Notifications
  • MY DIARY (42)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MBILITULIPOISHIA...Uzalendo ulinishinda ikabidi nimuulize ni kwanini bado wanatumia njia hiyo ya kizamani kutunza kumbukumbu wakati siku hizi kuna kitu kinachoitwa Human Resource Informaion system ambapo kumbukumbu zote za wafanyakazi kama waliochishwa kazi, wagonjwa, walioenda likizo ,waliopandishwa vyeo na taarifa nyingine muhimu uhifadhiwa kwa kutumia komputa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (41)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MOJATULIPOISHIA...Mark anashangaazwa sana na mwanamke huyo lakini kwa kuwa shida yake ilikuwa ni hela anaamua kuachana nae na kuanza maisha mapya hapo jijiini Dar es salaamMaisha yanaendela lakini Mark amekuwa tajiri na mtu mwenye mafanikio sana kiuchumi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Pamoja na mafanikio hayo ni mtu ambaye mapenzi bado yalikuwa yakimuumiza siku hadi siku.Filamu…
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

TANGA RAHA (36)

SEHEMU YA THELATHIMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Tukapiga hatua za kimya kimya hadi sehemu waliyo kaa na walipo tuona mmoja akajaribu kupiga kelele ila Mzee Ngoda akamzaba kofi zito hadi mtoto wa watu akazimia na wengine walio ona hivyo hakuna aliye dhubutu kufungua kinywa chake
SASA ENDELEA...
“Baba yenu yupo wapi?”

Mzee ngoda aliuliza kwa sauti ya ukali ila ni ya chini sana ambayo watu tuliopo kwenye eneo hili ndio tunaweza kuisikia.

Mtoto mmoja wa kike akanyoosha mkono gorofani akimaanisha kwamba yupo chumbani kwake na hapo ndipo nikaamini kuwa pesa ina fanya kazi kwa maana askari walisikia juu ya mauaji yangu na kwa kawaida mtu akiwa amefanya kosa 

Kama hili ni lazima kwanza ashikiliwe kwa muda kadhaa japo kuna kitu cha dhamana ila baba Rahma hakupaswa kupewa dhamana ya aina yoyote
“Hakikisha ngedere yoyote apanui domo lake”

Mzee ngoda alizungumza huku akianza kupanda ngazi akielekea juu gorofani na mimi nikawa nimewanyooshea watoto bastola yangu yenye risasi baridi ambazo hazina uwezo wa kumuua inadamu.

Baada ya dakika kama tano nikaona baba Rahma akiwa na mke wake pamoja na ndugu wengine wakiwa wanashuka kwenye ngazi huku mikono yao wakiwa wameinyoosha juu kama mateka.

Akawaamuru kupanga mstari mmoja huku wakiwa wamepiga magoti pamoja na mikono yao ikiwa juu.

Macho ya baba Rahma pamoja na shangazi Rahma yakawa na kazi ya kunitazama kwa mshangao huku kila mmoja akiwa haamini kama ni mimi ndie nimesimama mbele yao tena nikiwa nimevalia nguo za jeshi
“Nenda kamtoa Rahma ndani kwake na umlete hapa”

Nikafanya kama mzee ngoda alivyo niagiza na kwa tahadhari kubwa na mimi nikazipandisha ngazi hadi chumbani kwa Rahma na kumkuta akiwa amelala pamoja na Hilda.

Nikaigeuza kwa nyuma kofia yangu ya jeshi niliyo ivaa na nikamshika shavuni Rahma na akaanza kupepesa macho akihisi kama mdudu ndio anamtambalia
“Rahma”

Nikaita na akafumbua macho yake na kunitazama kwa muda na akastuka kidogo kuniona ila kabla hajazungumza kitu nikamziba mdomo
“Ni mimi Eddy nimekuja kukuchukua mpenzi wangu wa maisha”
“Kweli Eddy”
“Ndio ninakuomba twende pamoja mbali na hapa mpenzi wangu”

Nikamuona Hilda akinyanyuka na kwa haraka nikamnyooshea bastola yangu na alipo niona ni mimi akawa kama anawewesekea kwa woga ulio changanyikana na uwoga
“Nyanyua mikono yako juu kabla sijakufyatua huo ubongo wako”

Akatii na kwaishara nikamuamuru kushuka kitandani na anyooshe mikono yeka juu na atangulie mbele,Rahma akashuka kitandani huku akiwa amevalia gauni jepesi linalo muonyesha nguo yake ya ndani.Kisha nikamshika kiuno kwa mkono mmoja huku mwengine ukiwa umeishika bastola nikimuelekezea 

Hilda ambaya gafla akachomoka haraka huka akupiga kelele za kuomba msaada na nikamaucha akimbie huku akishuka kwenye ngazi na kukutana na mzee ngoda akiwa ameshika bastola na kumnya kasi yote kumuishia kweye ngazi
“PITA HUKU KWA WAJINGA WEZAKO”

Hilda taratibu akapita kwa wezake na kufanya kama walivyo fanya huku akiwatazama watu waliopo kwenye adhabu hii.Rahma akaniendelea kunikumbatia huku akiwatazama wazazi wake kwa macho makali
“Baba na Mama……najua siku zote kwamba mulifanya njama za kila namna ili nisiweze kuwa na Eddy…ila tambueni kuwa sijali kama yeye ni mtu mweusi au anapesa au hana pesa mimi ni-memkubali jinsi alivyo…”

Rahma alizungumza kwa sauti ya kufoka na yenye uchungu na kwafanya wazazi na ndugu zake kubiki wakimtazama pasipo kujibu kitu cha aina yoyote.

Kwa kuwadhiirishia wazazi wake na ndugu zeka akanishika midomo yangu na kuinyonya kama dakika mbili kisha akawageukia ndugu zake.
“Japo baba ulijaribu kumuua Eddy kwa kumpiga risasi ila ikanipata mimi nakuufanya ujauzito wangu kutoka ila ukweli ni kwamba ana uwezo wa kunizalisha tena na tena na tena na tukawa na watuto wafamilia kubwa “

Nikamuona baba Rahma akitemeka kwa hasira huku macho yake yakiwa mekundu kupita mae-kezo,kwa upande wa mama Rahma nikayashuhudia machozi yakimwagika huku akitetemeka kwa uchungu kwani hawakuamini kama mtoto wao ndio anaondoka mbele ya macho yao
“Eddy hembu fungua begi unitolee redio ndogo”

Nikafanya hivyo na kufungua na kukuta kijiredia kidogo kinacho tumia kanda na kimetenge-nezwa na kampuni ya Panasonic.Mzee Ngoda akakiwasha na kuminya kitufe cha rangi ya kijana kilicho andikwa ‘record’
“JE UMEKUBALI KUMUUOZA MWANAO RAHMA KWA BWANA EDDY?”

Mzee Ngoda alimuuliza baba Rahma huku bastola ikiwa juu yakichwa cha baba Rahma ambaye bila ubishi akajikuta akijibu
“Ndio nimekubali”
“Je Rahma umekubali kuolewa na Eddy?”
“Ndio nimekubali tena sana”
“Na wewe Eddy umekubali kumuoa Rahma”
“Ndio nimekubali”
“Je mama Rahma umekubali binti yako aolewee na Eddy”
“Ndio nimekubali”
“Wanandugu wote wajomba mashangazi na mababu je mumekubali mtoto wenu Rahma kuole-wa na Eddy?”
“Ndioo”

Walijibu kwa sauti za unyonge japo ndio hivyo wamekubali kwa kulazimisha.Akairudisha nyu-ma tepu iliyo kuwemo ndani ya redio hiyo kisha akaisikiliza na sauti zikawa zimeingia vizu-ri,akaizima redio na kuiingiza mfukoni mwake.
“Toa kamba na kisu ndani ya begi”

Nikatoa kamba ina ya manila pamoja na kishu kisha akawaamuru wote kulala chini na idadi yao wapo kumi na nne.

Nikaanza kuwafunga kamba mmoja baada ya mwengine na mtu wa mwisho kummalizia kumfunga ni Baba Rahma ambaye akaanza kuleta ubishi nikatandika kofi moja la usogo akatulia,hasira ikaanza kunipanda na nikaikumuka siku alipokuwa akinitesa ikanilazimu na mimi kumhindilia mateke mawili ya makalio baada ya kumaliza kumfunga kamba
“Jamani asanteni kwa ushirikiano wenu mulio tupa sawa”
“Samani jamani ngoja kuna kitu ninataka kwenda kuchukua ndani mara moja”
“Dakika mbili zinakutosha”

Rahma akapandisha ngazi na kurudi akiwa amevalia suruali ya jinzi pamoja na sweta lenye ko-foa na akamfwata mdogo wake mmoja wa kike ambaye kwa makadirio ana miaka kama mitatu akambusu na wakazungumza kiarabu na tukaondoka.Tukamkuta mlinzi getini akiwa amesinzia na alipo stuka na kumuona Rahma akanywea
“Wewe una kazi ya kulala lala?”
“Ahaa ni ni samehe dada Rahma”
“Nyoo ingia ndani ya kibanda chako”

Mlinzi akaingia na Rahma akamuomba funguo za geti kisha akamfungia mlizi kwa nje na kabana mlango kwa kufuli kisha tukaondoka.Tukaingia ndani ya gari huku saa yangu ikinionyesha ni saa saba usiku na tukaanza kuelekea katika njia ya 

Horohoro inayoelekea mpakani mwa Kenya na Tanzania.Mzee Ngoda akakunja kushoto na tukaingia kwenye barabara ya vumbi na safari ikaendelea na tukavipita vijiji kama vinne na katikati yam situ Mzee Ngoda akasimamisha gari na sote tukashuka

Mzee ngoda akanza kumtazama Rahma kwa macho ya kuiba kuanzia juu hadi chini na kwa jinsi Rahma anavyo nikumbatia kumbatia nikamuona kabisa mzee Ngoda akiumia moyoni mwake kwani ikafikia kipindi hadi sura yake ikawa inajikunja na kitu kinacho nikaanza kunipa wasiwasi.

Gafla tukastukia akiichomoa bastola yake na kutonyooshe sisi na Rahma na kwastory nilizo wahi kuzisikia mtaani kweni ni kwamba huyu mzee anatabia ya kutembea na wasichana wadogo japo sikuwahi kumshuhudia na kwa story nyingine nilizo zipata mtaani ni kwamba alimuua mke wake kwa kumpiga rasasi baada ya kufumaniwa akiwa na binti mdogo

Mlio wa bastola ya mzee Ngoda ukanifanya nifumbe macho huku nikisikilizia ni wapi risasi yake ilipo tu,Swali nililo nalo kichwani kwangu ni kwamba ni wapi risasi ilipo tua kwa maana mwilini mwangu sikusikia maumivu ya aina yoyote na kama imempiga 

Rahma wangu mbona sijasikia sauti yoyote ya yeye kutoa maumivu.Kwa haraka ni kafumbu macho na kumtazama Rahma na kumkuta akitetemeka kwa woga
“Angalieni nyuma yenu”

Tukageuka na kukuta nyoka mkubwa akining’inia kwenye tawi la mti huku kichwa cheke kikiwa kimetawanywa na risasi aliyo pigwa na Mzee Ngoda
“Mwanajeshi anatakiwa kuwa na hisia za kitu chochote cha Atari kitakacho kuwa karibu yake ila nakushangaa Eddy wewe nyoka yupo nyuma yako wala hustuki kwa kitu cha ina yoyote”

Kutokana na mstuko wala sikujua nimjibu kitu gani mzee ngoda,Rahma akanishika mkono na kunikumbatia huku akiendelea kutetemeka.

Mzee Ngoda akapanda kwenye gari na kutuomba na sisi tupande,taratibu nikamshika Rahma mkono na tukapanda kwenye gari na safari ikaendelea ambayo tayari nilisha anza kuitilia mashaka na sikujua ni wapi tunapoelekea.

Tukafika kwenye moja ya jumba kubwa lililo jegwa vizuri na Mzee Ngoda akasimamisha gari nje ya jumba hili na akatuomba tushuke kwenye gari
“Karibuni sana wanangu hapa ni nyumbani kwangu”

Mzee Ngoda alizungumza huku akitoa funguo nyingi na kufungua geti la chuma lililopo kwenye jumba hili,kisha akafungua na mlango mwengine na tukaingia ndani japo kuna giza ku-ba.

Akawasha swichi na taa za ndani zikawaka
“Hapa ni kwangu huwa nikiwa na mawazo sana huwa ninakuja huku kupumzika kama wiki ki-sha ninarudi tena mjini”
“Unakuja kupumzika peke yako?”
“Ndio ninakuja peke yangu na niwatu wengi hawaijui hii nyumba yangu kwa maana ipo porini sana”
“Ni kubwaa”
“Yaa ina eneo kubwa kwa huko nyuma kuna bustani za maua ya kutosha sema sasa hivi ni usiku sana….Hii nyumba niliinunua kwa rafiki yangu alikuwa ni mwanajeshi wa kijerumani kipindi cha miaka ya semanini”
“Ahaa sawa”

Mzee Ngoda akatuonyesha chumba cha kulala ambacho ni kikubwa sana na kina vitu vichache vya dhamani pamoja na kitanda kikubwa cha duara ambacho tangu nizaliwe sikuwahi kula-la,nikakichunguza chumba kizima na kuridhika na mazingira yaliyopo humu ndani.Nikavua nguo zangu na kupanda kitandani na 

Rahma akafanya kama nilivyo fanya mimi na ikawa ni siku nyingine ya furaha katika mahusiano yetu baada ya kupitia kipindi kigumu cha maisha.Baada ya kupeana haki ianyo stahili kila mmoja akapitiwa na usingizi mzito

Jua kali kiasi linalopita kwenye dirisha na kutupata kitandani ndilo lililofanya niamke na kushuka kitandani na kumuacha Rahma aendelee kulala,Nikaoga na kutoka na kuvaa nguo zangu na kutoka nje na kumkuta Mzee Noda akifanya mazoezi
“Shikamoo mzee”
“Marahaba ila Eddy hilo jina la mzee nilisha kukataza”
“Ahaa samahani baba yangu

Mzee Ngoda akamaliza kufanya mazoezi na akaanza kunitembeza kwenye kila sehemu ya jumba lake la kifahari na kusema kweli wajenzi wa hili jumba waliweza sana kulijenga kwa maana lina vyumba hadi ardhini na maeneo makubwa ya michezo pamoja na sehemu ya kuhifadhia magari ya kutembelea
“Hizi ni Ford za mwaka gani?”
“Aaaa hizo gari ni za mwaka 1932 mimi jamaa alikuwa akizitumia zamani sana ndio kaniachia mbili za ukumbusho”

Tukaendelea kutembea tembea kwenye bustani zenye maua mazuri ya kuvutia
“Haya matunda yote unayo yaona hayana mlaji mengi yanaiva na kuanguka chini”
“Ina maana huku hakuna watu wanaofika kwenye hii nyumba?”
“Hakuna kwa maana hapa ni katikati ya msitu isitoshe kuna ukuta kubwa umezunguka hili jumba upo mbali sana na hapa hadi kuufikia kwa kutumia miguu ni mwendo wa masaa matatu na nusu hadi mane”

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

18 Simulizi Tanga Raha
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni