MTAA WA TATU (46)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA AROBAINI NA SITA
Vilio vya majini vikaweza kusikika ndani ya chumba hicho kisha Mwanaume akatoka akiwa katapakaa damu Minjino imetokeza utasema vile zombie
Au Vampire
NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Ibnuwasi akamsogelea na kumshika kichwani akasema
“sina budi kukupa na nguvu zangu wewe ni damu yangu",,,,kitu kama tetemeko la
Aridhi likatokea yote ilikuwa nguvu akipewa
Hafidhi na baba yake
Ilichukuwa dakika kama kumi kila kitu kutulia
Kauli moja tu akaitowa
Hafidhi
“namtaka Makata"
Kisha akapotea".......
Zote zilikuwa ni hasira kutoka kwa bwana mkubwa Hafidhi kwa kusema anamtaka huyo Makata,
“sasa huko duniani kutakuwa hakutoshi,
maana ameshaweza kujitambuwa kwa upande wapili yeye ni nani,
itakuwa balaa juu ya balaa,"
Bibi yake akatamka hivyo huku akitabasamu
“lakini mama si ulisema mwanangu hatuko nae tena duniani imekuwaje kawa mzima?"
Ibnuwasi akauliza swali,
“kusema kweli hata mimi mwenyewe sijui nini kimetokea juu yake mpaka mapigo ya moyo yakarudi tena hewani
Maana yalikuwa kimyaa kabisa, kuonyesha amekufa"...
“basi utakuwa ni muujiza kwa upande wetu!"
Hafidhi baada kutoka upande wa
Majini akashika njia kuelekea kwa bibiye
Mariam hakika safari ilikuwa ndefu kidogo kwa upande wake akahitaji kuangalia
kuhusu watu wake wa karibu kwa muda huu wanafanya nini,
Basi akainama na kuchora kitu kama TV kisha akatemea mate na kutamka maneno fulani
TV ikawaka na kuleta picha kwanza kabisa akaweza kumuona
Mariam akiwa jikoni akipika wakati
Sebuleni kuna wageni kama watatu hivi
akawatasmini kwa haraka na kugunduwa ni ndugu zake Mariam
Akaigusa ile TV picha ikamuonyesha
Vivian akiwa kitandani amekaa huku akiongea na simu,
Akajiuliza anaongea na nani maana hakuweza kuyasikia yale mazungumzo, akaigusa aweze kumtazama sijui nani
Akashtuka baada kumuona
Jackson akiwa kashikwa na yeye huku akipuliziwa sijui nini,
“what? Huyu nani tena mbona kafanana na mimi katokea wapi huyu kiumbe kudadeki wacha nimuwai Jackson"...
Hafidhi akajiuliza maswali huku akikimbia kwa speed ya ajabu, ni kweli Jackson alikuwa katika hali mbaya baada kumuuliza
vipi mbona kama nikikugusa mwili wako una kama short.
Basi kiumbe kile kimuonekano kama Hafidhi mwenyewe kwa ghafla akamshika Jackson kichwani na kufanya kama anamsuka kumbe alikuwa akifanya vitu tofauti.
“mmh kumbe wee kaka unajuwa kusuka ehee?"
Kuna binti mmoja aliuliza hivyo baada kuona Jackson akisukwa kumbe sivyo,
“ndio Dada yangu vipi kwani unataka kuja kusuka?"
“ndio maana yake si unaweza kusuka kila aina ya mitindo?"
“ndio yani hapa ni mwisho wa matatizo ukitaka
Yeboyebo sijui kimasai vitunguu nywele tano
Kijogoo misuko yote nasuka"
Hafidhi alianza kujinadi hivyo.
“ohoo basi vizuri sana nahisi Mke mwenzangu hapati shida ya kwenda saloon, maana mume yupo na mitindo yote.
Anajiwekea kichwa tu"
Hafidhi akabaki kutabasamu huku Jackson akijichekesha kama vile zoba.
“sasa wacha mi niende nikajiandae nahisi mpaka ummalize huyo
Rasta Jackson nitakuwa nishafika,
”sawa mrembo wewe tu na roho yako,
Baada binti kuondoka Jackson akaingizwa chumbani kilichomtokea ni mateso juu ya mateso kwanza akalawitiwa na kiumbe hicho Jackson alilia kwa uchungu
Mpaka kufikia kupoteza fahamu kiumbe ana zinga la andunje utasema mguu wa tembo, fikilia umepita kwenye kitundu cha
Jackson kwanza alimchana damu zikamtoka,
Baada kukizi haja zake akambeba na kwenda kumbwaga katikati ya uwanja tena mchana kweupee,
Kiumbe kikacheka na kupotea eneo hilo,
Wapita njia waliweza kuona katikati ya uwanja mwili wa mtu umelala ikabidi wasogee kutaka kujuwa kunani.
Kila mmoja akashtuka baada kushuhudia mwili wa Jackson ukiwa unavuja damu kwa wingi ikabidi achukuliwe na kuwahishwa hospitali,
Vivian akiwa chumbani kwake akasikia mlango ukibishwa hodi
Akaenda kufunguwa kwanza hakuweza kuamini baada kumuona kipenzi chake .
Hafidhi amekuja akamkumbatia kwa furaha na kuanza kunyonyana denda,
,,,,aaaah,,aaaah,,,,mmmmh,,,,a
aaaaiishhhiiiiiii,,,aaaaaaiiiiiiiiiiiii,,,,,,
Vivian akaanza kutowa miguno baada Hafidhi kuipekenyuwa chupi ghafla Vivian akashtuka na kumsukumiza mpenzi wake pembeni
“vipi mpenzi mbona unanisukumiza?"
Hafidhi akauliza hivyo huku akimsogelea.
“please ishia hapo hapo wewe sio
Hafidhi ninaemjuwa mimi sio wewe tokaa
Kitendo bila kuchelewa
Hafidhi akajikuta anapigwa teke kwa nyuma akayumba kwa kupepesuka kugeuka
Hafidhi mwingine yupo mlangoni hakika Vivian hakuweza kuamini na kujikuta akipoteza fahamu,
Baada bibiye kuanguka chini na kupoteza fahamu kila mmoja akamtazama mwenzie na kuulizana wewe
nani. Hakika walikuwa wamefanana kila kitu, kuanzia sura umbo rangi na mavazi yao. Ilikuwa vigumu
kuweza kufahamu ni yupi Hafidhi original. Yule ambaye ndio alikuwa wakwanza kufika na kukumbatiwa
na bibiye Vivian kisha akasukumizwa akatoka mbio kwa kupitia dirishani, Hafidhi aliyebaki hakutaka
kufanya hivyo akamtizama bibiye pale chini, na kwenda kumbeba kisha akatoka nae nnje ilikuwa ni
kitendo cha haraka kumuwaisha hospitali.kwa bahati nzuri aliweza kupokelewa baada hapo akampigia
simu bibiye Mariam na kumuomba afike haraka sana katika hospitali ya Magomeni, Mwanaume akabaki
kukuna kichwa hakuweza kutulia kabisa yani alitembea huku na kule kwenye korido hiyo ya hospitali,
dakika si nyingi Mariam nae akafika kwanza wakakumbatiana “vipi tena baby kitu gani kimetokea?’’
Mariam akauliza kwa shahuku ya kutaka kujuwa, “sijui hata nisemeje maana dahaa nilimkuta kalala chini
hajitambui kabisa sijui nini kimemtokea aisee!
“kwani Daktari amesemaje?’’
“bado sijaweza kupata majibu yeyote yale kwakifupi hapa nilipo nimechanganyikiwa si kidogo, “basi pole
my dear cha umuhimu tuombe duwa Vivian aweze kupona’’ baada Mariam kusema vile maneno yenye
kutia faraja basi wakakaa kwenye benchi wakiongea hili na lile ndipo mlango wa wodi aliyofikishwa
bibiye ukafunguliwa kila mmoja akasimama na kwenda mbio waweze kufahamu kuhusu hali ya mgonjwa
wao, Daktari akatoka ndani ya chumba hicho huku akiweka miwani yake sawa, “vipi Daktari hali ya
mgonjwa wetu inaendeleaje?’’ Mariam alikuwa wa kwanza kuuliza swali, Daktari akatabasamu na
kusema “nifateni ofisini’’ basi wakaongozana mpaka ndani ya ofisi moja hivi wakaingia humo na
kukaribishwa kwenye vit.
Daktari kwa uso wenye kujawa na bashasha akawatizama kwa zamu na kuwauliza “nyinyi mna uhusiano
gani gani na mgonjwa?’’ Hafidhi akajibu kwa kusema “mimi ni mumewe huyu ni dada yake’’ “ok! Vizuri
sana sasa naweza kuwaambia kitu kimoja kuwa mgonjwa wenu yuko salama sema kuna tatizo moja
limeweza kujitokeza ndani ya mwili wake’’,,,
“Daktari tatizo gani tena,
Hafidhi akashikwa na kitete kijasho kikamtoka,
“kijana kwanza punguza jaziba tulia kwenye kiti niweze kukwambia nini tatizo"
Basi Hafidhi akarudi kukaa kwenye kiti maana alikuwa kasimama,
“naweza kukwambia yakwamba mkeo kipenzi amepoteza kumbukumbu zake zote,
“what? Unataka kusema hawezi kukumbuka chochote kuhusu maisha yake ya nyuma,
Mariam nae akauliza akiwa kama vile hajaweza kusikia chochote,
“ndio maana yake cha kushukuru
Yeye ni mzima mwanae kiumbe kilichopo tumboni kinaendelea salama,
Ninachowaomba mjitahidi kuwa karibu nae kwa kumkumbusha hiki na kile
Huwenda akarudisha kumbukumbu zake kidogo kidogo"
“Sawa Daktari tumeweza kukuelewa kila kitu vipi kuhusu malipo na je tunaweza kuondoka na mgonjwa wetu kwa wakati huu?"
“kuhusu malipo inaitajika shilling elfu ishillini tu mgonjwa hali yake bado haijatengemaa kivile itabidi abaki hapa kama wiki moja hivi akipatiwa huduma za hapa na pale,
Hafidhi akapiga mahesabu kichwani kwake na kuona kama akifanya uzembe kile kiumbe kitakuja tena,
Akajisemea moyoni mwake
wacha iwe habari akamshika mkono bibiye Mariam na kumnong'oneza kitu,
Kisha akaondoka kwa kasi baada kutoka nnje ya hospitali hiyo, akaingia ndani ya daladala inayokwenda Mbagala
hakika alikuwa na mawazo mengi sana kichwa kilimuuma,
“oyaa wee boya acha kuniegemea,
ilikuwa kauli ya jamaa fulani akimwambia
Hafidhi ambaye alikuwa anasinzia.
Hafidhi hakuweza kushituka jamaa akachukuwa hatua ya kumpiga kibao cha kichwa
“wee Malaya husikii nimekwambia usiniegemee kitu pahaa
Mpaka akayumba na kujigonga kwenye chuma cha gari
Akili ilikuwa haijakaa sawa kabisa
hakutaka kujiuliza sana nae akamfumua zinga kofi yule jamaa akayumba na kwenda kujigonga kwenye kioo cha gari
Kioo kikavunjika,
Dereva akasimamisha gari
yeye na konda wake walishikwa na ghadhabu baada kioo kuvunjwa, konda akamkunja
Hafidhi na kumvuta kwa nnje,
Hafidhi hakutaka kutoka ndani ya gari
Baada kuona konda anazidi kumvuta kama haitoshi akapigwa makofi
ya haraka haraka
Wakati yule aliyebamizwa mpaka akavunja kioo akiwa kashikwa na Dereva kule nnje.
Abilia wakaanza kushangilia
“ndio mchomoe nnje huyoo bwege tu,
Ghafla wakashtuka na kutulia kimya baada konda kufumuliwa ngumi sijui teke
Akaonekana akitupwa kupitia dirishani akatuwa nnje utasema mzigo wa kuni
Uso hautamaniki baada kuchanwa
Chanwa na vioo, dereva nae hakutaka kujiuliza akaitaji kuingia ndani ya gari.
Ile kufika tu mlangoni
Mwanaume akaruka kutoka kwenye gari utasema anaingia kwenye swimming pool
Mateke mawili double yakatuwa kifuani kwa
Dereva akatupwa kule,
Kisha Mwanaume akaibuka kwa nnje
si kuna baadhi ya abilia wakataka kujifanya kujuwa, kila aliyejalibu kumshika au kumsogelea
Wakaishia kupigwa teknik za maana
kuna jamaa mmoja alishikwa kisha kichwa chake kubamizwa kwenye
Bati sehemu ya mlango,
hakika ilikuwa balaa mpaka polisi wanafika maeneo hayo yeye kapotea kitambo
sijui kaelekea wapi na kuacha majeruhi.
Hafidhi kusema kweli hakuwa sawa kabisa,
“Tausi"...
“abee" “unamuona yule kaka anaekuja"
“yupi?"
“si yule mkaka mwenye T-shirt nyekundu,
“ahaa kumbe yule nimemuona"
“basi mara ya mwisho nilimuona akimsuka
Marehemu Jackson"...
“sasa kumsuka tu ndio unataka kumuhusisha na mauwaji au?"
“sio kama nataka kumuhusisha na mauwaji nimekwambia tu yule mkaka anajuwa kusuka balaa"..
Nyumbani kwa kina Jackson kulikuwa na msiba kijana wawatu kipenzi cha watu, Jackson alikuwa kapoteza maisha
Watu walilia wengine wakabaki kusikitika na kujiuliza hao wauwaji wametokea wapi.
Maana vijana wote wakitaa kile ni masela wake.
Hafidhi nae akajumuika kwenye msiba huo akaweza kutowa rambirambi zake na kujisemea moyoni mwake.
“nenda ndugu yangu nenda hakika kwahili
Nitakulipia, basi mziki ukaekwa kama ujuavyo misiba ya Kikristo
Watu walikunywa pombe na kusikiliza nyimbo za maombolezo, Yani kwaya, ndani ya
Usiku huo mwanaume akatoka na kwenda sehemu moja hivi
Ndani ya clab
Kulikuwa na zinga la part watu wakipari na kuchizika yote ni kupoteza stress
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI NA SABA
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni