Notifications
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…

MY DIARY (1)

Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA KWANZA
Nilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,
kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia mwanaume wa tatu waliokuwa nao.

Akaongeza basi huyu tusimwite tena BAMBUCHA bali tumpe jina la bia kwani inaonesha thamani yake ni kubwa zaidi. Basi wote kwa pamoja wakacheka.

Wakati nikiendelea kutingisha makalio yangu ambayo kiukweli yalikuwa yakitetemeka kama mawimbi ya bahari, Yule aliyetoa hoja akapendekeza jina linalofanana na bia eti kutokana na uzuri niliokuwa nao aliniita HAINKEN WOWOWO.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Ilinibidi nicheke kwa nguvu kitu ambacho kiliwashitua mashabiki wangu waliokuwa wakinifuatilia, hawakujua nilikuwa nikicheka nini wakajua labda nilifurahishwa na ule wimbo wa kanga ndembendembe laki si pesa. Wakati nikiendelea kuzungusha nyonga yangu kwa ufundi wa ajabu niliokuwa nao niliendelea kufuatilia mazunguzo ya wale watu waliokuwa wamekaa meza ya karibu na jukwaa. Niliendelea kuzungusha nyonga na kwa wale ambao ndo ilikuwa ni mara yao ya kwanza kuniona walishangaa sana.

Lakini kwa wale ambao walishaniona kwenye shindano la miss nyonga kule Arusha wasingeshangaa sana kwani kile ndo kipaji nilichojaliwa na mwenyezi Mungu. Nilizungusha kisawa sawa huku nikirembua macho yangu kitu ambacho siku zote kilikuwa nikiwaumiza wanaume wenye tamaa. Kwa ufundi wa ajabu nilio kuwa nao niliendelea kufuatilia wimbo niliowekewa huku nikilitegeza sikio langu moja kwenye ile meza iliyokuwa karibu yangu. Wale wanaume waliendelea kunitumbulia macho huku wakiendelea kubishana juu ya jina gani wangenibatiza kulingana na uzuri wangu.

Nilibahatika kumsikia mmoja akimwita muhudumu kwa fujo na kumwambia “inaelekea wewe hujui majukumu yako, mbona bia imeisha na umekaa mbali?

Dada kwa heshima kubwa na kutambua kuwa walikuwa wameanza kulewa alimjibu kwa kumbaia samahani kaka” Sitaki samhani yako niletee bia inayofanana na huyo dada kwenye jukwaa. Yule muhudumu alibaki ameduwaa asijue nini cha kufanya. Akauliza jamani kaka mbona sikuelewi nikuletee kinywaji gani? Kaka kwa ukali akamwambia kinachofanana na huyo dada.

Muhudumu akaenda kaunta na alipokuja alikuja na soda kubwa iliyojazia yaani BAMBUCHA. Watu wote kwenye meza yao walishangaa yaani mtu alikuwa anakunywa bia na sasa ameletewa Bambucha. Ili bidi wapigwe na butwaa, yule jamaa akamuuliza yule muhudumu kwanini umeleta hii soda? Muhudumu kwa kujiamini alisema ‘Ni kwa sababu huyo dada anaitwa BAMBUCHA.Basi watu wote pale mezani waliangua kicheko.

Basi kwa kuwa kila mtu alipewa nyimbo tatu kuonesha maujuzi ya kuzungusha nyonga na kuchezesha makalio, hivyo mimi niliwekewa wimbo wangu wa mwisho. Huku nikibadilisha staili na kucheza ile matata ya kulala chini kisha kuzungusha kama vile upo juu ya mwanaume. Nilimsikia yule mteja akimwambia muhudumu niletee HAINKEN WOWOWO na wakati Yule dada akitafakari Heinken wowowo ni ipi, kwa macho yangu ya wizi nilimwona yule kaka akifungua pochi yake na kutoa hela na kila kwenye noti ya elfu kumi alikuwa akiandika kitu.

Sikujua alikuwa akiaandika nini nitakwambia nikishuka jukwaani. Basi nikaamua kuendelea kufanya yangu na nilikuwa namalizia na ile staili ya mdembwedo.

Hii staili ni mbaya sana kwani unakuwa kama unajizalilisha, hapa wapambe wangu walinimwagia maji kwenye makalio hivyo kuwa ndembendembe. Nilitumia vizuri vidole vyangu kuviingiza sehemu ambazo kwa kweli naogopa kusema. Yule kaka akashindwa kuvumilia akanifuta na kunimwagia zile noti za elfu kumi kumi.

Sikujua alinipa shiling ngapi kwa kuwa haikuwa kazi yangu kuokota hela ila kwa utundu wangu niliivuta moja kwa kutumia vidole vya miguu yangu. Nilifanya hivyo kwa sababu mara nyingine huwa tunazulumiwa na pia nilitaka kujua yule kaka aliandika nini kwenye zile hela. Wakati nashuka ili kuruhusu mshiriki mwingine apande na kuendelea na vitu vyake, nilimsikia tena yule kaka akibishana na yule muhudumu “nimekwambia Heinken wowoo sio Mutungi.

Hapo nikajua yule kaka atakuwa amekaa sana nje ya nchi maaana zile bia watanzania wengi hawazinywi kwa kuhofia bei. Basi muhudumu alimwita meneja wa bar kwani ilionekana walikuwa hawaelewani. Basi meneja aliweza kumwelewa na kumpa bia iliyofanana na mimi.

Baadaye nilipewa zile hela zangu japo nilihisi wamenichakachua.Kumbe kwenye zile noti aliandika namba zake na mara baada ya shindano kuisha na mimi kutangazwa mshindi niliamua kumtafuta yule kaka. Aliongea mengi ila kubwa na la muhimu kwake eti alitangaza nia ya kunioa. Nilishangaa sana itawezekanaje umwone msichana siku moja umpende na utake kumwoa. Kwa kweli haikuniingia akilini na pia nilimwonea huruma sana kwa kuwa hakujua historia yangu.

Baadaye tulielewana na kwenda kuchukua chumba na kulala. Ingawa alinilipa hela yangu lakini hakutka tufanye mapenzi kitu ambacho sikuamini maishani mwangu kuwa mwanaume anaweza kulala na mwanamke mzuri kama mimi na hasifanye kitu chochote. Ilibidi niwe mkali lakini aliniambia anilipe mara mbili ili niwe nae kwani alikuwa anataka kujua hisoria yangu ya maisha.Nikahisi labla alikuwa akifanya utafiti, basi nilimwambia historia yangu ni ndefu sana ingawa nimeeiandika kwenye diary yangu kwa leo siwezi kukupata hata robo labda kama tusilale.. Yule kaka aliendelea kunishangaaa. Nikamwambia atoe historia yake alafu ya kwangu nitamtafuta yule mwandishi mashuhuri Eliado aiandike kwenye kitabu.

Basi ingawa nilkuwa namjua kuwa ni star wa bongo movies, nilijifanya sijui chochote. Alieleza stori ndefu sana ya maisha yake hasa upande wa mahusiano na mafanikio yake. Nilimsikiliza sana na kwa kweli nilitokewa kuvutiwa nae japo kiukweli sikuwahi kufikiria kuwa nitakuja kuolewa maishani mangu hivyo ombi lake la kutaka kunioa liliniumiza sana hasa kutokana na ugumu wa historai yangu.

Baadaye alinimba niombe kushiriki shindano la big brother Africa na akasema kutokana na umaarufu wake atanipigania nipate nafasi hiyo. Nilifurahi sana maana siku zote niliamini nitakuja kuwa super star mkubwa sana wa nchi hii.Alisistiza kwamba pamoja na mambo mengine uzuri wangu ni kigezo tosha cha kucheza filamu hivyo ataniingiza kwenye filamu mpya ambayo ingetoka mwezi ujao.

Watanzania hawakuamini kuwa naweza kuwawakilisha vyema kwenye shindano la big brother Africa mpaka pale nilipotangazwa mshindi. Vyombo vya habari vya Tanzania na Afrika kwa ujumla vinmenizunguka wakitaka kujua historia yangu, napatwa na kigugumizi kwa kuwa historia yangu ni ngumu sana. Wazo la haraka ni kumpigia Elias Adolf maarufu kama eliado mwandishi mashuhuri aje kunisaidia maana mara ya mwisho alinambia ataniandalia kitabu cha kumbukumbu za maisha yangu

Nilikuwa hata sijajitambulisha kwani nilitaka mjue asili ya majina yangu maana kiukweli nilikuwa na majina mengi kabla na baada ya kuwa superstar. Ila nitatumia jina langu la asili nililopewa na wazazi wangu. Nilipozaliwa tu wazazi wangu waliniita Leah. Ni mtoto wa kimbulu niliyechanganya damu na mama wa kiharabu. Nina historia ndefu sana ambayo kiukweli inahuzunisha sana. Lakini kwa kuwa dunia mapito nitaeleza kwa kifupi hasa upande wa mahusianao na mapenzi. Mimi ni mtoto wa pekee wa kike katika familia ya mzee Bura mzee ambaye alikuwa ni maarufu na tajiri mkubwa pale jijini Arusha.

Ingawa nina mapungufu yangu ya kimaisha lakini kiukweli nimejaliwa uzuri ambao kwa namna moja au nyingine ndo chanzo cha kuharibikiwa na kisha kufanikiwa katika maisha yangu.Ni mweupe kiasi, mwenye umbo la kibantu na nyuma nimefungashia kama mlima kitonga. Nina sura ya mduara kama watoto wa kiharabu ambapo kwa haraka haraka ukikutana na mimi huwezi amini kuwa ni mtanzania tena wa Arusha.

Mungu kanijalia umbo,sura, mwendo, macho na kila kiungo unachojua wewe kinaweza mvutia mwnaume.Ni mnene lakini si ule wa kuboa ni ule wa mpangilio na kwa kweli sina matiti makubwa. Nina macho ya mlegezo ambapo kiukweli nikikuangalia mara mbili ni lazima tu utanitamani. Kasoro yangu kubwa au kilema mungu alichonipa ni

Mungu kanijalia umbo,sura, mwendo, macho na kila kiungo unachojua wewe kinaweza mvutia mwnaume.Ni mnene lakini si ule wa kuboa ni ule wa mpangilio na kwa kweli sina matiti makubwa. Nina macho ya mlegezo ambapo kiukweli nikikuangalia mara mbili ni lazima tu utanitamani. Kasoro yangu kubwa au kilema mungu alichonipa ni kile kilema pendwa yaani kuwa na vijishimo mashavuni mwangu ambapo kila nikicheka vinaonekana(DIMPOZ).

Leah jina langu la utotoni kwa sasa lishapotea kutokana na matukio yangu. Club za Arusha na sehemu zingine za starehe jijini pale wananijua kama BAMBUCHA. Na jina hili nilipewa siku niliyoshinda taji la miss BANTU. Moshi nilipewa jina la Heinken wowow au Heinken Mutungi baada ya kushinda shindano la kuzungusha nyonga. Mpaka sasa sijui idadi ya wanaume ambao nishawahi kulala nao ila hawapungui elfu 1.

Ndio usishangae kwani kwenye daftari langu la kumbukumbu mpaka mwaka jana idadi ya wanaume nilotembea nao walikuwa 892. Sasa ndani ya huu mwaka watakuwa wamezidi elfu lazima. Sipendi na inaniuma sana ila nataka watu wajifunze kutokana na historia hii.

Naamini mtanifuatili hadi mwisho ili iwe fundisho kwa wasichana wazuri kama mimi na kwa wanaume wote wanaodanganyika kiurahisi na wasichana warembo. Sitoeleza kila kitu kuhusu maisha yangu lakini nitaeleza vile ninavyovikumbuka na pia ni funzo na fundisho kwa wengine.
Nimezaliwa miaka 27 iliyopita huko mkoani Arusha, familia yetu ni moja au miongoni mwa familia tajiri. Kwetu tupo tu wawili mmoja wa kiume na mwingine ndo mimi. Kwa hiyo tupo mimi na kaka yangu tu ambaye na yeye masikini ya mungu maisha yake yaliingia doa hata sijui ni kwa nini familia yetu imekuwa na majanga hivi.

Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
67 featured My Diary Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni