MTAA WA TATU (44)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA AROBAINI NA NNE
Kila mmoja akashtuka na kujiuliza huo upepo unatokea wapi mbona upo kasi kwa kiasi kikubwaNIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
“oyii washkaji bwege mwenyewe ni huyo hapo kafika hadi huku’’ yule kibaka akaongea hivyo baada
kumuona Hafidhi yupo mbele yao.
“wee bwege unataka nini katika pande za wanaume?’’ “naitaka simu yangu nipeni haraka sana niende
zangu ‘’ kumbe muda wote simu ilikuwa bado ipo on bibiye Vivian akabana meno na kujisemea si bora
mumpe tu mbona mnataka kujitafutia balaa nyie vijana, yani alitamani angekuwepo eneo hilo awaambie
kuwa mtu aliyekuwa mbele yao si mtu mzuri wampe tu simu yake kuepusha shari, sema ndio hivyo
ikashindikana akabaki kusikilizia tu, “ndugu yangu usitake kujichagulia kaburi katika maeneo haya cha
umuhimu nipatie hiyo simu niondoke zangu, “wee mtoto wa Malaya nini usitake kunitisha kama kaburi
utajichagulia wewe pumbavu zako, jamaa si akachomowa kisu na kumsogelea, kitendo cha kunyoosha
mkono tu kwa minajili ya kumchoma kisu cha tumbo akajikuta anavunjwa mkono baada mwanaume
kuzunguka na kuupiga ule mkono ulioshika kisu kwa kifuti kabla hajakaa sawa akaongezwa na ngumi ya
uso akadondoka chini kama mzigo, basi ilikuwa balaa ndani ya makaburi hayo.
Hafidhi aliwafinya kisha akaichukuwa simu yake na kuondoka kama vile sio yeye vibaka walijuta maana
wawili kati yao kavunja miguu wengine mikono wakazi wa maeneo hayo wakabaki kujiuliza maswali hivi
huyu ni Commando au’’… mbona kaweza kuwadhibiti vijana kama sita yeye peke yake hakika anatisha si
mchezo.
Baada Hafidhi kuipata simu yake akaitizama kwenye display na kuona jinsi sekunde na dakika zinavyokwenda akacheka na kusema
“baby achaga umbea ha!ha!ha akakata simu, kwa upande wa Vivian akacheka si kidogo,
Steven hakuweza kutulia kabisa usiku na mchana alikuwa akimsaka
Mbaya wake wakati .wenzie
Alikuwa yuko
Bize kukamirisha moja kati ya kazi zake.
“baby wee shida tupu!"
Vivian aliongea hivyo baada kumuona
Hafidhi amekuja,
“kwanini unasema hivyo baby shida yangu hiko wapi"....
“mmh yani umemkimbiza yule kibaka mpaka akajihisi anakimbizwa na kivuli chake
Maana dahaa"..
“hahaha baby wee acha tu unajuwa sikutaka kumuachia hii simu kama ujuavyo ina mambo mengi sana kimoja wapo ni number yako kipenzi changu,
Hafidhi akamshika kiuno na kumtekenya.
“asssss,,,,,baby mi staki bwana"
Wakaanza michezo yao,
Tukija pande za Mbagala kikundi cha Ngozi boy kijana aliyepigwa na Hafidhi asubuhi iliyopita walikuwa wamekusanyika kijiweni na kupanga mbinu za kuweza kumvamia
Hafidhi wampige ikiwezeka hata kumuuwa wamuuwe tu, haiwezekani amdhalilishe mwenzao mbele ya kadamnasi ya watu,
“Ngozi boy wee kausha mwanangu mwenyewe huo bwege atajuta kama kuvamia basi kaingia msikitini na kusema haleluyaa,,,,"
Kitakachomtokea Mungu mwenyewe anajuwa"..
Wakati vijana wakipanga mbinu na mikakati kabambe juu ya kumpoteza Hafidhi
kitaani hapo akijulikana kama Yasri, kumbe mwenzao alishaweza kufahamu nini kitatokea mbele yake
Kwahiyo hakutaka kujishukhurisha sana na kikundi cha mateja wasiokuwa na ishu,
ilikuwa yapata kama saa mbili usiku hivi
Jackson alimuomba Hafidhi watoke kidogo waende maeneo ya
Zakhiem kuna burudani kutoka kwa Sir Natule na kundi zima la WCB.
Basi wakatoka na kuingia ndani ya ukumbi huo ilikuwa siku ya J.mosi basi watu walikuwa wamejazana si kidogo,
wakatafuta sehemu nzuri ya kukaa kwenye kigizagiza hivi,
“Jackson kaka tambuwa kitu kimoja nimeweza kukupa kampani sema sitaki kuona pombe katika meza hii"....
“sawa kaka usijali wala nini, kila mmoja aliongea kwa sauti kubwa maana ndani ya ukumbi huo sauti ya mziki ilikuwa kubwa balaa
Watu wakazidi kumiminika wakaingia matozi wawili hivi yani kwajinsi walivyo, unaweza kusema ni waamerca basi
Malaya wapande hizo wakaanza kuwapapatikia sema hawakutaka kampani ya mwanamke yeyote wapo kimpango wao, kikundi cha mateja nao wakaingia
kwanza wakaangaza macho huku na kule kumsaka mbaya wao si washaambiwa kaingia humo
“oyaa Ngozi boy"
“niambiye mwanangu mwenyewe,
“umeyaona madini yale?"
“yako wapi?"
“angalia kule kuna mabitozi manyangema jinsi walivyotinga viwaro vile"
“ebwana nimeona
So tufanye mchongo tuvikombe vyote subiri nifanye mpango"...
Ngozi boy akajifanya kwenda chooni na kupita karibu ya mmoja wao
basi kwa makusudi akampiga kikumbo huku akiachia chupa yake ya
Bia ikaenda chini kwa bahati nzuri chupa haikupasuka, zaidi ya bia kumwagika.
“wee mwehu nini unatembea kama uhoni kudadeki zako unaona umenimwagia kinywaji changu,
Ngozi boy akaanza kufoka kwa hasira
Ikabidi yule Bitozi aombe msamaha japokuwa sio yeye aliyefanya kosa
“samahani sana brother usijali kuhusu hiyo bia yako shika hii shilling Elfu kumi
ukanunuwe nyingine unywe ndani yako"
Sema Ngozi boy akakataa kwa kusema hiyo elfu kumi haitoshi na wala haitaki,
“sasa brother kwani bia moja shilling ngapi
Si elfu moja na mia tano tu
So hii elfu kumi nakupa yote. Unasema huitaki sasa unataka nini kaka yangu?"
“Naitaka hiyo simu"
Ngozi boy bila aibu wala haya akaongea hivyo, ni kauli iliyomfanya jamaa kwanza acheke,
“ha!ha!ha! Sasa kaka simu na bia wapi na wapi!"
Simu yangu Galaxy note
Nikupe kisa nimemwaga bia yako,
Ghafla wenzake Ngozi boy wakafika na kumzunguka yule Sharo
wakamuweka mtu kati, sema jamaa hakuogopa mwenzake nae akaingia kati na kusema
“hakika nyie mabwege mnatafuta matatizo yasio wahusu mmetuona sisi maboya ehee
Subiri tuwaonyeshe show
kwanza wakavuwa micheni yao na simu zao na kwenda kuziweka kaunta
kichapo kikaanza baina ya mateja wale na masharo bwenzi
Kuna teja aliishika chupa ya bia na kumpiga mmoja wao kichwani,
“kudadeki yani umenitowa damu
tokea nizaliwe sijawai kutolewa kitu kama hiki
Mamaye zako, hapo sasa ikawa balaa mateja walitembezewa kichapo na kujikuta wakikimbizana kutoka nnje ya ukumbi
Sherehe walinzi wakabaki pembeni
Maana ulikuwa mziki si wakitoto
Ilikuwa kila mwenye kutaka kuwashika wale matozi wanapokea kichapo yani walipiga yeyote yule
Mateja baada kuona kumbe majamaa hawafai wakatimua mbio, sema yule aliyetolewa damu hakutaka kuwaacha akawakimbiza huko huko
wakati yote yakiendelea Hafidhi alikuwa katulia kimyaa akinywa soda yake huku akicheki mpambano ule
kwanza aliweza kutambuwa kitu kimoja
kuwa wale sio matozi au Sharobalo
kama watu walivyoweza kuwaona
bali wanatokea kitengo fulani hivi
Usalama wa taifa ukipenda waite wazee wa suit kwakifupi ni kitengo hatari sana kuliko hata FBI
Au JWTZ kingine walikuja hapo kwa shukhuri maalumu ya kipelelezi
sema mateja wakaharibu shukhuri nzima,
“kaka umeona mambo yale’’ Jackson akamuuliza Hafidhi, “mambo gani ndugu?’’ “si ule mpambano
wawale majamaa yani yanapiga utasema lile adui kubwa kwenye movie ya Ip man, yani shida tupu’’
Jackson akatowa ufafanuzi huku akionyesha vitendo Hafidhi akabaki kucheka tu maana daha, wakati huo
walikuwa washatoka ndani ya ukumbi na kurudi nyumbani kwao ile kufika tu wakasikia kelele za yule
msichana akilia yote sababu ya utamu wa kukamuliwa. “sasa kaka unaonaje tukapige chabo,,,’’ Jackson
akamuomba Hafidhi wakapige chabo, sema ni kauli ambayo ilimshangaza kidogo hafidhi akamshika
mkono Jackson kama kumzuiya hivi kisha akamuuliza “ukishaenda kupiga chabo unapata faida gani
kaka?’’
“naangalia tu mwishoe naenda kupiga nyeto basi’’ “nyeto ndio kitu gani embu niweke wazi, “nyeto ni
kitendo cha kujipa raha mwenyewe yani kuusuguguwa uume wako kwa kutumia aidha sabuni au mafuta
ama kitambaa yani unafanya kitendo hiko huku ukivutia hisia upo na mwanamke furani katika uwanja
wa sita kwa sita,. Binafsi mwanaume akabaki kusikitika sana kutokana na maelezo ya Jackson akamuuliza
“mpaka unafikia kufanya kitendo cha kipumbavu kama hicho je Wanawake huwaoni au?’’ “sasa kaka
hizo dharau utaitaje starehe za watu ni kitu cha kipumbavu bwana’’,,,
“sikia nikwambie kitu Jackson inawezekana wewe tayari ushakuwa muasilika wa jambo hili, tambuwa
kuna madhara mengi kuliko faida uipatayo kwenye jambo hilo. Kwanza kabisa unapoteza nguvu za
kiume mishipa usinyaa haraka pindi ukikutana na mwanamke kimapenzi pili utashindwa kudhibiti mkojo
yani ukikuuma kidogo tu utatoka pasipo wewe mwenyewe kupenda, Jackson kuna mengi naitaji
nikueleze sema ni usiku sasa wacha nikalale siku nikipata muda nitakupeleka dhahanati ukapate ushauli
nasha jinsi ya kuacha hicho kitu’’,,, baada Hafidhi kuongea vile akaingia chumbani kwake huku
akimuacha Jackson akijiuliza maswali chungu nzima “bila shaka ni kweli maana sasa hivi Monarisa hataki
kufanya mapenzi nami kisa simeidhishi kingine najikojolea njian kabla ya kufika chooni kumbe itakuwa
hii nyeto ehee sasa nitaachaje kwangu imekuwa zaidi ya chakula’’,,,
Ndani ya usiku huo Mwanaume akatoka akiwa katika mavazi yake ya kazi yani kininja akapiga hatuwa za
haraka mpaka maeneo ya Mbagala kuu kuna kambi ya jeshi, kwenye ofisi moja wapo akaingia dakika si
nyingi akatoka akiwa na pikipiki kwa speed ya ajabu akapotea nayo, hakuna aliyeweza kushituka kama
wameweza kuvamiwa au lahaa.
“baada kuiba pikipiki safari yake ikampeleka mpaka maeneo ya Osterbay masaki akaanza kuzihesabu
nyumba kwa mwendo wa taratiibu akaipaki ile pikipiki kisha akachepuka kwenye Garden moja wapo na
kujificha kwenye mauwa, akaitowa simu yake na kuanza kuangalia Gps kama sehemu iliyomleta ni
penyewe au vipi.
Akainuka na kuruka juu ya fensi moja hivi kwa mwendo wa haraka akazunguka kwenye uzio wenye miba
hivi ndani ya usiku huo kulikuwa kimyaa sauti za mbwa pekee nsizo zilizoweza kusikika, wakibweka huku
na kule Mwanaume akaamba na ukuta ghafla akasimama na kutulia kimyaa baada kuona kama vivuli
vya watu hivi wakija usawa ambao yupo yeye “sasa Donny kama nilivyokwambia wewe kazi yako
itakuwa kuwazuga wale Mbwa, wakati Chici utamchinja yule mlinzi, tutambuwe kitu kimoja bosi kasema
hakuna kuacha mtu wote chinja tu, maana hii kesi atapewa yule muuwaji Hafidhi J Ikram mmenisikia
vijana?’’ “ndio mkuu’’ “haya Donny pita kusoto wewe Chichi ingia kule getini’’,,,,,
Hafidhi aliweza kuwasikia vyema, akatabasamu na kujisemea “kumbe kuna mabwege wanatafuta kiki
kupitia mimi sio sasa leo wameingia anga sizo, nae akaamba na ukuta kabla ya kuchumpa na kutokezea
kwenye dirisha fulani hivi akaweza kusikia sauti kwa mbaali
“ossss,,,,ahaaaa,,,hapooooo,,,,uwiiiii,,ingizaaa,,,yoooote,,,,mmmmm,,, Mwanaume akaweza kutambuwa
kuwa mlinzi kwa wakati huo hayupo getini yupo kwenye chumba kingine akifanya mapenzi na House girl,
wakati akiendelea kusikilizia nae akahisi kusimamiwa na kiumbe nyuma yake
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI NA TANO
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni