Notifications
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…

MTAA WA TATU (35)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA THELATHINI NA TANO
Hafidhi akashuka na kumfata
“Kassim"
Kessy akashtuka kuitwa jina lake ikabidi ageuke kumtizama huyo anaemwita
Ni nani.

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Akashtuka zaidi baada kugunduwa anaemwita ni mbaya wake kwa wakati huo mkono wake mmoja ni mbovu, ikabidi awe mpole tu, akajichekesha
“ohoo kaka mkubwa naona leo uko huku vipi tena"...
“sikia nikwambie kitu Kassim siku zote sinaga muda wa kuongea sana
Ukiwa kama ndugu yangu naomba unijibu hiki nitakachokuuliza
Je huyu mzee unamfahamu?"
Hafidhi akauliza swali huku akimpatia simu Kessy sema Hafidhi anamwita
Kassim.
Nae akaipokea na kuitizama hiyo picha kwenye screen ya simu
Kisha akamrudishia kwa kumjibu
“hapana ndugu yangu simfahamu kabisa cha kukusaidia huyo
Mzee nishawai kumuona sehemu akiwa na Boyka huwenda wanafahamiana"

“ok! Ndugu kwajibu lako je Boyka naweza kumpata wapi kwa wakati huu yani anaishi wapi"...
“anaishi mtaa wa pili hapo ukitoka huu wanyuma yake nyumba number
Sita"....
“ahaaa unataka kusema kwa mzee
Simba sio au sio kule"..
“ndio hukohuko ndugu kumbe unapafahamu ehee?"
Hafidhi akaingia ndani gari na kuondoka zake,
Kessy akavuta pumzi nzito na kuzishusha
“opsiii"
Maana alikuwa anaongea na mtowa roho
kwakifupi anatisha kama
faya,
“vizuri sana vijana kwa kuweza kufanikisha hii kazi sasa basi
Huyu mbwa wangu ameweza kunenepa na kunawili hakika anapendeza sana embu mvueni nguo zake zote"
Vijana wakafanya kama walivyoagizwa na boss wao
Habiba aka chaniwa mavazi yake hadi
Chupi akabaki mtupu mbele ya baba yake
Sijui kamuokota au kamzaa maana dahaa
kisha vijana wote wakaamrishwa kutoka nnje mzee Khatibu alitaka kumbaka mwanae wa kumzaa,
“tafadhali baba yangu usifanye hivyo kumbuka Mimi ni mwanao wa kunizaa"
Habiba aliongea hivyo huku machozi yakimtoka sema haikusaidia kitu
Akajikuta anashikwa na kutupiwa kitandani katika kukuru kakala kitu kikapenya
na kuanza kupigwa pampu,,,
Akatulia kimyaa machozi yakidondoka na kurowanisha shuka
“Kaka Hafidhi popote ulipo naomba uisikie sauti yangu hii ni sauti ambayo
Hutoweza kuisikia tena kama Mungu akipenda tutakuja kuonana mbele ya haki
siku ambayo tutaisabiwa kwa yale tuliyoweza kuyafanya hapa duniani.
Kwaheli kwaheli ya kuonana,
Nilitamani kuweza kuziona harakati hizi za mapambano juu ya mafisadi wanyang'anyi matapeli
Na wote wenye tabia za kishenzi kama huyu Baba yangu leo hii ananibaka,
Uwiiiiiiiiiiii,,,yalaaaaa!!! Habiba alipiga kelele mwishoe akawa kimya.
Huku mzee Khatibu bila hoga wala haya akizidi kumpampu mpaka akaweza kukizi haja zake akainuka kutoka maungoni kwa mwanae akiwa na furaha,
“ahahaha baby haya inuka nikupe pesa yako ya malipo, yani sijawai kulala na Malaya mtamu kama wewe"....
Mzee Khatibu akaongea hivyo huku akimtupia noti za shilling elfu kumi pale kitandani,
Lakini Habiba alikuwa yupo kimyaa.
“wee Malaya inuka bwana unataka tena au?
Akafanya kumtekenya sema bibiye hakutikisika hata kidogo,
Akapaza sauti kuita walinzi.
“Walinzii!!!
Khatibu akaanza kudata aisee mapigo ya moyo yalikuwa yapo kimya kabisa,
Walinzi wakaingia na kuuliza
“vipi mzee mbona huko hivyo shukhuri ilikuwa nzito nini?"

“nzito wapi huyu Malaya kawa mzoga aisee embu ubebeni huu mwili mkautupe huko"
Kumbe Habiba alikuwa tayali ameshafariki, na Yale ndio yalikuwa maneno yake ya mwisho hapa Duniani, tuseme kauli ya mwisho.
Mwili ukabebwa na kwenda kutupwa
“please niache mi sijui chochote
Mdogo wangu, yalaa!!! Unaniumiza mguu"....
Zote zilikuwa kelele kutoka kwa Boyka baada kunaswa na Hafidhi yani ataje
Habiba kapelekwa wapi
Ghafla Hafidhi akaacha kumtesa
Macho yake yakatuwa kwenye flat screen iliyopo chumbani kwa Boyka
“Habari tulizoweza kuzipokea hivi punde kuhusu kutupwa kwa mwili wa msichana na watu wasioweza kufahamika
Maeno ya Manzese darajani mwili wa marehemu umehifadhiwa chumba cha maiti katika
Hospital ya taifa Muhimbili.
Hafidhi hakutaka kujiuliza sana akatoka mbio
Na kuingia kwenye gari safari ya kwenda Muhimbili hiyo.
Ndani ya hospital ya Muhimbili
3Sisters nao wakatia team ndani ya Hospital hiyo,
Hafidhi nae akafika na kwenda moja kwa moja mapokezi.
“za saa hizi Dada yangu nilikuwa naulizia kuhusu mwili wa marehemu uliookotwa leo mchana?"
Kabla ya kujibiwa akaguswa begani
Kugeuka ni
Vivian - Yusra - Mariam wakiwa katika mavazi yao ya kazi

Kitendo cha Hafidhi kuwaona 3Sisters wapo maeneo yale kilimshangaza sana na kubaki kujiuliza
maswali mengi kuhusu ujio wao, “vip baby mbona naona kama huamini hivi kutuona maeneo haya", kwa kifupi
tuliweza kuziona taarifa hizi tukiwa kule kwenye sherehe, ndipo nikawaomba marafiki zangu tuje huku
nikiwa nishafahamu atakuwa ni ndugu yako. Pole sana mpenzi”, bibiye Vivian aliongea hivyo huku
akimshika Hafidhi begani basi wakakumbatiana kidogo jamaa moyo wake ukashuka maana alijuwa
washaweza kumshtukia kumbe sivyo, basi wakaongozwa mpaka monchwari kwenda kuuwona mwili wa
marehemu. Hakika Hafidhi alidata si kidogo machozi yaliweza kumtoka pindi alipoweza kuuwona mwili
wa Habiba. Akazidi kulia utasema mtoto mdogo aiseee,
“Ni kitu gani umewakosea walimwengu mpaka wamekutendea kitendo cha kinyama kama hiki ewe Dada
yangu mpendwa’’,,,,,Habiba tafadhali amka uniambie nani kakutendea hivi ‘’ Wakina Viviani walikuwa na
kazi ya kumbembeleza tu, dakika si nyingi kina Salma nao hao wakafika huku wakilia baada kufanya
taratibu kadhaa mwili ukachukuliwa yani kesho yake Habiba akazikwa kwenye makaburi ya mtaa wa tatu
kwa heshima zote za dini ya kiislamu, watu wakaweza kutawanyika huku Hafidhi akipotea kwenye
mazingira ya utata. Walijitahidi kumtafuta huku na kule hakuweza kuonekana, kumbe mzee J Ikram
alipigiwa simu akaja na kikosi kizima cha kata funuwa nyonya mavi.
Wakati ndani ya mtaa wa tatu wakimtafuta Hafidhi kumbe mwenzao kwa wakati huo alikuwa yupo
pande za Bagamoyo kwenye kijipoli fulani hivi kuna mtu kamning’iniza kichwa chini miguu juu mtu
mwenyewe hakuwa mwingine ni Boyka.
“sikia nikwambie kitu Boyka wewe ni kama ndugu yangu nakumbuka ulinisaidia vitu vingi sana kipindi
kile wakati naingia dojo, ukaweza kuniongoza vyema kwenye mazoezi yangu mpaka siku ambayo
nikaweza kufuzu, sasa basi kuitunza heshima yako sitaki nikuuwe. Nitaweza kukuacha hai iwapo tu
utajibu maswali yangu kiufasaha, kwanza kabisa wewe ni nani?’’
Boyka huku akitetemeka akajibu
“tafadhali usiniuwe mimi naitwa Afred Boyka nitakueleza kila kitu kuhusu huyo mzee, kuna siku alikuja
kwenye Camp yetu kule Upanga na kudai kupotelewa na mwanae akaomba kama kuna yeyote
atakayeweza kumuona amkamate kuna kiasi cha pesa akaweka mezani!" “ok mpaka hapo nimeweza
kukuelewa je unaweza kunitajia hao walioweza kumteka Habiba nitaweza kuwapatia wapi?’’
“ndio nafahamu sehemu walipo kama vipi nikupeleke ndugu’’
“sitaki kupelekwa wewe nitajie tu wanapatikana wapi nitaenda mwenyewe’’,,,,Hafidhi aliongea hivyo
kwa sauti ya ukali huku akimchapa Boyka mkia wa taa uliotuwa moja kwa moja mgongoni, “yalaa!!!
Please nitakwambia wapo kule Tandale mitaa ya kwamtogore, kuna kijiwe kimoja kinaitwa New black
scorpion king ndipo wapo hapo!" “shukrani ndugu kwa majibu yako sasa nakutuma uwende kuzimu kwa
kazi moja tu nenda kamlinde Habiba’’ kitendo cha kufumba na kufumbuwa Boyka akachinjwa kama
mbuzi kisha mwanaume akasepa kwa kutumia simu ya Boyka akawapigia polisi na kuwapa taarifa kuhusu
mauwaji yaliyoweza kufanyika polisi wakafika eneo la tukio na kubaki vinywa wazi. Hakika muuwaji
anatisha si kidogo taarifa zikaweza kutangazwa juu ya kifo cha kijana kukutwa amechinjwa na
kuning’inizwa kama vile mbuzi anataka kuchunywa ngozi “Mungu wangu si Boyka huyu masikini kijana
Wangu dahaa"...
Deniss aliongea hivyo kwa hasira na kujiandaa kutoka kwenda hospitali kuuwona mwili wa Boyka. “kwa
mwendo huu mbona binaadamu tutakwisha wengi, yani jana tu kuna binti kauwawa kinyama na
kutupwa katikati ya soko kule Manzese, leo hii tena kijana wakiume kachinjwa mbona huyo muuwaji ni
hatari tupu’’…..
“nikwambie kitu Beny huyo muuwaji ndio homa ya jiji kwa wakati huu. Usikute kuna mauwaji mengine
hata hausiki kuyafanya yeye sema kuna mijitu imeweza kujichomeka hapo kutafuta kiki! Tu’’
“kumbe hata wewe umeona mbali ehee’’…. Yalikuwa mazungumzo baina ya konda na dereva wake
wakiwa kwenye kibanda cha mama ntilie wakipata msosi wakati wananchi wakiitupia lawama serikali
kwa uzembe wa kutoweza kumnasa muuwaji au wauwaji hata mmoja.
Tukija pande za Upanga siku hiyo kulikuwa na mashindano ya fighting baina ya team hiyo na vijana
kutoka dojo fulani kutokea huko Mbagala basi mashindano yalinoga si kidogo ukumbi ulifulika watu ni
wiki moja imepita tokea Boyka apoteze maisha, basi ilikuwa piga nikupige. Wakati watu wakiwa bize
kucheki burudani ya kufa mtu ghafla akaingia kiumbe kimetinga mavazi ya kininja yenye rangi nyekundu
kila mmoa akasimama na kukitizama kiumbe hicho basi kama aliweza kuwasoma vile akaingia uringoni
na kuomba sparingi na watu kumi, kila mtu alicheka kwa dharau maana ni kitu kisichowezekana mtu
mmoja kwa watu kumi hawakuweza kufahamu kama mwenzao kaja kwa kazi moja tu kuwapeleka wao
kuzimu kwa dharau zao wakaingia vijana wawili sekunde si nyingi kavunja shingo zao. Yani alikuwa yuko
faster mwepesi mno vijana kama kumi wakaingia ndani ya dakika sita kila mmoja akawa kimyaa
“jamani mbona kama yule Ninja anauwa kiukweli watu wakashtuka kumbe wamevamiwa wakaitaji
kumkamata milango ikafungwa kila mmoja akaitaji kujitolea kumbe walikuwa wanafanya makosa
makubwa sana kiumbe hicho sio cha kutaka kumbipu ni moto zaidi ya faya.

Mwanaume akawekwa mtu kati sema hakutishika wala kuteteleka ndio kwanza akakaa stance na kuanza kutembeza mkono yani ilikuwa balaa ndani ya ukumbi huo
Mwanaume alikuwa akipiga zile free kick za ajabu yani mtu anapigwa teke na kutupwa nnje ya uringo.
Hafidhi akazidi kucharuka si kidogo huku miili ya watu ikizidi kurundikana pasipokuwa na dalili za uhai baina yao.
“pigaa!!! Usiogope mkamate".....
Master wa dojo hilo akazidi kuhamasisha vijana wamkamate Ninja huyo hakika ikashindikana wakazidi kupotezwa mpaka wengine wakaamuwa kukimbi
Hafidhi ni shida tupu.
Taarifa zikafika kituo cha polisi nao wakaja faster na kukuta muuwaji kashaondoka,
“shenzi zake mtoto wa Malaya huyu
mbona anauwa watu hovyo hovyo
pasipo sababu yeyote ile.
sijui kakosewa kitu gani huyu panya?
Yalikuwa maneno ya Gadhabu kutoka kwa bibiye Yusra binafsi muuwaji
Anatia hasira vibaya mno yani ndani ya dojo hilo kauwa watu ishillini na nne si kitu kidogo hiki.
Ndugu jamaa na marafiki waliweza kufika eneo la tukio waweze kuitambuwa miili ya ndugu zao

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA SITA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni