Notifications
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…

AISEE KUMBE RAHA (9)

Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA TISA
Nikaenda haraka sehemu ya picha kuzingalia zile picha bahati nzuri nilipoziangalia nikakutana na zile picha za catherini akiwa mtupu nikajikuta nikitoa tabasamu hafifu kisha haraka nikawasha data na kuonganisha kwenye internet ambapo taratibu nikaingia ukurasa wa facebook na kuingia katika ukurasa wa page iliyokuwa ikipitiwa na watu wengi tayari kabisa kuziposti picha za catherini akiwa mtupu.

"Hahaha sasa amekwisha nyau huyu mdogo"...........

SASA ENDELEA...
Nikajikuta mwanaume nikishusha pumzi ndefu baada ya picha zile kuziseti vizuri na zikaa kabisa kupostiwa katika ukurasa wa facebook nikajikuta nikiachia tabasamu pana baada ya kubakisha sehemu moja tu ambayo iliandikwa post ikimaanisha tuma yani nikibonyeza hapo basi picha zile ambazo nilikuwa nishaziweka sehemu ile ambazo zilikuwa kama kumi basi zilikuwa zinaenda na kuonekana katika ukurasa mkubwa wa facebook.
‘’mojaaa……mbili……….tatu….nn…eee tan…..’’mwanaume kwa mbwembwe nikajikuta nikihesahau moja mpaka tano ili nitakapofikisha tano basi nibonyeze ile sehemu ya post lakini kabla hata sijamaliza kusema tano simu yangu ile ikaita na nilipoangalia alikuwa si mwingine bali ni chiku.

‘’haloow chiku nambie.’’
‘’jamani baby Pablo nimekumiss upo wapi.??’’
‘’nipo nyumbani lakini naumwa chiku.’’
‘’nini tena mbona majanga jamani honey.’’
‘’mmmh kwani kuna nini tena.??’’mwanaume nikajikuta nikimuuliza chiku kwa mshangao huku nikiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua kile alichokuwa anataka kuniambia.
‘’yanii hapa usiku huu naelekea hospitali nimechanganyikiwa shoga yangu catherini amelazwaa hali yake mbaya nasikia eti alikunywa sumu ya panya.’’baada ya kusikia vile moyo wangu ukafanya paa mwanaume nikajikuta nikinywea kabisa na kupoa baada ya kusikia maneno yale ya chiku ambaye alikuwa akiongea kwa sauti flani ya masikitiko makubwa.

‘’daaaa aisee poleni sana.’’
‘’pablo baby nambie unachooumwa maana nimeshachanganyikiwa.’’
‘’aaa kawaida ni kichwa tu basi baadae.’’nikajikuta nikimaliza mazungumzo haraka huku moyo ukinienda kasi ajabu hakika moyo wangu ukapooa kabisaa na hata ile dhamira yangu ya kutaka kupost picha zake zile za utupu nafsi yangu ikagoma kabisa nikajikuta tu nikibonyeza kidude cha cancel cha kuzuia ile.roho ya ghafla ya huruma ikaniingia.
‘’lakini huyu Malaya alitaka kunisababishia kifo.’’ghafla nikajikuta nikiyasema yale maneno kwa hasirabaada ya kukumbuka lile varangati alilonisababishia catherini ambapo alidiriki kabisa kunikamatisha na mateja ili wanifanyizie na pia hadi alipothubutu kabisa na kudiriki kuniitia mimi mwizi.

‘’mmmh ila lakini kusema kweli ngoma droo maana nilimfanyizia na mimi aaaaaa ngojea kwanza nimuache lakini hizi picha sizifuti najua tu Yule demu tu achelewi nyodo akileta nyodo nitakula mzigo tena na kuzivujisha tena.’’nikajikuta nikiongea mwenyewe na kujikuta nikiacha kabisa kuposti zile picha na kuzibakisha mule katika simu nikiwa nimejilaza kama kawaida mama akatokea akiwa tayari kabisa kashajiandaa na akanishika mkono kwa lengo la kwenda hospitali kuangalia katika mwili wangu je kuna sehemu niliyoumia ndani kwa ndani.kwa hofu kubwa aliyokuwa nayo mama haraka tukafika hospitali kwa kutumia usafiri wa haraka taxi ambayo ilitusaidia kufika haraka.mwanaume nikaenda kupiga x-ray katika mwili wangu na majibu yakatoka hamna sehemu yoyote niliyoumia ndani kwa ndani na nilikuwa shwari tu.

‘’vipii hapo umefanyaje.’’yule daktari aliyekuwepo mule akaniuliza swali baada ya kuona plaster iliyobandikwa vibaya kichwani na kuniangalia makini usoni ambapo nilikuwa na mikwaruzo.
‘’daaa daktari nilidondoka tu lakini najisikia poa.’’
‘’haya nivyema lakini utakapokuwa unajisikia maumivu sehemu yoyote uliyoumia useme kijana.’’
‘’sawa daktari asante kwa ushauri wako.’’niliagana na Yule daktari kisha nikatoka nje na kuondoka na mama ambaye alishukuru sana baada ya kusikia kuwa sikuwa na matatizo
‘’enhe nambie vizuri mwanangu nani aliyekusababisha majanga hayo mpaka unaitiwa mwizi mwanangu.’’ile tunafika nyumbani baada ya kutoka hospitali ambapo majibu yalikuwa mazuri kwamba mimi sikuumia baada ya varangati lilinitokea mama akaniuliza swali baada ya mara kwanza kutomjibu kama alivyokuwa akitaka.

‘’ndio hivyoo mama kuna mdada wa chuo nilikuwa namdai sasa leo baada ya kutoka chuo nilienda kwa rafiki yangu ramadhani kuna flash yangu naenda kuchukua nikakutana naye sasa mimi nikaanza kumuambia anirudishie hela yangu akaanza kunihibu nyodo hasira zikanipanda si nikamnyang’anya simu yake kwa hasira basi akaniitia mwiziii watu wakaja kibao.’’
‘’heee makubwa sasa ndio akuuiie mwizi ungekufa mwanangu?? Huyo lazima nikamshtaki.’’kwa kutumia uongo nikamdanganya mama ambaye baada ya kumuambia vile hasira kali zikampanda na kujikuta siku hiyo hiyo kutaka kwenda kuchukua rb polisi.nikajikua nikitumia nguvu nyingi kumtuliza mama na kumshauri mama ili asiendee.

‘’sikia mama malipo hapahapa duniani na aliyekufanyia ubaya mlipizie kwa wema mama haina haja ya kukasirika yote mitihani tu ya mungu.’’baada ya kumuambia maneno yale mama akatulia na kuniambia niende kupumzika na kunisifia maneno yale niliyoyasema.mwanaume nikaenda katika chumba changu ambapo nilipofika nikapigia simu na ramadhani rafiki yangu ambaye alinistili baada ya kupata misukosuko na kunipa nguo zake ili nivae baada ya kuchafuka na kuwa na boxer baada ya kufanikiwa kuwakimbia mamia ya watui waliokuwa na hasira kali.
‘’mwanangu ahsante sana kwa msaada wako.’’
‘’usijali kamanda one love Pablo halafu huyo demu mwanangu ukikaa fresh lazima tukampige mtungo mwanangu ila pumzika kesho tutaongea vizuri.’’yalikuwa maneno ya ramadhani ambayo yalinifanya nitabasamu kisha baada ya kumaliza kuongea naye palepale nikapitiwa na usingizi mzito wa ghafla.
‘’Ngooo..!!!,ngoooo!!!,ngoooo!!!’’nilijikuta nikishtuka baada ya kusikia mlango wa chumba changu ukigongwa na nilipoamka nikachukua simu yangu nakuangalia saa ambayo ilikuwa ikionyesha saa tatu asubuhi.mwanaume nikanyanyuka nikaenda kufungua mlango na kumuangalia mgongaji alikuwa si mwingine bali ni mama ambaye mkononi alikuwa ameshika kikombe chai na vitafunwa.
‘’shikamoo mama.’’
‘’marhaba mwanangu unaendeleaje.’’
‘’naendelea vizuri sana mama usiwe na wasiwasi
‘’basi kunywa chai kwanza ndio ukaoge mwanangu maana ila wamekuumiza mwanangu vipi hapa walikupiga na jiwe nini mwanangu.’’mama aliniambia vile huku akinishika sehemu niliyopigwa na jiwe na kusababisha intake kuzimia.nikamtuliza mama kwa kumhakikishia niko salama kisha nikanywa chai na baada ya kumaliza nikaelekea kuoga.
‘’jamaani mwanangu leo umekuja kutuona woaooooo mwanangu haujambo.’’nikiwa chooni ghafla nikasikia sauti ya mama kama akimkaribisha mgeni mwanaume haraka haraka nikaoga fasta fasta kisha ile natoka tuu nikamuona chiku akiwa kabeba mkoba wake na kuingia katika chumba changu.
‘’mmmh huyu leo kaja nyumbani’’nikajikuta nikijisehemea huku nikienda haraka haraka katika katika chumba changu ambapo ile naingia tu nikamuona chiku akiwa na simu yangu hali iliyosababisha moyo wangu uanze kudunda kama saa.

‘’jamani bby umemaliza kuoga halafu ujue mimi sina picha yako kabisa hebu ngojea niangalie katika sehemu ya picha.’’maneno ya chiku yakasababisha roho yangu idunde huku nikiwa na taulo langu tu jeupe nikamvamia chiku na kumnyang’anya simu yangu kwa tekiniki ili asiende maeneo ya picha kwa maana kulikuwa na zile picha nilizompiga catherini kisha nikazuga kwa kuanza kumpiga mabusu huku nikimlaza kitandani kabisa huku mimi nikiwa juu ya mwili wake.
‘’jamani….p…..aaaaoooooooo’’ghafla chiku akaanza kutoa miguno ya raha baada ya mwanaume kuanza kumpapasa katika mapaja na kuanza kumrainisha.
‘’pablooo ooooossss aaa subiri bwana wee unaumwa mchezo unawezaaaa.??’’……………

Chiku akiniuliza swali lililosababisha niachie tabasamu pana kisha nikaacha kumpiga mabusu nakumuangalia kwa umakini wa hali ya juu.
"Mmmh mbona kimya sasa??"chiku akiniuliza swali lingine huku akiwa anashika shika Nywele zangu kichwani lakini akajikuta akikosea step na kunishika kichwani sehemu niliyopigwa jiwe na kusababisha mwanaume niache mguno wa maumivu baada ya mkono wake ule kunitonesha na kusababisha chiku aniangalia vizuri na kugundua kuwa kulikuwa kuna plaster niliyofungwa na ramadhani kichwani ambapo kulisababishwa na kuitiwa mwizi na rafiki yake catherini ambaye kuniitia vile ndio kulisababisha nipigwe jiwe na watu wenye hasira kali.
"Jamanii hapo umefanyaje baby mie mbona haujaniambia mpenzi" chiku akaniuliza tena huku akinyanyuka sasa nakuniangalia mimi niliyekuwa namuangalia nikiwa natabasamu.
"Hamna hapa bahati mbaya nilijigonga sehemu ndio nikaumia."
"Hee jamani pole basi hiyo itakuwa ndio imekuletea homa mpenzi" chiku akanipa pole na kusogea pembeni kidogo na nilipokuwa mimi kisha akauchukua mkoba wake aliokuja nao na kutoa simu yake huku akiwa anaibonyeza bonyeza.

"Hali ya catherini Ni mbaya pablo wee acha tu" chiku akaniambia vile na kusababisha mwanaume nikumbuke yale maneno aliyoniambia chiku usiku kuwa catherini alikunywa sumu nikajikuta nikimsogelea catherini karibu kisha nikamshika kiuno chake kipana na kuanza kumnyonya nyonya masikio na shingoni.
"Assssss......bana pa..blo...nimekwambia unaweza umekaa kimya"
"Aaaaa catherini sasa anaendeleaje??"
"Aaaa si nakwambia hali yake mbaya sana maana amekunywa sumu ya panya na ilibaki kidogo tu angekuwa amekufa na sasa tunaongea mengine."
"Daaah aisee wewe unadhania chanzo cha yeye kunywa sumu ni nini??"nikajikuta nikimuuliza swali chiku swali ambalo mimi nililijua kabisa jibu lake kuwa alikuwa anaogopa mimi nitazivujisha picha zake nilizompiga akiwa mtupu.

"Aaaa jamani sijui na wala hata sielewi imekuwaje yaani alikuwa anataka kuniambia kitu maana alinitumia messeji hizo zilizokuwa zinaniweka njia panda lakini nilipokuwa tu najaribu kumpigia sikumpata na messeji zangu wala hakujibu mpaka anapatwa na matatizo haya honey"chiku aliniambia vile huku akinilalia katika kifua changu huku mimi nikiwa namchezea nywele zake.
"Sasa baby"
"Poa pablo niambie"nikajikuta mwanaume kamzuka cha kufanya mapenzi kakinipanda lakini hali yangu nilikuwa naijua mimi mwenyewe mwili ulikuwa unaniona kutokana na sekeseke.
"Au basi"Nilimjibu kiunyonge chiku ambaye alikuwa tayari kashajua nilichokuwa nataka kusema akabaki ananiangalia kwa tabasamu ya hali ya juu na kusikitika.
"Wewe ni wako pablo tutafanye siku nyingine ukipona tu."
"Hamna kwani mimi nilitaka kukwambia nataka tufanye wee vipi"
"Mmmh muone hahahahaa"hakika siku hiyo nilishinda siku nzima nyumbani huku tukiwa watatu tu yani mimi,chiku na mama ambaye alionekana kufurahiswa sana na tabia nzuri na hekima aliyekuwa nayo chiku ambaye hakuwa nyuma siku hiyo alipika na kufanya shughuli nyingi za nyumbani na kumsaidia mama ambaye hakusita kuporomosha pongezi nyingi nyingi kwake baada ya kufurahishwa na mambo aliyokuwa akiyafanya chiku.baada ya kufika jioni chiku akaniaga kwa kunikandamiza mabusu mbalimbali ambayo mama hakuyaona kwa sababu mimi ndiye niliyekuwa namsindikiza mpaka kituoni.siku mbili zikapita kutoka ile siku ya chiku siku hiyo hakika nilikuwa na nguvu za ajabu zilikuwa zimerudi hali yangu ya kiafya ilikuwa imeshaimarika mwanaume nikamuaga mama kuwa naelekea chuo na mama hakuwa na budi ya kukataa jambo hilo zaidi ya kunisihi tu nitakapojisikia vibaya basi nimpe taarifa ile atafute uwezakano wa haraka akanichukue.baada ya kutoka nyumbani mida kama ya saa tano hivi nikachukua simu yangu ya mkononi na kumpigia Suzan rafiki yake chiku na catherini ambaye naye nilikuwa tayari nishamfanyizia kwa kufanya naye mapenzi baada ya yeye kunirubuni kuwa nitakapofanya hivyo basi ataniombea msamaha jambo ambalo alifanikiwa na kusababisha mpaka chiku anisamehe.

"Jamani pabloo haloo nimefurahi umenikumbuka."
"Aaaaaa pouwa tu sasa unasemaje.??"
"Naam pablo nambie mimi sina usemi zaidi ya kumiss penzi lake ulilonipatia siku ile."
"Enhee hapo hapo sasa nilikuwa nakuambiaje leo una muda tukutane palepale kwa siku ile."
"Yanii kwa wewe muda ninao wangu wee niambie saa ngapi."
"Mmmh saa mbili usiku" nilimwambia suzan ambaye alionekana kufurahia kisha mimi nikakata simu huku nikiwa na tabasamu.nikajisogeza mpaka nikapanda gari la kuelekea chuo lakini katika hali ya kutotegemea nikakutana na Mama chiku ambaye baada ya kuniona akatabasamu na kunifata mpaka sehemu niliyokuwa nimekaa.
"Hee mimi Nina bahati kweli yakuonana na wewe yani nina hamu balaa"mama chiku akaniambia kwa sauti ya chini hali iliyosababisha nimuangalie kwa umakini nikajikuta nikisikitika na kumuangalia tena mama huyo ambaye mwanae alikuwa ni mtu wangu.

"Daaah sasa mama y..."
"Mmmmmmh mimi sio mama yako pablo mimi ni kama demu wako halafu nimekuja kugundua kitu pablo unatembea na chiku." Mama chiku akaniambia vile na kusababisha niangalie chini kwa sababu hata mimi sikutegemea kama mama chiku anajua kama natembea na mwanae nikainua sura yangu na kumtazama mama huyo ambaye baada ya kuniambia vile akawa ananiangalia huku sura yake akiwa ameikunja kama mtu aliyekuwa na hasira kali.
"Sasa basi Pablo nakuruhusu kwa moyo mmoja kutembea na Mwanangu lakini kwa sharti moja
"N...aa..mm.."
"Haujasikia au dharau na sharti hilo ni kama nikiitaji penzi kutoka kwako basi wewe huna budi la kukataa"
"Saw.a..sawa Mama eeee baby"

NANI ALIKWAMBIA MWANAUME NI ATM MASHINE?
PLAY VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE UJIUNGE NA CHANNEL YETU



USIKOSE SEHEMU YA 10

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
3 Aisee Kumbe Raha Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni