Notifications
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…

AISEE KUMBE RAHA (2)

Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA PILI
Ni sura moja tu niliyekuwa naijua sura ambayo ilikuwa ni ya mwanamke mrembo ambaye ndiye aliyenigusa bega Hakuwa si mwingine bali ni CHIKU.........

SASA ENDELEA...
Macho ya chiku malegevu yalitosha kabisa kunikumbusha Kale kamchezo kafupi tuliofanya kwao lakini hatukafanikiwa kukimaliza Baada ya Mama yake Kurudi na kukatisha Mchezo ule.Hali ya halmashauri yangu ya kitendea Kazi kilianza kuleta uchokozi kwa kunyanyuka Baada ya chiku aliyekuwa ndani ya tabasamu nzito na Macho malegevu huku akiniangalia Kunipa mkono wake mlaini kwa lengo la kunisalimia Na Mimi tu nilipoupokea kwa Lengo kukabali salamu yake Ndipo karoti yangu ilipoanza kunyanyuka kidogo.

"Enhee Mambo??"Chiku bila ya kusita akavunja ukimya uliokuwepo ndani ya muda mfupi kwa kunisalimia Huku tukiwa bado tumeshikana mikono na mimi bila hata ya kuitikia Nikaunyanyua mkono wake ule wa kulia mkono uliokuwa hauna hata kovu na kuupeleka katika Mdomo wangu na kuubusu Jambo ambalo lilimfurahisha mno chiku na kusababisha Mashoga zake wale wawili waanze kuguna guna huku wote na wakionyesha hali ya kufurahia Hali ile.

"Mmmh shoga sasa mbona hata ututambulishi jamani shemeji yetu??"

"Hee jamani nyie hamna hata dogo waone sura zao Zimejaa umbeya tu"

"Heee chiku Unaogopa tutamuiba au tutambulishe jamani siunajua mjini hapa tutakuja kugongana bure na kuibiana utambulisho Muhimu" yalikuwa ni mazungumzo ya chiku na wale marafiki zake wawili mazungumzo ambayo yalisababisha nisitie neno kabisa zaidi ya kutabasamu tu kutokana walionekana ni watu wakutaniana sana.Kwa hali ya Madaha na yenye mbwebwe nyingi Chiku akasogea karibu yangu na kunikombatia Huku akiuchukua mkono wangu mwingine nakunishikisha kiuno chake Huku akiwaangalia mashoga zake waliokuwa wanacheka cheka sana kisha akaupeleka mdomo wake na kunibusu shavuni jambo ambalo lilinifanya nijisikie aibu flani kwa sababu kulikuwa na Watu wengi kituoni na miongoni mwa watu wengi walikuwa ni wanachuo wenzangu ambao baadhi yao wengi walikuwa wanatuangalia sisi kwa umakini na shauku kubwa.Baada ya kunibusu akanishika kidevu changu na kuanza kuvichezea vindevu vyangu vilivyoanza kuchepua huku mguu mmoja akiwa anautingisha tingisha kwa mapozi.

"Sasa sikieni Nyie malaya mnaopenda mwanaume za watu huyu anaitwa handsome boy wangu Pablo mwanaume wa shoka huyu kakamilika siunamuona alivyogentleman"

"Wooow shemu kumbe unaitwa pablo mimi naitw.........."

"Mmmhhh we mwanamke vp subiri mbona una haraka wakati bado sijamaliza kumtambulisha Haya pablo usione hivyoo ukajua labda sisi mapepe sana hawa mashosti zangu wa ukweli sana huyu anaitwa Catherini na huyu mwingine suzan"

"Ooohooo nashukuru kuwafahamu Je naweza kuwapa mikono na kuwakombatia?" Nilimwambia Chiku ambaye baada ya kusikia vile naye akaishia kutabasamu na Mimi bila ya hiyana nikamsogelea catherine na kumpa mikono kisha nikamkombatia jambo ambalo lilimfurahisha yule catherine ambaye baada ya kumkombatia naye akaanza kucheka na kumuangalia chiku ambaye naye alikuwa anacheka kwa jicho la uchokozi.Baada ya kumkombatia yule catherine nikamsogelea Na suzan ambaye alitaka kuniambia jina lake lakini chiku akamzuia.Nikampa mkono na yeye akaupokea lakini ghafla akanishtua baada ya kunibinya kwa staili flani ya madaha na nilipojaribu kumuangalia kwa staili ya kuibia ibia nikakuta na mkonyezo wa haraka haraka jambo liliniacha hoi sikusita naye kumkombatia Lakini nikiwa katika hali ya kumkombatia Kwa hali ya mshangoo suzani akaniambia.

"Nicheck katika namba tigo ya Kumi na mbili sifuri nne thelathini na Mbili nina shida na wewe" suzan aliniambia kwa haraka sana na kwa sauti ya chini sauti ambayo ilisababisha hakuna hata mmoja aliyeweza kusikia.Nilimuachia suzan ambaye alikuwa akiniangalia kwa umakini kisha nikapiga hatua moja nyuma na kumsogelea Chiku aliyekuwa hana hili wala lile.Tuliendelea na kupiga story za kawaida baada ya kusalimiana vile kwa muda kidogo kisha chiku akaniomba tuende pembeni kidogo palepale kituoni kuna kitu alikuwa anataka kuniambia.Sikuwa na hiyana bila ya kupoteza muda nikamshika mkono na Kuenda naye pembeni kidogo chiku.

"Sasa mbona ndio umekata mguu nyumbani tena huji jamani nimemiss kale kamchezo na wewe unaremba sanaa ujue"

"Daa hamna chiku nipo bize sana na Masomo siunajua tena"

"Sasa ndio unisuse kihivyoo jamani Mimi namba yako nimeipoteza hata kunipigia simu kweli unipendi"

"Hamna chiku wee kama vipi nipe simu yako nikuandikie namba yangu halafu unitumie messeji tuchart."

"Ooo poa pablo au twende sasa hivi mpenzi wangu"

"Aaaaaaa hamna bana tuongee tupange labda kesho."Nilimwambia chiku ambaye alionekana kununa baada ya kumuambia tutafanye kale kamchezo kesho na bila ya kupoteza muda nikaanza kumbembeleza na kumtuliza kisha nikachukua simu yake na kuandika namba yangu na kujibip kisha nikamrudishia.hakika hatukuongee sana chiku akaniaga huku akinisindikiza na Busu la upepo na kuenda mpaka kwa Marafiki zake catherini na suzan ambao nao waliishia kunipungia mkono kisha wakapotea katika macho yangu na kuniacha nikiwa palepale kituoni Nasubiri magari ya nyumbani kwetu ambayo yalikuwa ni adimu na kama yakija yalikuwa yamejazaa watu wengi waliokuwa wamejazana.

"Piiiiiiiiiiiiiii!!!"Piiiiiiiiiiiiiiii!!!!,Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"Nikiwa katika hali ya kukata tamaa kabisa

ya kupata gari mapema Ghafla nikasikia mlio mwingine wa Honi ya gari ndogo iliyojitokeza kituoni na kupaki Gari ambayo nilijikuta nikipotezea kwa sababu nilikuwa sijui na Niliishia kuingia tu na kuipotezea.Ghafla Nikaguswa bega na Mtu ambaye alikuwa pembezoni mwangu pale kituoni na kuniambia kuwa nilikuwa naitwa katika gari ile nyeupe iliyopaki pale kituoni na kupiga honi.Nikajikuta nikiaanza kujiuliza Maswali mengi kuhusiana na gari lile na kujitutumua kulisogelea huku nikiwa najiuliza maswali mengi mengi yasioyokuwa na Majibu ya ukweli na sahihi.kwa mwendo wa hatua fupifupi nilifanikiwa kufika mpaka katika lile gari na kumuangalia mtu anayenita na kupokelewa na dereva ambaye aliniambia kuwa niingie siti ya nyuma ya gari hilo Jambo ambalo lilinifanya kugoma.

"Weee nawe muoga unaogopa nini sasa hebu ingia bwana Mwanangu pablo."kwa hali ya mshangao nikasikia sauti ya mama chiku ambaye alishusha kioo cha siti nyuma na kufungua kabisa Mlango na kusababisha nisiwe na jinsi ya kufanya na bila ya kupoteza muda nikapiga hatua na kuingia kabisa na kuufunga mlango uliofungulia na Mama chiku bila hata ya kumsemesha kwanza.

"Shika...."

"Aaaaaaa Pablo mwanangu shikamoo ya nini kwanza haujambo"

"Mimi sijambo Mama chiku"

"Wee usiniite Mama chiku niite Anti tu hiyo inatosha enhe Mbona pale vipi??"

"Aaaa nasubiria Magari ya kuelekea nyumbani"

"Oooo basi usijali nitakufikisha huko kwenu na Nimefurahi ile inshu hukumwambia Mama yako huo ndio uanaume Mwanangu"Katika hali ya Mshangao tena bila ya kutarajia Mama chiku akanisogelea karibu yangu Na kunikombatia Huku mkono mwingine akiupeleka kifuani kwangu ndani ya Mule mule katika gari na kusababisha Dereza wa ile gari aanze kula chabo Kupitia kioo cha juu kabisa sehemu ya dereva.Hakika jambo lile lilinisisimua na kunikera kwa sababu aliyekuwa akinifanyia vile ni Mama chiku ambaye ni rafiki yake mkubwa mama na huyo chiku mwanaye ni Mrembo ambaye nilikuwa tayari na Miadi naye ya kwenda kuvunja Amri sita za Mungu.Kitendo kile cha kukombatia na kushikwa kifua Kimahaba na Mama chiku kilinifanya nimtoe mikono ya Mama chiku ambaye na kusogea pembeni kidogo jambo ambalo lilionekana kumsononesha kwa kiasi flani Mama chiku ambaye hakusita tena Kunisogelea Kimadaha na kimahaba Mimi tena na kufanya yale yale aliyoyafanya Mwanzo.

"Vipi Pablo unaogopa nini Baby"

"Niniiii Baby tena"Nilijikuta nikimuuliza Kwa sauti ya ukali mama chiku baada ya kuniita Baby jambo ambalo lilinikera zaidi na kunifanya nikunje uso wangu kwa hasira mno.

"Heee pablo nawe sasa baby ina Maana gani jamani si mtoto wewe ni Kama mwanangu ujue".........

Hakika maneno yale ya Mama chiku yalinikera sana na kujikuta nikimuangalia kwa jicho baya jicho ambalo lilikuja kunywea baada ya kumuangalia Mama chiku ambaye alikuwa akiniangalia mimi kwa macho ya mahaba yenye kurembua jambo ambalo lilizidi kuniacha hoi na kunipa kuzidi kunipa Maswali mengi katika kichwa changu

"Hivi huyu Mama chiku ana nini au Amelewa" lilikuwa ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa siri katika halmashauri ya kichwa changu kutokana hali aliyokuwa akinionyesha Mama chiku ambaye hata nilipojaribu kuvuta hewa ya kunusa sikusikia harafu ya Pombe na kuzidi kunipa wasiwasi na kujikuta kabisa nikiishiwa nguvu.

"Ma...maa mi Nas...huka ha..pa" kwa hali ya shida ya kusuasua kuzungumza nikajikuta nikimuambia Mama chiku kuwa nashuka pale jambo ambalo lilimfanya Mama chiku aniangalie kwa umakini wa hali ya jui huku safari hii akiniachia na kurudi nyuma kidogo.Nikajikuta nikifurahi kidogo baada Mama chiku kurudi Nyuma na kujikuta nikishusha pumzi ndefu ikiwa moja katia ya hali ya kushangilia kaushindi mwepesi niliofanikiwa kidogo kumtuliza Mama chiku.

"Heee jamani Pablo mwanangu kwani unaogopa Nini Mimi nitakupeleka mpaka kwenu Baby" nikiwa katika hali ya kuanza kushangalia ushindi ghafla kwa kasi ya Ajabu Mama chiku akanisogelea haraka na kupitisha mkono wake katika kiuno changu kisha bila hata ya aibu akanyanyua mguu wake na paja lake lote likaja kutua na kukaa karibu kabisa na Ikulu yangu ambayo kwa hali kubwa ya Mshangaoo na butwaa wa hali ile ikulu yangu kwa haraka ya hali ya juu ikasimama.hakika sikuwa na kusema lingine kwa hali ile aliyonifanyia Mama chiku kigugumizi kikanibana na kushindwa kabisa kuongea Mdomo wangu uliokuwa mwepesi kuongea sasa ukaleta uzito baada ya msisiko wa ghafla ulioningia baada ya mama chiku kuweka paja lake karibia kabisa na ikulu yangu na kufanikiwa kunifanyia nitulie kama teja aliyejidunga sindano katika mwili wake.Ile hali ilionekana kama nafasi pekee ya ushindi kwa Mama chiku ambaye hakuishia hapo taratibu akaanza kupeleka ulimi wake katika sikio langu la kulia na kuanza kugusa gusa na kuramba taratibu katika sikio langu na kuzidi kunisisimua na kuanza kuamsa vinyweleo vyangu vilivyolala na kuamka kutokana na hali ile.Mtoto wa kiume uzalendo ghafla ukanishinda na kujikuta nikishinda kabisa kujizuia pumzi nzito alizokuwa akihema mama chiku na kutoa upepo flani ulionipuliza ulinifanya nishindwe kabisa kujizuia na kunifanya mwanaume mkono ukinitoka na Barabara nikapeleka mpaka katika kiuno kipana cha Mama chiku na kuvuta karibu kabisa na kusababisha tugandane na Mama chiku ambaye hali ile ilimfanya bila Aibu tena tukiwa Ndani ya text kucheka na kumpa hali ngumu dereva wa gari ile ambaye kwa mbali alikuwa akila chabo kwa kuibia ibia kwa kuangalia katika kioo chake cha juu.Mwanaume uoga ukanitoka kabisa hali ya muamko wa mapenzi ukanitawala tena kwa kiasi kikubwa na bila hiyana nikaupeleka Mdomo wangu taratibu katika mdomo wa Mama chiku ambaye kwa ufundi wake kabla hata haujafika yeye akauwai na wote tukajikuta tukianza kudendeka kwa kasi ya ajabu huku mwanaume mkono mmoja ukiwa umeshikia Kiuno kipana na mwingine ukiwa umeshika shingo iliyokatika katika ya mama chiku iliyovalishwa cheni nzuri ya dhahabu.

"Oooh aaaa we...ee...mtoto he..bu na..niii d..ereva tupeleke lodge ya hapa tulipo karibu" uzalendo ukaanza kumshindwa mama chiku ambaye sio siri alikuwa ni mzuri sana ukilinganisha chiku mwenyewe umbo lake lilikuwa kubwa kiasi kutokana jinsi alivyo lakini alikuwa ni mrembo balaa macho yake makubwa ndio yalimfanya aonekana mrembo haswa ikifuatiwa na kiuno chake kipana na kisindikizwa na mzigo aliofungasha nyuma lakini mwanzo kilichokuwa kinaleta ugumu kwangu ulikuwa ni umri wake kwangu mimi alikuwa kama Mama yangu ambaye ni rafiki yake kipenzi.Uzalendo hakumshinda tu Mama chiku hata dereva aliyekuwa akiiendesha gari lake pia ulimshinda hii ilitokana na yeye baada ya kuambiwa atafute lodge haikuchukua hata dakika ishirini akaipata na Bila ya kupoteza muda akalisimamisha gari katika lodge ambayo ilikuwa imejificha jificha kidogo kwa jinsi ilivyokuwa ikionekana na bila ya kupoteza muda mwanaume nikaufungua mlango na kutoka akifuatiwa na Mama chiku ambaye alikuwa kashika mkoba wake ambao baada ya kutoka akaufungua nakutoa noti mbili za elfu tano tano na kumkabidhi dereva aliyezipokea kwa hekima zote.

"Usicheze Mbali John nitakupigia uje kunichukua"

"Ooo sawa Mama nitakuja ukinipigia tu nitakuja Mama angu"

"Sawa usijali basi ongezea na Elfu tano hii ili usije ukasahau Maana Wee akili yako mi naijua vizuri" bila ya kupoteza muda mama chiku akamuongezea pesa yule dereva baada ya kuingiza tena mkono wake katika mkoba aliovaa na kutoa tena noti ya shilingi elfu tano na kukabidhi dereva ambaye alikuwa akiniangalia kwa kuibia ibia jambo ambalo kwa mbali lilianza kunipa wasiwasi flani lakini nikajiribu kulipotezea.baada ya kumalizana na dereva mama chiku akanishika mkono na moja kwa moja tukaingia ndani ya ile lodge iliyoonekana kama nyumba flani hivi iliyojengwa kwa kifahari.Tukafika mapokezi pale na kukaribishwa na Jamaa aliyetupokea palepale mapokezi na Mama chiku hakuwa na zaidi la kuongezea alilipa pesa ya chumba na bila ya kuchelewa yule jamaa wa mapokezi akatuelekeza chumba na kutupa funguo ambayo mama chiku akanikabidhi mimi na sikuwa na hiyana nikaipokea huku nikiwa nimemsika mama chiku kiuno chake taratibu tukasogea mpaka katika chumba tulichoambiwa na Mimi bila ya kupoteza nikakifungua chumba hicho na kumtanguliza Mama chiku ambaye aliingia huku akinishika mkono na kuniingiza na Mimi na nilipoingia akaufunga Mlango ule kisha akaichukua funguo na kuufunga Mlango kwa funguo ambayo aliirushia katika meza ya kioo iliyokuwepo ndani mule na kusababisha kelele flani kisha akaurusha tena mkoba wake katika meza na kusababisha kelele tena.Mwanaume wakati huo nilikuwa nishajibwaga kitanda huku Macho yangu yakianza kuukagua mwili wa Mama chiku kwa umakini wa hali ya juu kuanzia juu mpaka chini na kusababisha naye awe ananiangalia huku akiwa anatabasamu huku akiwa anarembua.mama chiku akaanza kuvua cheni yake aliyovaa na kuweka tena palepale kwenye meza kisha akafuatia na kibanio cha nywele zake halisi alizobana na kuziachia baada ya kuzifungua na kwa taratibu akaanza kufungua vifungo vya blauzi yake aliyovaa taratibu jambo ambalo nililiona kama Mama chiku anachelewa vile Mwanaume nikajibetua beki pale kitandani na kukaa sawa kisha haraka haraka nikamsogelea mama chiku na kumshika kiuno na bila papara tukaanza kunyonyana denda palepale huku mimi nikiendeleza kuvifungua vifunguo vyake vya blauzi alilovaa aisee kumbe rahaa.......

BURUDIKA NA VIDEO HII UKIJIANDAA NA MUENDELEZO
MALIZIA KWA KUBONYEZA SUBSCRIBE IPO CHINI YA VIDEO HII KUJIUNGA



USIKOSE SEHEMU YA TATU

Tunazidi Kusonga Mbele Wapenzi Wasomaji, Hakikisha Unanijulisha Kama Umeipata na Umeipenda Simulizi Hii Kwa:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
3 Aisee Kumbe Raha Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni