AISEE KUMBE RAHA (8)
Zephiline F Ezekiel
8 min read
SEHEMU YA NANE
Baada ya catherini kusema vile mmoja kati ya wale majamaa akanisogelea karibu na kuzamaa mfukoni nakutaka kuchukua simu nilipojaribu kuzuia wasiitoe simu yangu teke lingine likatua usoni na kusababisha ukungu mzito utande katika macho yangu………………SASA ENDELEA...
Hakika teke lile likanizimisha kabisa nakuzimia papo hapo.nilikuja kushtuka nikiwa naburuzwa na wale majamaa ambao waligawana kuna wengine walikuwa wamenishika mguu wengine mikono na nilijaribu kuangalia nyuma macho yangu yakamuona catherini ambaye alikuwa naye nyuma akiwa ameshika simu yangu ya samsung galaxy akiwa anaibonyeza bonyeza jambo ambalo liliniuma sana."Jamaani nani huyo mbona mnamburuza hivyo??" Yalisikika maneno kutoka upande ambao nilipojaribu kuangalia nikawaona akina mama ambao walikuwa wanashauku kubwa ya kutaka kujua kwanini walikuwa wananiburuza vile.
"Huyu ni mwizi tumemkamata alikuwa ameiba simu yangu" katika hali nisiyoitegemea nikasikia sauti ya catherini akisema maneno yale ambayo kwa hakika yaliniumiza vilivyo na kunitia hasira ambayo bado nusu nilitaka kuanzisha mtiti lakini nikajikuta nikijikausha vile vile kama nimezimia kwa kuogopa makubwa ambayo yangeweza kunitokea.hakika wala sikutambua walikuwa wananipeleka wapi kwa sababu muda mwingine walikuwa wananiburuza kabisa kwenye ardhi chini na kusababisha niumie kwa kukwaruza na kokoto na hali ambayo iliniuma kabisa ni pale waliponitipitisha katika maji machafu ambayo niliyaoga mwili mzima lakini cha kushangaza hakuna aliyenionea huruma wala kushtuka hakika walikuwa wakiendelea kutembea na kuongea stori zao zingine.
"Wewe kama mwizi huyo mwekeni tumfundishe adabu maana wamezidi hao wanarudisha maendeleo"ilikuwa ni maneno ya mwananchi mmoja ambaye aliuliza nimefanya nini na kujibiwa na catherini na mmoja baadhi ya wale majamaa waliokuwa sita kujibu kama mimi ni mwizi na wanapoenda huko wataenda kunishughulikia.
"Hivi huyu catherini ni binadamu kweli au shetani??" Nikajikuta nikijiuliza swali ambalo nilikosa jibu sikutegemea kwamba catherini angekuwa na roho ya kinyama kiasi kile licha ya mimi kumfanyia ubaya ambao ulikuwa haustahili katika jamii.hakika nilijiona kabisa kuwa nimekwisha na hapo ndipo msemi wa watu wa Mwanaume leo umeingia choo cha kike ndio ukaja katika kichwa changu nilitamani kufungua bakuli langu kwa kulia lakini nilipokumbuka kwamba walikuwa wananitambulisha kila sehemu wanapoulizwa kwamba mimi ni mwizi nikajikuta nikitulia kimya na kufumba macho yangu kwa kuvumilia kuburuzwa kila sehemu ambayo wale majamaa na catherini walipokuwa wakipita.safari ikagota katika moja ya jumba bovu ambao wote kwa pamoja wakaingia mule na kunibwaga kama mzigo vile.
"Yanii huyu wala msimuue washikaji mmnafanyizia huku tukimrekodi"nikajikuta nikishtuka baada ya kusika maneno ya catherini ambaye alionekana kuwa na furaha na kusababisha mwanaume nianze kutetemeka na kuwa makini kwa kuwaangalia kwa kuibia ibia kwa kufumbua macho huku nafumbua huku nikiwa nawaangalia wale majamaa ambao wakaanza kuyachomoa mapanga yao waliyokuwa wameyaweka kiunoni na kusababisha nizide kupata hofu.
"daa mwanangu nina ugumu sana yanii leo nitauchapa mzigo wa huyu jamaa huyu anayejifanya yeye kingunge yani hapa aisee sister tulikuwa tunaugumu hela ya kununua mademu hatuna si unajua"presha ikazidi kupanda baada ya kusikia maneno yale.
"Mmmh yani wananifanya kinyume na maumbile.??" Presha ikazidi kupanda moyo ukazidi kunidunda kama saa ya stopwatch inavyokwenda kasi baada ya kusikia maneno ya mmoja kati ya wale majamaa akimwambia catherini huku wakipigina viganja kwa furaha kubwa huku wakicheka kwa kicheko cha nguvu.
"Oyoo nani anaanza??"
"Naanza mimi mwanangu ngojea nianze kikutifua nyie pigeni bange wanangu"
"Aaahaaa mimi bana nianze"
"Nyie vipi acheni kwanza subiri nianze mimi nina ugumu wa kitambo"mwanaume nikayasikia maneno ya wale majamaa ambao walikuwa wakibishana nani anaanza kuniingilia kimaumbile.
"Poaaa Nguchilo poa anzaa"wale majamaa wakajikuta wakikubali nani aanze kuniingilia mimi kimaumbile ambapo akachanguliwa jamaa mmoja aitwaye nguchilo ambaye alikuwa na mwili hafifu hafifu alionekana hali hiyo ilisababishwa na bange anazovuta.yule jamaa akanyanyuka na kumpa bangi yake mtu mwingine kisha akanyanyuka na kuchukua panga lake taratibu kunisogelea mimi.Mwanaume nikajikausha kimya huku moyo ukiwa unazidi kunidunda huku kwa kujiiba iba nikiwa namuangalia yule jamaa anayefahamika pale kwa jina la nguchilo ambaye alikuwa anatembea taratibu akiwa anafungua zipu ya suruali yake iliyochakaa chakaa.Baada ya kunifika akalichia lile panga karibia kabisa na mkono wangu wa kulia kisha akaniugeuza nyuma ambapo nilikuwa nimelala kifudifudi.yule jamaa taratibu akanivua mkanda na kuanza kushusha suruali yangu taratibu ambapo kafanikiwa kuimaliza kuivua.macho yangu yakamshuhudia catherini akiwa anachekelea na akasogelea karibu kabisa na kuanza kurekodi yule jamaa ambaye baada ya kunivua suruali akaanza kucheka kicheko cha kejeli.
"Unatakiwa kufa kiume wee mwanaume"sauti ya ghafla ikanijia kichwani changu na kujikuta mwanaume haraka nikichukua lile panga pasi na catherini aliyekuwa bize kumrekodi yule jamaa ambaye baada ya kunivua suruali alikuwa akiongea maneno flani ya kijamaica huku akimuangalia kujua.
"Haya inatosha mfanyizie basi" nikamsikia catherini akimuambia yule jamaa ambaye akajibu.
"Hahha haya huyu bwege nilitaka nimpige mabapa azinduke lakini kwanza ngojea nimtifue huku nyuma naona atazinduka tu kwa mziki wangu nitakaomuenyesha."yule jamaa akasema kwa kujiamini kisha akashusha boxer tayari kabisa kuinama chini.Mwanaume haraka nikatumia nguvu kwa kujibiringisha na kusababisha yule jamaa aliyetaka kuniingilia kurudi nyuma baada ya kujibiringisha na kuachia teke lililompata tumboni.nikajikuta nikipata nguvu za ghafla na kunyanyuka kisha nikanyanyua lile panga na haraka huku nikikimbia nikamsogelea catherini ambaye baada ya tukio lile akajikuta akipiga kelele nikamtashia kama nampiga panga na yeye kutokana na uoga akajikuta akiziba uso na mimi haraka nikapata nguvu na kumkwapua ile simu yangu nakufanikiwa kuichukua.Jambo lile lilishangazwa sana na majamaa wengine waliokuwa wakivuta bangi na kusababisha haraka kunyanyuka na kuanza kunikimbiza huku mikono yao ikiwa imeshika mapanga lakini walikuwa wameshachelewa kutokana na mimi kuanza kutimua mbio haraka na kujikuta nikipenya kidirisha ambacho wala sikutegemea kupenya.baada ya kupenya katika kidirisha nikajikuta nikiaanza kukwea ukuta wa lile jumba bovu ambalo kutokana na ukuta wake kuwa mbovu nikajikuta nikidondoka na ukuta ule lakini nguvu zingine za ghafla zikanijia na haraka nikasimama nakuanza kutimua mbio.
"Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kamaaata huyoooooo" nikiwa kabla hata sijafika mbali ghafla sauti ya kuitwa mimi mwizi na nikamatwe nikasikia.hofu ikazidi kutanda na kujikuta nikikaza miguu yangu na spidi ya kukimbiaa.
"Jaamani mwiziiiiiiii,kamaaaaataaaaa mwizi huyoooo,mwiziiiiiiiii huyo,mwiziiiiiiiii"sauti zikazidi kuongezeka wananchi wakaanza kujitokeza kuangalia mwizi ni nani.mwanaume nikiwa nimevaa boxer na shati yangu nikaanza kuongeza spidi ya kukimbia kwa kupiga hatua ndefu.lakini nikiwa bado nakimbia jamaa mmoja akanitokea kwa mbele na haraka akataka kunipiga mtama lakini nikajikuta nikiruka mtama ule nakuongeza spidi ya kukimbiaa.
"Maaaaamaaaaaaaaaaaaa" Ghafla bila ya kutegemea jiwe kubwa la kokoto likatua barabara kwenye kichwa changu na palepale damu zikaanza kuvuja kama maji.Nguvu zikaanza kuniisha na kujikuta nikitaka kudondoka lakini cha kushangaza nilipotaka kuinuka nikajikuta nikidondoka kabisa maumivu ya kupigwa lile jiwe likachukua nafasi yake kabisa.na Nilipojaribu kuinua kichwa changu kuangalia Niliwaona watu kibao wakiwa wengine na mawe,fimbo,mapanga na magongo wakiwa wananifata huku wakiwa wanakimbia karibu kabisa kunifikia.................
Mwanaume nikajikuta nikianza kukataa tamaa hakika lile jiwe la kichwani lilinivunja nguvu na kusababisha nisikie kizunguzungu kikali.mawe mengi yakaanza kumiminika kutoka kwa watu ambao walikuwa wakinikimbilia ili watakaponifikia waanze kunishushia kipigo.
"Simama hapo hapo mbwaa wewe!!"kwa mbali nikasikia sauti ya moja kati ya mamia ya watu waliokuwa wakinikaribia lakini baada ya kuangalia wingi wa watu waliokuwa wamebeba silaha kali za maangamizi nikajikuta nikiingiwa na nguvu ya ajabu ambayo sikujua imetokea wapi.
"Unaweza kimbiaaa unaweza"ghafla nikasikia sauti ikiniambia sauti ambayo sikujua ilikuwa imetokea wapi na sehemu gani lakini sauti hiyo niliisikia kabisa ikipenywa katika tundu za masikio yangu mawili nakujikuta kwa mara nyingi tena nikinyanyuka na kuanza kutimua mbio kali.
"Puuuuuuuuuuuu!!!" Jiwe lingine zito likatua mgongoni mwangu na kusababisha maumivu makali na kujikuta nikibonyea chini lakini ile nabonyea tu jiwe lingine kubwa likapita karibia kabisa kichwani na kama Mungu tu nilipoinama chini jiwe hilo likapita.Nikajikuta nikizidisha mbio kali ambazo hata wale waliokuwa wakinikimbiza nikajikuta nikiwaacha mbali lakini kitu kingine kilichokuwa kinanisaidia pia ni njia za uchorochoro ndio uliofanikisha kuwakimbia wale wananchi waliokuwa na hasira kali wakiambatana na wale majamaa wa mwanzo ambao walikuwa wanataka kunifanyizia.Mwanaume hakika niliabika sana nilikuwa nimevaa shati na boxer tu kutokana na suruali ile kuvuliwa na yule jamaa ambaye alikuwa anataka kuniingilia kinyume cha maumbile mkononi nilikuwa nimeshika simu ya samsung galaxy s3 ambayo licha ya misukosuko yote ile nilikuwa nimeshika mkononi na hata nilipoiangalia ilikuwa nzima.Hakika nilionekana chizi kwa kila mtu niliyekuwa napishana naye hii ilitokana na shati yangu ambayo ilikuwa na matope ambayo yalisababisha na wale majaamaa waliokuwa wakiniburuza kama mzigo chini nilikuwa pekupeku kabisa kila mtu alikuwa akiniangalia na kuninyooshea kidole.
"Jamaani khaaa dunia hii ona washamroga mtoto wawatu yule basi ukute yule alikuwa anataka kutoka wadau wamemroga" niliyasikia maneno ya mzee mmoja ambaye nilipompitia karibu yake aliyasema maneno yale ambayo yaliniumiza kwa sababu sikuwa chizi wala kurogwa na mtu yoyote bali ni majanga ambayo hata siku moja sikuwai kuyategemea.Safari yangu ya kutembea ikagota katika stendi ya magari ambayo kwa hakika nilitembea umbali mrefu sana kufikia hapo na hakika niliwapoteza na hata pale sikutegemea kwamba wangenipata sehemu ile.cha kusangaza sasa kila gari niliyotaka kupanda hakuna konda aliyeniruhusu kuingia kutokana nilivyokuwa nanuka na uchafu niliokuwa nao kwa kuwa nilikuwa nayajua maeneo hayo mdogo mdogo nikaanza kutembea kuelekea kwa moja katika rafiki yangu ambaye nilikuwa nasoma naye chuo ambaye pia alikuwa akikaa maeneo kama hayo.mwanaume nikatembea kwa umbali mrefu kidogo nikajikuta nikifikia maeneo kwa rafiki yangu ambaye nilipoangalia maeneo yale nikamuona rafiki yangu akiwa kwenye salooni ya maeneo yale akiwa na marafiki zake wakiongea nakucheka taratibu mwanaume nikasogea mpaka pale lakini nilipofikia tu kila mtu akawa anashika pua na miongoni mwao wakawa wananiambia niondoke
"Jamani wewe fala toka hapa chizi weweee unanuka hebu toka mwanangu tutakuzingua" nikayasikia maneno yaliotoka mdomoni kwa rafiki yangu aitwaye ramadhani ambaye mguu ule ulikuwa ni wa kwake nilimfuata yeye kwenda kumuomba msaada.
"Mwanangu ramsey mimi pablo" Nikajikuta nikisema kwa nguvu na kusababisha ukimya kutanda ramadhani akajikuta akishangaa na kunyanyuka kisha akaniangalia kwa umakini na kujikuta akishika mdomo na kutumbua macho kuonyesha alikuwa haamini anachokiona.
"mwanangu pablo vipi mbonaaaa aaaaaha siamini vipi mwanangu umepatwa na nini mbona hivyo??"ramadhani akajikuta akipayuka na kuniambia mimi huku akiwa haamini na kusababisha mpaka wengine waliokuwa wakiniambia niondoke kuniangalia kwa umakini na kustaajabishwa na hali ile.
"Daaa mwanangu ni hadithi ndefu ujue kama vipi mwanangu nipeleke nyumbani kwenu uniepushie aibu hii" nikajitutumua kumwambia ramadhani ambaye hakupinga hata neno moja haraka bila ya kujali akanishika mkono na taratibu akanipeleka mpaka kwao ambapo yeye alikuwa akiishi katika ghetto lake.Tulipofika haraka akanichemshia maji ya kuoga ambayo baada ya kuchemka akanipelekea chooni na mimi nikaaenda na kuanza kuoga.Hakika nikajikuta nikipiga ukelele mkali baada ya kujimwagia kopo la kwanza la maji na kusababisha kuibua maumivu ya vidonda vingi nilivyoumia na kusababisha hadi rafiki yangu ramadhani kuingia chooni.
"Vipi mdau paplo kuna nini mwanangu??"
"Daa hamna kaka vidonda vinauma nilivyoumia."
"Kwani umefanyaje kijana??"
"daaa ni stori ndefu sana ramso"Hakika kwa pale ndio nilipomjua rafiki yangu ramadhani alikuwa ni rafiki wa kweli hakika alinisaidia kabisa kufanikisha zoezi la kusafisha vidonda vyangu.kisha baada ya kumaliza akanipa moja kati ya suruali yake na flana ambazo nilizivaa kisha ramadhani akaaenda dukani na kuninunulia chakula ambacho aliponiletea nilikifamikia haraka haraka kama Mtu ambaye hajala muda mrefu.kisha baada ya kumaliza taratibu nikaanza kumwambia stori nzima stori ambayo ilimuacha katika maswali mengi ya kujiuliza.
"Mmmh kaka kwanza polee maana demu huyo amekupata kweli."
"Daa ahsante ramadhani yani kwanza ningebanduliwa pili Ningekufa ujue kwa sababu kama nilivyokwambia demu akaniitia watu kwamba mimi mwizi"
"Daaaah aisee cha kubaki tumshukuru Mungu kwa sababu upo hai"Hakika niliongea mengi sana na ramadhani ambaye naye alinishauri sana nimsamehe catherini na kumpotezea jambo ambalo halikuingia kabisa akilini nilibaki tu nikimkubalia tu juu kwa juu lakini hasira dhidi ya catherini ilibaki ndani ya moyo wangu.kwa upendo aliokuwa nao mwanangu ramadhani bila ya hiyana alinikodishia taxi na kuilipia kabisa taxi ambayo haraka ikanifikisha nyumbani majira ya jioni jioni.ile naingia ndani nikakutana macho kwa macho na mama ambaye kwanza alionekana kushangaa kwa jinsi nilivyovaa kwa sababu sikutoka vile pili alishangaa na baada ya kuona nina alama alama na plasta katika kichwa changu.
"Mmmmh wewe umefanyaje mbona plasta mbona hivyoo mmmh umefanya nini wewe??"mama akaniuliza nakusababisha mwanaume niangalie chini.
"Mama kweli nimepatwa na majanga kwa sababu kuna mtu amenisakizia na kuniitia mwizi na kusababisha watu waanze kunishambulia lakini bahati nzuri nikafanikiwa kuwaponyoka Mama"
"Mungu wangu jamani Mwanangu twende hospitali kwanza kabla ya kuendelea na mambo mengi utanihadithia vizuri." Kwa hali ya uoga mama akaniambia vile na sikuwa na sababu ya kupinga.mama akaanza kujiandaaa na kuniacha nikiwa nimelala sebuleni haraka mwanaume nikaachukua simu yangu ambayo nilikuwa imezimika tangia kwenye varangati kule kisha nikaiwasha na simu ikawaka.nikaenda haraka sehemu ya picha kuzingalia zile picha bahati nzuri nilipoziangalia nikakutana na zile picha za catherini akiwa mtupu nikajikuta nikitoa tabasamu hafifu kisha haraka nikawasha data na kuonganisha kwenye internet ambapo taratibu nikaingia ukurasa wa facebook na kuingia katika ukurasa wa page iliyokuwa ikipitiwa na watu wengi tayari kabisa kuziposti picha za catherini akiwa mtupu.
"Hahaha sasa amekwisha nyau huyu mdogo"...........
UKIWA NA RAFIKI AINA HII UNAWEZA KUFUNGWA BURE
PLAY KISHA HAKIKISHA UMEJIUNGA NA CHANNEL HII KWA KUBONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YA VIDEO

PLAY KISHA HAKIKISHA UMEJIUNGA NA CHANNEL HII KWA KUBONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YA VIDEO

USIKOSE SEHEMU YA TISA
Maoni, Ushauri au Lolote Tuma Hapa:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri au Lolote Tuma Hapa:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni