Notifications
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…

RANIA (6)

JINA: RANIA
SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Hapana....msimfanye baya lolote...alisema Mfalme wa Lazi.

Mfalme!!!..amekudharirisha huyu!!!.  Alisema mlinzi wa mfalme kwa hamaki

Nimesema mwacheni..mimi najua la kufanya... Alisema mfalme...

SASA ENDELEA..
Mfalme!!!.... Aliita  mlinzi mkuu wa Mfalme.

nimesema mwacheni!!...allipayuka Mfalme na wote wakatii amri.

Mleteni ikulu mara moja.... Alisema mfalme huku akipanda farasi wake na kuelekea ikulu..

Niacheni nikamuage bibi kwanza...alisema Rania.

Mlinzi wa Mfalme alimwangalia vibaya sana kisha akaamuru vijakazi wahakikishe anafika ikulu haraka. Vijakazi walimchukua haraka na kwenda nae.

Nyie niachieni bwana mimi niende kwa bibi...alilalamika Rania.

Wewe binti, tulia.. Hapa sio nyumbani kwenu kwamba unaweza ukaongea lolote utakalo...utaumia..alisema hanna(kijakazi mmoja wapo).

Kuumia!!!.??..nani aniumize?..aliuliza Rania kwa sauti kubwa.

Hanna na wenzake ilibidi wamuwahishe mbele maana alikuaa kashaanza vurugu.

Kaasha... Kaasha.. Rania amekamatwa....alisema jirani wa kaasha huku akimkaribia kaasha.

Nini?.. Amekamatwa?..kwanini?..aliuliza pame baba yake Rania.

Sijui nasikia ameonesha utovu wa nidhamu mbele ya mfalme... Alisema jirani.

Kaasha na mwanae walichanganyikiwa kwa taarifa hizo.

Mama...tunafanyeje sasa?..aliuliza pame.

Mfalme anaweza kumuua mwanangu jamani!!..tufanyeje pame?..alisema kaasha.

Mama...twende kwa Mfalme tukamwombee msamaha..ikibidi hata adhabu yake nitaibeba mwanangu apone...alisema pame.

                   (Nchini Tharia)

Kwa sasa Fasha ameshakua mkubwa tayari kiasi cha kuweza kua mfalme....nataka mpango wetu ukamilike haraka sana

Lakini dada suya....alisema mganga kisha akakatizwa na sauti ya ukali ya malikia suya.

Koma...mimi ni malkia wa hii ardhi..unaanzaje kuniita dada badala ya malikia.. Alifoka suya.

Basi nisamehe mtukufu malikia . alisema Mganga

Mtukufu malikia, mimi sioni haja ya wewe kua na haraka maana Mfalme anamtoto mmoja tu ambae ni Fasha na hana uwezo wa kupata mtoto kama unavyojua malikia,.. Ni vyema zaidi tukawa na subira maana kwa vyovyote vile lazima mwanao awe Mfalme... Alisema mganga.

Nayajua yote hayo...lakini mimi nataka nipate nguvu na nafasi ya kuamua neno kwenye nchi hii haraka sana...alisema malikia suya.

Hata sasa una nguvu maana wewe ni malikia.. Alisema mganga.

Sado, unajua fika kwamba Mfalme hanisikilizi licha ya kua nilimletea baraka ya mtoto!!...hanijali wala sina nguvu kwenye hii himaya...nitawezaje sasa kua mvumilivu?....alisema malikia kwa uchungu.

Nataka Fasha awe Mfalme haraka sana maana Fasha lazima anijali mimi kama mama yake.. Nitakua na nguvu!!... Alisema malikia.

Lakini malikia kumbuka Fasha sio mwanao wa kuzaa.. Alisema mganga.

Mganga alikula kofi zito sana baada ya kusema neno hilo.

Malikia alimwangalia vibaya sana huku anahema kwa hasira.

Nisamehe sana malikia.. Alisema mganga.

Unachokitafuta utakipata...alisema malikia kisha akondoka.

                 (Nchini lazi)

Rania alifikishwa ikulu na wale vijakazi.

Aaah...pazuri huku jamani?..cheki panavyopendeza!!..alisema Rania huku akizungisha macho kwenye kasri nzima.

Hanna alibaki akimshangaa Rania.

Hata haogopi..wala hana wasiwasi kwa litakalomkuta..anapunga upepo tu... Mmh huyu mtu wa namna gani?.. Alijiuliza hanna.

Mfalme, kwanini umemwacha hai yule mkosa adabu?..aliuliza mlinzi wa mfalme..

Mfalme alikaa kimya kwa muda mfupi kisha akasema:

Anaweza kua wa manufaa makubwa kwangu.... Alisema mfalme.

Manufaaa?...manufaa gani hayo?..aliuliza mlinzi wa mfalme.

Anaujasiri wa kutisha....hamwogopi mtu yeyote..hakika anafaa sana...alisema mfalme.

Sijakuelewa mtukufu mfalme... Alisema mlinzi wa mfalme.

Kamwite huyo binti umlete hapa ...alisema Mfalme.

Ndio Mfalme.  Alisema mlinzi wa mfalme na kuondoka kwenda kumleta Rania.

Baada ya muda mfupi Rania alikua ameshaletwa mbele ya Mfalme.

Rania alitoa heshima kwa Mfalme wake kisha akakaa kwenye kiti bila hata kiruhusiwa na mtu.

Wewe binti... Wewe ni nani hata ukae kwenye kiti kilicho katika chumba cha Mfalme?.. Hebu amka haraka.  Alisema mlinzi wa mfalme.

Hapana... Mwache akae hapa...wewe ondoka nina maongezi na huyu binti.

Mlinzi wa mfalme alishangaa sana hali ile...

Bado unafanya nini?.. Ondoka haraka sana...alisema Mfalme.

Ndio Mfalme... Alisema mlinzi wa mfalme na kuondoka.

Baada ya mlinzi wa mfalme kuondoka, maongezi kati ya mfalme na Rania yalianza.

Unaitwa nani?..aliuliza mfalme wa Lazi

Naitwa Rania... Alijibu Rania.

Rania...jina zuri...unaishi na nani?...aliuliza Mfalme.

Naishi na bibi na baba yangu.. Alisema Rania.

Mama yako je...aliuliza mfalme.

Alifariki zamani sana...alisema Rania.

Pole sana Rania... alisema Mfalme.

Kabla hajaendelea kuuliza zaidi mara aliingia mlinzi wake.

Mfalme... Kuna tatizo huko nje...alisema mlinzi wa mfalme.

Tatizo gani?.. Aliuliza Mfalme.

Kuna baba mmoja na bibi mmoja wanahitaji kukuona wakati wanajua kabisa haiwezekani watu wa kawaida kuonana na mfalme hovyo.

Wanashida gani?... Aliuliza  mfalme.

Hawajasema..wanasema wanataka kuonana na wewe... Alisema mlinzi wa mfalme.

Rania alishtuka kusikia ni bibi na baba fulani.. Alijua ni bibi yake na baba yake bila shaka..macho yake yalijaa wasiwasi mkubwa sana..

Rania?.. Ndio bibi na baba yako?.. Aliuliza Mfalme..

Bila shaka ni wao mfalme. Alijibu Rania.

Sawa ngoja nikaonane nao..usiwe na wasiwasi watakua salama.. Alisema mfalme.

Mfalme alitoka na kwenda gerezani ambako pame na kaasha walipelekwa baada ya kuleta usumbufu..

Mfalme...Tafazali mwachilie mwanangu.. Hata adhabu yake niko tayari kuichukua.. Tafazali msamehe mwanangu...alisema pame akiwa ameinamisha kichwa chake.

Wote nyie niacheni peke yangu hapa... Alisema mfalme na wote waliokua pale wakaondoka na kumwacha na pame na kaasha.

Mfalme kisha alisogea akasema:

Naombeni nikiwafungulia hapa mwondoke mara moja..mtoto wenu atabakia hapa..lakini nawahakikishia atakua salama kabisa na hakuna wa kumdhuru..kuna kazi nataka nimpe maana yeye anaonekana ni mtu asie na hulka ya kuogopa mwanadamu mwenzie.

Nawaombeni mwindoke,mambo yakikaa sawa atakuja kuwasalimia na atarudi tena. Nitaangiza usafiri mzuri uwaridishe kwenu... Alisema mfalme.

Pame na kaasha hawakuamini..walizani kwakua mfalme amekuja basi wamekufa..hawakutaka kuuliza maswali zaidi maana walimwogopa mfalme sana..

Mfalme aliagiza farasi wawili wakawarudisha kaasha na pame nyumbani.. Njiani pame na kaasha walikua na wasiwasi kuhusu kitakachomtokea Rania.

Baada ya hapo Mfalme aliondoka na kurudi kwenye makazi yake..njiani alikutana na mlinzi wake..

Mfalme, kwanini umewaacha wakaenda lakini wahalifu wale?..aliuliza Mfalme.

Naona wewe unataka kunipanda kichwani..kwahyo kila ninachoamua unataka niwe najieleza kwako?..aliuliza Mfalme.

Nisamehe sana mtukufu Mfalme... Alisema mlinzi wa mfalme baada ya kuona ameyakoroga.

Rania, ninakitu naomba unisaidie...alisema Mfalme.

Aaah...kumbe na wafalme hua wanaomba...alisema Rania huku anacheka kwa chini chini.

Mfalme ilibidi atabasamu tu maana hakua na cha kufanya.

Mfalme alimweleza ombi lake Rania...

Nini?...mimi?... Eti niwe....aah..hapana haiwezekani...alisema Rania baada ya kusikia ombi la Mfalme.Nini kinafuata?.

USIKOSE SEHEMU YA SABA

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
2 Rania Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni