BAMBUCHA (23)
Jpt
7 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
ILIPOISHIA...
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Hapo sasa nilikuwa na uhakika wa asilimi zaidi ya mia kuwa yule msanii ambaye natakiwa kuaharibu uhusiono wake na yeye atakuwa amenitambua mimi ni nani. Basi baada ya kucheza na kufurahisha ukumbi nilishuka zangu na moja kwa moja nilienda mahali ambapo Sabrina alkuwepo.
Hapo kila paparazi alinifuta na kunipiga picha. Basi nilimwita mmoja na kumpa business card yangu na kumwambia naomba ampelekee yule msanii ambaye nilifanya yote kwa ajali yake. Kweli mtu huyo alitumia mbinu zake za siri kwa siri kufanikisha hilo. Tamasha lilisha na tukarudi zetu nyumbani huku Sabriana siku hiyo akiwa amekasirika sana kwa madai kuwa tumekosa pesa.
Nilimwambia hasiwe na haraka kwani mambo mazuri hayataki haraka. Tusubiri mpaka kesho na kama hasipotutafuta msanii huyo ndo tutajua cha kufanya. Basi tulilala na kesho ilifika. Kwa kuwa wikiendi ilikuwa ikiendelea. Tulienda zetu ufukweni kupunga upepo na kutafakari kuhusu michakato ya kufanya ili tuzidi kuwa maarufu napia tuzidi kupiga pesa.
Tukiwa huko ndipo simu yangu iliita na nilipoipokea nikagundua kuwa alikwua ni yule msanii ambaye nilipewa kazi. Kwanza alianza kunisifia kwa kazi yangu nzuri ambayo niliifanya pale ukumbini japo ile nafasi haikuwa yangu nililazimisha. Yeye mwenyewe akajilengesha kuwa napenda kama tutaoana maana anahisi kuwa naweza kufanya naye kazi.
Basi tuliweka appointment siku ya kukutana na alisema tutakutana sehemu ya siri kidogo ambayo demu wake yule maarufu mwenyewe wapambe wengi sana hapa nchini hatojua.Sabriba alishangaa kuona eti nimetafutwa na badala ya kuulizwa kuwa nilitoa namba za nini naombwa kukutana.
Basi siku hiyo ndo tulijipanga sasa maana tuliandaa mapaparazi wa kutosha na pia tulitaka taarifa hizo zimfikie bibie huyo. Mimi nilijipanga sana na nilitupia yale mapigo yangu ambayo ukinangalia tu lazima utawaza mambo ya kitandani. Kosa kumbwa alilolifanya ni kunipeleka hotel ambayo mimi nilikuwa ni maarufu sana.
Niliakikisha kuwa tayari kuna chumba ambacho kiliandaliwa maalaumu na kilitegwa kamera. Sasa huyu jamaa tulimtanguliza na nilpofika baada ya salamu nilimwambia kuwa yeye ni mtu maarufu sana hivyo mda wowote tunaweza pigwa picha hivyo mimi sitaki hilo litokee naomba tuingie ndani tufanyie mazungumzo yetu huko.
Akaanza swaga zake kuwa kuingia ndani ni mtihani sijui kwa jinsi nilivyokuwa mzuri hivyo anaweza hata kutaka kamchezo maneno kibao bila kujua kuwa mimi nilikuwa kazini. Niliwambia yeye ni mtoto wa kiume lazima ajiamini na mimi sijaja hapo kwa mambo hayo bali ni kwa ajali ya business.
Yaani nilijifanya kuwa nilikuwa na dili kubwa sana ambalo lilihitaji utulivu wa hali ya juu. Basi alikubali tukaingia ndani na huko kama kawaida yangu sikuenda shule lakini nilikuwa anafanya kazi za kisomi. Nilikuwa na mpango kazi ambao uliandaliwa na Profesa mmoja wa sanaa ukuionseha Misson, vision na jinsi ambavyo unawezakumwongezea umaarufu masani huyo na kumuongezea kipatao.
Mpango ulikuwa wa kisomi hivyo hata yeye kwa level yake hasingeelewa. Alipekuapekeu kurasa kama mbili na kusema hiyo atampelekea mashauri wake wa mambo ya biashara aupitie. Kimoyo moyo nikawa nasema tayari kaiangia king huyo na ni wale wale wenzangu na mimi waliokimbia shule.
Nikiwa hapo hapao ndani tayari nilikuwa nimepata wazo lingine la kutengeza pesa.Yaani kuacha lile la kuaribu uhusiano wao alafu nilipwe mimi nilipata wazo kuwa nimfanyie utumbo alafu zile video zitatumika kumchomoa pesa kabla hata hazijamfikia huyo baby wake.
Basi nilimsogelea nikamwekea mikono mabegani na yeye kwa mbwembwe zake za kisaini akanishika kiuno hapo niliruka utafikiri mwanamke kigoli. Yeye mwenyewe alishangaa na kuniuliza “mbona na nyege mshido hivyo?”.Nikamwambia ndo hivyo sijakunwa siku nyingi. Kauli hiyo ilimfurahisha na kunivuta kwake.
Akanangalia kwa mahaba kisha eti akanisogezea domo lake pana kama sahani.Nilijua alichukuwa akitaka na mimi nilimpa.Tulinyonyana denda huku nikiwa na uhakika kamera zitachukua tukio hilo vizuri. Nilijua kabisa nikipata piacha za faragha naye ni kwamba itakuwa rahisi sana kumtishia kuwa nitazisambaza matandaoni hivyo lazima atanipa pesa tu.
Kwa hiyo moyoni nilikuwa na kazi mbili yaani moja ni kumpagawisha na kupata picha hizo kwa matumizi yangu ya kujipatia kipato na mbili ni kumuharibia kwa mpezi wake. Yaani Sabrina alainifundisha mambo ambayo mpaka leo nikikumbuka huwa nachoka kabisa.
Utamu ukatukolea na sasa sijui sheteni gani alinipanda maana hakuiishia tu kuninyonya mate bali aliamia mpaka kwenye matiti.Ni kweli yanavutia lakini ningeweza kumzuia. Nilijikuta tu kinaniliu changu kinadinda na kuanza kuniwasha washa. Nikajisahau zaidi na kumuachia aendelee na romance hiyo.
Jamani kweli mapenzi ni kitu cha ajabu maana nilianza kujisahau kama nipo kazini nikazidiwa kwa raha na kuanza kutoa milio ya huba. Kadri alivyokuwa akininyonya na kunipapasapasa nilizidi kunyegeka na kutamani kungonoka. Yaani kama isingekuwa nizile kamera basi naapa kwa jina la mama yangu ningemvulia chupi huyu mwanaume.Sasa sijui ni kwa sababu ya umaarufu wake au ni nini hata sielewi.
Mda mfupi tu jamani kichupi kilishalowana kwa ute uliokuwa ukishuka bila kupenda.Mikono yake ilishikilia vizuri kiuno changu kilichochongoka vizuri kama nyigu. Alipotaka tu kinichojoa hap ndo nilikuwa mkali maana niliona itakuwa ni aibu sana kama kamera zile zikininasa naliwa na mwanamziki huyo.
Nilimsukuma kwa nguvu sana mpaka yeye alishangaa. Nikajitingisha vizuri nikashuka kigauni changu nikamwambia tutafanya siku ingine siku hiyo ni hatari sana. “Ooooops!!!!,acha uswahili bhana am real fall fall in love with you”. Aaah na kiingereza chake caha kuombea maji.
Nilimfuata na nikampiga busu na kumwambia nitampa siku ingine.Nikanyanyua pochi yangu na kaunza kuondoka.Alibaki amesimama pale kama zuzu aliyetoroka milembe. Nilishamaliza kazi yangu kwa maana wakati natoka nilipishana na mtu ambaye tulimwandaa kwa ajili ya kuchukua udaku huo.
Alinipiga picha na kwa nikajifanya kama sijui nilijifanya najiziba uso hili nisionekane. Kosa nililolifanya msanii huyu ni kwamba mimi nilipotoka na yey alikuwa alinifuata kwa nyuma kama vile labda kuna kitu alikuwa akitaka kuniambia. Masikini nay eye akakutana na kamera za mapaparazi wakampiga picha.
Hakukubali hilo litokee akaamua kupambana na huyo mwandishi eti amnayng’anye kamera. Hakujua kama huo ulikuwa ni mtego basi yule mwandishi akajifanya kama anakimbia.Walikimbizana na kuanza kupokonyana kumbe mwenzake alikuwa na mwenzye hivyo picha hizo za ugomvi zilichukuliwa pia.
Wiki hiyo sasa ilikuwa ni wiki ya raha sana maana niliandikwa sana magazetini. “Mondi abambwa hotelini akaivunja amri ngumu ya sita na Msichana anajiita Bambucha”. Jina la Bambucha likakuwa kwa haraka sana hivyo ile timu iliyonipa kazi sasa ikawa tayari kunilipa maana kwa namna moja nilifanikisha walichokitaka.
Na kweli ndani ya wiki hiyo hiyo yule msichana mlimbwende ambaye aliwahi kuwa miss Tanzani alimbwaga Mondi msanii pendwa nchini.Mchongo huu ulipangwa na pedeshee mmoja kutoka Kongo ambaye inasemekana alikwua anataka kujiweka kwa binti huyo.
Yule msanii alinichukia sana kwa maana hakunionja na pia nilimwaribia. Zile clips za mimi nay eye tukinyonyana denda Sabriana alimtumia na hiyo ilikuwa n kabla hajaachana na msichana huyo. Kwa hiyo kwa kutetea penzi lake ilibidi alipe pesa nyingi hili kuzinua.
Juhudi zote hizo hazikuazaa matunda kwani aliachana na super star huyo wa kike ambaye kwa namna moja au nyingine alikuwa akimpa sana umaarufu. Kwa hiyo tulikuwa tumepiga dili mara mbili. Sabriana na yeye ni kiboko kwa kweli maana sijui hata hao mapaparazi aliwajulia wapi.
Siku zikazidi kwenda sasa yule msanii hakufurahishwa na kitendo cha mimi kumwaribia na kumnyima uroda. Maana baada ya kumwagwa akawa anakata kujiweka ndani yaani awe na mimi. Yaani mimi sitaki mwanaume wa kuniganda kama nyuki hivyo nilimkataa.
Sasa kitendo cha mimi kumvunjia uhusiano wake alafu pia hajapata nafasi ya kuwa na mimi ilimuuma sana. Akaanza kusambaza vile vipisi vya video kuonesha kuwa aliwahi kulala na mimi. Ukisikia ujinga ndo huu maana alijitapa kuwa sina lolete kwa kuwa alishanivua chupi lakini ukweli ni kwamba alishia kunila denda. Akajua kuwa ananiharbia kumbe ndo kwanza anazidi kunipa umaarufu.
Nikaanza kupokea kazi nyingi kuwa nishirki kwenye video za musiki. Nikawa bongo video quine maarufu hapa mjini. Siku zikayoyoma na sasa nilikuwa ni mtu maarufu jina la Bambucha lilikuwa kumbwa sana. Nilivyozidi kuwa maarufu ndivyo nilivyozidi kutumia urembo wangu kujipatai akipato.
Mtoto wangu alikwua akisoma shule ya bei mbaya.Mtu ambaye nilimuonea huruma ni Sabrina maana yeye alikuwa akifanya starehe wakati hana hata mtoto wa dawa.Wasichana walikuwa wakinipenda sana maana sikuacha kujivunia mwanangu na hata istagram yangu ilijaa picha zake.
Sasa wadukuzi na wapelelezi wa mambo wakaanza kufuatilia historii ya maisha yangu na kutaka kujua kuwa eti baba yake ni nani. Sikutaka hilo litokee maana lingeleta na kuvumbua siri nyingi ambazo zilijificha. Katika harakati za hapo mjini yule kaka Athuman ambaye mwanzoni nilidai kuwa hiyo mimba ni yake alianza kunitafuta.
Sikutaka kuonana naye maana najua ataleta stori kuwa bado ananipenda. Pia sikutaka kuonana naye maana kuonana naye ni sawa na kumkumbusha machungu.Si unakumbuka nilimpakazia hiyoo mimba kuwa ni yake wakati si yake. Basi kitendo cha mimi kumzungusha zungusha juu ya mimi kuonana naye nayeye akaanza kujitamba kwenye vyombo vya habari kuwa eti yeye ndo baba wa mtoto wangu.
Habari zikaanza kusambaa kuwa baba wa mtoto wa Bambucha amejulikana. Hii kitu ilinikera sana na sikutaka kujibizana na mtu nilikaa tu kimya na kuacha timu Fulani waendelee kupuyanga kwenye mitandao ya kijamii na kutokwa povu lisilo na maana.
Maisha yaliendelea na sasa nilifanikiwa kumaliza nyumba yangu.
Katika kipindi hicho sasa ndo nilishangaa sana kuona Sabrina ameanza kubadililka sana. Kuanzia mavazi, mitindo ya nywele kuongea na mambo mengine. Pia alianza kumcha Mungu kwa madai kuwa amechoka maisha ya kupuyangapuyanga na sasa anataka kuolewa.
Nilimshanga sana kwa kweli yaani Sabrina huyu huyu ninayemjua mimi anataka kuolewa?. Sasa kuna siku ndo akanichosha kabisa alipokuja amevalia baibui. Nilistaajabu ya Musa kwa kweli. Basi akanambi kuwa amepata bwana wa kiisalamu kutoka Zanzibar anataka kumuoa.
“Wewe Sabrina huyo mwanaume anajua historia yako vizur?”,ilibidi nimuulize. Sabraina akasisitiza kuwa amemueleza ukweli wote lakini bwana huyo amesema yeye haishi kwa kuangalii historia kama nipo tayari kuwekwa ndani na kutulia basi atanioa.
Hiki kitu kilinishangaza sana maana si rahisi sana mmbwa mwitu kuwa kondoo japo tunajua ni rahisi sana kwa kondoo kuwa mbwa mwitu. Mapenzi mazito yalichanua baina ya Sabrina na mpemba huyo.
Mambo ya starehe yalipungua sana na hata wakitaka basi walikuwa wakienda sehemu ambazo ni za heshima sana. Ila huyu bwana alikuwa na uwezo maana alikuwa akifanya biashara za magari na alikuwa akienda sana Dubai.Mda mwingine walikuwa wakaienda wote hivyo nikanza kuwa mpweke sana.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni