TANGA RAHA (20)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI
ILIPOISHIA...
Habibi alizungumza huku taratibu akijisogeza nilipo huku akiendelea kulia na taratibu kichwa-chake akakilaza kwenye mapaja yangu na mkono wangu mmoja nikauweka kwenye ziwa lake na kuliminya kumfanya astuke na kunitazama kwa jicho kali la hasiraSASA ENDELEA...
“Ohh samahani dada yangu”
Nilizungumza huku nikiutoa mkono wangu kwenye ziwa lake na taratibu Habiba akajinyanyua kutoka alipo jilaza kwenye mapaja yangu na kukaa kitako
“Samahani tena dada yangu kwa kukushika......”
“Usijali kaka yangu ila kwa sasa ninaomba mimi niondoke”
“Sawa hakuna shaka”
“Naomba unipe namba yako ya simu”
Nikamtajia Habiba namba zangu kisha na yeye akataja zake nikajaribisha kuzipiga kabla hajato-ka na simu yake ikaita
“Kaka hivi nisave nani?”
“Save Eddy”
“Mmmmm”
“Mbona unaguna”
“Yaani majina ya Eddy sina imani nayo kabisa tangu mume wangu aniafanyie hili tukio nimeto-kea kuyachukia kupita maelezo”
“Kwani anaitwa nani?”
“Ana mjina mbaya kama huo wako wa EDDY”
Nikabaki nikicheka Habiba akajiweka sawa nguo zake na kutoka chumbani na kuniacha nikiji-liaza chali kitandani huku nikiikariri namba yake kwa kwichwa ili isiwe rahisi kuisa-hau.
Nikanyanyuka na kufunga mlango kwa funguo kisha nikarudi kitandani huku nikijitahidi kuutafuta usingizi kwa juhudi zote.
Nikachukua mto mmoja nikaukumbatia huku nikiuwekea mguu kwa juu ndani ya dakika tano nikaanza kuhisi nilicho kikumbatia sio mto ila kinaendana na umbo la mtu.
Nikakurupuka na kujitoa mikononi mwa msichana mzuri aliye kaka kitandani huku akiwa na night dreas tu na katika kumbu kumbu zangu nilimuona huyu msichana siku yangu ya kwanza alipo nitokea Olvia Hitler na alikuwa ni miongoni mwa wasichana aliye kuwa akimpepea na kitu kinacho fanana na mkia wa Simba
“Usiniogope kwani sikuja kwako kwa mabaya”
“Wewe ni nani?’
“Unanfahamu ila itanibidi nijitambulishe jina langu”
“Sasa jamani mutanniua mimi”
“Huwezi kufa.....kwanza mimi ninaitwa Vicky ni jina ninalo litumia nikiwa ulimwenguni ila niki-wa nyumbani nina jina langu”
Sikuweza kuogopa sana kutokana nimesha wazoea hawa viumbe ambao wananiandama tangu nilipo hamia katika nyumba yangu mpya
“Mtakatifu Olvia Hitler amenituma nije kukupa ujumbe huu”
“Ujumbe gani?”
“Yeye kwa sasa hayupo katika maeneo unayo ishi amekwenda nchini kwetu kwa ajili ya mazungumzo na baba yake mzazi”
“Haya nashukuru.....Jibadilieshe na uniachie mto wangu”
“Hapana kuna kitu nahitaji kutoka kwako”
Vicky akanifwata kwa kasi na ndani ya dakika moja nikajikuta nipo kama nilivyo zaliwa kisha taratibu akaanza kuninyonya mdomo wangu hapo ndipo nikagundua ladha iliyopo kwenye mate ya mwanadamu na jini.Vicky akaivua nightdreas yake na kuimalizia nguo ya ndani kisha akanipandisha kitandani
“Unataka unione kama nani?”
“Kivipi?”
“Unataka unione katika muonekano kama wa msichana gani unaye mpenda duniani?”
“Mmmmmm Angelina Jolie”
Ndani ya sekunde kadhaa Vicky akageuka na kuwa kama Angelin Jolie mwan mke mwenye mvuto wa kudumu duniani ambaye ni mcheza filamu maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla na nikabaki nimeduwaa
“Ume fanyaje fanyaje......!!?”
“Unataka na wewe ujue?”
“Ndio”
“Tumalize kwanza alafu nitakufundisha”
Vick akiwa katika muonekano wa Angelin Jolie akaishika koki yangu na kuikalia na shuhuli ikaanza huku moyoni nikijikuta ninasahau kama huyo ni jini na anacho kifanya ni kitu cha kuiba utamu wa Rahma na Olvia mbaye hadi sasa hivi hakuwa wazi kwangu
“Potelea pote tutajua mbele ya safari”
Nilizungumza kimoyo moyo huku nikiendelea kuminya kiono cha Vicky na kwajinsi ya wem-bamba alio nao Angelin Jolie ikazidi kunipa hamasa ya kuzidisha kasi kwani kila ninavyo muweka anakwenda.
Nikazidi kugundua kuwa katika hali ya kawaida wanawake ambao ni binadamu wanautamu wao na hawa majini nao wana utamu wao ambao umewazidi kwa kiasi kidogo japo sio sana.Mechi ikaendelea huku Vicky akitoa miguno kama ya raha na kadri nilivyo zidi kuongeza kasi ya kumburudisha Vicky ndipo akaanza mchezo ulio anaza kunikosesha imani na yeye
Sura zake zikaanza kubadilika taratibu kutoka sura moja hadi nyingine na nyingi ni zawaa-wake maarufu duniani akiwemo Beyonce na Nick Minaj nikazidisha kasi na akabadilisha sura yake na kuwa Rihana na nikazidi kuongeza kasi ili nifurahie kuziona sura za watu wanao fwa-ta.Mapigo yakaanza kudunda kwa kasi na kujikuta nimeduwaa kama nimegandiswa na rimoti kwenye Tv hii ni baada ya kuiona sura yangu ikiwa inanitazama huku ikiwa na macho ya kike yanayo nirembulia kiasi kwamba nikabaki nimetulia
“Vipi mbona uendelei?”
Vicky aliniuliza huku sauti yake ikiwa kama yangu na zinafanana ila tofauti iliyopo kati yetu ni miili tu, Kwani Vicky mwili wake umebaki kama wa Angelin Jolie ila kwenye sura yake ndio ipo sura yangu.Vicky akacheka kwa kicheko cha ajabu na kuishika koki yangu na kuikalia tena vizuri na kuanza kuikatikia huku nikiwa nimelala chali.
Taratibu akaanza kukishusha kichwa changu ili nimbusu na gafla sura yake ikabadilika na kuwa mbaya ya babu mzee wa miaka 85 kwenda mbela na galfa nikajikuta nikipoteza faamu
Kwa mbali nikahisi mlango ukigogwa kwa nguvu nikapapasa papasa kwa kutumia mkono wangu na kugundua nipo juu ya godoro,nikafumbua macho yangu huku kichwa kikiwa kinani-uma sana.Nikakaa kitako na kujikuta nipo kama nilivyo zaliwa.
Saa ya ukutani inaonyesha ni saa nane mchana nikanyanyuka na kujifunga taulo na kwenda kufungua mlangoni na kukutana na watu wasio pungua kumi huku kati yao wakiwemo askari watatu,meneja aliye nionyesha jana Habiba na wafanyakazi wengine wa hoteli hiyo na walipo niona wote wakashtuka
“Yupo hai”
Mmoja alizungumza huku akininyooshea kodole na kunifanya nizidi kushangaa
“Vipi kwani?”
Nilizungumza kwa sauti nzito iliyo jaa mikwaruzo ya makoozi na kuawafanya watu waliopo mlangoni kutazamana tazamana huku wakitupiana swali nililo wauliza
“Wewe ni bwana Eddy si ndio?”
Polisi mmoja aliniuliza huku akiwa ananitazama kwa macho makali na mimi nikabaki nikimtazama kwa macho yaliyo jaa usingizi mwingi
“Ndio”
“Sisi tulipata taarifa leo asubuhi kwamba kuna mteja wao ambaye ni wewe amefariki ndani ya chumba hichi”
Nikastuka na wenge lote la usingizi likakata na kuendelea kumsikiliza askari huyu anaye zun-gumza kwa lafudhi ya kikurya
“Basi sisi tukaja hapa kwa lengo moja ili tuchukue maiti na hapa tulikuwa tunamsubiri huyu meneja ili atupe ruhusa tuvunje hilo limlango”
“Kwa nini mulinihisi nimekufa?”
“Kwani nikawaida ya muhudumu wa usafi kufanya usafi pale ifikao saa nne asubuhi kwenye vyumba vya hoteli na kwawakati huo mteja unatakiwa kuwa nje ila ni tofauti na wewe uliye ku-wa ukigongewa mlango na hufungui hadi sasa hivi”
“Sijafa nashukuru”
Nikaufunga lango na kuacha minongono ikiendelea mlangoni nikapitiliza moja kwa moja hadi bafuni nikajitazama kwenye kioo huku nikiwa ninauchunguza mwili wangu na sikuona mabadiliko ya aina yoyote.
Nikafungua bomba la maji ya mvua na kuoga kisha nikarudi chumbani kwangu na kuvaa nguo zangu na kutoka nje na sikukuta mtu mlangoni ila kilicho nikosesha raha ni baadhi ya watu kunitazama huku wakininyooshea nyoshea vidole huku wengine wakinong’onezana.
Nikaondoka eneo la Hoteli na kwenda moja kwa moja sehemu moja inayo itwa Forodhani ambapo ni sehemu ya watu kupumzika na ili kutafakari maisha yao na unaweza kujipatia chakula kutoka katika mgahawa ulipo eneo hili huku ukiitazama bahari kwa mbali kidogo
Nikakaa kwenye meza ya kwangu peke yangu na kununua gazeti kwa muuza magazeti aliye-pita karibu yangu na kusubiria niletewe supu niliyo iagiza kwa muhudumu wa eneo hi-li,Nikaanza kusoma gazeti ambalo ni la michezo nikafungua kurasa moja baada ya nyingine huku nikitafuta ni sehemu ipi yenye habari nzuri ili nisome.
Moyo ukaanza kudunda taratibu baada ya kuiona picha ya Angelin Jolie akiwa na mume wake Brand Pitty na kujikuta nikizikumbuka sura za jana usiku.
Nikafungua kurasa ya mbele na kujikuta nikizidi kuliona gazeti ni chungu.Hii ni baada ya kuiona sura ya Beyonce na Nick minaj picha hizi zikiwa zimeandikwa maandishi yaliyo zidi kunipa hofu
‘BEYONCE KATIKA SURA MOJA NA NICK MINAJI’
“Samahani kaka hichi kiti kina mtu?”
Ikanilazimu kusha gazeti kidogo ili niweze kumuona mtu anaye nisemesha na kukutana na sura ya dada mmnene kiasi aliye valia baibui jeusi huku akiwa amejipara ma kuifanya sura yake izidi kuwa kuwa nzuri
“Hakina mtu?”
“Ninaweza kukaa?”
“Ndio”
Nikaachana naye na kuendelea kulisoma gazeti langu,muhudumu akaniletea supu yangu nikaanza kuinywa taratibu huku nikiendelea kulisoma gazeti langu katika upande wa hadisi za muandishi mashuhuri Tanzani E.J.Shigongo
“Samahani kaka unaweza ukanipa ukurasa wan je?”
Nikamchomolea ukurasa wa nje na mimi nikaendelea kutiririka na story iliyoanza kunipoteza mawazo yangu na kusahau kipindi kigumu cha maisha ninacho pitia.Nikajikuta nikicheka mweyewe baada ya kukuta kisa kilicho niacha nifurahi
“Ahaaa huyu jamaa nom asana”
Nilijikuta nikijisemea mwenyewe na kumfanya dada wa watu kuacha kusoma anacho kisoma na kuniuliza
“Mbona unacheka?”
“Kuna jamaa kwenye hii story ya Shingongo amenifurahisha sana”
“Ahhh ila huyo kaka anajua kuandika sana story?”
“Tena sana huwa ninamkubali sana sijui kama kuna mtu anaweza kumfikia jamaa kwa maana anakuteka kihisia na kujikuta unacho kisoma kinapita kama mkanda wa video kwenye akili ya-ko”
“Ndio ila kuna jamaa mmoja hivi nilizikuta story zake facebook naye akijitahidi anaweza akam-fikia Shigongo”
“Kwa Tanzania hakuna anaye muweza huyu jamaa”
“Kaka huyo kaka ninaye kuambia anaandika stori nzuri kiasi kwamba unajikuta unafurahi?”
“Anaitwa nani?”
“Anaitwa Eddazaria G.Msulwa ana page yake inaitwa Story za Eddy humu ndani kunastory nzuri balaa”
“Mmmmm hao waandishi ubwabwa hawawezi kufika level za huyu jamaa”
“Una account ya Facebook?’
“Sina”
“Ndio maana unabisha ila kwa huyu jamaa ninaye kuambia ana uwezo mkubwa”
“Ahhh hao waandishi wa Facebook wengi wao mawazo yao finyu kama kidole cha mwisho huwa hawana jipya”
“Wee kaka unadharau kweli mimi nakuambia huyo jamaa anakipaji cha tofauti na wengine am-bao nimewahi kuzisoma story zao.....Kama huto jali ngoja niingie sasa hivi Facebook nikuo-nyeshe hizo story”
“Powaa”
Nikaendelea kusoma story huku nikisubiria dada akiminya minya simu yake kubwa na wengi wetu tumesha zoea kuziita screen touch.
“Ehee hizi hapa nimezipata”
Dada akanipa simu yake kabla sijaanza kuzisoma simu yake ikaita na jina lililojitokeza ni My husand(mume wangu) ikanibidi nimrudishie simu yake na akaanza kuzungumza na mtu wake
“Baby jamani mbona nimefika muda mwingi sijakuona”
“Mimi nimekaa hapa chini kwenye mti nipo na kaka mmoja hivi amevaa shati jeusi”
“Jamani wewe mwanaume una wivu....Haya naondoka”
“Sawa jamani naondoka natafuta pa kukaa”
Dada akakata simu na kunitazama huku akishusha pumzi nyingi
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni