Notifications
  • MY DIARY (43)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TATUTULIPOISHIA...Wakati nabadilisha staili kwa kukichua kile kifaa na kukiweka vizuri huku nikibinya ile switch hili iongeze spidi Mark aliingia. Ni kweli nilimuona ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nimalizie furaha hiyo ya uwongo uwongo. Yaani wazungu jamani sijui walifikiria nini maana kile kifaa ukikiminya kwa juu kinakuwa kinajizungusha chenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (42)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MBILITULIPOISHIA...Uzalendo ulinishinda ikabidi nimuulize ni kwanini bado wanatumia njia hiyo ya kizamani kutunza kumbukumbu wakati siku hizi kuna kitu kinachoitwa Human Resource Informaion system ambapo kumbukumbu zote za wafanyakazi kama waliochishwa kazi, wagonjwa, walioenda likizo ,waliopandishwa vyeo na taarifa nyingine muhimu uhifadhiwa kwa kutumia komputa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (41)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA MOJATULIPOISHIA...Mark anashangaazwa sana na mwanamke huyo lakini kwa kuwa shida yake ilikuwa ni hela anaamua kuachana nae na kuanza maisha mapya hapo jijiini Dar es salaamMaisha yanaendela lakini Mark amekuwa tajiri na mtu mwenye mafanikio sana kiuchumi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Pamoja na mafanikio hayo ni mtu ambaye mapenzi bado yalikuwa yakimuumiza siku hadi siku.Filamu…
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…

MAMA MWENYE NYUMBA (66)

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA SITINI NA SITA
Alisema Rose huku akijiinua toka kwa Edgar kisha akampisha Edgar ambae aliinuka na Rose aka jiegemeza kwenye kile kiti akitazama siti akawa amebong’oa, huku kiuno amekibinya kwa chini na kubinua makalio yake Rose akaivuta chupi yake pembeni na kuacha wazi kitumbua chake

SASA ENDELEA...
Hapo Edgar akaikamata dudu yake na kuilengesha kwenye kitumbua cha Rose, akaichezeasha kwenye mlango wa kitumbua kwa kuipaluza mala kadhaa kabla ya kuiingiza dudu ndani kabisa ya kitumbua, ikifwatia na sauti ya Rose, “hoooooo! asante baba”

Huku nako kiukweli kabisa Suzane hakupata usingizi kabisa, mda wote alkiwa macho akiwaza juu ya mpenzi wake kulala kituocha polisi, pasipo kujuwa kuwa mwenzie anakibarua kizito zh kukata kiu ya Rose, yeye alikiona kitanda kikubwa kuliko kawaida, “yani saa hizi ningekuwa nimesha pata vyakulalia , na hivi atuja fanya siku ya nne leo” aliwaza Suzane hku akijigeuza guza pale kitandani, kwenye chumba cha wageni nyumbani kwa rafiki yake Seline, “kesho mapema Suzane ani peleke kwanza nyumbani kwakina Eddy ndio aende kazini, mimi nitaenda kulipot baada ya kwenda kituo cha polisi na wazazi wa Eddy” aliendelea kuwa Suzane, “wacha ni katoe kiasi chochote cha fedha, Eddy atoke polisi, alfu huyu Seline amesha anza, asije kuni fanyia kama Sophia” mawazo yalimsonga Suzane, “ila yule dada yeke anaoneka mtata sana”

Masaa mawili nanusu yalikuwa yamesha katika, toka tukio la kusikika mlio wa Risasi litokee pale Nyumbani lodge, polisi wa doria walisha fika eneo la tukio saa limoja na nusu lililo pita, na sasa walikuwa wamesha maliza kufanya uchunguzi katika eneo la tukio, pamoja na kuchukuwa maelezo kwa wahudumu na manage wa Hotel, ndie aliepiga simu polisi, sasa polizi wale walikuwa wawe kaa nje ya jengo la poli wakimsuburi afisa wa zamu ambae waliambiwa mda mrefu kuwa yupo njiani anakuja, atimae saa saba na robo ndipo walipo liona gari aina ya Toyota harrier jeusi likiinia pale hotelini, lika simama na akashuka Rose, moja kwa moja akawasogelea wale askari sehemu waliyo kuwepo

Mkubwa waoakawaamulu kusimama na kutulia kisha akamsalimia kwa salamu ya salute, Rose naye akaitikia, kisha yulealie mpigia salute akaanza kumpa report, ambayo ilieleza kama ifwatavyo, mteja wa hotelini hapo, alie jandikisha kwa jina moja la Edgar alikodi chumba namba mbili B, akiwa na mpenzi wake, ndipo walipo tokea watu walio valia kipolisi na kuvamia bila kutoa taalifa kwa uongozi wa haotel wakavunja mlango wa chumba hicho namba mbili B, na kufwatia na mlio wa risasi, mteja wa chumba hicho pamoja na mpenzi wake wametoweka aada ya tukio, almaliza mtoaji report

“Ok! katika mlijaribu kuwa hoji wahudumu” aliuliza Rose akiwa na wasi wasiwakuusishwa na tukio, “kiukweli afande kunakitu ambacho kime andikwa kwenye maelezo ya wahudumu kina tuchanganya jidogo” alisema yule askari na kutulia kidogo, kisha akaendelea “inasemekana kuwa polisi wale, waliondoka na gari la polisi lenye namba PT....” alisema yule polisi huku akizitaja namba za gari la polisi, “namba zilizo tambuliwa uwa ni za gari linalo tumiwa na admin officer”

Hapo Rose akamkatazama yule askari ambae alionyesha kugundua mausiano yake na mzee Magige, maana alionekana kusita sita kulitaja jina la mtumiaji wa gari hilo, “ok pelekeni taalifa sehemu usika, na mimi yakwangu nitaitoa asubuhi” alisema Rose na kurudi kwenye gari, akafungua mlango nakuingia ndani ya gari akafunga mlango, “ok! niambie baby wapi sasa kwao au kwangu?” aliuliza Rose, akimtazama Edgar ambae alikuwa ame kaa set ya pembeni akiona mapicha picha, “mimi na kaa kwa wazazi sina kwangu” alisema Edgar ambae alionekana kuzidiwa na usingizi, “kwako unako sana, sema mchumba wako amekuja, ebu ngoja” aiongea ROSE akichukuwa simu yake na kuipiga, baada ya sekunde kadhaa ikapokelewa

“AO Maguge hapa, nikusaidie tafadhari,” ilisikika sauti ya mzee Magige akongea kwa utulivu kama vile ni simu ya kazini, “habari za jioni afande” alisalimia Rose, akijuwa kabisa kutokana na uongeaji ule mzee huyu alikuwa nyumbani kwake mida ile, “safi kunalolote?” aliitikia mzee Magige, “ndio afande, niliitwa hapa Nyumbani Lodge kuna tukio la shambulio la Risasi lime tokea, una juwa lolote maana gari lako lina usishwa” alisema Rosenia yake ikiwa ni kutaka kujuwa kama huyu mzee yupo nyumbani, iliyeye akakeshe na Edgar, pili amvurge akili aspate wazo la kumfwatilia usiku ule,”ok! tutaongea kesho mapema” aliongea mzee Magige na simu ikakatwa, “mmmmmmwaaaaaaa, twende kwangu ukanipe tamu tamu” aliongea Rose baada ya kumpiga busu la mdomo Edgar, kisha safari ikaanza

Ilikuwa saa kumi nambili na nusu asubuhi, ndio da ambao Seline alimshusha Suzane kwenye uwanja wa nyumba ya mzee Haule kuleLuhila seko, kisha Seline akigeuza gari huku akimwambia rafiki yake suzane kuwa anaenda kuomba luksa ili awafwate waende kituo cha polisi,alafu wakaikague nyumba aliyo mtafutia, kisha ampeleke kuripot, nampaka hapo mizigo itakuwa imesha fika kutoka dar, Suzane alimshuhudia Seline akiondoka zake, huku akipishan na Toyota harrier likija na kusimama karibu yake,

Suzane akasimama na kuliangalia huku akivuta kumbukumbu kwamba aliliona wapi, akaona milango yote miwili ya mbele ikifunguliwa upande wake alishuka Edgar, hapo Suzane alakumbuka kuwa gari ilo aliliona kituo cha polisi jana usiku, hapo Suzane alitokambio na kwenda kumrukia Edgar ambae alimdaka Suzane juu juu,huku akiyumba kutokana uzito wa mpenzi wake huyo ambae ukiachilia kuisikia sauti yake akuwa akuwa amemwona kwa siku tano , “pole baba, jamani umeachiwa” alisema Suzane huku akining’inia kwenyekifua cha Edgar, na mikono ame izungusha shingoni kwa mpenzi wake huyo

Suzane alimtazama Edgar usono na kumlamb abusu la mdomo, “nimetoka mama, nime furahi kukuona alisema Edgar waiwa bado wame kumbatiana huku watu waliokuwa wakipita njiani wakiwa angalia, ilibakia kidogo Suzane alambe ulimi wa Edgar, lakini akakumbuka kuwa Edgar alikuja na mtu mwingine ambae ndie mmiliki wa gari walilokuja nalo, Suzane akatazama pembeni ya gari upande wa mbele, akamwona yule afande wakike alie mkatalia kumwachia Edgar jana, “karibu dada, karibu sana” alisema Suzane akimwachia Edgarna kumsogelea yule polisi, ambae naye alimfwata Suzane, “asante sana dada yangu,, ulisema unaitwa nani vileee” alisema yule polisi huku wakipeana mikono

“Naitwa Suzane, karibu sana” alisema Suzane bado wakiwa wameshikana mikono, “asante sana dada Suzie, mimi naitwa Rose,” alisema Rose huku Edgar amesimama pembeni akiwa tazama, “nimefurahi kuku fahamu Rose, “henhee! inakuwaje kuhusu Edgar, ndio ame rudi moja kwa moja, au ndio atatakiwakwenda kituoni tena?” aliuliza Suzane wakiwa bado wame shikana mikono, “hapana dada Suzie, wala husiwe na wasi wasi, kwanza naomba usi nielewe vibaya kuhusu jana, sababu nilishindwa kumwachia wakati hule mme kuja, sababu wale askari mlionikuta nao wange waomba lushwa, nikaona niwai asubuhi kabla awaja pelekwa nahakani, ila chakufanya ongeeni na huyo jamaa aliepigwa ili muongee kifamilia, maana Edgar amesema ni mume wa dada yake, nakama akikataa kwasababu yeye ni mwizi mkamripot kituoni, lakini msi ende kituoni pasipo kuni julisha”

Alisema Rose kisha wakaongea mengi sana ikiwa ni kupeana namba za simu Rose na Suzane, kisha wakaagana huku Suzane akimshukuru sana Rose, ambae nae alionyesha uchangamfu wa hali yajuu, akaingia ndani ya gari lake na kuondoka kuelekea mjini, “Edgar ana mchumba mzuri,” aliwaza Rose akiwa njiani anaelekea kwa kamanda msaidizi wa polisi mkoa, kutoa Repot, “mh! alivyo changanyikiwa huyu dada, lakini lazima achanganyikiwe maana sio kwa shughuli ile ya Eddy” alisema Rose, huku akikata kona ya mahenge akiiacha bara bara kuu ya kwenda Dar es salaam kupitia mikoa ya kusini, nakuingia makumbusho ya mashujaa wa majimaji, akanyoosha kuelekea idara ya maji mkoa, “wacha nika malizie kutoa repot kisha nika lale yani hapa nnajihisi kama jana nililewa, ila huyu Magige atajibeba, mimi naaenda kutoa repot kama nilivyo pewa,” aliwaza Rose akiwa anaikamata tena barabara kuu iendayo Iringa, na kukata kushoto, kuelekea polisi mkoa

Usiku m0zima uliopita bwana kalolo alikuwa anawaza namna ya kufaidika kutokana na vurugu za Edgar, akiamini kwamba endapo ata dai fidia kubwa toka kwa mzee Haule kwa kisingizio cha kumtoa Edgar polisi, lazima atapata yale mashamba ambayo mzee Haule aliyagomboa kutoka kwake baada ya kulipa fedha alizo mwazima, kwaajili ya Edgar kuendea chuoni

“Lakini sito fanikiwa pasipo kumshirikisha Kazole, maana yeye ndie alie umia zaidi,” aliwaza bwana kazole ambae alikuwa ame amka mapema sana na kumwamsha mke wake ili aandae chai kwaajili ya kumpelekea mgonjwa, maana alikuwa na uwakika kuwa ata familia yake aijuwi yupo wapi, siyo kwamba bwana kalolo alikuwa anampenda sana Kazole hapana, lengo ni kumtumia kazole ambae alimfahamu vizuri yeye na mkewake, wasivyo na upendo na familia ya mke wake, dakika kumiaadae mzeee Kazole alikuwa kwenye boda boda akielekea Hospital, ambapo alichukuwa kama dakika kumi na tano tu! kufika Hospital, ambapo alimkuta bwana Kazole akiwa ndio anaonyesha uafadhari kidogo

“Pole sana bwana Kaozole” alisema mzee Kazole, “nisha poa kaka, vipi umeenda kurepot kituoni?” aliuliza Kazole, “sikia wewe bwana, achana na mambo ya Polisi, kwanza kesi inaweza kukugeukia, hapa ni kumalizana kinyumbani, tuyachukuwe yale mashamba” alisema kwa msisito bwana kalolo, “tena walisema yule mchumba wake angekuja jana, kama amekuja itakuwa safi sana, maana yule mwanamke wake ana fedha ya kutisha, kwajinsi aliyo papendezesha kwa mzee Haule, we fikilia ile kufika tu kwao, nikapewa fedha ya kutosha mimi na wife tukafanye shoping” alisema kazole huku akikumbuka jambo, “henee ebu ni pigie simu mke wangu maana toka jana hajafika kuniona, najuwa awajuwi nipo wapi” alisema Kazole akiomba simu kwa mzee Kalolo

Saa limoja baadae toka Edgar na suzane aingie nyumbani kwa mzee Haule, nakupokelewa nabinti wa kazi, tayari Edgar alikuwa ameshaoga maji ya uvugu uvugu na sasa walikuwa wana kula viazi vitamu ya kuchemsha na maziwa yang’ombe, huku wakitazma Tv habari za matukio katika television moja ya pale pale mkoani, iliyo andaliwa na Suzane, wakiwa mezani wana pata supuwawli tu! mala wakamwona dada mkubwa wa Edgar akitoka chumbani huku akiwa amevalia gauni lake pana lamoja kwa moja, huku amejitanda upande mmoja wa kitenge alicho pewa na mama yake

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITINI NA SABA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
7 Mama Mwenye Nyumba Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni