Notifications
  • MY DIARY (48)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NANETULIPOISHIA...Familia yangu haikukubali kabisa mimi kuolewa na rangi nyeusi hivyo walinitenga na kusema hawanitambui kuwa mimi ni ndugu yao.Lakini kutokana na mapenzi mazito niliyokuwa nayo kwa baba yake na Leah nilijikuta nipo tayari kwa lolote hivyo nikahama na kwenda kuishi Tanzania.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Katika miaka hiyo tuliyokaa nilibahatika kupata mtoto huyu…
  • MY DIARY (47)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SABATULIPOISHIA...Lakini ilifikia mahali ndoto hiyo inanijia hata mchana nikiwa nimekaa mahali tulivu.Ilikuwa inanipa taswira nzuri ya sehemu ambayo madini yalikuwepo.Basi nilianza mikakati ya kulitafuta eneo hilo na hiyo ni mara baada ya ushauri wa mpenzi wangu Candy hapo akimaaanisha yule dada aliyekuwa naye pale jukwaaani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Candy alinisihii sana…
  • MY DIARY (46)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SITATULIPOISHIA...Nilikuwa kama niliyepigwa butwaa nisiamini nilichokuwa nakiona mbele yangu. Oooooh my God hold me on yalikuwa ni maneno yaliyonitoka kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu mara baada ya kumuona James kwa uzuri zaidi na kuamini kuwa yule kweli alikuwa ni kaka yangu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishindwa kuelewa nini kimetokea mpaka yeye kurudi katika hali yake ya…
  • MY DIARY (45)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TANOTULIPOISHIA...Ndio niliona hipo haja ya kuokoka na kuishi maisha ya utakatifu kwa maana nishaishi maisha yote ya kuwa mbali na mungu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo kipindi hicho naujua mlango wa kanisani tuisahawahi kufundishwa kuwa mtetezi wa kweli wa maisha ya mwanadamu ni Mungu.Na siku zote alaaniwe mtu yule amtegemeaye mwanadamu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Sio kazi ya…
  • MY DIARY (44)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NNETULIPOISHIA...Yani alianza kutaka uhusiano na mimi tena uhusinao wa mapenzi.Mda wote alikuwa akiniganda kama luba.Na mimi nilikuwa mjanja sana maana nilijifanya sinywi pombe wala kuvuta sigara.Pia baada ya kugundua kuwa wahusika wengine walikuwa wanajiachia niliamua kujifanya mshauri wa mapenzi na mahusiano.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilikuwa nawasshauri sana mshiriki wa…
  • MY DIARY (43)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TATUTULIPOISHIA...Wakati nabadilisha staili kwa kukichua kile kifaa na kukiweka vizuri huku nikibinya ile switch hili iongeze spidi Mark aliingia. Ni kweli nilimuona ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nimalizie furaha hiyo ya uwongo uwongo. Yaani wazungu jamani sijui walifikiria nini maana kile kifaa ukikiminya kwa juu kinakuwa kinajizungusha chenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (42)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MBILITULIPOISHIA...Uzalendo ulinishinda ikabidi nimuulize ni kwanini bado wanatumia njia hiyo ya kizamani kutunza kumbukumbu wakati siku hizi kuna kitu kinachoitwa Human Resource Informaion system ambapo kumbukumbu zote za wafanyakazi kama waliochishwa kazi, wagonjwa, walioenda likizo ,waliopandishwa vyeo na taarifa nyingine muhimu uhifadhiwa kwa kutumia komputa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (41)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MOJATULIPOISHIA...Mark anashangaazwa sana na mwanamke huyo lakini kwa kuwa shida yake ilikuwa ni hela anaamua kuachana nae na kuanza maisha mapya hapo jijiini Dar es salaamMaisha yanaendela lakini Mark amekuwa tajiri na mtu mwenye mafanikio sana kiuchumi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Pamoja na mafanikio hayo ni mtu ambaye mapenzi bado yalikuwa yakimuumiza siku hadi siku.Filamu…
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…

MAMA MWENYE NYUMBA (50)

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA HAMSINI
Kama ilivyokuwa kwa mzee Mashaka, nao wakalazwa kwenye chumba chao wawili, nayule mwingine nae akiwa amelejewa na fahamu lakini bado hajitambui

SASA ENDELEA...
Mzee Mashaka ile kutambua tu uwepo wa mke wake pale, akiwa ame kaa karibu yake kabisa kwenye kitanda, akamwonyesha ishala ya kumwita kwa mkono, maana hasinge weza kuongea kutoka na ganzi ya kushona shavu lake, ambalo lilikuwa na zinga la kidonda, mke wake akamsogelea zaidi, lakini mzee mashaka akashindwa kusema chochote, “ngoja nikachukuwe peni na kalatasi” alisema mama Sophi akiinuka na kutoka nje, ya kile chumba alicho lazwa mume wake, ikapita dakika kadhaa akarudi akiwa na peni na karatai mkononi mwake, akampatia mume wake, mzee Mashaka ambae licha ya mwili mzima kuuma, kunakitu alitaka kumwambia jambo mke wake, mzee Mashaka kwa shida sana akaandika maneno flani kwenye lile karatasi kisha akampatia mke wake, ile kuangalia tu mama Sophi aka tumbua macho kama kama mwizi alie ibiwa

“Mbona nimekagua kwenye gari lakini sijaona kitu, na polisi wanasema hakuna kitu walicho kitoa kwenye gari” aliongea mama sophia akionyesha kuchanganyikiwa, “au polisi watakuwa wame litoa wakasahau kuni julisha” aliongea mama Sophia, akivuta kumbukumbu kama kuna sehemu mle ndani ya gari haku mserch, kile kikaratasi kili andikwa hivi “ nenda kwenye gari popote lilipo kachukuwe begi langu, lina feza, na anamjuwa mume wake kwa kutembe na fedha nyingi kwenye begi lake, “basi ngoja Sophia afike, maana yupo njiani anakuja” aliongea mama Sophia akimtazama mume wake ambae alikuwa bado amelala pale kitandani, lakini safari hii alikuwa amefumba macho, “mh! huyu nae vipi tena” aliongea mama Sophia akijaribu kumtikisha mume wake, ambae alisha zimia tena baada ya kupata mstuko wa kupotea kwa fedha zake, kama million hamsini, “doctor! doctor!” alipiga kelele mama Sophia huku anatoka nje mbio mbio, akipisha na mwanae Sophia mlangoni akiwa anaingia, nayeye akajiunga na mama, yake kutafuta doctor wa kumwangalia mzee Mashaka

Ilikuwa imetimia saa kumi na mmbili na lobo, Edgar na Rose ndiyo kwanza walikuwa wanaikaribia misitu ya mikumi, “yani hiisafari imekuwa ya ghafla, ingekuwa hiyali yangu ningeondoka kesho” alisema Rose na wakati huo huo simu yake ikaita, “nani tena huyu?” aliongea Rose akipapasa kwenye dash board kutafuta simu, huku macho yake yapo barabarani na stearin game ikamata kwa mkono mmoja, Edgar ambae aliiona ile simu akaamua kumsaidia, ile ananyoosha kono mahali ilipo simu mkono wa Rose ulituwa yuu ya mkono wa Edgar

Rose akautoa mkono wake haraka juu ya mkono wa Edgar, “mkono wako unajoto” aliongea Rose huku Edgar naye akiwa ame sisimka kwa kuguswa na na mtoto Rose, “atawewe mkono wako una joto” aongea Edgar akiichukuwa simu na kumpatia Rose “ hoo! asante, au kwa sababu ya kiyoyozi ndo maana kila mtu anaona mwenzie anajoto” alisema Rose akicheka cheka, nakuipokea ile simu, nakuiweka sikioni, ‘hallow niambie boss.... ndiyo... mh! kwa leo sidhani, aina shida nitaripot ata kesho kutwa” alimaliza Rose na kukata simu, nakuendelea na safari

Kiukweli mawazo ya Edgar bado yalikuwa kwenye tukio la mzee Mashaka na wenzake, na jinsi alivyo bahatika kuwa shambulia na kuweza kuwakimbia,”sijuwi yule mmoja kama atapona,” aliwaza moyoni mwake Edgar, masikini Rose sijuwi atani kumbuka tena au atatokea mtu mwingine wakapendana?” mawazo hayo yali ambatana na wivu, “mbaya zaidi ata namba yake ya simu sija ikalili, ila ngoja nikifika nita mtafuta yule rafiki yake, anipe namba yake ya simu” muda wote aliwaza na safari ikiwa inaendelea, huku mziki uliopo ndani ya gari ukiwa burudisha, na wimbo ulio kuwa ukipigwa ni, turn your light down low, wa bob marley

“Sasa kama ameshajuwa nilicho kifanya, itakuwa balaha, sijuwi kama atanitamani tena, atampango wake wa kuamia Songea ataghaili” Edgar aliendelea kuwaza na kuwazua, kabla Rose aja mstua, “vipi Edgar mbona kama una waza sana? au ume wamiss wazazi” aliuliza Rose huku akizidi kukanyaga mafuta, na gari likiwa limeshika ndani yam situ wa mikumi, “haaa hapana, ni uchovu tu!” alijibu Edgar, “ok! ila ukitaka safari hisiwe ngumu lete story” alisema Rose wote wakacheka kidogo “story kama zipi?” aliuliza Edgar akimtazama Rose na wakati huoRose alikuwa anamtazama Edgar, macho yao yakakutana “mh! huyu demu ni mkali” aliwaza Edgar wakati anageuza uso wake kutazama mbele, Rose kama aliusoma uso wa na mawazo ya Edgar alitabasamu kidogo, “nipe story za huko kwenu, nasikia uwa mna jipozea kwa ma sister”

Hapo wote wakacheka ataEdgar alicheka kwanguvu sana, “inatokea ga ata wengine wana pata ujauzito na kufukuzwa shirikani,” story ziliendela hukusafari ikashika kasi, saa moja kasoro usiku walikuwa wameingia mikumi, nakufanya wabakize kama kilomita miasaba nakitu, jamani, tutafika kweli, yani saa hizi ndo tupo hapa, yani ninge kuwa peke yangu sijuwi inge kuwaje” alisema Rose huku wana uacha mji wa mikumi na kulianza poli la ruaha, “Edgar unaweza kuendesha gari?” aliuza Rose huku ana punguza mwendo akionyesha anataka kusimama, “naweza lakini siyo sana” alijibu Edgar wakati Rose akiliweka gari pembeni kabisa ya barabar na kusimama

“Ok! nisaidie kidogo, na mimi ni pumzike” aliongea Rose akifungua mkanda na kisha mlango, akashuka toka kwenye gari nakuzunguza gari upande wa Edgar, ambae anae alifanya kama Rose na kuzunguka upande wa dereva akaingia ndani, akiwa amelirushia begi lake siti ya nyuma na kua juu ya mabegi kibao ya Rose, akafunga mlango, na kutulia amkisubiri Rose aingie kwenye gari, lakini Rose akuingia kwenye gari, hapo Edgar aka tumia site morror ku tazama kwamnini Rose aingii kwenye gari, ndipo alipo mwona ame chuchumaa karibu na taili la nyuma huku ameisshusha suluali yake ya jisi na kuruhusu msambwana wote kuwa nje, na alama ya chupi nyeupe ikione kana kwenye mviligo wa jinsi, Rose alikuwa ana kojoa, hapo aikuwa na ubishi Edgar alihisi koo lake liki kaukakwa kiu ya maji, na dudu ika stuka na kuaza ku jitutumua kwenye suluali yake ya jinsi alito ifaa waka ti anatoka kibamba, akayaondoa macho yake kwenye ile site mirror, haraka sana, zika pita dakika mbili, akamwona Rose ame simama kwenye mlango wa abiria akifunga zipu ya suluali yake, huku ikionekana sehemu ya chupi yake nyeupe, kish akafunga na kisikizo chake, akaingia kwenye gari

“Hapo sasa hafadhari, maana mkojo ulini bana tokea kwenye ifadhi, nikaogopa wanyama” allisema Rosse huku akifunga mkanda, na wote wakacheka kidogo huku Edgar akiliondoa gari nakuendelea na safari, sasa Edgar ilkuwa ina mjia taswila ya makalio ya Rose, na kusababisha dudu yake iwe ina simama mala kwamala, na kwabahati mbaya katika kuangalia angalia Rose akagundua kuwa dudu ya Edgar ilikuwa ime vimba kwa kusimama, waswahili wanaita kudinda, “vipi wewe mkojo hauja kubana?” aliuliza Rose huku, akimtazama Edgar usoni, “hapana labda huko mbele ya safari, mimi nauwezo wakukaa namkoja ata masaa sita” alisema Edgar akiendelea kukanyaga mafuta, kwa kutumia uwezo aliopewa na mama mwenye nyumba, na kufanya gari litembee speed mia kwa saa, mapaka themanini kwenye kona, kuna wakati alipo pta sehemu iliyo tulia alifikisha mpaka 140

“Weee usiniambie, yani una vumilia tu!” alishangaa Rose huku macho yake mda wote yana badiridha sehemu za kuangalia mala mbele wanakoelekea ambapo kwa sasa walikuwa wana tumia taa baada ya giza kutawala, mala amtazame Edgar usoni, kisha ashushe macho kwenye dudu, “nasikia wanaume wanaoweza kubana mokojo muda mrefu, uwa nihatari sana kitandani” alisema Rose kisha wakacheka, “hapo mimi sijuwi, mimi naona kawaida tu” aliongea Edgar huku bado wanaendelea kucheka, walionekana kuzoweana kwa mda mfupi sana, kutokana na ucheshi wa binti huyu, dada Rose hupo tofauti sana” aliongea Edgar kwa sauti ya upole na utulivu sana, “kwanini Edgar, ninatisha hen?” aliuliza Rose huku akipandisha mguu mmoja kwenye kiti, na kumtazama Edgar

“Unajuwa wanawake wazuri kama wewe uwa wana kuwa wabinafi sana, awapendi kuongea na wenzao, wanajisikia sana, ila wewe hupo tofauti sana” aliongea Edgar na kumfanya yule dada akunje sura kwamshangao, huku tabasamu liki chanua usoni kwake, “ina maana mimi ni mzuri hen?” aliuliza Rose kwa sauti ya swaga flani hivi, hapo Edgar akacheka kidogo, kama anaona ahibu hivi, “inamaana wewe ujijuwi?” aliuliza Edgar bila kumtazama Rose, “mimi nitajijuwaje, kwani wewe unajijuwa kwamba ni handsam?” hapo Edgar akachcheka kidogo, huku ikimjia sura ya Suzane, siku aliyo kuwa anamchua mguu mpaka wakaangukia kwenye mapenzi, akishindwa kumjibu Rose, “au demu wako haja kuambia?” hapo akacheka tena bila kujibu kitu, “au ndiyo maana wakina mama Sophia walikuwa waana ning’ang’nia?” aaliwaza Edgar huku safari ikiendelea, story ziliendelea huku muda mwingi wakicheka na kwa furaha, saa tatu na nusu walikuwa wanaingia ruhaha mbuyuni

“Edgar ingiza gari hapo hotelini, tupate chakula mana toka nime kula Dar” alisema Rose akimwonyesha Edgar hotel kubwa iliyo kuwa upande wake wakulia, nikweli ata Edgar alikuwa na njaa lali sana maana toka ame kula asubuhi, ikiwa ime zungukwa na ukuta mkubwa sana katika eneo la mita kama mia moja hivi, ambayo Edgar ndiyo alikuwa anaanza kuivuka, hapo Edgar akapunguza mwendo na kukata kona kuingia kwenye gate kubwa la wazi kati ya mawili ya kuingilia pale hotelini, ndani walikuta magari mengi sana makubwa, yaliyo sheheni mizigo kwenye matela yake, nawao wakatafuta sehemu nzuri ya kuli weka gari lao kisha waka simama

Wote wakashuka huku Edgar akiakikisha kama mfukoni ana fedha ambayo ita msaidia kwa chakula pale Hotelini, akaona fedha yake ilikuwepo ndani ya mfuko wake mala ya mwisho aliweka kama lakimoja hivi kwaajili ya njiani maana hakutaka kulifungua fungua begi lake la mgongoni mala kwamala kutokana na mzigo uliokuwepo mle ndani ya begi lake, akalitazama maana alikuwa ameliweka kwenye siti ya nyuma, alipo liona akalizika na kushuka kuungana na Rose ambae alikuwa amesimama akimsubiri, huku mkononi alikuwa ameshika mkoba wake wa mkononi, waka llock milango ya gari kisha wakaanza kutembea taratibu kulifwata jego kubwa la Hotel, ambalo lilikuwa lime changamka sana kwa uwingi wawatu, asa upande wa bar, ambao wengi wao ni madereva wa maloli, ambao wame amuwa kupumzika hapa ili kesho mapema waendelee na safari, wao walielekea moja kwa moja upande wa sehemu yakupata huduma ya chakula

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
7 Mama Mwenye Nyumba Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni