Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MTAA WA TATU (38)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA THELATHINI NA NANE
Zay alianza kumchokoza Salma
“Zay tuheshimiane ohoo mbona usemi buti lake kama ngozi ya kikwapa chako
mifuko ya shati lake imeshuka kama kitumbuwa chako".....

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
“Ohoo bibiye inatosha mimi nimekutania mawili tu wewe unataka kuchambuwa kila kitu kiwe mwili wangu"...

“ahaa kunya anye kuku akinya bata kaharisha nenda zako huko
Basi kila mmoja akanyamaza
Hatimae kesho yake asubuhi ikafika
Salma akaleta chai ikatupwa huku Wanajeshi wakisema
Muuwaji kama huyo hastahili kula chochote
“nani kasema mwanangu asile?
Mbuzi gani kasema hivyo nauliza
nijibuni haraka nani kamwaga hii chai?"
Kwanza kila mtu akabaki kimya wanajeshi wakakakamaa kwa kupiga saruti
Baada kuona mkuu wao kafika hapo kwa kushtukiza
Akaomba ongozwe njia kwenda kumuona mwanae,
hakuweza kuamini baada kumkuta mwanae kajilaza kitandani huku akiwa kafungwa bandeji kichwani mkononi ana pingu
Akakaa karibu yake pale kitandani na kuanza kuongea kwa uchungu
“Hafidhi kijana wangu mtoto wangu wa pekee nakumbuka mambo mengi sana kuhusu wewe, hasa kipindi kile
Wakati mama yako aliposhikwa na uchungu
nilipigiwa simu nikiwa vitani
huko Mozambique niliweza kupambana huku nikiomba nikiomba duwa
Juu ya mama yako aweze kujifunguwa salama.
Vua ikanyesha sauti ya kitoto kichanga ikaweza kusikika kwenye ngome ya masikio yangu hakika nilifurahi sana.
Unaweza
Ukajiuliza inawezekana vipi mimi niwe vitani kwenye nchi nyingine
Wakati mama yako yupo ndani ya hospitai ya nchi nyingine nilisikiaje sauti yako.
Ni simu ndio akanitambulisha kila kitu
Hafidhi mwanangu sikutaka uwonewe katika maisha yako sikutaka udhurumiwe ndio sababu ya mimi kukupeleka ukajifunze
Mapambano kwa kila mwalimu.
Lakini leo hii mwanangu nafsi inanisuta kwa kile unachokifanya
Hafidhi umekuwa muuwaji nini shida nini
tatizo,
Wallah siwezi kukuacha uendelee kufanya kitu kama hiki tena nimekuja hapa kwa nia moja tu kukuchukuwa twende nyumbani.
Kabla hajaongea zaidi sauti ya kicheko ikaanza kusikika
“hahahahaha,,,,,,ha!ha!ha!ha!,,,,,tehe!tehe!tehe!
Alikuwa Hafidhi yani ile kufumbuwa macho tu akaanza kucheka mpaka Baba yake akabaki kushangaa na kuhisi mwanae kashikwa na ukichaa au.
“Assalam alaykum yaa Abii?"
Baada kunyamaza kucheka akasalimia hivyo
“waaleykum ssalam yaa Ibnaiya vipi umzima wewe?"
“mimi ni mzima ewe baba yangu mbona uko hapa umekuja kufanya nini
Mama hajambo?"
“ndio Mama yako hajambo japokuwa yupo kwenye sononeko la kutoweza kukuona mwanae na kanituma nije kukuchukuwa turudi nyumbani ewe mwanangu".....

“hapana sio kwa sasa siwezi kurudi nyumbani naitaji kuikamilisha kazi niliyoianza nataka kumuuwa mke wa Raisi na vibaraka wake wote"...
“what! Kwanini unataka kumuuwa mke wa muheshimiwa
Kakukosea kitu gani niambie tuweze kumtangaza vyombo vya habari vipo sheria ipo itafata mkondo wake
Wakati anaongea kumbe mwanae ameshakata pingu kitambo tu na kuchomoa dripu akatoka ndani ya chumba alicholazwa
Akiwa hataki mchezo wala maskhara na mtu yeyote
Madaktari wakajishauwa kuja kumshika
kwanza aliwatembezea kichapo na kuwatupa huku na kule Mwanaume akaambaa na ukuta kwa kuruka huku na kule yani kama popo akatoka nnje wanajeshi wakajipanga
Kumdhibiti
Hafidhi alikuwa na nguvu ambazo hata yeye hakujuwa kazitowa wapi yani
Akipiga mtu ngumi au teke huyo mtu
arudi tena.
Mshikeni msimuumize ohoo"...
Mzee J Ikram akapaza sauti kina Salma wakabaki kushangilia tu
“wewee waonyeshe hao na mivazi yao kama ukoko wa kikwapa ndio wape!!!
Psiiiiiiii,,,wakapiga na miruzi kabisa
Hafidhi alikuwa anapiga fight for Grain
yani mapigo ya upepo
Wanajeshi wakazidi kupambana
Mzee J Ikram akabaki kutabasamu na kujisemea kweli mwanae Commando
Ghafla akakwea moja ya pikipikia na kuondoka nayo kwa speed
Kuna mjeshi mmoja akiwa na bunduki akamrenga Hafidhi ilikuwa siraha ya Snipe
yani ile ya masafa marefu
kabla hajafyatuwa risasi bunduki ikapigwa teke na Mzee J Ikram
Akiwa kafura kwa hasira akamuuliza yule mjeshi.
“wee chizi kicha unataka kuniulia kijana wangu je unaweza kubeba mimba yangu ukanizalia mtoto shupavu kama yule,
Lilikuwa bonge la tusi kwa Mwanajeshi yule
Akatikisa kichwa hapana
“kama huwezi basi naitaji mumkamate akiwa mzima
Nendeni mkamshike
fanyeni haraka".. basi gari na pikipiki kadhaa za Kijeshi zikatolewa kama vile wanaenda Vietnam kumbe ni kumkata mtu mmoja
kufika maeneo ya Mwenge
mwanaume kapotea katika mazingira ya utata haikujulikana kaingilia wapi kila sehemu polisi nao wakatanda
wakati kimuhemuhe kikiendelea
3Sisters kila mmoja alikuwa nyumbani kwake
Vivian akiwa amekaa kwenye sofa akitizama movie ya kibongo inaitwa Bado natafuta
“huyu jamaa hakika kaitendea haki hii falamu simu yake ikaita akaichukuwa
pasipo kuangalia mpigaji ni nani
Akaiweka sikioni na kusema
“Halloo"
“halloo kipenzi naona jinsi gani ulivyokuwa na furaha mama kijacho"
Kwanza Vivian hakuweza kuamini akauliza
“niwewe kipenzi changu Richard uko wapi my husband"
“Vivian punguza mzuka
Naomba utambuwe kitu kimoja wewe unanifahamu mimi kama Richard lakini Mimi ni Hafidhi
Nilitumia mbinu hii ya kukuteka kimapenzi ili niweze kupoozesha nguvu zako
Kwa mara yakwanza nilimpigia simu Yusra ajabu ukapokea wewe.
Nikaona sio mbaya nianze nawe nikajifanya nimetekwa huku viwanja vya Jangwani
nawe ukaja
Vivian I'm sorry kipenzi changu
niliweza kuwasoma 3Sisters kabla hamjakuja hapa nchini
kila mauwaji ninayo yatenda basi kuna sababu zake,
Vivian nitunzie simu yangu nishatoroka huku Lugalo nitunzie mwanangu
pia funguwa kwenye hiyo
Droo ya katikati utakuta Document
Nimeambatanisha na CD
waite wenzako muanze kuzipitia hizo
Document muiyangalie hiyo
CD kwa umakini sana kisha unipe majibu kwanini viongozi wetu wako hivi
Sio kila tajili ni tajili kuna siri nzito"...
Simu ikakatwa, Vivian akachoka hoi
Kijasho kilimvuja hakika
kama choo kaingia cha watoto na kukuta
Mapoti tu!"

Baada simu kukatwa bibiye Vivian ndio akachoka hoi
Akakaa chini kabisa kwani sofa aliliona kama vile kuna miba zinamchoma, akaweza kufikilia kitu kimoja kuwa
“kumbe Hafidhi ni mwanaume mjanja sana yani anaweza kutumia kila aina ya mbinu kumteka adui yake ili tu awe karibu yake....
Vivian akafikilia mambo mengi sana
kuanzia siku yakwanza wao
kuingia nchini
na kupokelewa kwa Hafidhi kufanya tukio la mauwaji kwa Kamanda wao, aliye
wapokea.
Pia akafikilia jinsi alivyoweza kukutana na Hafidhi kule Jangwani na kutoweza kumtambuwa kama ndio adui yake
na kujikuta akiangukia kwenye dimbwi la mapenzi, mpaka kufikia kupewa ujauzito
Vivian akabaki kucheka muda mwingine kulia akajisemea
“hakika wewe ni mwanaume wa shoka kumbe ulikuwa na uwezo wa kutuuwa hata sisi 3Sisters sema hukutaka kufanya hivyo,
Saruti kwako kipenzi,
Akaichukuwa simu yake na kuwapigia kina Yusra nao dakika si nyingi wakafika
“vipi Dada yetu umesikia kama yule muuwaji katoroka?"
Mariam akauliza kwa shahuku ya kutaka kudhibitisha je ni kweli
Hafidhi katoroka kule Lugalo,
“embu kaeni kwanza hapo chini tuweze kupanga plan (B) maana hii plan (A)
Wanajeshi wameitia mchanga yani heshima yote wanayopewa Jeshi wameshindwa kumdhibiti yule pimbi asitoroke ujinga huu"...
Yusra nae akang'aka kwa hasira
“Mariam na Yusra naomba mtambuwe kitu kimoja shemeji yenu Richard ndio
Hafidhi embu angalieni hizi picha kwenye simu",,,,,
Basi wakaipokea na kuwa makini kuzitizama picha zile ambazo kapiga akiwa peke yake
Au na Vivian
zingine yupo na Mariam au wote kwa pamoja
“inawezekana vipi awe yeye mbona hatukuweza kumtambuwa inakuwaje
hii?"
Mariam akauliza, kila mmoja akabaki kimya akifikilia jambo kwenye kichwa chake
“ehee ok nimeweza kupata majibu kutoka na upeo wangu huyu
Mtu
Itakuwa sio yeye Richard
hizi picha kazifanyia edit baada kumuuwa Richard akaona ajipenyeze kwetu
huyu jamaa ni mjanja sana,
Wenzake wakaanza kumcheka hasa
Mariam akacheka sana
“ha!ha!ha!ha! Hivi Yusra
unaakili kweli? Yani kwa mawazo yako finyu unaweza kusema hizi picha zimefanyiwa edit embu ziangalie vizuri"...
Vivian alimuuliza swali huku akimpatia simu na kusema
“Rich ndio Hafidhi subiri niwape vitu vingine tujuwe sababu kwanini anauwa kwanini anatia watu ukilema,
Akafunguwa ndroo ya kabati na kuzitowa zile document na CD
Akaja nazo na kuwakabidhi kina Yusra waanze kuzipitia
“ndio nini hizi?"
Yusra akauliza,
“bwanaee embu zipitie acha kuuliza maswali au kusoma haujui tukusomee?"
Ikabidi kila mmoja awe makini kuzipitia kwa kupokezana karatasi,
Kimya kikatanda baina yao kisha CD ikawekwa jinsi ilivyoanza tu wakaanza kusikitika kwa jinsi walivyoweza kushuhudia mambo ya kishenzi unyama usio vumilika
“ohoo shit! kumbe viongozi wengine sio kabisa yani kujifanya waungwana wenye heshima na busara kumbe ndio magaidi
Number one hapa nchini, kwa mwendo huu ipo siku nchi itakuja kulipuka,
Embu mtizame bwana George Gwando
kitendo anachomtendea yule binti kisha anacheka eti,
sasa kupitia ushahidi huu tunaweza kuufikisha sehemu husika
kisha sheria ichukuwe mkondo wake"...
Kila mmoja aliumizwa kwa yale aliyoweza kuyasoma na kuangalia ile CD wakashindwa hata kumalizia na kujikuta wakizima TV
Tukija pande za Mbagala tunamuona
Hafidhi
akiwa yuko faster kutembea ghafla bin vuu akapigana kikumbo na binti mmoja hivi ukicheki binti hafya yenyewe matatizo matupu.
Akapepesuka na kudondoka chini,
Alikuwa kabeba beseni ndani yake kuna visheti vikamwagika vyote,
Binti akapiga kelele
“jamani mwizi!!! Sekunde si nyingi umati wawatu ukajitokeza wakiwa na siraha zao wakauliza
“yuko wapi huyo mwizi? Tuambie kakimbilia wapi?"
Binti akamuonyeshea kidole Hafidhi kwa kusema
“mwizi mwenyewe huyu hapa!"
wakati huo vijana kwa watoto wakigombania visheti ni vidude fulani vimetengenezwa kama vile number 8 vikawekwa sukari,
Hafidhi akabaki kushangaa imekuwaje huyu binti amwite yeye mwizi wakati wamegongana kwa bahati mbaya tu,
“wee bwege sana yani watu tumeacha kazi zetu kuja kumtafuta huyo
Mwizi wewe unatuletea upimbi sio
ole wako nikute nimeunguza mboga yangu
hichi kidude chako nitakinywa supu leo"...
Ilikuwa kauli ya mama mmoja mkononi kashika kisu.
“jamani ehee embu twenzetuni huyu atakuwa kavuta bange mbichi tena kavutia makalioni kudadeki zake
Nimeacha dili kule nije kumtumbuwa tumbuwa huyo mwizi kuja hapa unaonyesha kitu hewa wee nyau nini"...
Binti akaanza kulia huku akisema
“jamani!!! Nyie vipi mwizi mwenyewe si huyu hapa, mnamuogopa au
Binti akazidi kulia tu,
Kwa upande wake Hafidhi hata yeye akabaki kujiuliza maswali inamaana kikundi cha watu wale hawamuoni au wanafanya makusudi tu,
akaona isiwe shida wacha aondoke zake, safari yake ikampeleka mpaka Mbagala rangi tatu akafanya manunuzi ya vitu

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA TISA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni