Notifications
  • MY DIARY (46)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SITATULIPOISHIA...Nilikuwa kama niliyepigwa butwaa nisiamini nilichokuwa nakiona mbele yangu. Oooooh my God hold me on yalikuwa ni maneno yaliyonitoka kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu mara baada ya kumuona James kwa uzuri zaidi na kuamini kuwa yule kweli alikuwa ni kaka yangu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishindwa kuelewa nini kimetokea mpaka yeye kurudi katika hali yake ya…
  • MY DIARY (45)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TANOTULIPOISHIA...Ndio niliona hipo haja ya kuokoka na kuishi maisha ya utakatifu kwa maana nishaishi maisha yote ya kuwa mbali na mungu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo kipindi hicho naujua mlango wa kanisani tuisahawahi kufundishwa kuwa mtetezi wa kweli wa maisha ya mwanadamu ni Mungu.Na siku zote alaaniwe mtu yule amtegemeaye mwanadamu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Sio kazi ya…
  • MY DIARY (44)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NNETULIPOISHIA...Yani alianza kutaka uhusiano na mimi tena uhusinao wa mapenzi.Mda wote alikuwa akiniganda kama luba.Na mimi nilikuwa mjanja sana maana nilijifanya sinywi pombe wala kuvuta sigara.Pia baada ya kugundua kuwa wahusika wengine walikuwa wanajiachia niliamua kujifanya mshauri wa mapenzi na mahusiano.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilikuwa nawasshauri sana mshiriki wa…
  • MY DIARY (43)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TATUTULIPOISHIA...Wakati nabadilisha staili kwa kukichua kile kifaa na kukiweka vizuri huku nikibinya ile switch hili iongeze spidi Mark aliingia. Ni kweli nilimuona ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nimalizie furaha hiyo ya uwongo uwongo. Yaani wazungu jamani sijui walifikiria nini maana kile kifaa ukikiminya kwa juu kinakuwa kinajizungusha chenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (42)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MBILITULIPOISHIA...Uzalendo ulinishinda ikabidi nimuulize ni kwanini bado wanatumia njia hiyo ya kizamani kutunza kumbukumbu wakati siku hizi kuna kitu kinachoitwa Human Resource Informaion system ambapo kumbukumbu zote za wafanyakazi kama waliochishwa kazi, wagonjwa, walioenda likizo ,waliopandishwa vyeo na taarifa nyingine muhimu uhifadhiwa kwa kutumia komputa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (41)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MOJATULIPOISHIA...Mark anashangaazwa sana na mwanamke huyo lakini kwa kuwa shida yake ilikuwa ni hela anaamua kuachana nae na kuanza maisha mapya hapo jijiini Dar es salaamMaisha yanaendela lakini Mark amekuwa tajiri na mtu mwenye mafanikio sana kiuchumi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Pamoja na mafanikio hayo ni mtu ambaye mapenzi bado yalikuwa yakimuumiza siku hadi siku.Filamu…
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…

MTAA WA TATU (25)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
“Wee mtoto shika adabu yako kabisa umetuona sisi mazuzu sio tumekuja hapa muda tu tupo kwenye foreni
wewe unakujakuja na p***mbu zako hizo eti uwai kukinga
Kama una simamisha hata sisi wanawake tunadindisha pia au nikuonyeshe kama nimesimamisha"

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Watu wakaanza kucheka
Hahahahaha
Jamaa si akapaniki na kujiroga kwenda kumkunja yule mama ikawa balaa
yani wanawake wote waliokuwa bombani wakamchangia ilikuwa piga
Hafidhi nae alikuwa kashajianda kwenda kumfunza adabu sema ikabidi
Akaushe baada kuona jamaa wanawake tu wanamtoa jasho,
Basi alipigwa vibaya mno mpaka mjumbe wa nyumba kumi akaja kumuokoa
Jamaa yuko hio.

“jamani basi inatosha msameheni"
Mjumbe akaingia kati kuwasihi waache kumpiga ndipo wakamuacha.
Jamaa akaondoka kwa aibu huku akizomewa na watoto hilloo
Bichwa bayaa kama boga hiloo limepigwa pyee!!!
Dakika si nyingi akarudi mkononi akiwa kashika panga
Basi kila mmoja alikimbia kimpango wake,
“simameni sasa niwaone si
Mmesema mnasimamisha nyie sasa hizi ndoo zenu nazikatakata kisha naenda
kuuza prastik
kwa Yohana
Malaya wakubwa nyie jamaa akaishika ndoo ya kwanza akaicharanga kama kuni
Hafidhi akapaza sauti kumwambia yule jamaa
“achaa"........ilikuwa imeshikwa ndoo yake jamaa akaiyacha na kumfata
“wee Malaya unasemaje kudadeki zako.
Hafidhi akaanza kutetemeka na kupiga magoti chini.
“nisamehe kaka yangu ile ndoo ninayo moja tu sasa ukiikata nitapata wapi nyingine, nisamehe kwa kukukalipia brother"...
Yani Hafidhi akawa mdogo kama kidonge cha pilitoni mbona ajabu hii.
Yule jamaa akampigapiga na panga mgongoni kama kumgusa hivi,
“sawa nimekuelewa dogo nyanyuka ukakinge ndoo yako kisha upotee haraka sana!!!
Hafidhi akaenda kukinga maji na kuondoka
akiwa anaondoka akapishana na
Mgambo kutoka serikali za mitaa
“vipi kijana huyo mpumbavu bado yupo hapo bombani?"
Mmoja kati ya wagambo akamuuliza
Hafidhi nae akajibu
“ndio yupo yani nimekinga baada kumpigia magoti"
“pole sana kijana wacha tukampe kisago hevi"
Mgambo hao wakaondoka zao.
Hafidhi nae hakutaka umbea wala nini akaendelea na safari ya kwenda kwake
Ndani ya mtaa wa tatu
Joyce akaja na mgeni mgeni mwenyewe ni bibiye Habiba
“mmh! Beatrice shogaangu mbona yamekuwa makubwa si madogo"...
“kivipi tena Zulfa?
“si Joyce kaja sijui na kibwengo sijui kamuokota wapi kibaya zaidi tulale nae"
“tulia nikwambie kitu
Zulfa huyo kibwengo sijui bundi
Tutamuundia team tumtese tumpige mpaka aondoke ndani ya mtaa huu wee subiri na uwone
Atakoma kuingia kwa wajanja,
“mama yangu wee mbona ndani kunanuka
kuna nini kwani?"
Salma nae akatoka ndani mbio na kuuliza hivyo.
“tena afadhali umekuja
Shost! humu ndani Joyce katuletea mtu
(Malver) yani kioja sura mbayaa kama uchi wa Zay bichwa kama kipapa cha mzee kwa kifupi ni mzoga"
Beatrice akabaki kubwabwaja tu.
Gafla simu ya Salma ikawa inaita
Akaenda pembeni kupokea
Akasikika akisema
“ehee ndio nimemuona kaka ndio huyu ehee,
Sawa nitafanya hivyo kaka yangu wala usijali.
Chochote kibaya kikitaka kumtokea nitapambana nikishindwa nitakujulisha haraka sana"...
Akakata simu na kurudi kwa kina
Beatrice akasema
“nimesikia sijui mnataka kuandaa teamu
sijui ndimu mumtese huyo
Dada kwa kifupi tu kaka
Hafidhi kanipigia simu na kuniambia nisaidiane na Joyce kumtunza huyo
Binti kwani ana matatizo makubwa sana na
sasa nyie kaeni vikao sijui team
Mimi ndio bodyguard, nitawapa vidochi
Ohoo"
“mi simo kabisa hayo maneno kasema Beatrice"...
Zulfa akajitoa kwa kusema yeye ayumo kabisa
“ehee Zulfa koma tena unikome kabisa hivi unataka kunigombanisha na
Mume wangu Hafidhi j Ikram tena ushindwe kila kitu umeongea wewe
subiri niende kumtizama shost!
Wangu mie,
Wote wakaingia ndani moja kwa moja mpaka chumbani.

“bila kubisha hodi wala nini wote watatu wakaingia chumbani kwa Joyce na kumkuta
Habiba amelala chini ya sakafu,
“wee Zulfa imekuwaje mgonjwa amelala chini?"
Salma aliuliza hivyo.
“mi sijui maana nilimuacha kalala kitandani labda yeye mwenyewe kashuka tu"
“ashuke wapi sema umemshusha ukatoka nnje huko na kuanza kuongea umbea
lione kwanza bichwa kama baba ubaya"
Beatrice akaongea hivyo na kumtia singi
Zulfa.
Kwa sauti ya chini sana
Habiba akazungumza
“wala msijali Dada zangu niacheni tu nilale hapahapa maana kitandani nitachafua"...

“hapana huwezi kulala kwenye sakafu hata kama kusafi kuna kapeti
unatakiwa ulale kitandani, ukizingatia wewe ni mgonjwa Dada"
Beatrice akaongea huku akisaidiana na
Salma kumnyanyua Habiba pale chini
kisha wakamlaza kitandani,
Na kumfunika vizuri wakatoka zao nnje.
“kaka mambo?"
“powa tu niambie binti"
“nilikuwa naomba msaada wako kama hautojali ukanibebee lile
Box pale"
Alikuwa ni binti mmoja mrembo wa haja akimuomba Hafidhi akambebee box kubwa la TV flat screen, mwanaume akanyanyuka kutoka pale kijiweni kwa fundi viatu,
“oyaa kaka usisahau
kuniletea pesa yangu basi"
Fundi viatu alipaza sauti kumwambia Hafidhi kuhusu kuletewa pesa yake. Si kamuona anaenda kupiga kazi,
“powa usijali kaka nitaangalia salio"
Nae akamjibu.
“basi wakaongozana na yule binti mpaka lilipo hilo box
“vipi Dada yangu ndio hili au?"
“ndio hilo sema nini usiniite Dada maana katika maisha yangu sijawai kuwa na kaka zaidi ya Dada tu.
Napenda uniite Asia ukipenda Queen,
“sawa nimekusikia Dada yangu,
Hafidhi akarudia kauli yake akaibeba ile TV
na kwenda kuipakiza kwenye gari
“ndio shilling ngapi kaka yangu?"
Asia au Queen akauliza hivyo huku akifungua pochi lake.
“ni elfu moja tu Dada yangu"
“hivi wewe kiziwi ehee?"
“kivipi yani?"
“nimekwambia usiniite Dada niite Asia au Queen wewe umeng'ang'ania kuniita Dada tu haya shika hii,
Hafidhi akakabidhiwa shilling elfu kumi,
“duhuu Dada yangu pesa yote hii chenji nitaitolea wapi?
Asia hakuongea sana akaingia kwenye gari yake na kuondoka
Hafidhi akabaki kuduwaa tu na kugeuza kurudi maskani.
“oyaa shika wekundu wa msimbazi huo
kata mia tano yako unipe chenji
yangu"....
“ahaa Eddy mambo gani tena yani nikate jero tu, mi nakata elfu mbili"
“ukate buku mbili kivipi embu acha zako
Kwanza umeniabisha mbele ya mtoto mzuri kwa kunipigia kelele eti unanidai"...

“Eddy bwana kwahiyo unataka kusema yule demu ulikuwa una taka au?"
“sio kama namtaka kule kuabishana tu
yani nimekumaindi kinoma yani"...

“basi nisamehe kichaa wangu nikate buku mbili au ndio umemaindi zaidi!!!
“wee kata tu sema michongo mingine sio"
Hafidhi akapewa chenji yake
Na kuondoka
“sasa wapi hiyo kaka naona ushajaa unaondoka kimya kimya"
“naingia kati hapo kumcheki
Amina Nyegeshi"
Haya bwana sema nini kaka"
“ehee niambie!"
“na Mimi niitie Sada Kivuzi"
“ha!ha!ha!
Sio mpendu bwawa"
“ahaa huyo simtaki kudadeki zake atanipwelepweta bule"
Hakika yalikuwa matani baina ya Hafidhi anayejulikana kama Eddy ndani ya kitaa hicho akitaniana na fundi viatu.
Mwanaume akaendelea na safari yake mpaka kwenye nyumba moja hivi kwa kifupi nyumba hiyo unaweza kusema ni danguro kwa jinsi ilivyo
kuna mabinti kama kumi na tano walio pevuka na kunona ni warembo haswa uwezi kuamini ukiambiwa ni watoto wa baba mmoja sijui wazazi wao walizaa kama panya au kutozingatia uzazi wa mpango.
Maana hawakupishana miaka mingi
Wengine miezi tu,
Ndani ya nyumba hiyo kulikuwa na biashara nyingi kama vile chakula cha mchana hadi usiku. Nazungumzia ubwabwa-ugali-chipsi
Kwa upande mwingine kuna zile pombe haramu kama Gongo-chibuku-wanzuki
Pia wanauza bange- madawa ya kulevya-
“whaoo shemeji umekuja karibu ndani basi"
Mmoja kati ya mabinti akampokea Hafidhi kwa kumkumbatia na kumpiga kiss
Mwanaume akapapasa kiunoni na kugusa vitu fulani hivi akauliza.
“Mwajuma nini hii?"
Mtoto wakike akarembua macho na kujibu
“shemeji bwana kwani hujui hizi nini au
Amina humuonagi nazo nini?"

“ndio sijawai kumuona nazo ndio maana nikauliza shemeji,
“ok! Usijali twende chumbani nikakuonyeshe kazi yake"
Mwajuma kwa sauti ya chini akamnong'oneza sikioni Mr Eddy wa bandia,
si wakaingia chumbani,
mlango ukafungwa
Mwajuma akamsukumiza Hafidhi kitandani,
kwa mwendo wa minyato akamsogelea pale kitandani na kumkalia
Sasa hainaga ushemeji tuna kulaga
“shemejii nishike kiuno"...
Mwanaume akafanya hivyo,

kisha Mwajuma aliinuka na kwenda kwenye jokofu kumchukulia Juisi Shemeji yake huo mwendo sasa,mtoto alikuwa anatingisha makusudi.
Ndani sijui hakuvaa
Chupi mguu wa bia ulio na rangi nzuri ya kung’aa
ilionekana vyema.
Mtoto sasa kile cha nyuma ya magoti kilionekana vyema kabisa na mwanzo wa mapaja jinsi matako na hipsi vilivyopanuka na kutaiti dera hilo sijui alienda kulishepu kwa fundi cherehani au vipi maana dahaa! basi ndio alizidi kudatisha
mbona unaniangalia jamani?"
Alichokoza kwa makusudi Mwajuma na kuchukua Juice
“una makusudi wewe mtoto"...
hivi ulikuwa ulikuwa wapi?“ siku zote mpaka nikawa na Amina? alipoulizwa hivyo basi Mwajuma kwa makusudi akaamua kumwonyesha alivyokuwa hapo ndo utamu ulianza,mtoto akalifunua dera ambapo lile paja lake lilionekana mpaka juu kabisa kwenye kiuno
Hafidhi hakuwa na hali dudu lilisimama hasa
"ha!" umesimamisha
Shemeji
Aliongea kwa makusudi huku akimwangalia Hafidhi kwa jicho la kulegea, masikini Mwanaume. alishindwa hata kujibu alibaki akihema kama bata aliyenyimwa uroda na mkewe baada ya kumfukuza sana,akawa anaipishanisha miguu yake ili kulizuia dudu lisionekane.
“jamani wanaume mna shida nyie" kidogo tu, alizidi kujiachia na maneno yake ya kichokozi.
yaliyoiteka akili ya Hafidhi kwa muda huo kama Amina Minyege atamsahau leo.
“aaah wapi wewe",aliposema hivyo kwa kujitumua
Mwajuma
alimjia kwa mbele na kumpa Juice kimahaba tena alipiga magoti kabisa karibu na miguu ya Shemeji yake,
Unafikiri Juisi ilishuka basi. Itashuka iende wapi, kwanza hiyo mikono ilikuwa inatetemeka,
Nyege zilimpanda,dudu lake lilisimama hasa, na mtoto alivyokuwa mbele yake ndo kabisa Mwajuma alianza uchokozi,kwa sababu alijua anachokitaka,macho yake yakawa yanaangalia sana zipu iliyotuna
“jamaa ana hasira,ila unambania"
Mwajuma akaongea hivyo
Hafidhi
alisimka mpaka kichwani kwa maneno hayo. Aliongea hivyo huku akiangalia Zipu kwa kulegea hasa uso wake
“mmh una maneno wewe"...alijikaza huku glasi ya juice akiiweka pembeni
“sio maneno kwani nadanganya jamani.
Ila hiki kidude chako kimetuna" hapo uchokozi mtamu ndio ulianza. Kila mmoja Alimsifia mwenzake ule mstari ulionyooka kwa kupigwa pasi kwenye suruali yake huku akiushikilia,alipanda nao mpaka kwenye mapaja huku akiubana mdomo wake kimahaba
“hata mstari huu jamani umekaa vizuri"....mstari uliousemea sasa ni wa Zipu.
Basi alianza kuikuna zipu kama anakuna ngozi ya mtu kushuka mpaka chini na kupandisha juu,hapo Hafidhi aliisoma namba,alisisimka mpaka kwenye kiuno,alijihisi kama kuna mtu anamrusha juu na kumrudisha chini

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni