Notifications
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (17)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Amatagaimba kabla ya kuondoka akachukua maji kutoka kwa Seidon na kumpa Anna, akayanywa kwa fujo na kuyamaliza. Nguvu zikamrejea. Anna akapanda juu ya farasi na Amatagaimba akatua nyuma yake, safari ikaanza.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon akapiga mbio kwa ustadi akipita vijilima vilivyo ndani yake, “Amatagaimba, Sherhazad na Wafuasi wake…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (16)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Seidon alikuwa katika hali mbaya sana, kama ni kupambana basi alikuwa kapambana na jitu la kutisha linalowaka moto kila upande. Ilikuwa ni wakati wa kumaliza kazi aliyotumwa, akasikia radi zikipiga huku na huko, yule malaika wa moto akashtuka na akajua kwa vyovyote mvua itapiga hapo muda si mrefu, na kweli alipogeuka ulikotokea mlio ule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (15)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Amatagaimba akarudisha upanga wake na kumpa mkono, akamwinua.“Wewe ni nani?” Amatagaimba akauliza.“Anna, naitwa Anna, Anna Davis,” akajitambulisha kwa sauti ya kukwamakwama.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“We umeingiaje huku?” Amatagaimba akauliza tena mara hii kwa mshangao zaidi.“Nilikuwa na wenzangu, tulikuja ah, sijui hata kufanya nini, mimi nika,…

MTAA WA TATU (33)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
(Are you my sister) habari yako dada yangu?" Sauti upande wapili ikasikika kijana wakiume akisalimia kwa English

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
(I'm fine my brother) nzuri tu kaka yangu ehee nikusaidie nini nawewe ni
nani?"
Yusra akaitikia kwa kizungu na kuuliza swali,
(my name is Martin Joseph
I live in mbezi beach) jina langu ni Martin Joseph naishi mbezi beach"
“mmh!
Yusra akaguna na kumuuliza
(I'm sorry you I speak with kiswahili)
Samahani kwani wewe huwezi kuonge kiswahi?"

“naweza sana kwani vipi Dada yangu"....
“kumbe unaweza ehee ok niambie nini shida yako Martin?"
Ukimya kidogo ukatawala kabla ya
Martini kuzungumza kwa kusema
“binafsi nimeipata number yako kupitia kwa jamaa yangu mmoja hivi ambaye ni afande naitaji kukwambia kitu je tunaweza kuonana?"
“mmh!"
Yusra akaguna tena na kumjibu
“kusema kweli haitowezekana kwanza mimi sio kiumbe cha kukutana na watu wa kawaida unaweza kuniambia hicho kitu kwenye simu ehee ongea!"

“basi sio mbaya Dada yangu nilitaka kukwambia kuhusu kufahamu sehemu anapoishi
Hafidhi j Ikram tena kama ingewezekana ningekupeleka mpaka nyumbani kwake"....
Simu ikakatwa huku Yusra akibaki kusema halloo,,,,,,,,,hallooo wee mkaka"
Akaitizama simu na kuona ishakatwa kitambo tu akaamua kumpigia
Sekunde si nyingi jamaa akapokea
“ok! Nipo tayari kukutana nawe niambie tukutane wapi?"

“kama hutojali njoo maeneo ya Kinondoni
Studio utanikuta Dada yangu,
Yusra akampigia simu Vivian
Basi simu ilikuwa inaita tu wakati huo
mambo yalikuwa mazito hasa tayari Hafidhi alishamwaga bao lake kutokana na kitumbua cha Vivian kuwa mnato,hakuchelewa kumwaga.
Na muda huo alikuwa amemkunja mtoto wa watu akilitafuta bao la Pili kama ujuavyo cha pili ndio heshima ya ndoa,basi alimsugua mpaka mtoto wa watu alikuwa anaomba mapumziko,,,,aaaaaaaaaah,,,bebiiiiiiiii,,,tupumziiiiikeeeeee­e,,,uuuuwiiiiiiiii,,,aaaaaaaaashiiiiiiii­iiii,,,alikuwa akisuguliwa kwa kasi hasa
Mtindo waliokaa ndio ulikuwa wa aina yake,ilikuwa ni ubavu,ila miguu ya Vivian ilikuwa begani mwa Hafidhi ambapo mikono ilikuwa mgongoni mwa bibiye kupitia makwapani.
Tena Hafidhi alifanya kama anamvutia kwake kwa nguvu,na kumkandamizia dudu lake ambapo Vivian alikuwa akiugulia utamu hasa,,,aaaaaaaaaaah,,,aaaaaaaaashiiiiiii

“huyu nae keshaanza umalaya yani kupiga simu kote huku apokei kudadeki zake' usikute kakunjwa hapo anashindwa hata kujisogeza.
Yusra akaongea hivyo na kumfanya yule kijana akicheka mbavu hana,
“Subiri nimcheki huyu mashauzi"
Akampigia simu bibiye Mariam kwa wakati huo alikuwa yupo kwenye mazoezi ya hatali akijiandaa kwa kila hali aweze kumkamata muuwaji.
Simu yake ikaita na kuipokea pasipo kuchelewa
“halloo niambie Nunga yembe"...

“Nunga yembe baba yako mpumbavu wee"...
Yusra akachukia kuitwa Nunga yembe na kumtukana Mariam
“acha kupaniki bibiye ehee lete mpya Nunga yembe"....

“Mariam embu acha uchizi wa kuniita majina ya ajabu ajabu sasa kwa taarifa tu yule muuwaji nishaweza kufahamu wapi anaishi jiandae faster uje
Kinondoni studio"..
Simu ikakatwa
Mariam hakutaka kujiuliza sana akatinga mavazi yake ya kazi akatoka mbio na kuingia ndani ya Gari safari ya kwenda Kinondoni ikaanza,
“Sasa Sukhair wewe endelea kutafuta hizo bidhaa huku madukani wacha Mimi niwai mission"
Yusra akaongea hivyo na kuingia ndani ya gari.
“sasa kaka kitu kimekubari kasema anakuja akifika tu pale mi nitampokea kisha nije nae chemba Wanaume tufanye yetu au sio
Ndugu zangu?"

“hapo ndipo penyewe tena naskia mtoto bado bikra kabisa nitakuwa wa kwanza kuivunja"
“ahaa wapi mipango yote nimeisuka Mimi yani wewe kiuraini uvunje ngome
Nitaitowa mwenyewe hiyo bikra"..
Simu ya mmoja wao ikaita kucheki akaweka kidole cha kati mdomoni
Ishara yakwamba wenzake wanyamaze.
“ehee niambie Dada"....

“nishafika hapa wewe upo wapi?"
“nisubiri nakuja sasa hivi my!"
Sekunde si nyingi jamaa akafika na kumuona Yusra kaegemea gari
“Mambo vipi?
Bila shaka wewe ndio Kamanda Yusra?"

“Ndio mimi"
“basi tusipoteze muda tunaweza tukaenda chemba nikupe fomosheni nzima kuhusu
Hafidhi, ikabidi waongozane wakaingia mitaa ya kinondoni kichochoro hiki na kile Mwisho wakatokezea sememu moja hivi
Ghafla bin Vuu
Yusra akiwa hana hili wala lile akajikuta anavishwa wavu kufumba na kufumbua kafungwa kamba za mikono hakuweza kuamini
Aisee akajiwazia kumbe ni moja kati ya mbinu za mtekaji na ndio kaingia mikononi
Mwake
“Dahaa kumbe
Yusra kanipigia simu sikuweza kupokea yani sijui nitamjibu nini
Vivian akaongea hivyo huku akiingia bafuni kuoga
Akaita
“baby njoo unisuguwe basi"....
Richi embu njoo bwana"
Japokuwa alimwita mpenzi wake kwa wakati huo alikuwa katoka kuna sehemu kaenda
“sijui kaenda wapi huyu Mwanaume yani kuingia bafuni tu mara hii kaondoka"...
Vivian akaichukuwa simu yake baada kuona inaita,
“Niambie
Shost kipapatio"
“nyoko zako kipapatio bibi yako mzaa bibi yako"

“hahahaha Mariam bwana basi usitokwe povu bure ehee niambie
Kipapatio!"

“yani wewe na Yusra nawachukia mjuwe mpaka natamani mngekuwa majambazi nikate vichwa vyenu kwa taarifa tu Yusra kanipigia simu kaniomba tukutane hapa Kinondoni
Studio tukamkamate muuwaji, ajabu nafika hapa nakuta gari yake tu yeye mwenyewe hayupo
Nampigie simu imeita Mara moja ikakatwa na kuzimwa kabisa",,,
(What!
Itakuwa katekwa au?"
“mi sijui"
“ok! Nisubiri nakuja sasa hivi siko mbali na maeneo haya"
Vivian akakata simu
“jamani nyie kina nani mnataka nini kutoka kwangu"..
Yusra akiwa na hofu akauliza hivyo
Wanaume wakaanza kucheka lakini kicheko kikazimika ghafla baada mmoja kati ya kukatwa kichwa
Damu zikaruka yani kichwa kule kiwiliwili huku
Wakashikwa na kiwewe mshituko fedheha na kubaki kukodoa macho tu
Mbele yao Ninja Short kasimama
Hapana chezea"....


Kila mmoja akauliza “nani wewe???
Ninja Short hakutaka maswali yasiokuwa na majibu akapiga hatua za kuwafata mkononi kashika visu vyake aina ya mundu, nao wakaona kama wakizubaa watakufa tena kifo cha kuchinjwa kama mwenzao. Kila mmoja akatimuwa mbio Yusra akiwa bado kafungwa kamba yupo pale chini akaitaji kujifunguwa aweze kupambana na kile kiumbe
Hafidhi kama aliweza kufahamu kuhusu adhma ya bibiye akamtupia kisu kidogo hivi
Kisha akachumpa na kupotea maeneo hayo.
Yusra mpaka anafanikiwa kufungua kamba kwa kuzikata na kile kisu kuangalia huku na kule haoni mtu zaidi ya kile kiwiliwili kikizidi kuvuja damu kichwa hakionekani,
“vipi tena Mariam ina maana hukuweza kumkuta maeneo haya?"
Bibiye Vivian akauliza hivyo baada kufika maeneo ya Kinondoni studio.
“yani hata sijui atakuwa wapi? Embu twende tukaulizie kwa yule muuza vocha pale".
Wakaongozana mpaka kwenye Kiosk kimoja hivi.
“za saa hizi kaka yangu?"

“nzuri tu Dada yangu sijui wewe?"
“mi niko powa samahani kaka yangu kuna kitu naitaji nikuulize"....

“uliza tu wala usijali"
“umeiyona ile gari pale?"
“ndio nimeiyona ile kuna mdada mmoja hivi wakipemba ndio kaja nayo dakika si nyingi akaja Mshamu na kuondoka nae"..
Mariam na Vivian wakatizamana na kusema ehee mambo si hayo,
“umesema kaondoka na Mshamu watakuwa wameenda wapi?"
Kijana yule bila kusita akajibu lile swali kwa kusema
“itakuwa kaenda nae kwake"..
“je unaweza kutupeleka kama hautojali"....

“dahaa kusema kweli itakuwa ngumu kufanya hivyo ukizingatia nipo kwenye biashara hapa
Na boss wangu yulee kule nikitoka itakuwa soo!"
Baada kijana yule kusema vile
Vivian akapiga hatua kadhaa kumfata huyo boss sekunde si nyingi akarudi akiwa kaongozana na huyo boss.
Akasema
“Benjamin kaka sio mbaya wapeleke tu mi nipo hapa"...
Benjamin hakuweza kuamini yani boss wake kampa ruhusa leo
Au sababu ya kupewa maneno matamu na huyu mrembo nini
Basi wakaongozana kwa kupita njia za mkato waweze kufika nyumbani kwa
Mshamu lakini wakashtushwa baada kufika sehemu ya tukio na kukuta umati wawatu umejazana yani wameweka kitu kama duwala hivi katikati kukiwa na kiwiliwili cha mtu.

Nao wakaitaji kufahamu kunani
“Mungu wangu huyu sio Mshamu?
Benjamin akajiuliza japo kimoyomoyo
Wakati umati wawatu ukiuliza maswali ya hapa na pale polisi nao wakaingia.
Mmoja kati ya vijana waliokimbia eneo la tukio baada kushindwa kutimiza lengo lao la kumbaka Yusra.
Alizidi kukimbia yani alikimbia wee mwishoe akachoka na kuamua kusimama ghafla
Ninja Short yupo mbele yake
“wee nani kwani? Unataka kitu gani kwangu kama yule binti si tumemuacha!"
Kijana aliongea hivyo huku akitetemeka na kuhisi haja kubwa na ndogo zinataka kutoka kwa pamoja,
Ninja Short mara nyingi huwa hapendi kuongea sana yeye yupo kivitendo akachumpa kwa kasi na kucheza na tumbo la kijana yule
Siraha yake ikachana tumbo la kijana utumbo ukamtoka akajitahidi kuushika kwa mikono yake miwili usiweze kutoka nnje zaidi.
Akashindwa damu zikabaki kumtoka akadondoka chini na kuwa kimyaa.
“Mbona mimi sikuwa mbali na maeneo haya"
Vivian akajiuliza swali
Mwili ukachukuliwa pasipo kichwa kupatikana,
Sijui muuwaji kaondoka nacho
”huu sasa ni ushirikina yani kaondoka na kichwa sijui kaenda kukifanyia kazi gani?"

“kwani marehemu alikuwa na kiubaraza kichwani?"
Mmoja kati mwana mama akauliza swali.
“hapa hakuwa na kiubaraza marehemu alikuwa kafuga nywele kuna muda alikuwa akisokota tried au anasuka ni mmoja kati ya Madanca katika maeneo yetu,
Kuna msichana akajibu lile swali
Wakati
Ninja Short akifanya mauwaji kwa kulikata tumbo la yule kijana akajiandaa kuondoka akashtushwa na sauti ya kike ikimuamrisha Asimame
“wee hapohapo ulipo weka mikono yako juu ole wako ukaidi amri hii tupa siraha zako haraka"....
Alikuwa bibiye Yusra kumbe nae alimfatilia na kumkuta ameshauwa. Bastora ikiwa mkononi kwa tahadhari zaidi akamsogelea akifahamu tayari kamuweka chini ya ulinzi hakuweza kufahamu kama kiumbe hicho kinakuwa kibaya zaidi pindi akiwa katinga mavazi hayo,
Yusra kwanza akaitaji kumvua mask bora angeanza kumfunga pingu.
Kitendo cha kumkalibia tu akajikuta anadakwa mkono na kupokonywa bastora yake huku yeye akisukumizwa mbali na pale Ninja Short akaruka juu na kutokomea zake gizani.
Yusra akabaki kukodowa macho tu kwanza akajiuliza mbona kama hiki kiumbe amenisaidia mimi
Inakuwaje hapa, kwanza ameweza kufahamu vipi kuhusu tatizo hili
Au kaamuwa kuwageuka wenzake?"
“uwiiiiii jamani kuna mauwaji hukuu muwajiiii!!!"
Kuna mtu akapaza sauti baada kuona mwili wa mtu umelala chini damu zikimvuja pembeni yake kukiwa na binti akajuwa ndio muuwaji.
Basi wananchi wakafika na kuitaji kumkamata Yusra wakati mwenzao kavurugwa hapo ikawa ndipo pabaya,
“Mkamateni huyo Dada ndio kauwa" ikawa kila anaemshika anapokea ngumi vifuti mateke viwiko yani bibiye alitembeza kichapo mpaka wananchi wakajuta kumshika

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA NNE

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni