SIKUACHI BABY (8)
Zephiline F Ezekiel
5 min read
Mwandishi: Juma Hiza
SEHEMU YA NANE
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Kitendo cha kumaliza ngwe ya kwanza sikutaka kupumzika bado nilijihisi kuwa na nguvu za kuuhimili mchezo, niliamua kumbadilisha staili, nilimlaza kiubavu huku mguu wake mmoja nikiuchanua kwa juu kisha na mimi nikajilaza kwa nyuma yake kiubavu halafu nikaupachika mtwangio wangu katika kinu chake na kuanza kutwanga, alizidi kutokwa na miguno lukuki ya kimahaba wakati huo alikuwa amejipinda haswaa! utamu ulikuwa umemkolea.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA CnZ Media APP INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO
SASA TUENDELEE...
Niliendelea kutwanga huku nikizidisha kasi ya utwangaji wangu.
“Aaaahhhh ooohhh jamaniii Metuuuu aaaahhhhhh ooooohhhh aaahhhmmm,” aliendelea kutokwa na miguno ya kila aina.
Japo nilipanga kumkomoa katika tendo lile ambalo nililifanya kama kufuru kwa kila staili niliyoona inafaa kufanya basi nilifanya naye kwa muda mfupi.
Tulipomaliza nilimwambia aende kuoga kisha na mimi nikafuata na mara baada ya kumaliza tulijiandaa tayari kwa safari fupi ya kumrudisha nyumbani kwao, wakati huo ilikuwa imetimia majira ya saa moja za usiku.
Hakutaka kunitazama usoni muda wote alikuwa akitazama chini kwa aibu, bila shaka hakutarajia kama nilifanikiwa kufanya naye mapenzi tena katika siku mbili nilizokutana naye.
“Metusela kwanini umenilazimisha kufanya mapenzi na wewe?” aliniuliza kabla hatujatoka nje, alijikaza kisha akanitazama usoni, tukatazamana.
“Lakini si nimekueleza sababu iliyonipelekea mpaka nimeamua kufanya hivyo?” nilimuuliza.
“Umeshindwa kujizuia?”
“Ndiyo nimeshindwa lakini naomba unisamehe.”
“Metusela unanitafutia matatizo makubwa.”
“Matatizo gani tena.”
“Mpenzi wako akijua je?”
“Sina mpenzi kwa sasa.”
“Kwanini?”
“Ndiyo maana nikakutaka wewe, nimekupenda.”
“Unanipenda?”
“Ndiyo tena zaidi ya kukupenda mpenzi.”
“Itawezekana vipi Metusela yani sielewi hata kwanini nimekukubalia kufanya mapenzi na wewe, najilaumu.”
“Usiseme hivyo naomba unisamehe najua nimekosea lakini nilikuwa sina jinsi ya kufanya hata kama ni wewe ingekulazimu ufanye hivyo kwa mtu ambaye umempenda,” nilimwambia kisha hakunijibu lolote, alikosa neno la kuniambia na badala yake aliniambia nimpeleke nyumbani kwao, nikafanya kama alivyoniambia.
****
Lilikuwa ni penzi la dharura lililotokea kati yetu wala sikutaka kujiuliza maswali mengi sana kwasababu kila kitu kilichotokea nilikitarajia, hakukuwa na jambo geni hata kidogo kwangu. Furaha yangu ilikuwa ni kuona nimefanikiwa kuugusa mwili wa Bianka ambaye naweza kusema alikuwa ni msichana wangu wa kwanza kumuingilia kirahisi, sikutumia hata nguvu nyingi. Mapenzi niliyofanya naye pamoja na uhodari wangu wa kitandani niliamini kuwa iwe isiwe lazima ningefanikiwa kuuteka mfumo mzima wa ubongo wake, niliamini angeweza kunikumbuka.
Nilipitia katika mgahawa mmoja usiku huo nikala chakula, nilipomaliza nilirejea katika chumba changu, nilijihisi kuchoka sana na nilihitaji kupumzika kwa muda huo.
Kabla sijaamua kupumzika nilipigiwa simu na Samira, haraka niliipokea.
“Kwanini unanifanyia hivi Metusela kwanini lakini nimekukosea nini?” bila hata salamu aliniuliza Samira mara baada ya kupokea simu yake.
“Nimefanya nini tena?” nilimuuliza.
“Kwanini hujaja kunichukua?”
“Nimesahau.”
“Umesahau! Tangu lini umeanza kusahau Metu.”
“Nina mambo mengi sana kichwani usiponikumbusha lazima nisahau.”
“Nimekukosea nini Metu.”
“Hujanikosea kitu mbona sikuelewi halafu unanipigia simu unaanza lawama hujui nipoje naumwa au lah! aaggh!”
“Basi naomba unisamehe Metu.”
“Utajua mwenyewe,” nilimwambia kisha nikamkatia simu, haikuchukua muda akanipigia tena, nikapokea.
“Nini?” nilimuuliza kwa ukali.
“Metu upo sawa lakini?”
“Ndiyo nipo sawa sema shida yako.”
“Kuna kitu nataka nikuambie.”
“Kitu gani?”
“Ila sidhani kama itakuwa ni sahihi kukuambia kwenye simu.”
“Wewe niambie tu! nimechoka kwanza.”
“Nakupenda Metusela naomba uamini niyasemayo, nilikataa kukubalia ombi lako ili nikuchunguze tabia yako na mwenendo wako pia lakini nashangaa nashindwa kukuchunguza na badala yake nazidi kujiumiza, kweli nakupenda nimekukubalia ombi lako naomba basi usiendelee kunitesa kiasi hicho naumia,” aliniambia Samira maneno ambayo naweza kusema yalizaa penzi lingine jipya.
Kitendo cha Samira kunipigia simu na kuniambia alikuwa ananipenda kilinifanya nizidi kujiona mwanaume niliyekuwa na nyota kali mno, haikuwa rahisi hata kidogo kuamini kama kuna siku ningeweza kumpata msichana huyo japo niliwahi kumueleza ukweli wa hisia zangu lakini alionekana kutozijali.
“Unasema kweli Samira au unanizingua?” nilimuuliza kwa sauti ya kukoroma.
“Nakupenda ukweli Metusela wala sikutanii,” alinijibu.
“Na huyo jamaa yako je?”
“Jamaa gani?”
“Huyo mpenzi wako ambaye uliniambia yuko Marekani.”
“Sina mpenzi Metu.”
“Kwahiyo ulikuwa unanidanganya?”
“Hapana nilikuwa naye lakini ni muda sasa umepita tangu nilipoachana naye.”
“Muda gani umepita?”
“Miezi saba.”
“Kwanini mmeachana?”
“Ni stori ndefu Metu ila kiukweli nilitokea kuyachukia sana mapenzi sikutaka kujiingiza tena katika ulimwengu huu hata pale nilipokuwa najaribu kuzizuia hisia zangu zisiweze kukubalia ombi lako nashangaa najikuta nakufikiria kila wakati, nafsi inaniuma na moyo nao nahisi unahitaji kuwa na wewe, sijui hata ni kwanini?” aliniuliza swali ambalo jibu lake lilikuwa ni mapenzi.
Kwa muda ambao niliendelea kuzungumza naye nikajikuta usingizi wote ukiwa umenitoka, sikuwa na lepe hata moja la usingizi japo nilikuwa nimechoka kutokana na mechi kali niliyokuwa nimetoka kucheza na Bianka lakini sikutaka hiyo iwe ndiyo sababu ya kunifanya nilale kizembe, niliendelea kuzungumza naye.
“Kwahiyo unataka kusema nini?” nilimuuliza.
“Nakupenda nipo tayari kufanya lolote kwa ajili yako ila naomba usije ukaniumiza kama Bryson,” aliniambia.
“Bryson ndiyo nani?” nilimuuliza.
“Mwanaume aliyeniumiza mapenzini,” alinijibu.
“Usiogope mimi siwezi kukuumiza kama huyo Bryson wako halafu jua kuwa hata mimi nakupenda sana nadhani nilishawahi kukueleza hisia zangu lakini ulionekana kutozijali au ulihisi nakutania?”
“Hapana Metu nilitaka nikuchunguze lakini nimeshindwa kufanya hivyo,” aliniambia kwa sauti ya kimalalamishi.
Ama kweli Mapenzi ni kitu cha ajabu sana kwa muda mfupi ambao tulikuwa tukizungumza kwenye simu mpaka kufikia hatua tukawa wapenzi, alianza kuonekana kuwa na wivu, kila alilokuwa akiniambia hakuacha kuweka walakini katika maneno yake.
Alikuwa akihofia kuchanganywa kimapenzi na wasichana wengine, alitaka kuwa yeye kama yeye mapenzini japo nilikuwa ni miongoni kati ya wavulana ambao walikuwa na mchezo huo wa kuwachanganya wasichana lakini nilimuahidi kuwa kisingeweza kutokea kitu kama hicho.
“Metu unasema kweli?”
“Niamini.”
“Naogopa sana kuumizwa.”
“Siwezi kukufanyia ukatili wa kinyama kiasi hicho,” nilimjibu.
Kama unavyoyajua tena mapenzi ya mwanzo mwanzo huwa hayana kikomo cha kuzungumza, siku hiyo tuliitumia katika kuzungumza, muda wa mazungumzo ulipoisha tulihamia katika chatting, tulichat sana mpaka ilipofika majira ya saa nane za usiku nilimwambia alale ili asichelewe kazini.
Huo ndiyo ulikuwa mwanzo rasmi wa penzi langu na Samira, alionekana kunipenda sana, hakutaka kusikia nina mwanamke mwingine zaidi yake, hiyo haikuwa kazi hata kidogo, nilichoamua kukifanya nilimuahidi na maisha yaliendelea huku kazi yangu ya kumfuata kila siku asubuhi na kumpeleka kazini Posta nikiendelea nayo lakini safari hii iligeuka kuwa kazi isiyokuwa na malipo.
Kwa muda ambao nilikuwa nikiutumia kuwa na Samira katika penzi hilo jipya Bianka hakuwa mbali katika kuuliwaza moyo wangu kipindi ambacho Samira alikuwa kazini.
Niliutumia ubize wake katika kuwasiliana na Bianka ambaye niliendelea kuwa naye na kwa wakati huo na yeye alikuwa ameshakolea penzini, alichokuwa anakitamani kutoka kwangu ni siku moja kuona anakuwa mke wangu halali.
“Utanioa kweli Metu?” aliniuliza Bianka siku moja mchana, wakati huo tulikuwa ndani ya chumba changu.
“Ndiyo lazima nikuoe ondoa shaka,” nilimjibu kisha nikaanza kumpapasa sehemu za mwili wake, akaonekana kusisimka mno na mimi nikaitumia nafasi hiyo katika kumuingia kiakili mpaka akajikuta tayari nimeshamvua nguo zake na mimi nilikuwa tayari nimeshavua zangu kwa wakati huo, kitu kilichokuwa kikifuata ni kufanya mapenzi.
Nilifanya mapenzi na Bianka mpaka pale ambapo tulimaliza huku kila mmoja akiwa ameridhika, nilihakikisha namsugua vizuri kila kona ya kuta za goli lake nililoingia pekupeku.
Nilipomaliza kufanya mapenzi na Bianka niliamua kutumia akili ya ziada kumuondoa ili niweze kwenda Posta kumchukua Samira ambaye kwa wakati huo alikuwa tayari ameshaanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe.
“Kwani kuna nini Metu mbona sikuelewi?” aliniuliza.
“Kuna sehemu nataka kwenda kumchukua abiria sasa hivi,” nilimjibu.
“Huyo abiria na mimi nani mwenye umuhimu?”
“Hayo maswali ndiyo siyatakagi nimekwambia nakwenda kumchukua abiria sasa unavyoniuliza hivyo una maanisha nini?”
“Basi Metu yaishe ila siku nyingine naomba ukiwa na mimi uwe na mimi tu!sitaki kusikia kuhusu abiria wako,” aliniambia.
Baada ya kumalizana na Bianka sasa nilianza safari ya kwenda Posta kumchukua Samira, wivu ulikuwa tayari umeshaanza kumuingia na alikuwa akihisi kwa wakati huo wenda nilikuwa nipo na mwanamke na ndiyo sababu iliyonifanya nishindwe kupokea simu zake jambo ambalo nililikanusha na kumdanganya nilikuwa bize kutokana na mishemishe zangu za udereva wa bodaboda.
Hatimaye niliweza kufika Posta lakini nilichelewa sana ukitofautisha na siku zingine. Samira hakuonekana kutabasamu baada ya kuniona, alikuwa amekasirika.
“Usichukie mpenzi leo mambo yalikuwa mengi sana,” nilimwambia.
“Mambo gani hayo wakati umetoka kwa wanawake zako,” aliniambia huku akiwa ameubetua mdomo wake.
“Hapana! Sina mwanamke mwingine zaidi yako,” nilimwambia kisha akashindwa kuendelea kuzungumza kwa wakati huo, akanitazama usoni nilimkonyeza kwa makusudi kisha akatabasamu na hasira kwa wakati huo zikawa zimemuisha.
“Sipendi unavyonifanyia Metusela,” aliniambia.
“Ndiyo maana pakawa na neno Samahani mpenzi ila nisamehe sirudii tena,” nilimwambia kisha akapanda kwenye pikipiki tukaondoka.
Tulipofika nyumbani kwake hakutaka niishie kuondokea nje kama ilivyokuwa kawaida yangu, siku hiyo alining’ang’ania niingie ndani na kama ilivyokuwa kawaida yangu nikajiongeza, nikaipaki pikipiki yangu halafu nikaingia ndani.
“Karibu mpenzi,” alinikaribisha baada ya kuingia sebuleni kwake kisha nikakaa kwenye kochi.
“Asante,” nilimjibu huku nikianza kuyaangaza macho yangu kila kona ya sebule hiyo iliyopambwa na mapambo ya kila aina, ilikuwa ni nyumba ya vyumba vitatu pamoja na jiko.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni