri wa mji wa Tanga.

Basi tulienda sehemu moja ambayo kwa kweli ilikuwa ni nzuri sana akaagiza vyuku tukaendelea kula raha ili hali wanafunzi wenzangu hawajui.Mimi baada ya hapo nilikuwa nakomaa na soda zangu lakini baadaye madam alinishawishi ninywe red wine. Alinishawishi sana nionje na nikajikuta nakunywa na kutokana na ladha nzuri iliyokuwa nayo mimi niliongeza speed nikijua kuwa haina kilevi.Nakumbuka ilikuwa ni natural sweat red wine yaani ni wine ile ya matunda kabisa, tena ilikuwa ni tamu kama juisi.

Hapa naweza sema ingawa mimi nilikuwa mtoto wa kishua lakini sikuwai kuzinywa zaidi ya kuziona kwenya friji.Basi baadaye madam huyo ambaye na yeye bado ni mbichi(mdogo) kiumri alimpigia Mwalimu John ambaye tulimwacha kule walipolala wanafunzi na yeye alikuwa amelala chumba cha mbali kidogo kutokana na jinsia yake.

Nilishituka sana kutokana na ujio wa huyo mwalimu, kuna sababu mbili kwanza sikupenda ajue kuwa nimetoka out na mwalimu na pili ni kwa sababu alikuwa akinitaka kwa mda mrefu sana. Mwalimu John alivyofika alikaa kwa mbwembwe na aliagiza kuku choma na bia japo sikumbuki alikuwa anakunywa bia gani. Alionekana kuwa mwenye furaha sana kitu ambacho kilizidi kunitia hofu maana nilihisi naweza kuuzwa kiurahisi mno.
Wakati tukiendelaea na stori mara alikuja mbaba mmoja sio mzee sana lakini ni kijana wa makamo.

Alikuja na gari kali sana na alipofika madam aliamka na kumkumbatia hapo haikuitaji kuuliza kitu chochote dhairi walikuwa ni wapenzi. Alipokaa tu alimpa mwalimu mkono na kumwambia “ habari za masiku shemeji” kauli ambayo iliniweka matatani. Nikajiuliza shemeji yake kwa nani, je kwani madam na John ni ndugu? Wakati nikiendelea kutabasamu naq mimi alinipa mkono na kuniambia hujambo mrembo na nilipomsalimia alichombeza kwa kusema kweli shemaji yangu John unajua kuchagua.Kauli ambayo ilizidi kunitatiza na kunikera lakini sikutaka kuonesha kuwa nilikereka.

Tuliendelea kunywa na kula huku vikiagizwa vitu mbalimbali kama vile supu ya pweza na kadhalika.Baadaye nilienda mawaliotoni kujisaidia huku nilijiuliza maswali mengi nilikuwa nakosa majibu na niliporudi mezami nilimkuta amebaki Mwalimu John peke yake.Na nilipo kaa nikamuuliza mwalimu mbona umebaki mwenyewe.

Alinijibu huku akitabasamu “usihofu madam amemsindikiza mume wake na atarudi. Mda haukupiata na mimi simu yangu iliingia meseji kutoka kwa madam ambayo ilisema “Nimemsindikiza mume wangu, nakuomba usiwe na hofu John mimi namwamini sana, nitarudi baada ya dakika 30” Sikujibu ile meseji kwani niliona alikuwa akinichanganya tu maana mda ulikuwa umeenda sana na saa yangu ya mkononi ilionesha ilikuwa ni saa 5 na dakiaka 43 usiku. Hivyo ilimaanisha atarudi saa sita na ushee ukizingatia na nusu saa za kitanzania nilizidi kuchanganyikiwa kabisa.

Tuliendela kupiga stori na Mwalimu John huku safari hii akiama na kunisogelea zaidi wenyewe wanasemaga zero distance. Nilitumia nafasi hiyo kumuuliza kama yeye na madam Kunambi ni ndugu. Naye alinieleza kuwa alikuwa ni mtoto wa mjomba ake yaani binamu japo walikuwa hawataki wafanyakazi wenzao au wanafunzi pale shuleni wafahamu. Tuliongea mengi lakini yeye alijaribu kuelezea hisia zake kwamba ananipenda sana. Siku hiyo sikuwa mkali kutokana na mzingira yenyewe na kuna baazi ya vitu nilikuwa namsapoti.

Nilimweleza ukweli kuwa mimi ni bikira na sijawahi kulala na mwanaume yeyote yule hivyo kama ananipenda kwa dhati basi avumilie nimalize shule. Alikuwa ni mjanja sana huyu mwalimu kwani alikuwa akijibu sera zangu kwa hoja. Nakumbuka alinambia kuwa bikira si kitu cha maana sana kwa mwanamke eti kwa sababu ule ni utando mdogo ambao upo pembezoni mwa kuta za ikulu ya mwanamke.

Hata ukiitunza vipi hauwezi kukaa nayo maisha yako yote. Akaendela kusema kuwa ndo maana wanawake wengine hawajawahi kujamiana lakin si bikira.

Akaongeza kuwa utando huo unaweza kutoka kwa kuendesha baiskeli kufanya mazoezi na kadhalika.

Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
67 My Diary Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni