Notifications
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…

RANIA (33)

JINA: RANIA
SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Mfalme alifungua barua ile ba kuisoma yoote....alionekana kukubaliana na yaliyoandikwa pale ingawa sina hakika sana😊.

Wale wapambe walipotoka tu tayari Rania na Namadi walikua wameshafika....

SASA ENDELEA..
Barua ile ilikua imeandikwa na suya kumwomba Mfalme ashirikiane nae kwenye kuupindua ufalme wa Tharia kwa sababu Tharia wana huo mpango wa kuipindua Lazi.. Kwahyo Mfalme anatakiwa awawahi ili wasije wakampindua.

Mfalme aliona hilo jambo ni jema kabisa lakini hakutaka kukurupuka kukubali ombi hilo... Alipanga kufanya uchunguzi kama aliyoyasema Mars ni kweli.

Namadi na Dom tayari walikua wameshafika Lazi tena maeneo ya karibia ikulu..

Kwakua Namadi alikwenda kusimama pale lango kuu la kasri na kuomba aonane na mlinzi wa Mfalme.

Kwakua alikua alishawahi kuja mara ya kwanza pale hakua mgeni sana machoni kwao.

Muda mfupi baadae alikuja mlinzi mkuu wa mfalme na kumkuta Namadi pale.

Akimchukua na kwenda nae pembeni.

Namadi kuna shida yoyote?.. Aliuliza mlinzi.

Ndio..nahitaji kuonana na mfalme ana kwa ana..alisema Namadi.

Sawa ngoja nikamtaarifu..akisikia ni wewe lazima aje..alisema mlinzi.

Pia kuna mtu hapa nataka akutane na mfalme ingawa sipendi aonekane na watu maana itakua hatari kwake...alisema Namadi.

Nani huyo?.. Aliuliza mlinzi kwa wasiwasi.

Ni Rania... Alisema Namadi.

Anhaa..haya...alisema mlinzi kisha akaondoka na kwenda kumtaarifu Mfalme.

Mfalme alikubali na baada ya muda Namadi na Rania walipelekwa kwa Mfalme.

Mwanangu.. Shida ni nini?..aliulza Mfalme akimwangalia Rania.

Mfalme bila shaka mwanao ameshafika mahali hapa.. Alisema Mfalme.

Ndio... Kwani kuna nini?.. Aliuliza Mfalme.

BintiMfalme anatumiwa na baadhi ya watu wabaya ili watimize haja zao..alisema Rania.

Una maana gani?.. Aliuliza Mfalme.

Sijui amekwambia nini alipokuja..ila ni kwamba mwanao anatumiwa na watu ili waweze kuupora ufalme huu.

Rania alimweleza yaliyotokea siku chache zilizopita kati ya Mars na Suya na ndio sababu amekuja huku.

Rania kwahiyo unataka kunihakikishia kua sio kweli kwamba mwanangu amenusurika kifo kisa kajua siri za nchi?.. Aliuliza Mfalme.

Kumbe ndio maneno amekuja nayo. Kwamba amenusurika kama kifo na ndio maana katoroka...hapo hakuna ukweli wowote chunguza sana Mfalme.. Alisema Rania

Mfalme alijitahidi kufikiria sana akaanza kupata picha halisi.. Aliunganisha matukio na kitendo cha wale watu kuleta baarua baada tu ya Mars kuja..halafu ilikuaje aipokee Mars..atakua anajuana nao.

Mfalme alijikuta njia panda..

Hivi kweli Mars binti yangu ni wa kunifanyia hivi?... Alijiuliza mfalme na akajikuta haamini..alihisi labda kina Rania wanadanganya ila hali halisi ilijionesha kabisa kua Mars anakitu anaficha.

haya nimekusikia Rania..ila naomba uniachie hili swala nifanye uchunguzi mwenyewe nijiridhishe...alisema Mfalme.

Ndio Mfalme.. Nina hakika utapata majibu sahihi.. Alisema Rania kisha akaondoka yeye na Namadi.

Waliondoka na bila kupoteza muda walianza kurudi Tharia.

Huku wale wapambe wawili walikua wameshafika mbali.. Tayari walikua wameshakutana na wale waliokua wanafuatilia msafara wa Mars kwa nyuma.

Mpambe mmoja alisema: nimemwona mtu kama yule Rania tuliemkamata siku ile.

Mmh..umemwona wapo?.. Waliuliza wapambe wengine.

Nimemwona Lazi karibu na ikulu... Alisema mpambe yule.

Walishangaa sana..walijiuliza ni jinsi gani amefika Lazi bila wao kumwona.

Hapa tumsuburi arudi...hapo tutamkamata na kumpeleka kwa malikia.. Alisema mpambe mwingine.

Walitawanyika na kujificha kila kona ya msitu ili kumkamata Rania.

Baada ya masaa mengi kupita hatimae Rania na Namadi walifika.

Kwa mbali wale wapambe waliwaona.

Walishtuana na kuanza kuwavizia.

Namadi na Rania wakiwa wanaendelea na safari mara walishituka kuona wamezungukwa..

Watu waliokua wamewazunguka walikua wengi kiasi.

Namadi hakutaka kupoteza muda.. Alianza kupambana nao huku akimlinda Rania asiumie.

Akiwa anapambana..mkuu wa wale wapambe alikua amesimama pembeni... Alipoona Namadi anasumbua sana alichukua upinde na mshale na kumpiga Namadi mshale ule maeneo ya ubavuni.

Rania alishtuka sana...aliogopa pia.

Namadi... Namadi... Alilia Rania akiwa pembeni ta Namadi aliekua ameanguka muda huo

Mnafanya nini?...wakamateni hao na tunawapeleka kwa malikia.. Alisema mpambe mkuu.

Walifanya kama walivyoambiwa...walimchukua Namadi aliekua hoi ni Rania kisha wakaanza safari.

Wakiwa wanaendelea na safari mara walishangaa kuona mishale ikiwamiminikia.

Wakiwa bado wanashangaa mara walivamiwa na kundi la watu waliokua wamevalia vinyago.

Walikua wanajeshi wa siri wa mfalme wakiongozwa na Dom.

Wapambe wa Suya walijitahidi kupambana ila hata hivyo walizidiwa kete na wakapigwa vibaya sana.

Rania na Namadi walochukuliwa na Dom na watu wake kuelekea Tharia.

Baada ya masaa mengi kupita walikua wameshafika Tharia.. Moja kwa moja walielekea kwenye makazi ya siri ya mwanamfalme Fasha.

Mwanamfalme akiwa pale alimwona Dom na watu wake wakija..haraka alienda kuwapokea.

Namadi ameumia sana...alisema Rania.

Mama yupo atamtibu...alisema Dom.

Kwa sasa ametoka kidogo.. Anamaongezi na mfalme kwa muda huu..ila kuna daktari hapa haina shida.. Alisema Fasha.

Walimpeleka Namadi akaanzishiwa matibabu...

Rania alikaa pale karibu na Namadi akiwa anatibiwa.

Akiwa pale mawazo yake yalienda mbali sana...alikua amemkumbuka sana baba yana bibi yake kaasha..hadi sasa hakua akijua walipo na wanaendeleaje...alijihisi mkosaji sana...machozi yalimtoka.

Vile vile alikua amemkumbuka sana Hanna..ni muda mrefu sasa tangu hawajaonana.

Suya alikua akiongea na wapambe wake aliowatuma kupeleka barua lazi kwa Mfalme.

Anaonekana kufurahishwa na ujumbe?..aliuliza suya.

Ndio kabisa tutegemee taarifa mzuri.. Alisema mpambe.

Suya alifurahi sana kusikia vile.

Vizuri sana..mnaweza kwenda..alisema suya.

Wale wapambe hawakumwambia suya iua walimwona Rania Muda ule.. Walingoja majibu kutoka kwa wale waliwaacha nyuma kama Rania ameakamatwa au la..

Wale wapambe waliondoka akabaki suya na Mganga.

Dasu..hakikisha wakati tunatafuta mbinu za kuuteka ufalme na wewe utafute mbinu za kuangamiza NADISH... Alisema suya.

Ndio malikia... Nitajitahidi kumkamata.. Alisema mganga.

Ulimkariri sura lakini?.. Aliuliza suya.

Bila shaka...alisema Mganga.

Sawa.. Kwa sasa ni rahisi kumkamata maana tunajua anaishi wapi na sura yake tunaijua..alisema Suya.

Mfalme wa Lazi alikua katika uchunguzi wake kuhusu alichokisema binti yake.

Alifanya uchunguzi kwa muda kama wa siku saba ila hakupata kitu.. Aliamua kufanya uchunguzi huo kupitia mwanae.

Alipanga kumtegeshea ajilete kumshawishi mfalme kushirikiana na suya kama barua itakavyo...kama ikitokea akaja basi alichokisema Rania ni sahihi na atakua anajua kilichoandikwa kwenye ile barua.. Ila asipokuja basi ataendelea na uchunguzi wake.

Mfalme aliamua kukaa kimya.. Suya na watu wake walikua wakisubiri majibu mazuri kutoka kwa Mfalme kwa hamu kubwa.

Mars aliona baba yake hasemi kitu akaamua kumfuata ili ajue angalau nini anachowaza baba yake..

USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA NNE

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
3 Rania Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni