Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MTAA WA TATU (39)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
Kwa upande wake Hafidhi hata yeye akabaki kujiuliza maswali inamaana kikundi cha watu wale hawamuoni au wanafanya makusudi tu,
akaona isiwe shida wacha aondoke zake, safari yake ikampeleka mpaka Mbagala rangi tatu akafanya manunuzi ya vitu

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Kama vile kitanda masofa godoro na baadhi ya vitu akakodi gari ya mizigo na kuelekea kwenye makazi yake mapya
kwa bahati nzuri akaweza kupata vijana wakamsaidia kushusha vitu na kumuingizia ndani akafanya malipo kati ya vijana hao mmoja ndio akabaki kumsaidia kufunga kitanda.
Na kupanga vitu hapa na pale,
“karibu sana ndugu yangu jisikie upo nyumbani hii ndio Mbagala kwajina naitwa
Jackson John ukipenda double J ni mmoja kati ya watoto wa mwenye nyumba hii sijui wewe brother unaitwa nani?"
kijana Jackson akajitamulisha hivyo huku akitaka kumfahamu Hafidhi anaitwa nani.
Mzee wa nyapu wakuhama mitaa vijiweni
yani akiona kaharibu tu anasepa,
“kwanza nashkuru kwa kuweza kukufahamu ewe ndugu yangu mimi naitwa Yasri kusema kweli sijawai kulisikia jina la baba kwani baba yangu alinikimbia angali nikiwa tumboni so shuleni nilikuwa natumia jina la babu mzaa mama"....

“dahaa pole sana kaka unajuwa sisi wanaume wengine sio kabisa
Sema bi mkubwa wako ana moyo wa kijasili sana maana angekuwa Mwanamke mwingine ushatupwa kitambo tu"...
Hafidhi akabaki kucheka maana Jackson anaongea balaa
“sasa Yasri mi natoka naona kila kitu kiko fresh so ukiwa na shida yeyote nicheki
Chumba cha nnje hapo kile cha katikati!"
Kisha Jackson akatoka zake na kumuwacha Hafidhi akikithaminisha chumba chake,
Baada hapo akatoka zake nnje
uzuri wa nyumba hiyo kuna umeme na bomba la maji
kusema kweli hakuwa na ndoo hata moja ikabidi amuombe Jackson akapatiwa ndoo kama tatu akakinga maji na kuziingiza ndoo chumbani kwake,
Ni siku mbili zimepita tokea mzee wa nyapu ahamie makazi mapya,
tukija pande za Kinondoni studio ndani ya nyumba moja wapo bibiye Vivian alikuwa kajilaza kitandani kihasara hasara huku akizitizama picha kwenye simu ya Hafidhi
“baby kwanini umenikimbia nimemiss joto lako wangu mahabuba
mwanao analia yuko wapi baba.
Richard tafadhali njoo unikumbatie, nasikia baridi my dear
Usiku silali nakuwaza wewe siku ya nne leo sijakutia machoni
Embu nijibu basi utakuja lini"...wakati anaongea ghafla akashtuka baada kuhisi kuna mtu dirishani kwake sijui anakata nyavu, akainuka kimya kimya na kuichukuwa bastora yake huku akijisemea
“hawa wapumbavu nina hakika nitawafundisha adabu, kama wamezoea kuvamia madirisha yawatu na kupulizia madawa ili waibe hapa wameingia anga sizo kabisa kwa mwendo wakunyata akaambaa na ukuta kisha akakishika kitasa cha mlango ile kufunguwa tu akajikuta anadakwa mkono
kwakuwa nae alikuwa Commando akajitowa na kujizungusha kisha akageuka bastora yake ikiwa mikononi kamuelekezea yule mtu
Ndani ya chumba hicho kulikuwa giza tu.
“wee nani unataka nini ndani ya chumba changu? Nijibu haraka kabla sijakumwaga ubongo"...
Vivian akawasha taa kwanza hakuweza kuamini kumuona kipenzi chake ambaye yeye anamuona kama Richard
sema alikuwa Hafidhi basi akaitupa bastora yake pembeni na kwenda kumrukia kwa kumkumbatia
hakika ilikuwa bonge la furaha kwa upande wake.
“Richard ni wewe kipenzi changu
opsiiiii,,,,,,asssssss,,,,ahaaaaaa,,,,Vivian aliuliza huku akianza kugugumia kwa utamu wa kunyonywa denda.

Denda likawa dendeka kila mmoja alikuwa na hamu na mwenzie
Hafidhi alilipenyeza dole lake lililoingia ndani kabisa ya kitumbua cha Vivian si unajuwa ndani hakuvaa kitu usiku huo bibiye alikuwa ameshaanza kulegea.
Dole la Mzee wa nyapu lilizama ndani ya kitumbua na kukisugua kile kiarage chake cha soya. Kilichosimama kwa hamu, basi kwa kupagawa na utamu aliamvuta Hafidhi na kuendelea kumpa zawadi ya denda,walinyonyana ndimi zao huku Dole likiendelea kuzama kwenye kitumbua kilichonona kwa kutuni mashavu yake ya pembeni
Vivian kwa kujiachia alijitanua mapaja yake ili kuruhusu Dole lipenye vyema kwenye kitumbua chake kinono kilichoanza kutoa mchozi wa utamu.
Mwanaume
hakukubali kunyonyana denda muda wote aliona kama atapoteza muda tu alijitoa ulimini na kuhamia kwenye ngome za masikio yake masafi yaliyokuwa na tundu.
Fulani dogo lililomwezesha kupenyeza ulimi wake alioukunja na kuwa mwembamba kisha akauingiza ndani ya masikio,,,,aaaaaaaaa­ah,,,aaaaaaaaaaaah,,,ooooooh,,,sssssssss­sssssss,alilalamika huku Mwanaume akiendelea na zoezi lake la kumsugua kiarage chake na dole lake mpaka kuna muda aliingiza viwili kabisa.
Mikono ya Vivian ikaanza kutafuta dudu lilipo ambapo alilitoa na kumvutia kitandani
Hafidhi aje amsugue,basi akajilaza huku mwanaume akimpandia kwa juu na kumwingiza dudu lake lililoingia kwa kuteleza kutokana na kuwepo kwa ute wa kutosha.
Ndani ya kitumbua chake,,,,,aaaaaaaaaa­h,,,,,aaaaaaaaaah,,,,ilikuwa ni kazi ya dakika kumi na tano ambapo Hafidhi alipokojoa naye Vivian alikuwa hoi.
Mtoto wa watu alilalamika wakati mchezo ukichezwa,hatimaye alimwaga bao lake dakika za mwanzoni kabisa na kumsubiria Hafidhi naye aachie bao lake,
Mtoto alipokuwa akikatika miuno kama feni hapo Ndipo ilimbidi Hafidhi amzibe mdomo, kwani hizo kelele alihisi sio zitawaamsha watu tu bali zinaweza kuwaleta watu kwa kudhani kuna mtu anapigwa vibaya,,,aaaaaaaaaaa­aaah,,,kojoaaaaaaa­aaaaaaaaaa,,babiiiiiii,tamuuuuuuuuuuu,,,dudu lakoooooooo tamuuuuuuuuu,,,kojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaa­aaaaaaaaa,,aaaaaaaaaaah,,,alisikika hivyo Vivian akimpa mzuka Hafidhi aweze kukojowa ajabu akakojoa yeye la pili.
Ambapo mpaka yeye mwenyewe alijishingaa siku hiyo,bao lilikuwa jingi hasa mpaka kitanda kililowa pia,hapo Mpira haukuweza kuchezeka kwa raha kwani Mimaji ilikuwa pwa pwa pwa!
Kesho yako yake asubuhi yapata kama nne
Vivian akashtuka kutoka usingizini baada kusikia sauti ya mlango wake ukigongwa,
akajinyanyuwa kiuvivu kutizama pembeni yake Hafidhi hayupo.
Basi akaenda kufunguwa mlango
na kukutana na kina Mariam
“mmh! Mbona hivyo mwenzetu kulala gani mpaka saa hizi ushakuwa boss au!"
Yusra cha maswali akauliza kwanza
Vivian akamkata jicho huku akipiga miayo ya uchovu akamuuliza
“kwahiyo hiyo ndio salamu ehee?"
"I'm sorry za asubuhi Dada yangu?"
wakaingia ndani huku simu ya Vivian ikawa inaita akaipokea na kusikika akisema
“ehee ndio nimekuelewa nipo nao
ok! Tunakuja sasa hivi!" Akakata simu na kuitupa shuka kule akabaki uchi na kukimbilia bafuni huku wenzake wakibaki kucheka maana kiongozi wao full vituko.
Dakika si nyingi akatoka bafuni na kujifutafuta maji akajipaka Rosheni
Akiwa vilevile mtupu aogope nini wenyewe washazoeana ukichukulia wote wanawake
basi akavaa na kuchukuwa kila kitu chake huku akisema wanaitajika makao
makuu haraka sana kuna tatizo limetokea
“nani kaichukuwa bastora yangu?"
Vivian akauliza swali kila mmoja akakataa
“ohoo Mungu wangu wee Hafidhi
kaondoka na bastora yangu"
Vivian alisema hivyo huku akijishika kichwa kwa kukata tamaa
si Yusra wala Mariam wote wakashikwa na mshangao".......

“Unataka kusema Hafidhi alikuwepo humu chumbani kwako? Alikuja muda gani na saa ngapi?"
Mariam aliuliza maswali mfurulizo akiwa kama na kawivu fulani ndani ya moyo wake,
“ndio maana yake alikuja usiku wa leo kama saa nane hivi tukala raha zetu
Mtoto wakike nikazidiwa na kulala sikuweza kufahamu sijui kaondoka muda gani, aisee!"
“sasa kama hivyo shost huo ni bonge la msala maana tambuwa kitu kimoja
yule ni muuwaji wa kutisha kama
kaondoka na siraha yako unategemea nini hapo utaingia matatizoni, kama hutofanya kitu cha kumzuia"

“sasa nitamzuia vipi wakati sifahamu kaenda nayo wapi ahaa kibaya zaidi zile
Document na ile CD kaondoka navyo"

“usijiulize utafanyaje cha umuhimu mpigie simu muombe chondechonde asiitumie"
Tukija pande za mbagala jilani na nyumba aliyokuwa kapanga Hafidhi kulikuwa na makelele ya binti akilia
sijui anapigwa au yupo kwenye mambo yetu
“niachee!!! Mi staki jamanii iiiiiiiiiiii,,,,opsiiiii
Sauti ilikuwa kubwa mpaka Hafidhi akaona kero.
Na kubaki kujiuliza “hivi huyo sister anapigwa au vipi’’ sema hakuweza kupata jibu la swali lake ikabidi
amuulize Jackson “hivi kaka huyo binti vipi mbona hivyo?’’ Jackson alikuwa anafuwa nguo zake akamjibu
“kaka wee acha tu huyu malaya sijui ana mizuka ya wapi’’….. yani ana mizuka mibaya kweli katika yale
mambo yetu usikute hapo kaingizwa kidole tu imekuwa shida tupu subiri achomekwe rungu hizo kelele
zake utasema anataka kuchinjwa vile kwa kifupi huyu binti shida tupu’’ Hafidhi akaanza kucheka si
kidogo maana katika maisha yake hakuwai kumuona mwanamke kama huyo na kujisemea hii mbona
balaa’’ basi akaendelea kusikilizia mapigo ya huyo binti na kujikuta Dudu lake linadinda pasipo
kutegemea
“osiiiii,,,,ahaaaa,,,,,ohooooo,,,uwiiiii,,,usiiiingize,,,,yote,,,mmmmmm,,,,uhuuuuu,,,babiiii,,kichwaaaa,,,hik
o” yani ilikuwa shida tupu.
Hafidhi akabeba ungo wake maana alikuwa akichambuwa dagaa akaingia nao ndani kwake, “vipi kaka
mbona unaniacha mwenyewe hapa nnje vipi tena?’’ Jackson akauliza swali huku nae akicheka baada
kugunduwa jamaa mambo yamekuwa magumu kwa upande wake.
Hafidhi baada kuingia chumbani kwake akaikuta simu yake ikiita akaichukuwa haraka na kuitizama
mpigaji alikuwa bibiye Vivian “halloo,, my dear niambie’’ sauti ya kama mtu akilia ikaweza kusikika
upande wa pili, Hafidhi akashtuka na kuuliza “halloo baby nini tatizo? Nini shida? Niambie please “
“Hafidhi, kipenzi changu kwanini unataka kuniangamiza mimi na mwanao kwanini unataka kufanya kitu
kama hicho’’ mpaka hapo mwanaume hakuweza kuelewa chochote kile wala hakuweza kufahamu Vivian
anamaanisha nini kuongea hivyo . Ikabidi aulize
“Vivian mbona sikuelewi unamaanisha nini kuongea hivyo nani amekwambia nataka kukuangamiza?’’
“Hafidhi wee hujui tu lakini kitendo cha kuondoka na siraha yangu tambuwa ukiitumia tu nitakamatwa
mimi’’
“hapana baby siraha yako sikuondoka nayo kabisa kwanza mimi katika mapambano yangu siwezi
kutumia hiyo kitu nilicho fanya ni kukuhifadhia kwenye hiyo droo ya kitanda baby angalia hapo
utaiyona’’ baada Hafidhi kusema hivyo.
Ikasikika saurti ya Vivian akipumua maana alishaingiwa na hofu si kidogo, kimya cha dakika kama mbili
hivi kikachukuwa nafasi kisha Vivian akasema “thank you my husband nimeweza kuiyona vipi baby
nikupikie chakula gani my dear’’
Hafidhi akakata simu, kwa upande wa bibiye Vivian aliweza kutambuwa kipenzi chake kachukia kuhusu
lile swala akajaribu kumpigia simu ikajibiwa haipatikani akaona sio mbaya akiacha ujumbe wa kuomba
msamaha. Aliandika hivi “nafahamu ni kwakiasi gani umechukia kipenzi changu tafadhali baby nisamehe
niliingiwa na hofu kuhusu mwanetu wala sio mimi kama kweli umenisamehe ujibu ujumbe huu’’

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni