Notifications
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…

AISEE KUMBE RAHA (13)

Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA KUMI NA TATU
"Huyu mwanamke namchukia sana na Leo usikuu huu Facebook nzima itamjua na instagram"nikajisemea maneno yale kwa nguvu kama nimechanganyika na bila ya kupoteza muda........

SASA ENDELEA...
KWA WASOMAJI WAPYA
Naitwa pablo daniel ni kijana mwenye asili ya kitanga kabisa licha kuzaliwa morogoro mji kasoro bahari.hakika vuguvugu la mapenzi kwangu lilikuwa ni tofauti kabisa hasa baada ya kujikuta nikiingia mtego ambao ulikuwa ni ngumu kutoka.mtego huo ulikuwa ni baada ya kujikuta nikitembea na mama chiku mama ambaye mwanae chiku nilikuwa na mahusiano naye ya siri hali ambayo ilipelekea mimi kufumwa na chiku mwenyewe akiwa na mashoga zake wawili catherini na suzan ambao nao wakasababisha nizidi kuingia katika mtego baada ya kuomba msaada wa kuombewa masamaha jambo ambalo nilimuomba suzan rafiki kipenzi wa chiku hali iliyosababisha suzan kuniomba penzi ikiwa njia ya yeye kuniombea msamaha kwa chiku na kujikuta nikiingia mtego mwingine baada ya rafiki wa pili wa chiku aitwaye catherini kutufuma na kutishia kwenda kumuambia chiku hali iliyosababisha mimi ninywee na kuanza kumshauri catherini asiende kusema lakini na yeye pia akaniomba nimpe kiasi cha fedha ili asiseme jambo ambalo lilikuwa gumu nakujikuta nikimdanganya kwa kukubali ili nikutane naye huku nikiwa na lengo la kumfanyia kitu kibaya kitu ambacho nilifanikiwa kumfanyia baada ya kumuwekea dawa ya usingizi katika kinywaji chake baada ya mimi na yeye kukutana katika moja ya bar ambayo ilikuwa na gesti na nilipoona catherini amelewa na ile dawa nikamuingiza gesti nakumuingilia pasipo yeye kujua kisha nikampiga picha za mwili wake akiwa mtupu na kumtishia kuzisambaza mitandaoni kama akimwambia chiku kama mimi nilitembea na rafiki yake suzan.jambo lile lilianza kunitokea puani baada ya kujikuta nikipata uchu wa kufanya mapenzi na catherini na kujikuta nikimlazimisha nikiwa na kiingilio cha picha zake na kama akikataa basi mimi nitavujisha picha zake akiwa mtupu hali iliyosababisha catherini kunikubalia na kuniambia tukutane maeneo ya kwao na mimi kutokana na kuwa na uchu nikajikuta nikienda bila ya kufikiri kabla ya kutenda.kama ujuavyo usilolijua ni sasa na usiku wa kiza baada ya kufika maeneo ya kwa akina catherini ghafla nikavamia na watu ambao walinitaka kunidhalilisha kwa kutaka kuniingilia kinyume na maumbile watu ambao walitumwa na catherini ambaye naye alikuwepo huku akiwa ameshika simu yangu ambayo kulikuwa na picha zake na yeye akitaka kunirekodi tukio lile ambalo kwa bahati nzuri nikafanikiwa kutoroka na kusababisha wale walionikamata akiwepo catherini kuniitia mwizi na kusababisha nianze kukimbizwa na raia wenye hasira kali ambao licha ya kunipiga na mawe lakini nikafanikiwa kuwaponyoka.hali ikabadilika tena baada ya catherini kunywa sumu kwa kuogopa labda mimi nitazivujisha zile picha na kujikuta akimwambia chiku mwenyewe kila kitu chiku ambaye alikuwa kashanisamehe na kusababisha chiku mwenyewe amue kuwa na mwanaume mwingine ambaye nilimfumania gesti ambayo bado nusu anifume mimi nikiwa na mama yake tukifanya mapenzi.nikajikuta tena nikipandwa na wizu nakusahau yote niliyofanyia chiku na kujikuta nikiwafumania yeye na mwanaume aliyeingia naye gesti nakusababisha nao waniitie mimi mwizi na kusababisha nipelekwe polisi lakini kutokana na kuwa na pesa nikaachiwa na polisi hao nakurudi nyumbani nikiwa na hasira nakujikuta sasa nikiamua kutaka kuzijisha zile picha za catherini ambazo nilikuwa nazo.........

ENDELEEEEAAAA NAYO
nikazikagua zile picha na kuziangalia kwa uchu mkubwa huku hasira zikizidi kunipanda kila dakika nilivyokuwa naziangalia zile picha ambazo kwa muda huo hakika hazikunisisimua kimapenzi bali zilinisimumua na kunipandisha hasira kali ambazo sikuzitegemea.Hakika catherini ndio amesababisha mpaka chiku nimpoteze kutokana na kumuambia ukweli.

"Huyu mwanamke namchukia sana na Leo usikuu huu Facebook nzima itamjua na instagram"nikajisemea maneno yale kwa nguvu kama nimechanganyika na bila ya kupoteza nikawasha data katika simu yangu nakuingia katika ukurasa mkubwa wa facebook katika moja ya ukurusa mkubwa ambao ulikuwa ukiangalia na watu wengi kisha taratibu nikaziweka zile picha zote nakuziweka vizuri katika ukurasa ule na kabla hata sijazipost nikaandika na ujumbe uliosema.
"Naitwa catherini ni msichana mrembo nilikuwa nahitaji mwanaume shababi mwenye karoti kubwa ya nchi sita mpaka nane nakupa ikulu yangu bure kabisa napatikana kwa namba 07××-099*** tafadhari usipuuzie nafasi hii." Niliandika na yale maneno nakuweka na namba za simu za catherini pasipo na uoga wowote licha ya jasho jingi kunitiririka kama nilikuwa na kazi ngumu.
"Kama mbwai mbwai tu."nikajisemea maneno yale kwa jiamini kidogo kisha taratibu pasipo na kuogopa nikapost picha zile katika mtandao wa facebook katika ukurasa unaopitia na watu zaidi ya laki sita.hakika baada ya kuzipost nikazima sima yangu huku nikiwa nahema kwa furaha na majasho yalikuwa yanatiririka.furaha yangu ilikuwa ni kulipiza kisasi ambacho nilijiamini pia kwa sababu niliposti zile picha kwa akaunti ambao sikuandika jina langu sahihi pia katika ile akaunti hakukuwa na hata picha yangu moja na sikuwai hata kuweka chochote.baada ya kukaa kama nusu saa kidume nikawasha simu yangu nakuangalia maoni ya watu kuhusiana na picha ile ambayo wanawake wengi walilamika na kumtukana catherini huku wengine wakisema dunia imeisha lakini kwa wanaume waliowengi maoni yao yalikuwa tofauti watu wengi walimmiminia sifa kedekede catherini wengine walidiriki mpaka kuandika na namba zao za simu na kumuambia catherini awatafute hakika katika inbox yangu kwa mimi niliyepost zilimiminika messeji nyingi za wanaume waliokuwa na uchu wa kufanya mapenzi na hakika si mchezo catherini alikuwa na mwili mzuri kabisa mwili wa matamanio ambao kama ukiuona ukiwa mtu hauna hata nguo basi lazima upagawe.ilipofika mida ya saa tano kasoro simu yangu ya mkononi ikaita na nilipoangalia mpigaji nilikutana na namba ngeni hali iliyosababisha mpaka hofu kuanza kutanda.taratibu nikaipokea na kuiweka sikio nakusikilizia.

"Haloow"
"Halooow"
"Sikia wewe mwanaume usiyekuwa na haya usiyejua vibaya wee mwanaume shoga ambaye wanaume kamili hawawezi kufanya hayo unayoyafanya wewe."ghafla nikasikia maneno yakisemwa maneno na nilipoisikilizia vizuri sauti ile alikuwa si mwingine bali ni chiku ambaye alikuwa akiongea kwa jazba sana.
"Weee naniii mbona sikuelewii."nikajitutumua kumjibu chiku kama vile simjui aliyekuwa akiongea.
"Uelewi nini wee mwanaume malaya huna hata aibu kushindana na mwanamke yani wewe wa kuanika hadharani picha za utupu uliozompiga catherini baada ya kumbaka wewe pablo wanaume hawafanyi hivyo na sasa basi kwa taarifa yako kuanziaa sasa muda wowote utakuja kukamatwa ile ya gesti kule haitoshi na safari hiii gereza la segerea linakuhusu."yalikuwa ni maneno ya chiku ambayo yalipenya vizuri katika masikio yangu kisha chiku akakata simu ile nakuniacha nikiwa na maswali mengi na mawazo mengi ambayo yalipelekea mwanaume nianze kuwa na hofu kubwa sana.baada ya kuwaza sana huku hofu ikizidi kutanda nikajikuta nikipitiwa na usingizi mzito.lakini ghafla nikaja kushtuka baada ya mlango kugongwa sana wa chumba changu haraka nikanyanyuka huku mapigo yangu ya moyo yakienda mbio kwa hofu.nikanyanyuka taratibu nakuufungua mlango nakukutana uso kwa uso na Mama ambaye alionekana katika nyuso za huzuni.
"Shikamooo mama"
"Marhaba mwanangu unaitwa nje kuna wagenii wamekuja."
"Mmmh wageni gani mama.??"
"Wanasema sijui wao mapolisi wa kituo cha kati hapo osterbay."
"Mapolisii???".............

Nikajikuta nikitumbua macho huku masikio yangu kutotaka kusikia baada ya mama kuniambia kuwa nilikuwa naitwa na mapolisi ambao walikuwa washaingia ndani.
"Ndio mwanangu kwani kuna kitu ulichokifanya kibaya.??"Mama akaonekana kushangaa baada ya mimi kutoa macho hali iliyosababisha aniulize swali ambalo kwangu lilikuwa ni gumu kujibu licha ya swali lile kuonekana raisi kujibika.
"Aaaah hamna mama mbona mimi sijafanya chochote kibaya."
"Anhaa basi sawa maana wametoa dakika kumi tu ujiandae utoke lasivyo watakuja kukutoa wao."mama aliniambia vile na kuondoka pale mlango na kusababisha nibaki na mshangao.hakika nilishangaa alivyonijibu mama aliyeonekana kujiamini sana kwa sababu ya kunielewa mimi mwanae kama siwezi kufanya makosa.taa ya hatari kichwani mwangu ikawaka haraka mwanaume nikafunga mlango wa chumba changu kisha nikaikimbilia simu yangu ambayo ilikuwa kitanda na kuwasha data kisha nikaingia internet haraka na kwenda mtandao wa facebook kisha nikaanza kurekebisha akaunti yangu nikiwa na lengo ya kuifunga.Hakika purukushani ya kuifunga ilichukua muda sana na ile nilipomaliza tu kuifunga akaunti yangu Mlango wa chumba changu ukafungulia kwa nguvu nakusababisha mwanaume haraka kuitupa simu yangu kitandani na kulala chali kitandani nionekane kama nimelala.

"Paaaaaaaaaaaaaaa!!!"kofi zito likatua mgongoni mwangu kofi ambalo hakika lilingia na mwanaume nikajifanya kama halijaingia na kujifanya kama najinyoosha vile.
"Jamani musimpige kwani amefanyaje."nikaisikia sauti ya mama ambayo haikujibiwa chochote na kofi lingine likatua tena mgongoni na kusababisha safari niamke nakujishika mgongoni huku nikijifanya kama nimetoka usingizini
"Haloo unafanya masihara na vyombo vya dolla hebu hamka twende kituoni."macho yangu yakashuhudia polisi watatu ambao walionekana kuwa na hasira sana na mimi kwa sababu walikuwa wananiangalia kwa hasira ya juu.
"Mimi nimefanyaje sasa."nikajikuta nikijitutumua kujibu lakini bila ya kutegemea kofi lingine zito likatua usoni kwangu jambo lililopelekea hata mama kulia na kuwalalamikia wale mapolisi ambao kulalamika kule kwa mama kulisababisha polisi wale kunywea.
"Kwani mwanangu kafanyaje lakini.??"
"Mama tunakuheshimu tunamuomba kijana wake avae yote hayo mengine yatajulikana polisi."yule polisi aliyenipiga kofi akasema na kusababisha mama kunihimiza mimi nivae haraka ili tuondoke.haraka haraka nikavaa nguo zangu bila ya kuoga huku muda mwingi nikitumia kujishika shika usoni kutokana nilikuwa tayari nishavimba uso kutokana na kofi lile nililopigwa na moja kati ya wale polisi.

"Harafu nilitaka kusahau kijana leta simu yako haraka sana katika kiganja changu kabla hata hakijatokea kibaya."ghafla moyo wangu ukafanya paa baada ya yule polisi aliyenipiga kofi kuniambia anataka simu yangu nikajikuta mwanaume nishindwe la kufanya kutokana na kuogopa kupigwa tena haraka nikaichukua simu yangu nakumkabidhi kwa kujiamini kisha taratibu wale wawili wakaja kunishika na kutokana akifuatiwa na mama aliyeonekana kabisa kuchanganyikiwa na hali ile ambayo hakuitegemea kabisa.baada ya kutoka nje nikajikuta nikishangaa baada ya kukuta na gari aina ya defender gari ambazo wanatumiaga polisi kukamatia wahalifu na bila ya kunionea aibu wakaniamrisha nipande.sikuwa na hiyana kabisa nikapanda kikamavu na kukaribishwa vyema na polisi wawili waliokuwepo nyuma ya defender ile ambao kulikuwa na sehemu ya pick up ambayo nilipanda na kukaribishwa na makofi ya kichwa ambayo yalisababisha hata mama kulalamika.
"Jamani mbona mnapenda kutuonea sasa mwanangu kafanya nini.??"mama aliongea kwa hasira na jazba ya juu lakini hakuna hata aliyemjibu na wale polisi haraka wakaondoka na kumuacha mama akiisindikiza ile gari kwa macho kisha naye akaingia ndani haraka.Hakika mikosi ilizidi kuniandama kila janga likiisha basi lilikuwa likiingia lingine na wale polisi hawakukamata hata watu wengine pick up zima nilikuwa peke yangu na kutokana siku hiyo haikuwa na foreni haraka tukafika kituo cha polisi cha osterbey na kukaribishwa na polisi wengine wanne ambao nao wakaongezeka katika msafara kama wanamsindikiza jambazi vile.baada ya kuingia ndani ya kituo kile nikajikuta nikitoa macho tena macho yangu yakawashuhudia mama chiku,chiku mwenyewe,suzan na catherin ambaye alionekana na majonzi na aliponiona mimi akaniangalia kwa hasira sana na catherini alikuwa na Mama yake.baada ya mama chiku na wengine kuniona wote wakawa wananiangalia kwa hasira na nilipopita karibu na Mama yake catherini ambaye sikuwa na uhakika kuwa alikuwa ni mama yake kutokana na kumshuku kwa sababu alikuwa amefanana naye ghafla akanivamia na kutaka kunichapa makonde lakini akina chiku na polisi wengine wakanivuia.

"Niacheni nakwambia wewe lazima uozee jela mwehu wewe yani wewe wa kumfanya mwanangu asitamani kuishi kila anapopita watu wanatema mate chini yani wewe hujuta kuzaliwa." Maneno ya yule mama catherini hakika yalinitisha kabisa lakini kabla hata hatujaendelea kwenda mbele na Mama yangu naye akaingia na kujikuta naye akishangaa baada ya kumuona Mama chiku ambaye alimchangamkia tu mama ambaye alionyesha kuwa na kama wasiwasi fulani.wakati yeye alipomkaribia mama chiku mimi nikapelekwa mbele na wale polisi ambao wakanipeleka mpaka katika chumba maalum ambacho kilikuwa kimeandikwa kingereza sehemu ya mlango ambapo nilipotaka kusoma tu nikajikuta nikishindwa baada ya kusukumizwa kwa nguvu kuingia ndani ambapo nikakutana uso kwa uso na polisi wawili ambao mmoja alikuwa amekaa kwenye kiti ambacho mbele yake kulikuwa na meza kubwa kisha na kiti kingine na mwingine alikuwa amesimama na aliponiona nimeingia akanikaribisha vizuri nikae kwenye kiti.
"Karibu kijana karibu."yule aliyekuwa amekaa kwenye kiti naye akanikaribisha na sikuwa na budi mwanaume nikaa kwenye kiti huku nikiwa na hofu kubwa kwa sababu machale yalikuwa yashanicheza kama nilikuwa nimeingia katika chumba cha mahojiano.lakini kabla hatujaendelea yule polisi aliyenipiga kofi akaingia kisha bila ya kusema chochote akazama mfukoni na kutoa simu yangu kisha akamkabidhi simu ile yule jamaa ambaye alikuwa amekaa kwenye kitu kisha yule polisi akatoka.

"Pablo ndio jina lako si ndio."yule jamaa aliyekaa akaniuliza na kusababisha nikae kimya kidogo kumjibu.
"Eee...eeee...ndio mimi."
"Safi usiogope mimi ni polisi mwema kabisa na nimekaa hapa kukusaidia wewe yule mama anataka kutumia nguvu ya pesa akafunge wakati pesa yenyewe hana na sikuhizi nimeacha kuchukua rushwa mdogo wangu kitakachokuweka huru hapa ni ukweli wako na kunijibu mimi maswali ipasavyo umenisikia??"yule polisi aliyekaa akaniambia na kusababisha nipate hofu kidogo kisha yule aliyekaa akapiga mluzi na kusababisha yule jamaa wa nyuma aondoke haraka na haikuchukua hata muda mrefu yule jamaa akarudi na jiko la mchina na mkono mwingine alikuwa ameshika pasi na alipofika akaweka lile jiko karibu yangu na kuliwasha kisha akachukua ile pasi na kuiweka kwa juu ambapo kulikuwa kunavuka moto ambao ulikuwa umewashwa muda huo hakika hali ile iliniogopesha sana nikabaki nikiganda na kuanza kutetemeka na kubanwa na mkojo ambao sikujua umetokea wapi.
"Pablo naomba nikuulize kijana wangu hivi ni wewe ndiye uliyopost picha za utupu za yule mwanadada anayeitwa catherini??"yule jamaa akaniuliza swali ambalo lilizidisha moyo wangu kudunda.

"Na....aaa..m"
"Ujasikia au unafanya kusudi nakuuliza tena je ni wewe ndiye uliyepost picha za utupu za mwanadada catherini na kuziweka hadharani katika mtandao wa facebook naomba unijibu na ukileta ujinga basi pasi hii nitaichomeka vyema katika mbavu zako hizo."....

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA NNE

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
3 Aisee Kumbe Raha Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni