Notifications
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (17)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Amatagaimba kabla ya kuondoka akachukua maji kutoka kwa Seidon na kumpa Anna, akayanywa kwa fujo na kuyamaliza. Nguvu zikamrejea. Anna akapanda juu ya farasi na Amatagaimba akatua nyuma yake, safari ikaanza.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon akapiga mbio kwa ustadi akipita vijilima vilivyo ndani yake, “Amatagaimba, Sherhazad na Wafuasi wake…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (16)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Seidon alikuwa katika hali mbaya sana, kama ni kupambana basi alikuwa kapambana na jitu la kutisha linalowaka moto kila upande. Ilikuwa ni wakati wa kumaliza kazi aliyotumwa, akasikia radi zikipiga huku na huko, yule malaika wa moto akashtuka na akajua kwa vyovyote mvua itapiga hapo muda si mrefu, na kweli alipogeuka ulikotokea mlio ule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (15)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Amatagaimba akarudisha upanga wake na kumpa mkono, akamwinua.“Wewe ni nani?” Amatagaimba akauliza.“Anna, naitwa Anna, Anna Davis,” akajitambulisha kwa sauti ya kukwamakwama.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“We umeingiaje huku?” Amatagaimba akauliza tena mara hii kwa mshangao zaidi.“Nilikuwa na wenzangu, tulikuja ah, sijui hata kufanya nini, mimi nika,…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (14)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Seidon alisimama kwa taabu, akaliendea fuvu lile lililokuwa chini katika mchanga, lakini kabla hajaliokota alibaki kinya wazi, pale lilipoangukia mchanga wote uliondoka na kufanya duara, kisha lile fuvu likaonekana likiwa juu ya kitu kama jiwe jeupe safi ambalo halikuwa na hata chembe ya vumbi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon aliinama na kuokota…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (13)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...“Nimeiona shida yako, nimesikia kilio chako lakini jambo moja ninaloweza kukwambia ni kwamba, nguvu zetu na nguvu za huku ni kinzani sana, nikikuahidi kukuvusha katika daraja la pepo nitakuwa mkaidi mbele ya watu wangu, kwa kukusaidia ewe shujaa wetu, nitakuonesha njia ya kuzunguka ambayo itakufikisha katika lango la Hamunaptra,IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (12)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...“Seidon na Amatagaimba, nilikuwa nikiwasubiri kwa hamu kubwa mfike hapa, niliwaona tangu mbali na nia yenu njema, nifuateni,” Yule mzee akawaambia, Amatagaimba na Seidon wakatazamana kisha wakapeana ishara ya kumfuata wakaenda pamoja naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Mbele kidogo wakaingia kwenye piramidi moja dogo lakini lililoonekana kumegekamegeka…

MTAA WA TATU (31)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
Kila mmoja akapiga makofi ya pongezi kwa jibu zuri kutoka kwa kijana yule.
“Safi sana brother Noely yani umeongea ponti tupu"

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Wakati wakiwa wanaongea huku wakipata supu, ndipo wakaingia vijana kama wawili hivi wakiwa wameongozana na mtu mmoja wa makamu
Hafidhi baada kumuona yule mtu akashtuka alikuwa ni master wake
Ambaye ni Dennis basi kila mmoja akatowa salamu na kutafuta benchi
la kukaa, “jamani karibuni sana
Sehemu ya kukaa ni hii hapa, mama ntilie akawalibisha wateja wake.
Nao wakakaa na kuagiza oda zao,
“huu ni uzembe wenu nyie hivi wewe
Boyka na ujuzi wako wote unapigwaje na mwanamke"...
“sio hivyo mwalimu alinifanyia Attack ni shambulio la kushtukiza tu.
Mimi sikutegeme kabisa akili yangu ilikuwa kumpiga sijui mumewe yule nikashtukia napigwa mateke na ngumi za haraka haraka,

Nikajikuta nadondoka chini na kuteuka mguu"
Kessy akabaki kucheka tu, na kusema
“yani wewe bwege kweli utapigwaje na Mwanamke bwana"...
Yule mama ntilie akadakia kwa kusema
“wee kaka embu acha kutudharau wanawake kwani hatuna mikono au miguu
Tofauti yetu sisi na nyie ni ndogo tu, sisi tumepewa mashimo
Mawili nyie shimo moja na rungu lakini
Kazi tunaziweza hivi ujawai kumuona yule Mwanamke wa shoka sijui anaitwa Thanthia Roth rock au yule Anjela Mao
Na Thenthia Khan
jinsi wanavyopiga Wanaume basi hata bongo tunaweza wanaume kitu gani tunapiga tu"
Akamaliza kuongea hivyo.
“embu mwambie huyu ajielewi kabisa mbona kuna mdada sijui alikuwa demu wa Hafidhi kule dojo kila ukicheza nae sparring anakupiga"

“ahaa wapi nilikuwa namuachia tu mtoto mrembo kama yule kingine
Sikutaka kugombana na Hafidhi ni mshikaji wangu"
Kessy akaongea huku akiinuka na kuvuta kisahani cha chumvi na ndimu aweke kwenye supu.
Kisahani kilikuwa kalibu na Hafidhi,
“kumbe nyie wapiganaji ehee na huyo
Hafidhi mnaemtaja ndio kijana anetafutwa au?"
Ni swali kutoka kwa mama ntilie.
Hafidhi akaona bola aondoke haraka ndani ya kibanda hicho maana aliweza kugundua kitu kimoja Master wake alikuwa akimtupia jicho la kiwiziwizi yani
Kama kumtilia mashaka fulani hivi.
“kabla sijajibu swali lako naomba nikuulize kitu Dada yangu kama hautojali kuna kijana anaitwa
Eddy sijui kama unamfahamu?"

“Eddy si huyo katoka sasa hivi"
Kitendo cha kujibiwa tu
Dennis akatowa Wallet na kuchomoa noti ya shilling Elfu kumi na kusema
“vijana twendeni hakutaka hata chenji safari ilikuwa kumfata Eddy,
“Boyka na Scott naomba mtambuwe kitu kimoja huyu mtu tunaemfata sio
Eddy wala nini ni Hafidhi j Ikram kuweni makini"....

“mmh! Master acha kutufanya sisi watoto wadogo inamaana sisi Hafidhi hatumjui au"...
Basi ulikuwa mwendo wa harakaharaka kufika mbele kidogo wanamkuta
Mwanaume kasimama,
Sehemu ambayo ilikuwa kama imezungushiwa ukuta hivi hakuna watu watakao weza kuona kitu.

“kwanza nashukuru sana kwa kuweza kukutana nawe kijana wangu
Hafidhi tambua hatukuja kukusaka wewe kwa shari"
Dennis akaanza kuongea hivyo,
“sikia nikwambie kitu Master kwanza mkataba wa Mimi na wewe umeisha tokea kipindi kile sasa basi shika yako nishike yangu sihitaji kukuvunjia heshima"

“shatapu funga domo lako mjinga wewe usithubutu kuongea kitu kama hicho mbele ya Master kwanza wewe bado ni mtoto mdogo sana kwetu.
Hapa utake usitake utaenda kwa baba yako!"
Kessy akaongea hivyo huku akimsogelea
Hafidhi hakujuwa kama anafanya kosa kubwa sana mbele ya
mtu hatali kama huyo kitendo cha kumkalibia tu akajikuta anarudishwa sehemu aliyotoka kwa mateke ya Gojoruu
na kuanguka miguuni kwa master wake
“sikieni nyie wajinga kama mmetumwa nendeni mkampe jibu huyo boss wenu
Mwambieni hivi
Hafidhi kwasasa yuko kikazi zaidi"...
Ghafla Boyka na Kessy wakajipanga na kuja kumshambulia kwa pamoja ilikuwa hatali tupu, basi Boyka ni mkali wa mateke wakati
Kessy ni mkali wa ngumi ikawa
Hafidhi akikwepa huku anapigwa kule akapigwa kama mtoto mpaka master wake akasema,
“Kessy Boyka inatosha vijana embu mfungeni kamba tuondoke nae
Wakati huo mwanaume alikuwa yupo chini akicheuwa damu.
Kessy si akaenda kumshika kwa nia ya kumfunga kamba wee nani kasema,
Hafidhi akachenji Kessy akajikuta anadakwa mkono ukavunjwa
mwanaume akainuka kama mzimu vile,

ilikuwa ajabu kwa wote baada kuona kitu ambacho hakiwezekani kwa macho ya kawaida baada Hafidhi kuchenji mavazi na kuwa Ninja Shorten ni moja kati ya
Viumbe mwenye kuwakawaka mwilini
yani kama shorti ya umeme ikisambaa ndani ya mwili wake.
Kessy akiwa bado yupo chini akainuka
na kuanza kurudi nyuma
Dennis akamshika begani na kumwambia
“kijana hutakiwi kuogopa vitu kama hivi ni kawaida kutokea kwa mpiganaji kama wewe"

“sasa Master style gani ile mbona sisi hukutufunza tuwe vile"
Boyka akiwa na hofu akazungumza hivyo huku Mwanaume akianza kupiga hatua kuwafata wao.
Dennis hakutaka kuogopa wala kuhofia chochote akiwa kama
Master akasimama imara kupambana na mwanafunzi wake.
mkono ukaanza hapo kati ya Mwalimu na mwanafunzi ilikuwa piga nikupige
funua nikufunuwe, Boyka na Kessy nao wakaingilia ikawa mtu tatu kwa mmoja
Hafidhi nae aliweza kuwadhibiti kila nyanja Boyka akapigwa Jeb moja tu na kuvunjwa mguu,
Wakati Kessy anajikaza kiume ukizingatia kashavunjwa mkono
Siku zote master ni master tu alikuwa akipiga teknik za power of mind.
Huku Hafidhi akidank na kuchumpa ukutani na kutua nyuma yake mara mbele yani alikuwa akimpiga chenga za mwili tu
Dennis ujanja ukamuishia
Akashikwa mkono na kuvutwa
Kohoo ndio sauti iliyoweza kusikika baada
Dennis nae kuvunjwa mkono,
Mpaka hapo akabaki akiwa hoi mwanaume akaruka juu na kutokomea zake gizani
japokuwa ilikuwa yapata kama saa tano hivi ya Asubuhi
Vijana na master wao wapo chini wakiugulia maumivu,
Ikabidi Kessy apaze sauti kuita watu
ikiwezekana wapatiwe msaada,
“jamani ehee tunakufa hukuu"

Dakika si nyingi watu wakajazana eneo hilo na kuanza kuulizana kuna nini.
Mbona hawa watu wapo humu sehemu ya Godauni ikabidi wabebwe na kuwahishwa hospitali
Kikundi cha nyonya
Mavi kata funuwa nao walikuwa kwenye mawindo ya kumsaka Hafidhi wakati 3Sisters madada watatu
wakizidi kuumiza kichwa,
Basi polisi wakapata taarifa kuwa muuwaji kawajeruhi watu watatu wakafika hospitali na kuchukuwa maelezo ndani ya Mabibo kukavamiwa na kikosi cha FBI polisi na 3Sisters
Ulikuwa msako wa nyumba hadi kichochoro.
Wakaingia ghetto kwa Hafidhi na kukutana na ujumbe mzito umeandikwa ukutani kwa damu tena ilikuwa bado mbichi kabisa ikionyesha mwenyewe hayupo mbali kama kutoka basi katoka sasa hivi.

(MAISHA NI SAFARI NDEFU SANA SIKU ZOTE MTAZIDI KUISHA NA KUPUKUTIKA KAMA KUKU WENYE MDONDO HILI NI JESHI LA MTU MMOJA TU
NITAUWA KILA MTU SITOJALI NINI WALA NANI".....

Kila mmoja akabaki kukodolea macho pale ukutani kwani ujumbe ulikuwa wa kutisha embu tuendelee kuusoma

NIMEANDIKA UJUMBE HUU KUTOKANA DAMU YANGU MIMI MWENYEWE IKIMAANISHA NISHAJITOLEA KUMWAGA DAMU KWA YEYOTE YULE
NITAUWA FAMILIA ZENU NA NYIE WENYEWE NITAKA VIUNGO VYENU KISHA NIVITAFUNE VIBICHI".....
Mariam akashindwa kuendelea kusoma akatoka zake nnje huku akijifuta jasho na kusema
“huyu mwana haramu anataka kutushika mapembe sio,
siku akiingia mikononi mwetu atajuta kutufahamu"...simu yake ikawa inaita kwa wakati huo hakutaka kupokea simu akaiyacha iite tu,
“Mariam usikii kama simu yako inaita hiyo?"
Vivian akamuuliza hivyo na kuichukuwa ile
simu sauti ya kilio ikasikika ikitokea upande wa pili
“hiii msaada please nimevamiwa huku"
“wapi???
Vivian akauliza kwa sauti kubwa na kupiga hatua kutoka nnje kabisa
“huku maeneo ya Jangwani"
Vivian akakata simu na kuingia ndani ya gari akaondoka kwa speed yote, akiwa maeneo ya Ubungo kumbe nyuma yake alikuwa akifatiliwa bila yeye mwenyewe kufahamu,
Akafika Jangwani na kupaki gari akatizama huku na kule
hakuweza kuona mtu zaidi ya kila mtu kuwa bize na mambo yake, akaitoa simu
Apige akahisi mikono ikimtambaa kwa nyuma yani akishikwa kiuno akageuka kwa hasira huku akitukana tusi. Uso kwa uso
na Hafidhi hakuweza kumtambua kabisa
“embu niachie kwanza mshenzi mkubwa umeona hii shepu ya kudandia dandia nitakuchakaza ohoo kwanza nani wewe?
Mtoto wakike akauliza hivyo huku akiwa katika hatua ya kupaniki.
“mtoto mzuri tulia basi usitake kunijuwa mimi ni nani
kwa wakati huu naitaji twende sehemu tukapate moja moto moja baridi.
Hakika nimetokea kuvutiwa nawe ghafla jamanii!!!
Mwanaume akaongea hivyo kwa kujiamini sana,
“hivi wee mwehu ehee yani hunijui sikujui unakuja tu kunidandia na kushika kiuno changu je nikiwa mke wa mtu?"

“ushasema je lakini sio mke wa mtu
Please nikubarie basi naitaji kampani yako mrembo"
Mwanaume akaanza vituko mara apige pushap akavua T-shirt yake na kuifuta saitmira ya gari akajicheki na kuuliza
“binti mbona mi handsome tu kwani nina kasoro gani mpaka utaki kunielewa".....
Akaenda kumpigia magoti
na kumshika miguuni.
Yani ilikuwa kama vile mazoezi ya kuigiza bongo movie, Vivian akabaki kucheka na kutabasamu akajiuliza kumbe duniani kuna wanaume wa ajabu ehee
yani kampenda ghafla tu, hakuweza kutambuwa kama mwenzake yupo katika mbinu ya kumteka kimapenzi aweze kumtumia vile anavyotaka yeye.
“ok! Nimekuelewa je unaweza kunisaidia kitu?"
Vivian akamuuliza Hafidhi na kumwambia kamuelewa ikimaanisha yupo tayari kuwa nae kimapenzi.
“nashukuru sana mrembo yani imekuwa kama bahati nimeokota Dhahabu
ndani ya uwanja wa mpira watu kibao hawakuweza kuiyona tena ilikuwa ni kubwa thank you,
Hafidhi akaongea hivyo huku akimkumbatia Vivian.
“mpenzi nimekuuliza je unaweza kunisaidia kitu?"

“ndio naweza niambie unataka niibebe hii gari au nilime nyasi zote zilizoko Jangwani
Niambie mtoto mzuri mbele yako sitoweza kushindwa chochote kile"
Vivian akamuona jamaa ni bonge la Komedian yani full vituko,
“sio hivyo bwana nilipigiwa simu na shogaangu akisema ametekwa na yupo maeneo haya ya Jangwani ajabu nafika hapa simuoni"...

“Duhuu pole sana mpenzi ushatowa taarifa polisi au bado?"

“hapana huu sio muda wake wa kutoa taarifa kwa polisi maana mtekaji alinitaka nifike mimi mwenyewe,
“basi mpigie simu inawezekana kajificha sehemu baada kuona tupo watu wawili hapa"...
“inawezekana ikawa hivyo
Tatizo katumia simu ya mezani ni ngumu Mimi kupiga kwa kutumia simu ya mkononi
haina shida ingia kwenye gari twenzetu baby"
Vivian akaongea hivyo na kuingia ndani ya gari
Safari ikaanza sijui kwenda hotelini au wapi,
“kwanza nikuombe samahani kwa kutibua mipango ya kumfatilia mtu wako, nahisi uwepo wangu pale ndio maana mtekaji akashindwa kujitokeza"

“Usijali wala nini hili swala nitalifikisha sehemu husika mmh!
Samahani unaitwa nani maana nimetokea kukuzoea ghafla pasipo kulifahamu jina lako!"

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni