Notifications
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…

MY DIARY (9)

Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA TISA
TULIPOISHIA...
Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Aliniwekea vichekesho vifupi vifupi ili mradi nikenue meno ili ayaone, siunajua tena nilikuwa na meno mazuri meupe pee yanayong’aa vizuri na kwenye moja ya meno yangu ya mbele nilikuwa nimebandika dhahabu. Ndio usishangae si baba yangu alikuwa nimfanyabiashara wa madini. Pamoja na shida za hela pia bado sikuwa tayari kuliuza kwa sababu ndio kumbukumbu yangu kwake.

Nakumbuka meno hayo ya dhahabu aliniletea kipindi nipo form two baada ya kufaulu mtihani wangu vizuri alinipa kama zawadi. Meno haya huwa nayavaa kwenye matukio maalum, maana wakati mwingine unawez aonekana mtoto wa kishua wakati hela ya kodi inanishinda hapa mjini. Haya meno marehemu baba yangu aliyapenda sana na siku aliyoyaleta aliniletea mimi na mama yangu hivyo pia huwa ni kumbukmbu kwa mama yangu.

Mwalimu John baada ya kunionesha vitu vilivyonipa raha akaweka mkanda wa xxxx, yaani nia yake ni moja mzuka upande tuanze kuchakachuana. Nikaona isiwe tabu nikachukua ile lap top na kuizima. Nikamwambia sasa ni wakati wa stori na kupanga mikakati yetu ya kimaisha. Basi nilieleza mikakati yangu kiufupi na kumwachia yeye nafasi. John alianza kueleza mikakati yake ya kimaisha huku akinitaka tuhamie Dar es Salaa na kwenda kuishi naye.Sikutaka kumkatiza nilimwacha amalize stori zake ili nianze kumjibu kwa hoja.

Wanasemaga raha ya mapenzi ni kusikilizana na hata kama mtu alikuwa akingea pumba usimkatishe msikilize na baadaye mwambie babee hicho ndio na hicho hapana. Basi akanipa mda na mimi nilijigeuza na kumlalia kifuani na kuanza kumwelezea shida zangu za maisha. Niliona huo ulikuwa ni mda mwafaka kwani kesho yake asubuhi alikuwa akondoka na kuridi zake Dar.

Nilimwambia kuwa madhumuni yangu ni kuishi Moshi kwa sababu marehemu baba yangu alinambia kuna mahali alificha madini hivyo nilikuwa nikiitafuta hiyo sehemu na kama ningeipata ningekuwa tajiri mkubwa sana Tanzania.Nilimweleza kuwa kwa sasa nikiishi maisha magumu sana..Alinisikiliza mapaka mwisho na yeye alionesha kuumia sana.

Akaendelea kung’ang’ania tuende Dar tukaishi wote.Nilimwambia kwa sasa siwezi ondoka Moshi mpaka matokeo yatoke na hata yakitoka bado nampango kusoma Moshi kwa sababu ya hayo madini.Kitendo chochote cha kuhama Moshi ni ishara kuwa nimekubali kuishi maisha ya kifukara. Akaniuliza “mbona siku ile tulivyowasiliana ulinambia unaenda Dubai kumtafuta mama yako.”? Nilimwambia huko nitaenda ila sio leo wala kesho na nilikwambia vile kwa sababu nilikuwa nimekumiss sana.

Basi Mwalimu John alinambia atanitumia hela lakini nimpe kama wiki mbili maana mshaara wake unakatwa kwenye mkopo.Kauli ambayo iliniuma sana.

Nikamwambi sasa mimi nifanyaje wakati sina ndugu wala rafiki na nikifukuzwa pale nitaenda kuishi wapi. Lakini mwalimu alisistitiza kuwa atanipa hela kidogo ya kula na akifika Dar atafanya juu chini anitumie hiyo kodi.

Basi tuliishia hapo tukatoka nje tukala na baadaye tulirudi kulala.Usiku huo John hakufanya makosa maana aliamini anaweza asinipate tena hewani maana ndio ilikuwa ni tabia yangu. Basi staili zote za mapenzi tulifanya usiku huo huku nikijiaminisha kwa vile vidonge nilivyovimeza vya kuzuia mimba.Asubuhi ilivyofika nilimsindikiza Ticha stendi na tukaagana yeye akapanda gari kuelekea Dar es Salaam na mimi kurudi gheto kwangu.
***********

Wiki moja iliisha na nilikuwa sijapata hela ya kodi, mitego yangu yote ilikwama nikawa sijui nifanye nini. Mwalimu John aliendelea kunipiga kiswahili kuwa nimpe wiki moja zaidi. Nilimpigia simu mwenye nyumba na kumwomba anipe wiki moja zaidi jambo ambalo alikataa katu katu na kuniambia kuwa takuwa hapo baada ya siku tatu na hivyo atakuja kufunga chumba chake hivyo nijiandae kwa hilo.

Nilichanganyikiwa kwa kweli ikabidi nimpigie yule mtoto wa mwenye nyumba na kumwambia nashida kidogo ya hela.Naye alinambia yupo porini hivyo nichukue mahali na akija ataniwezesha.Kwa kweli nilichanganyikiwa kutokana na histori ya mwenye nyumba. Basi baada ya kukwama kabisa nilimpigia rafiki yangu Joyce huyu namwachaga awe wa mwisho maana siku zote ushauri wake uwa ni mzuri lakini wenye madhara.

Ndio kawaida yake kwani na yeye alishajichokea na haya maisha na alishaanza kujiuza japo sio kwa kujianika bali kwa kutembea na vigogo na mapedeshee hapo mjini. Mwanzoni alinishauri niamie Arusha lakini kwa kweli sikuwa tayari kuishi maisha anayoisha. Maana yeye ni starehe na starehe ni yeye. Joyce alinambia tatizo sio hela anaweza kunipa hiyo kodi ila haitosaidia chochote kwani baada ya miezi mitatu nitamwomba tena. Hivyo alinishauri anaitafute kitu cha kufanya ambacho kitaniingizia kipato. Alinambia kwa mafumbo sitaki kukupa samaki bali kukufundisha kuvua samaki.

Kauli hiyo huwa hainiingii kichwani kwani siku zote huwa najua matokeo yakitoka naenda chuoni.Basi Joyce alinambia ili nifanikwe na kuishi kwa urahisi ni kudili na mwenye nyumba na kama nikifanikiwa kumweka kiganjani basi nitaishi kwa raha mjni na yeye atakuwa ananipa hela ya kula. Na kuthibitisha ilo alipokata simu alinitumia elfu 30 ya kula. Wakati bado natafakari mara ikaingia meseji kutoka kwa baba mwenye nyumba iliyosema tatizo nyie watoto wa siku hizi hamsaidiki. Sikuielewa ile meseji nikamjibu “baba, sijakuelewa una maanisha nini”? Akanambia kama unataka nikusaidie panda gari uje KCMC sehemu moja inaitwa mapipa bar.

Nilijifikiria mara mbili nikaona isiwe tabu hawezi nizidi ujanja mzee kama huyu. Nikatafuta nguo ya kuvaa na nilipoipata nilitupia. Nilivaa nguo ambayo ilionesha vizuri uzuri wangu. Ni hivi vigauni vya vitenge lakini kilikuwa kinanibana hivyo huwa kinawapa shida wanaume wenye tamaa. Kama kawaida yangu huwa sipendi kabisa kupanda hice hivyo nilichukua bodaboda mpaka sehemu hiyo niliyoagiziwa.

Nilivyoshuka nilimlipa bodaboda na kumpigia mzee huyo. Nilijua kabisa kitakachoendelea huko ndani ni kutongozana na hii ni kutokana na historia ya ukicheche aliyokuwa nayo mzee huyo. Aliagiza muhudumu aje anichukue na tulikaa sehemu ambayo ilikuwa imejificha sana. Alinikaribisha huku akionekana mwenye furaha sana na kabla ya yote au kuniambia alinitia nini alinambia nile na kunywa kitu ninachotaka.

Kama kawaida yangu huwa sijivungi na ukijipendekeza nakufyeka. Niliagiza chipsi kuku na savana baridi kinywaji ambacho wanaume wengu huwa hawependi kutokana na bei yake. Mzee wa watu mda wote wakati nikila macho yake yalikuwa yakinichunguza vizuri kifuani mwangu ambako hata nilikuwa sijavaa sidiria hivyo yalikuwa yakionekana siunakumbuka nilikwambia kuwa matiti yangu hayakuwa makubwa hivyo sikuona haja ya kuyabanabana.

Nilipomaliza kula mzee alianza kujieleza huku akijifanyisha kama amelewa vile na wakati ile ndo ilikuwa ni bia yake ya pili.

Mzee alinieleza kuwa yupo tayari kunisaidia hata kama nikukaa kwake mwaka mzima bila kulipa kodi. Ila tu kama na mimi nitakuwa tayari kumsiadia. Aliongea mengi na kusema kuwa siunajua mjini kusaidiana. Nilikuwa nikimsikiliza na kumwangalia vizuri kitu ambacho kilimwogopesha akawa anazunguka mbuyu na kushindwa kueleza kinagaubaga nini alikuwa akitaka kutoka kwangu.

Mtu mwenyewe alikuwa amezeeka ambapo na amini kwa mziki wangu hata raundi moja asingeweza zaidi ya kunichafua tu na kuzinyanyasa hisia zangu maana asingeweza kunitimizia kwa upande wa kitandani. Basi nikaamua kumuuliza na kumwambia ujue mimi sikuelewi ebu nambie unataka msaada gani kutoka kwangu? Akajikaza na kwa ufupi akanambia penzi.

Nilimwangalia kwa dharau sana na kumwambia hivi wewe baba si una mke na watoto wakubwa zaidi yangu, hii umwogopi hata Mungu? Akanambia hayo yote anayajua lakini mke wake yupo nje ya nchi na hayo mengine hayana maana kwa sasa. Nikamuuliza kwa hiyo unataka tufanye mapenzi tu au niwe mkeo?

Akanambia hapo uamuzi ni wako ila naamini wewe una mtu wako na spendi muachane kwa ajili yangu.. Nikamwambia kwa hiyo nia yako ni kunichezea tu au?

Hadi kufikia hapo mzee wa watu alikuwa ameishiwa ujanja, mbinu na maneno. Akanyamaza kwa mda na kuniambia sikia mtoto mzuri nia ni kusaidiana mimi nataka nionje uatamu wako na wewe unufaike kwa kutokulipa kodi na kwa kweli ntakunulia hata gari kama utanipa raha duniani. Ila kama unaona haitowezekana ni sawa ntaheshimu uamuzi wako ila tambua kesho ndo mwisho na ntakuja na kufuli kufunga chumba changu.

Nikamwambia sawa nimekuelewa kuwa unataka kutumia shida zangu kunipata. kisha nikanyanyuka na kuanza kuondoka huku nikitingisha makalio yangu kwa makusudi tu. Alinifuata na kunishika mkono lakini nilimtoa kwa nguvu na kumwambia aniache kwani siwezi kutembea na baba yangu. Nilitoka zangu nje huku nikiwa na hasira nikpanda bodaboda na kurudi zangu gheto.

Nilichukia sana siku hiyo na machozi yalikuwa yakinitoka, yaani mzee kama yule ananitaka au ndo alikuwa akiusambaza ukimwi nilifikiria. Niliingia chumbani kwangu nikajibwaga na kulala. Nililia sana na kumkumbuka marehemu baba yangu, nilimtupia lawama pia mama yangu kwa nini aliondoka na kuniacha

Tanzania. Nilipitiwa na usingizi na nilipoamka niliamua kumpigia Mwalimu John na kumwambia nusu ya hela niliyomwomba ili niongezee na ile aliyonitumia Joyce na hizi zangu nimpe yule mzee hela yake na kodi hiyo ikiisha tu nihame.

Lakini cha ajabu mwalimu John hakupatikana na nilizidi kuchanganyikiwa nikampigia Joyce na kumweleza tukio lillotokea. Joyce badala ya kuuzunika yeye alicheka sana na kuniambia huyo sasa ndo mzuri wewe mpigie mwambie umekubali lakini upo kwenye siku zako. Kwa hiyo utampa tunda wiki ijayo alafu tuendelee kumtafutia hiyo hela wiki moja ni kubwa sana lolote linaweza kutokea.

Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
67 My Diary Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni