Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MTAA WA TATU (48)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA AROBAINI NA NANE
“Baby tulia usiwe na presha tambuwa kitu kimoja ndani ya dunia hii kuna Copy na Past sasa kuna maboya fulani wanatafuta kiki kupitia mimi subiri tufike na uwone huyo Hafidhi j Ikram feki namnyonya mavi. Maana hadi facebook utakuta wanatumia hili jina la kipekee’’

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Wakati huo ndio wanaingia maeneo ya Sinza afrika sana, Mwanaume akakunja kulia kama unaenda makaburini kufika maeneo ya msikitini akakunja kushoto na kufunga bleaki mbele ya nyumba moja hivi kubwa yenye geti jeusi. Mariam akaitowa bastola yake na kushuka ndani ya gari akaanza kuambaa na ukuta akachuchumalia kuangalia kwa ndani akashtuka baada kushuhudia mtu kama kipenzi chake akimburuza mdogo wake kumtowa ndani na kumleta nnje, hakutaka kujiuliza sana akachumpa na kuruka juu ya ukuta akatuwa kwa kishindo “wee mshenzi naomba umuache haraka sana mdogo wangu, lasivyo nitakumwaga ubongo pumbavu zako’’,,, Mariam aliongea kwa hasira huku silaha yake akiwa kaishika vyema yani hakutaka kupepesa hata jicho, “ahaa baby mbona unakuwa mkali hivyo mimi nimekuja kuwasalimia tu’’ “Nyamaza wee nyau mweusi umekuja kuwasalimia ndio ufanye mauwaji sasa basi leo hutoki jino moja na utajitaja wewe ni nani mpaka ulitumie umbo langu ndivyo sivyo’’ ilikuwa kauli ya Hafidhi kile kiumbe kikaanza kucheka yani akacheka sana ghafla akaacha kucheka baada kitu chamoto kupenya mdomoni mwake kwanza akayumba na kurushwa mbali na pale alikuwa bibiye Mariam alifyatuwa risasi basi wakajuwa kiumbe yule ndio mwisho wake kumbe ilikuwa kama wamechokoza nyuki sema mbele ya Hafidhi anawasha moto , kiumbe si kikanyanyuka Mariam na Othman wakabaki kushangaa, inawezekana vipi mtu apigwe Risasi ya mdomo kisha awe mzima tena anacheka huyu bila shaka ni Jini, Mariam akaona isiwe shida akaanza kummiminia risasi nyingi nyingi zisizokuwa na idadi kiumbe kilianza kushekisheki utasema marehemu Michael Jackson au Zombie ghafla Risasi zikaisha kiumbe bado mzima akaja kwa kasi na kuwakumba utasema upepo wa kimbunga vile, wote wakarushwa kule na kwenda kujibamiza kwenye ukuta “kha!kha!kha! Nyie ni kama kuku wenye mdondo nawatafuna tu, ndio kauli aliyoitowa yule kiumbe “Baby mchukuwe Othmani nendeni ndani fanyeni haraka!!! Hafidhi akaongea kwa hasira nao wakaona ehee subili tuingie ndani sie mzee mkubwa anataka kufanya yake wakaingia ndani na kufunga mlango wakati yule kiumbe akiendelea kujinadi akashtukia vitu kama nyembe zikimtambaa mwilini mwake zikiambatana na maumivu makali sekunde si nyingi kichwa hana mikono ikaenda chini miguu nayo chali yani Mwanaume utasema mashine ya kukobowa kafanya yake faster hakuna cha kicheko wala heko, baada Hafidhi kumgawanyisha viungo yule kiumbe, kuna kitu akatowa mfukoni mwake kitu kama unga hivi na kumiminia vile viungo vya yule kiumbe mwili ukaanza kupotea kama vile kamwagiwa Asidi ile sehemu kukabaki kweupe “upo chini ya ulinzi hapohapo ulipo usitake kufanya ujanja wa aina yeyote ile’’ ilikuwa ni amri kutoka kwa Afande mmoja sijui wamekuja saa ngapi na kufika hapo maana hata ving’ora vya magari yao havikusikika< kabla ya kugeuka kuwatizama hao maafande Mwanaume akatabasamu na kupotea yani ilikuwa kitendo cha kufumba na kufumbuwa mtu hayupo mbele yao polisi wakadata si kidogo wakati Mariam akibaki kucheka maana Hafidhi ni nyoko, “Aisee Mwita huyu kiumbe sio wa kumuweka chini ya ulinzi huyu dawa yake ni kumtwanga Risasi tu’’ “kumbuka muheshimiwa anamtaka akiwa mzima si vinginevyo, kingine tambuwa ni mtoto wanani huyu kama ujitaki wewe na familia yako mchape hiyo Risasi tuone nini kitatokea’’ Basi miili ya marehemu ikachukuliwa na kwenda kuhifadhiwa katika hospitali ya taifa muhimbili mshukiwa wa mauwaji hayo ni Hafidhi sema Othman akapinga vikali kwa kusema muuwaji sio Hafidhi ni kiiumbe ambaye alikuja akiwa na sura ya Hafidhi na kufanya mauwaji hayo wakati ikiwa zamu yake kuuwawa ghafla Hafidhi mwenyewe akatokea na kumpatia msaada, kwahiyo Hafidhi si mtu mbaya kinacho tokea ni kuwaangamiza watu wabaya tu, “vizuri sana kijana kwa kutowa kauli kama hiyo hakika mwanangu sio muuwaji anachokifanya ni kuwatokomeza maharamia walioko ndani ya nchi hii ya amani’’ Mzee J Ikram akaongea hivyo huku akitabasamu, basi taarifa zikasambaa hafidhi si mtu mbaya kabisa, wengi wakabaki na maswali yasiokuwa na kichwa wala miguu “kama yeye si kiumbe mbaya wale polisi kawauwa kwa kosa gani hasa mbona anatuachia fumbo zito kuhusu watu hawa anao wauwa kwanini asiwaanike sheria iweze kuwachukulia hatua stahiki. Muheshimiwa Rais aliwaza hivyo akiwa chumbani kwake ndani ya Ikulu ghafla akashtuka baada kuona kama kuimbe kimemsimamia mbele yake, akataka kubonyeza sijui king’ora sema akakatazwa kufanya hivyo, “tafadhali muheshimiwa usifanye hivyo ni mimi kijana wako Hafidhi niliweza kupata ujumbe unanihitaji nimekuja sasa sihitaji kumuumiza mtu yeyote ndani ya kasri lako’’ Muheshimiwa Rais hakuweza kuamini ikambidi awashe taa maana ilikuwa usiku akabaki kumtizama na kuuliza “kijana ni wewe?’’ “ndio ni mimi’’ basi Raisi akainuka na kumkumbatia pasipo kuhofia chochote akaenda kwenye jokofu na kutowa box la juice akamimina.

“Yani na uheshimiwa wangu wote leo hii siamini kama nimeweza kukuona mtu kama wewe"....
Muheshimiwa akaongea hivyo huku akikaa vizuri kwenye kiti,
“hapana usiseme hivyo Muheshimiwa nimekuja hapa kwa kazi moja tu kukukabidhi baadhi ya Document uweze kuzipitia ikiwezeka uzifanyie kazi"
“Sawa kijana sema kabla ya kunikabidhi hizo
Document je unaweza kuniambia kwanini unauwa kitu gani kinapelekea wewe kufanya yote haya?"
Hafidhi akafikilia na kusema
“ndio kuna mengi naweza kukwambia sema nitaongea nawe kwa machache tu kisha nikupe hizi karatasi"
Labda nianze kwakusema
(DUNIA NI TAMBARA BOVU WALIOSEMA MSEMO HUU HAWAKUKOSEA HAKIKA WALIKUWA WAPO SAHIHI KABISA. MUHESHIMIWA KUNA WATU WANAISHI MAISHA MAZURI YENYE AMANI NA FURAHA WANA MAGARI NA MAJUMBA ACCOUNT ZAO BANK ZIKISOMA WANA MAMILION YA PESA
KUMBE MIONGONI MWAO, NI WAUWAJI WAKUBWA WANAJIFANYA KUFADHILI VITUO VYA KULELEA YATIMA KUMBE WANAWAUZA NNJE YA NCHI VIUNGO VYA WATOTO WASIOKUWA NA HATIA VINAUZWA PASIPO WATU KUTAMBUWA CHOCHOTE.
KUNA ORODHA NDEFU SANA TENA WANAFANYA MAMBO MENGI YA KISHENZI MIONGONI MWAO NI MAWAZIRI WAKO WAFANYA BIASHARA WAKUBWA TU")

Baada Hafidhi kuongea machache akamkabidhi Raisi zile Document na kuitaji kuondoka,
“kijana naitaji kufahamu mengi sana juu yako, sema kwakuwa umeamuwa kuondoka subiri nikusindikize ili
Walinzi wasiweze kukusumbuwa"..
.
“Hapana Muheshimiwa wacha mimi niende ukinihitaji siku nyingine nitakuja kuhusu Walinzi hawatoweza kuniona"..

“Sawa kijana wangu nakutakia kila la kheri kwenye safari yako pia nakupa idhini fanya kazi usiogope chochote"
Mwanaume akatoka na kuambaa na korido kisha akapotea,
Muheshimiwa hakuweza kuamini kabisa kama kijana ataweza kuondoka salama, ikabidi
Atoke kumuangalia
“vipi muheshimiwa kuna tatizo lolote?"
Ni sauti kutoka kwa mlinzi wake akimuuliza.
Nae akatikisa kichwa kukataa hakuna tatizo, akarudi zake ndani,
Kesho yake kuna kikao cha dharula muheshimiwa akaitisha hakika kilikuwa kikao cha ghafla waandishi wa habari wakaitwa kisha Muheshimiwa Raisi akaanza kuongea.

Siku nyingine tena Mariam alipoenda kumtizama Vivian, mambo yakawa ndio yaleyale.
“Wee nani kwani mi sitaki uchokozi wako bwana!!! Alikuwa bibiye Vivian akimwambia shogaake Mariam kusema kweli ameweza kupoteza kumbukumbu mpaka anamuuliza mwenzake kila akimuona kaja hospitali wee nani’’,,, “mimi ni shost wako kwani , kwani hunikumbuki?’’
“ndio sikukumbuki kwanza naomba utoke mbele yangu kabla sijakuitia kelele za mwizi, jamani mwizi!!! Vivian akaanza kupiga kelele za kuita mwizi, ikabidi Mariam awai kumziba mdomo lakini akamng’ata na kujikuta akimuachia na Hafidhi nae ndio anaingia akiwa kabeba mifuko kama miwili sijui ndani yake kunani.
Vivian akainuka kutoka kitandani mbio na kwenda kumkumbatia Hafidhi huku akiita baba, “Baba yule anataka kuniibia pipi yangu’’ kwakifupi bibiye alikuwa kama chizi kichaa taira, “hivi Daktari si umesema kapoteza kumbukumbu zake tu, sasa mbona anaonekana kama chizi?’’ Hafidhi akamuuliza Daktari, “hiyo ndio hali harisi kijana mkeo kapoteza kumbukumbu na kuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani hivi kumbuka kama nilivyoweza kukwambia kuanzia sasa anahitajika kuwa chini ya uwangalizi mkubwa sana mpaka pale atakapoweza kurudisha kumbukumbu zake vyema’’ hatimae wiki moja ikaweza kupita huku mauwaji yakizidi kuongezeka leo huyu kesho yule ni vifo vilivyo wakumba zaidi watu matajiri na watu kutoka serikalini.
“kudadeki pumbavu, nyambafu kabisa haiwezekani hili swala lizidi kutokea kila kukicha watu wanazidi kuchinjwa kwani jeshi la polisi wanafanya kazi gani hapa nchini huu ni ujinga wa kupitiliza sasa basi namtaka waziri wa ulinzi na usalama wa taifa wafike hapa mara moja
Muheshimiwa Raisi aliongea maneno yote hayo ilikuwa kama kuzuga tu wakati akifahamu vyema huyo
Muuwaji alikuwa nae usiku wa jana
Akaweza kupanga nae kila kitu,

Hakika muheshimiwa Rais aliongea kwa jazba sana yote ilikuwa kama kuzuga tu, kwani tunafahamu yeye na muuwaji wamekuwa kitu kimoja sema ilikuwa ni mbinu moja wapo ya kuwapoteza maboya mawaziri wake. “Vivian’’ “Abee baba’’ “Mimi sio baba yako ni mpenzi wako bwana’’,, “hapana wewe ni baba yangu siwezi kuwa na mapenzi na wewe!’’ basi Hafidhi akachoka hoi baada kuona bibiye akimwita yeye baba, na wala sio mpenzi tena, “ohoo! Shit! Mambo gani tena haya, wakati akiwa hapo sebuleni akikuna kichwa kwa kuwaza ghafla kwenye pembe ya ukuta, kuna kitu kama moshi hivi ukaanza kutokea mwishoe kuna kiumbe kikajitokeza na kuanza kucheka “hahaha Hafidhi kijana wangu hutakiwi kuumiza kichwa kutokana na jambo dogo kama hilo, kumbuka Yule kiumbe ni mtoto wa Makata kiumbe ambacho alitaka kukuangamiza wewe sasa Yule mtoto aliweza kumgusa huyo bibiye kwenye korodani za uzazi ndio maana unamuona hivyo. Sasa hapo dawa ni moja tu ufanye nae mapenzi kesho yake asubuhi atakuwa sawa fanya hivyo kijana’’,,, Baada Yule kiumbe kuongea hivyo akapotea na kumuacha Hafidhi akitumbua macho utasema fundi saa kapoteza nati.

“Aisee kumbe kazi yenyewe ni ndogo tu, pasipo kupoteza muda akambeba bibiye na kuingia nae chumbani kelele za Vivian zikaweza kusikika akisema “Baba niache bwana jamani!!! Anataka kunibaka hukuu niachee’’,,, mwishoe kukawa kimya hakuna kilichoweza kusikika tena, Tukija mitaa ya Yombo tunamuona kijana Steven akimpiga mwanadada mmoja hivi, umati wawatu wakajazana kutaka kushuhudia tukio hilo sijui binti wawatu kamkosea nini

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI NA TISA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni