MY DIARY (4)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mtunzi: __
SEHEMU YA NNE
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.
TUENDELEE...
Niliendela kusisimka na mapigo ya moyo yaliongezeka sana na nilitamani madam arudi upesi aniokoe kwenye mtego huo wa simba mwenye uchu na nyama ya twiga aliyembele yake.Niliitoa mikono yake taratibu na kumshikisha glass yake ya pombe nikiwa na maana aendelee kunywa. Alipiga pafu mbili kisha akachukua ile chupa ya wine akaninmiminia kwenye glass yangu kisha akaninywesha.
Nilikunywa kwa nguvu na nilipomaliza nilihisi kama kuna kitu alikuwa amenichanganyia kwani ile iliyobaki kwenye glass ilikuwa ikitoa povu na yeye alikuwa kama amepigwa na butwaa na kusibitisha hilo aliimwaga chini ile uliyobaki kwenye glass na kunimiminia ingine ambayo haikutoa povu.
Alafu akajibaraguza kwa kusema inaelekea hii wine ya kwenye glass ilipigwa na upepo sna. Niliona kabisa kuwa kauli yake haikuwa na mantiki lakini niliamua kupotezea na kuendela na stori zingine. Kadri dakika zilivyokuwa zinaenda ndivyo hivyo nilivyozidi kuzidiwa. Nililewa sana na kichwa kilianza kuniuama. Nikaanza kulalamika mbona madam harudi?Mwalimu huyo aliendelea kunidanganya huku mimi nikiendelea kuzidiwa huku nikimlazimisha anipeleke kulala.
Sikujua tuliondoka saa ngapi wala kwa kutumia usafiri gani. Nilikuja kushituka saa kumi usiku na kujikuta nipo kama nilivyozaliwa tena kitandani na mwalimu John. Roho iliniuma sana na nilipoangalia pemeni niliona paketi za kondom zilizotumika na zisizotumika. Kidogo nilifarijika nikajisemea kama alitumia kinga sio mbaya sana maana nilikuwa katika siku za hatari ya kupata mimba.
Ilinibidi nimwamshe na alipoamka alijifanya kuniomba msamaha tena kwa kunipigia magoti. Nakumbuka alinambia nimsameha sana na alifanya vile kwa sababu alikuwa akinipenda sana na pili eti jana tuliponzwa na pombe na alinieleza kuwa mimi nilkuwa nimezidiwa sana na alipompigia madam eti alimwambia kuwa ameamua kwenda kufurahia usiku na mpenzi wake hivyo basi ameeacha fungo pale mezani nikupeleke chumbani kwake alafu yeye atarudi asubuhi.
Nilichukia sana na nilkua nalia na nilimtupia swali “kama ndo hivyo kwa nini ukanileta huku chmbani kwako wewe unafikiri wanfunzi wenzangu wakijua nitaiweka wapi sura yangu.Alianza kunibembeleza na kuniambia ikifika saa 11 ataniamishia kwenye chumba cha madam alkini nitunze siri.
Nakumbuka alinionya sana na akanambia kama ningeripoti tukio hilo lingekula kote kote akiwa na maana kuwa yeye atapoteza kazi na mimi nitaachishwa shule.
Kwa akili zangu za kitoto nilimwelewa hivyo basi akaanza tena mchezo wake wa kunishikashika sehemu zenye hashki na nilipozidiwa nikajikuta nampanulia miguu mwenyewe na kwa mara ya kwanza. nilisikia raha ya mapenzi.
Nilihisi nipo dunia ingine na kwa kweli nilikuwa natoa miguno ya ajabu. Nikakumbuka ile kauli kuwa sio kila msichana ambaye hajawai kufanya mapenzi ni bikira. Maana mmmmh kulikuwa hakuana hata chembe ya damu.Aaaah kwa kweli nilienjey sana maana zile za usiku mimi nilikuwa sijielewi ila raundi hii nilikuwa mzima kabisa na pombe zilikuwa zimekata.
Basi baada ya raundi hiyo ya asubuhi nilijifanya nilijifanya kukasirika na kumtupia lawama kuwa ameniumiza. Mwalimu alicheka na kuniambia usijali kwa maana mara ya kwanza huwa inauma lakini asante kwani ulitoa ushirikiano mzuri. Sikuwa na la kusema zaidi ya kuingia bafuni nikaoga zangu huku nikiwa bado aibu zinanitawala ikanibidi nirudie nguo zile zile kitu ambacho sikuwahi maishani mwangu.
Ndio ilikuwa ni kitu cha ajabu kuweza kurudia nguo kwani enzi zangu kipindi naitwa Leah nilikuwa nabadilisha nguo za ndani kwa siku mara tatu. Saa kumi na moja ilikuwa tayari imefika hivyo mwalimu John alinitoa kwenye chumba hicho na kunipeleka na kunipeleka kwenye chumba cha madam. Nilifungua nikaingia nikajitupa kitandani na kujifunika shuka ili eti madam akija ajue kuwa nililala humo.
Kumbe mwenzangu ndo alichora ramani hiyo kwa John. Basi ilivyofika saa kumi na mbili madam alikuja na kwa mbwembwe alinambia “samahani sana best kwa kukuacha ulale mwenyewe” Na mimi nilimjibu usijali madam. Akaingia bafuni akaoga na alivyotoka na mimi nilijibaraguza kwa kuingia tena bafuni na kuoga na nilivyotoka nilibadilisha nguo na kuvaa jezi za shule tayari kwa safari ya kurudi shuleni kwetu
Hizo ndo kumbukumbu za mwanaume wa kwanza maishani mwangu.Nilimkumbuka sana mwalimu John kwa sababu hapa moshi nilikuwa naishi sana maisha ya upweke ambao huu ni ugonjwa unaoripotiwa kuua watu wengi sana nchi za ulaya. Upweke huu ulisababishwa na vitu vingi ikiwa ni pamoja na hali ngumu ya maisha na pia na kutokana na tabia yangu ya kukataa wanaume waliokuwa wakinitaka.
Ilikuwa ni mwisho wa mwezi hivyo nilikuwa nawaza jinsi ya kupata kodi ya miezi sita kwani tayari kodi yangu ilikuwa imeisha na kwenye akaunti yangu kulibakiwa na hela kidogo sana, na naweza kusema ilibakia hela ya kula tu.Hivyo nilinyanyua simu na kuamua kumtafuta mwalimu John. Namba zake nilikuwa nazo ingawa yeye hakuwa na namba zangu kwani mimi nilikuwa nabadilisha badilisha sana namba.
Kwa bahati nzuri nilimpata hewani na nilipomuuliza yupo wapi, aliniambia kwa sasa yupo Dar es Salaam na ameamua kuendelea na masomo na tayarii amejiunga na masters.Nilimweleza kuwa mimi nipo Moshi na nilikuwa nimemiss sana.Kwa kweli mwalimu John alichanganyikiwa kusikia kuwa nimemmiss sana. Siunajua tena kila ndege utua mti aupendao na kwangu ndo ulikuwa ni mti wake. Alikuwa hana jinsi ilimbidi apange safari ya kuja moshi mwezi ujao.
Na kwa kuwa mimi nilikuwa na shida niliona kuwa mwezi ujao itakuwa mbali sana, hivyo nilimdanganya kuwa nilikuwa na safari ya kwenda Dubai kumtafuta mama yangu. Kwa hiyo nilimwomba aje wikiendi kwa maana siku hiyo ndo kwanza ilikuwa ni jumatatu.Nilipokata simu tu nilisikia mlango ukigongwa, ikabidi niamke na kwenda kuufungua.Nilishituka sana kuona alikuwa ni yule dada ambaye huwa anakusanya kodi na kupeleka benki.
Ngoja nikueleze kitu hapo nilipokuwa nimepanga kulikuwa na wanafunzi wa chuo, hivyo basi majukumu yote ya nyumba alikabiziwa dada mmoja kama mwakilishi wa mwenye nyumba.Nilikuwa sina jibu la kumpa kwa sababu nilikuwa sina hela ndani na kwa mawazo ya harakaharaka nilimwambia yule dada naomba namba za mwenye nyumba niongee nae kwani mambo yangu yalikuwa yamekwama.
Kwa dharau alinambia “yaani wewe una matatizo kweli hata namba za mwenye nyumba ulikuwa huna” Nilijifanya mjinga ili anipe namba sikumjibu jeuri na aliponipa nilimwambia anipe dakika kumi nitampa jibu.Niliingia chumbani na kumpigia baba mwenye nyumba ambaye alisifika kwa kupenda mabinti wadogo. Kwa kuwa nilishajua udhaifu wake niliamua kuutumia vizuri.Nilimlegezea sauti mpaka akingia laini lakini alinambia ananipa wiki moja la sivyo nitafute sehemu ya kukaa bure kauli ambyo iliniuma sana.
Alikuwa na haki ya kuwa mkali kwani alishanitongoza mara mbili nikamkatalia. Nilifungua mlango na kwenda kumgongea yule dada mkusanya kodi na kabla hajafungua nikasikia mtu akigonga getini. Nilijifikiria mara mbili kwenda kufungua kwani nilikuwa nimevaa kanga moja, ukilinganisha na jinsi umbo langu lilivyo nidhairi kabisa kuwa kama ni mwanaume alikuwa akigonga ni lazima ningemtia majaribuni.
Nikasema potelea mbali njoja niende kumfungulia. Mungu wangu alakuwa ni mtoto wa kiumewa baba mwenye nyumba ambaye na yeye alikuwa na gheto lake hapo japo alikuwa akionekana mara chache sana. Aliponiona tu kwa mshtuko aliangusha simu zake mbili alizokuwa ameshika mkononi.Betri kule, mfuniko kule na yeye akabaki ananikodolea mimacho.
Nilishagundua kuwa nilifanya makosa makubwa kutoka na kanga moja tene zile za mtepweto. Na kwa kuwa alikuwa ameganda kama mtu aliyepigwa nashoti ya umeme niliinama chini na kuanza kuokota zile simu na betri ilikuwa imeenda mbali kidogo hivyo ikanilazimu kupiga hatua na kumwachia mgongo na makalio na hapao niliamua kufanya makusudi tu siunajua tena sisi wasichana wakati mwingine tunajisikiaga raha kuona mtu anapagawa.
Nilisimama nikampa simu zake na kumwambia samahani.Akavipokea nakuniambia usijali na yeye kuingia ndani na mimi nikaenda kwa yule dada na kumwambia kuwa nimeongea na baba mwenye nyumba amenielewa hivyo yeye apeleke benki za wengine mimi nitamalizana nae mwenyewe. Aliguna kutokana na kauli zangu kwa maana alimjua baba mwenye nyumba jinsi alivyokuwa mkorofi sana na hata siku moja kodi yake haikupitishwa.
Alishangaaa ikabidi ampigie simu. Baba mwenye nyumba alimwambia kwa kifupi ni sawa binyi huyo ana matatizo. Dada huyo alikata simu na kuniambia sawa unaweza kwenda. Nilipokuwa naondoka alinambia ebu njoo mara moja na kuniuliza vipi huyu mzee mpoje maana siamini? Mimi nikamjibu kwa kifupi kawaida tu usiwe na wasiawasi.
Basi akanambia take care mdogo wangu huyo mzee anapenda sana mabinti wadogo kama nyie.Sikumjibu kitu nilirudi chumbani kwangu na kuendelea kulala japo ilikuwa ni saa nne asubuhi. Ndio ilikuwa ni kawaida yangu kulala mpaka saa sita kwani nilkuwa sina cha kufanya na wala nilikuwa sina pa kwenda na ukizingatia nilikuwa sina hela mimi ilikuwa ni wa kushinda ndani tu.
Niliwasjha lap top yangu niliyonunuliwa na marehemu baba yangu tangia nikiwa mdogo.
Japo nilishauza vitu vyangu vya thamani lakini lap top nilishindwa kuiuza kwa sababu ndo kitu pekee kilichokuwa kinanipa kamapani na kunifariji. Ilikuwa ni kawaida yangu kuangalia movie nikichoka naingi akwenye mitandao ya kijamii nachati na kusoma makala za waandishi mbali mbali hasa zile za mwandishi anayejiita Eliado na nilipenda sana hadithi zake kwani zilikuwa zikinigusa na mapak nikaamua kumtafuta ili aweze kunitungia hadithi hii ya kweli ya maisha yangu.
Ilivyofika saa saba mchana njaa iliniuma nikasema ngoja nitoke nje nikachukue mayai nije nikaange nile.Safari hii sikutoka na kanga moja niliamua kujisitiri kwa kuvaa kipedo na top. Nikatoka nje ya geti na kwenda dukani, kabla sijafika nikakutana na yule kaka mtot wa mwenye nyumba. Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni