AISEE KUMBE RAHA (6)
Zephiline F Ezekiel
7 min read
SEHEMU YA SITA
‘’Mmmmh mbona sikuelewi simu yangu unaifanyia vipii??’’chiku akanitandika swali lingine lililosababisha mwanaume nianze kujichekesha huku majasho bado yakiendelea kunitiririka‘’H..amna baby narushaa nyimboo’’
‘’mmmh Pablo unarusha nyimboo kwenye simu ya torchii’’……………………
SASA ENDELEA...
Swali la chiku likazidi kuniogopesha na mwanaume nikajuta nikishikwa na aibu baada ya kuangalia ile simu ilikuwa ni nokia ya torch ambayo ilikuwa haina uwezo wa kurusha simu.nilimuangalia chiku ambaye alikuwa tayari kashaanza kujiweka sawa sawa kwa kuvaa nguo ya ndani na harakaharaka akanyanyuka na kuanza kunisogelea taratibu huku akiwa na wasiwasi ambao ulikuwa ukinipa wasiwasi na mimi ambaye ile chiku ananifikia karibu ndipo neno delete likimaanisha kufuta likaonekana katika macho yangu ambayo haraka na mimi nikakibonyeza lakini kabla hata sijamaliza kuangalia kama messeji imefitika chiku alikuwa kashafika na kunipokonya simu yake kwa hasira na jazba za juu zilizonipelekea kuwa kimya na kuangalia chini kwa aibu ambayo ilikuwa ikimshangaza sana chiku ambaye baada ya kuichukua simu yake akaanza kuangalia na baada ya kuona nilikuwa katika uwanja wa messeji nilioingia katika simu yake nikamuona akitoa tabasamu na cheko la nguvu lililonishangaza.‘’sasa unadhania mimi ni Malaya kama wewe unaangalia messeji unadhani kuna messeji ya mapenzi mimi nimetumiwa.??”chiku akaniambia vile na kusababisha nivute pumzi ya hali ya juu huku nikiwa siamini hali ilivyoanza kuwa shwari maana hali niliiona ilikuwa ishaanza kutaka kuaharibika pale.taratibu chiku akanisogelea na kunikombatia kimahaba.
‘’hivi niambie ukweli Pablo haujatembea na mama yangu jamani.’’
‘’wala haina haja kuhofia chiku sijatembea naye kweli tena niamini tu hivyo baby.’’
‘’poaa tuondoke au tuendelee maana nilikuwa na hasira na wewe yani hatari.’’
‘’hamna tuondoke siku nyingine siunajua tena nimechoka nimetoka chuo daah.’’nilimwambia chiku na hakuna na la kupinga haraka haraka kila mtu akavaa nguo zake sawa tayari kwa kuondoka na tulipomaliza wote tukatoka.nilimsindikiza chiku mpaka alipopanda gari na mimi nikarudi zangu nyumbani ambapo baada ya kufika nikakutana na mama chiku akiwa na mama wakiongea jambo ambalo likaanza kuniogopesha na kujikuta nikitaka kusita kuingia lakini kuonekana kwangu kulisita mimi kufanya vile na kujikuta nikiwa sina budi la kukataa kuingia.
‘’shikamoooni jamani.’’
‘’marhaba hebu njoo kwanza hapa.’’sauti ya mama Iliyojibu ikazidi kuniogopesha na taratibu nikakaa na kuanza kumuangalia mama chiku ambaye hakuna na hata haya akanikonyeza jambo ambalo lilianza kunikera na kujikuta nikikwepesha macho yangu kumuangalia.
‘’pablo na tuamini vuguvugu la wewe na mama chiku linazidi kushika kasi hivi jamani kwanini Pablo umekubali kufanya hivi na shoga yangu ujui kama ni sawa na mimi huyu ni kama mama yake Pablo mwanangu unajua utapata laana kwa Mungu.’’ Mama akafungua mazungumzo kwa kusema yale maneno ambayo yakaanza kuzidisha uoga.
‘’shosti mama Pablo hivi unavyooniona mimi nina weza kufanya mambo kama haya jamani hivi ni kweli shosti hebu niwie radhi kwanza chiku najua alishangazwa kutoona mimi na Pablo gesti kule nilimuomba anisindikize nikachukue mizigo wangu mama p’’
‘’hahahahha shosti hebu acha kumdanganya mtu mzima mwenzako yani mzigo gesti na mzigo gani wa kumuomba mwanangu akusindikize kwa hiyo yeye akaubebe au.’’maneno yakujibu yakamtoka mama na kusababisha mama chiku aanze kucheka kwa kutoa tabasamu la wasiwasi huku akimuangalia mama aliyekuwa amezidi kufura hasira akiniangalia mimi kwa macho makali.
‘’hebu Pablo mwenyewe elezea vizuri mimi siku ile nilikukuta wapi na katika hali gani??””
‘’kiufupi maaa kama nilivyokwambia kwamba siku ile magari yalikuwa yamejaa na hakukuwa na hata gari lililokuwa na hata nafasi ya kukaa mama chiku akaniona alipokuwa kwenye taxi sasa akaniita na kuniambia kwanza nilimsindikize akachukue pesa zake kisha atanisaidia kunipeleka nyumbani sasa mama mimi ningekataa wakati mama chiku ni sawasawa na kama wewe mama yangu.’’maneno ya uongo yakanitoka na kumuambia mama ambaye ulisababisha avute pumzi na kutafakari baada ya kuona maneno yangu yalikuwa kama ya kweli.kusema vile kulimfurahisha sana mama chiku ambaye alizidi kunitazama kwa macho maregevu huku akionekana kupendezwa na nilivyojibu maswali ambayo alikuwa ameuliza mama.
‘’mmmh jamani haya maana chiku alisema aliwaona mkiwa mmekombatiana.’’
‘’unajua sikia nikwambie mama chiku kitu kimoja chiku siku ile nilikuwa nimekorofishana naye sasa akaona hasira zote hazimalizie kwa ile inshu mbona mimi nimemuelewesha na ameelewa harafu kuna kitu nakiona kinaendelea baina ya binti yangu na huyu mwanao Pablo na wala sio bure.”
‘’aanhaa hamna mama chiku sisi ni marafiki tu.’’hakika mama alionekana kuridhika na yale maneno yaliyosemwa pande mbili baina yangu mimi na mama chiku kisha wao wakaendelea stori zao kama kawaida mimi mwanaume nikaingia ndani nakijibwaga kitandani na kutokana na kuwa na uchovu baada ya kucheza mechi mbili tofauti nikajikuta nikipitiwa na usingizi mkubwa ambao nilikuja kushtuka baada ya kuota ndoto mimi na mama chiku tukifumaniwa na baba chiku ambaye alikuwa ni mwanajeshi na bila ya kuuliza akaanza kutushushia kipigo cha nguvu mimi na mama chiku ambaye alipoteza fahamu kabisa kutokana na kipigo hicho huku mimi nikipasuliwa vibaya usoni na baba chiku ambaye akaanza kunivua nguo zangu na ile anataka kuniingilia kinyume na maumbilie tu nikashtuka na kujikuta nilikuwa naota.majasho yakaanza kunitiririka kwa kasi ya ajabu huku nikihema kwa nguvu kama nilikuwa nakimbizwa.nikainuka na kukaa sawa huku nikiendelea kuitathimini ndoto ile kwa umakini wa hali ya juu ghafla simu yangu ikaita mlio wa messeji haki iliyosababisha ninyanyuke taratibu na kwenda kuichukua.
‘’Mwenzangu pablo sijui itakuaje maana catherini ameshindwa hata kunielewa na hivi ninavyokuambia anataka kuongea na chiku kuhusu alivyotuona mchana tulivyokuwa.’’ Ilikuwa ni messeji ya suzan ambaye nilifanya naye mapenzi siku hiyo na kujikuta tukifumwa wakati tushamaliza na tupo nje tukiwa tumeshikana kimahaba mimi na yeye.haraka nikabonyeza namba za catherini ambaye haraka akapokea baada ya simu kuita kidogo.
‘’haloooow’’
‘’halooow nani mwenzangu ??’’
‘’mimi pabloo’’
‘’pabloo!!! Umepataa wapi namba yanguu????”……………………
‘’wee unajua Pablo gani.??’’
‘’pabloo??..pablo wa wapi??’’catherini akanijibu huku akionekana akiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua nilikuwa ni Pablo gani.
‘’sikia nikuambie mimi mwanaume wake chiku Pablo.’’
‘’haaa wewe Malaya namba yangu kakupa nani??’’catherin akaanza kuwaka baada ya kunijua kutokana na mimi kumuelewesha na kujikuta nikikaa kimya nakumsikiliza catherin ambaye alikuwa kashaanza kunitukana matusi ya nguoni.
‘’sikia sasa catherin kumbuka matusi hayasaidii chochote nina kitu muhimu nataka nikuambie.’’
‘’mmmh kitu gani hicho Malaya wewe unataka kunitongoza na mimi yani hapa moto mwingine Pablo na kaa ukijua muda si mrefu nitakunikisha kwa kumuambia chiku umalaya wako huo.’’
‘’sikia naomba usimwambie chiku nakuomba chochote nitakupa catherini nakuomba’’mwanaume nikapoa nakujikuta nikianza kumbembeleza catherin ambaye mara ya kwanza alisimama katika msimamo wake lakini baada ya kufanikiwa kumlanisha mwenyewe akajikuta akipoa kidogo.
‘’haya sasa mimi simwambii lakini nataka kitu.’’
‘’mmh catherin nambie chochote nitakupa lakini usimwambie chiku please??’’
‘’hahaahahha haya simwambie lakini ukitaka nisimwambie nipe laki sita kesho tutakapoona ukinipa hiyo sitomwambia’’
‘’laki sita sio tatizo nitakutumia sms nikuambie tuonane saa ngapi ili nikija tuongee vizuri nikupatie hizo pesa’’
‘’uwiii jamani nitafurahije Pablo na wala sitamwambia.’’ Nikajikuta nikitabasamu baada ya kufanikiwa kumteka akili catherini akili ambayo yeye kutokana na kuwa na tama ya pesa hakujua kichwani mwangu nilikuwa nimepanga nini.
‘’lakiiii sita hahahaha mweu kweli huyu utaona kesho.’’nilijisemea kwa kujiamini kisha nikaanza kugalagala kitandani huku nikiwa naanza kuona mafanikio Fulani ya kumteka catherini na kumuingiza katika namba ambayo yeye hatotegemea.kesho yake na mapema kidume nikaamka na kukuta messeji ya catherin akinitakia asubuhi njema jambo ambalo lilinifurahisha haraka haraka nikamuandikia messeji kuwa mimi nay eye tukutane siku hiyo saa mbili usiku jambo ambalo hata yeye haliliafiki huku hata sehemu niliyomtajia kwake alipoana pako pouwa kutokana na ukimya wa sehenu hiyo niliyomwambia sehemu ya kujificha.nikamuaga mama nakumuambia kuwa siku hiyo nitachelewa kurudi kutokana na kujisomea siku hiyo chuoni jamno ambalo mama alikubali nilimwambia vile kumtoa hofu kama nikichelewa asipate hofu.mwanaume nikatoka na breki ya kwanza nikafikia m-pesa nakutoa kiasi vha fedha kama laki moja na nusu kisha nikaenda zangu chuo.
‘’baby tunaweza tukaonana leo’’ilikuwa ni messeji ya mama chiku ambayo ilinikera sana na kujikuta nikimuandikia messeji ya vitisho kwamba asinifuatilie na kama akiendelea basi nitamfanyia kitu kibaya ambacho hajawai kufanyiwa maisha mwake.na baada ya hapo nikaendelea na ratiba zangu chuo na ilipotimia mida ya saa moja kamili nilikuwa nishatoka chuoni na breki yangu ya kwanza nikazama ndani ya duka kubwa la dawa{pharmacy}.
‘’enhee kaka nikusaidie nini??’’nikakaribishwa na maneno ya nurse muuza dawa ambaye alikuwa ni mzuri kiasi na kusababisha anivutie kidogo.
‘’daaa dada yangu nina mawazo nataka unipatie dawa ya usingizi.’’nilimuonyeshea sura ya huruma nesi Yule ambaye baada ya kumjibu vile hakuwa na kusema lingine aliipokea hela yangu nakunipa vidonge vya usingizi na kuniandikia jinsi la kumeza kisha akanikabidhi na mimi nikazipokea huku nikimuangalia sana jambo lililosababisha naye ainamie chini.
‘’jamaniii dada nianze peni hiyo mara moja na kikaratasi nina shida mara moja.’’nikamuomba kikaratasi Yule dada kisha naye akakipokea na haraka haraka mimi nikaandika namba yangu ya simu kisha nikaandika maneno ya kumwambia anipigie kisha nikamkabidhi ile karatasi ambayo aliipokea na kuanza kuisoma na mimi hapo hapo nikaondoka duka lile la dawa na hata sikufika mbali ujumbe mfupi katika simu yangu ukaingia ukisema.
‘’mimi ndiye Yule nesi naitwa loveness’’nikajikuta nikitabasamu haraka nikaisave namba yake ile na mara moja nikaendelea na safari yangu kuelekea sehemu nitakayokutana na catherine.mwanaume nikawai kufika sehemu hiyo sehemu ambayo kulikuwa na bar ikiambatana na gesti humohumo.haikuchukua hata muda mrefu catherini naye akajitokeza akiwa kavaa kimini chake kilichokuwa kikionyesha mapaja yake makubwa ambayo yalianza kunitega taratibu.catherini hakuwa mzuri sana ukimuangalia ila alikuwa ana shape mwanana ya kuvutia ambayo ni shawishi tosha kwa kila mwanaume atakayemuona.mwanaume nikamuagazia bia na yeye hakuwa na hiyana akawa anakunywa taratibu huku nikiwa naendelea kumshauri kuwa asimwambie chiku tukio lile nililolifanya.
‘’sitamwambia enhe ila hapa hatuonekani eeee’’
‘’ndioo ni sehemu tulivu hapa hatutoweza kuonekana na mtu yoyote.’’
‘’daaa hivi chooni wapi??’’catherini akaniambia na kusababisha nianze kushangilia sana nikamuelekeza chooni na yeye haraka akaondoka na kuniacha mimi ambaye sikufanya makosa nikachukua vidonge vile vya usingizi na kumuwekea kimoja katika bia yake aliyokuwa kaibakisha kidogo na haraka haraka nikailainisha kidonge kile na kidole changu haraka mpaka kikalainika kisha nikatulia.catherini akarudi kutoka maliwatoni na kama ule usemi usemayo USILOLIJUA NI SAWA SAWA NA USIKU WA KIZA catherini alivyokaa tu tena akaimalizia ile bia yake iliyokuwepo imebakia katika glasi yake ambayo nilikuwa nishamuwekea kidonge cha usingizi nikiwa na lengo kama akinywa basi alale.
‘’enhee Pablo nakunywa bia tatu hapa kwanza nipatie hi…z..o pes…aa uwiiii Pablo naona kichwa kinakuwa kizit…’’kabla hata ajamaliza kuongelea dawa ile ilikuwa ishafanya kazi yake na catherini hakuwa na ujanja taratibu akalala mzima mzima palepale kwenye meza.sikuwa na sababu ya kuchelewesha nikambeba licha ya kuwa mzito sana lakini nikambeba mpaka kuelekea katika vyumba vya kulala vilivyomo katika bar hiyo.
‘’wee huyo vipi mbona yuko hivyo??’’
‘’anhaa wasiwasi wako nini huyu demu wangu wee nipe room’’nikamjibu Yule jamaa wa mapokezi ambaye alionekana kustaajabishwa na mimi nilivyombeba catherini ambaye alikuwa hajitambui.
‘’sio wasiwasi majanga mengi sikuhizi isije ikawa unaenda kumuua mtoto wa watu.’’
‘’hahha hamna amekula sana tungi yani kazianzia nyumbani kijana usiogope.’’nikamjibu kwa kujiamini Yule jamaa wa mapokezi ambaye baada ya kumuambia vile hakuwa na sababu ya kuendelea kunizui akanikabidhi chumba na mimi nikaingia na Catherine ambaye alikuwa hajitambui kabisa.
‘’hahahaa kwisha habari mimi wewe hata sikubaki nakupiga picha za utupu tu halafu ukizingua tu kwa chiku na mimi navujisha hizi’’nikajisema kwa nguvu huku nikicheka baada ya kile nilichokipanga kutimia.taratibu nikamvua nguo zake chiku kuanzia juu mpaka chini na kubakiwa mtupu kabisa kisha nikazama mfukoni na kutoa simu yangu ya Samsung galaxy s3 ilikuwa na uwezo wa kupiga picha na kuchukua matukio ya video.kisha nikaanza kupiga picha nyingi nyingi zisizokuwa na idadi akiwa hana hata nguo catherini kuanzia uso wake mpaka katika unyayo akiwa hata hajitambui.niliporidhika baada ya kumpiga picha zisizopungua mia hivi nikatako kuondoka na kumuacha Catherine akiwa pale lakini nilipozidi kumuangalia vizuri hasa katika maungo yake nyeti hakika mwili ulikuwa ukisisimka balaa hata nilipotaka kukifikia kitasa mkono ukasita miguu ikakataa na macho yakakataa kabisa kutoangalia mwili wa catherini aliyekuwa katika usingizi mnono.taratibu nikajikuta nikianza kufungua kifungo kimoja kimoja.
‘’daa nisipomshughulikia nitaonekana mimi bwege kweli.’’…………
JIONEE DOGO ALICHOKIPATA BAADA YA KUTAKA KUIGA ASIYOYAJUA
HAKIKISHA UMEBONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YA VIDEO ILI KUWA MWANACHAMA WA CHANNEL YETU

HAKIKISHA UMEBONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YA VIDEO ILI KUWA MWANACHAMA WA CHANNEL YETU

USIKOSE SEHEMU YA SABA
Mpaka Kufikia Hapa Unaionaje Simulizi Yetu?
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Mpaka Kufikia Hapa Unaionaje Simulizi Yetu?
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni