Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MTAA WA TATU (61)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA SITINI NA MOJA
Michael akabaki na mpini huku bwana mkubwa akibaki na makali akatazama juu na kukirusha kile kipande kikaenda kutua kwenye camera na kuivunja mwanaume akazunguka kwa kasi kumfata Michael nae akajipanga kumpokea baada kumfikia akamwambia neno moja tu “kimbia huku yale majeraha yake yakijiunga, zile silaha zake zilikuja zenyewe kwenye mikono yake utasema sumaku na chuma

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Michael macho yakamtoka pima asiweze kuamini kile akionacho mpaka hapo akaweza kutambuwa kwanini huyu mtu kashindanika kwa watu kibao kumbe ni Jini sema hakutaka kushindwa kwa uzoba wake akamfata na kurusha mateke ya double kick kwa wakati huo mwenzake hataki masikhara kabisa ile ananyanyua mguu tu mwanaume akacheza na kifundo kwa kumpiga kifuti Michael akayumba kwa kurudi nyuma akiwa anachechemea maana alijihisi kama vile mguu mmoja hana akashindwa kusimama vizuri akawa anapepesuka Hafidhi nae ndio anakuja kwa kasi kufumba na kufumbuwa viganja vya mikono vya Michael vikadondoka chini yani vyote viwili Michael akapiga mayowe ya uchungu “mamaaa’’,,,,uwiiiiiiiii,,,,,nakufaaaa’’,,,,,mlango ukafunguliwa kikosi cha maaskari wakavamia wakiwa na silaha zao na kumkuta Michael akiwa kapigishwa magoti akiwa hana mikono huku kawekewa mundu shingoni

“tafadhali Hafidhi usifanye hivyo tunakuomba usimuuwe muache kwani ukikaidi amri tunaweza kukutwanga risasi tupa siraha yako chini,’’ ile kauli kutoka kwa mmoja kati ya maafande ikamfanya Hafidhi acheke “hahahaha, wenye roho nyepesi ndio wataweza kuangalia hiki nitakacho kitenda mbele ya macho yenu na iwe funzo kwa wajinga wote wenye nia ya kutaka kushindana nami, na iwapo mtafyatuwa risasi hatotoka mtu hata mmoja ndani ya chumba hiki, “Hafidhi kijana wangu inatosha hii sasa imekuwa tou much muache huyo mtu please usimuuwe kama kakukosea adhabu uliyompa inatosha,’’ ile kauli ikamfanya kila mmoja ageuke na kuangalia kule inapotokea alikuwa mwanamama mmoja hivi wa makamo akiwa katinga kombati za kijeshi na mivyeo kibao, Hafidhi nae hakuweza kuamini na kujikuta akiita mama, akamuachia michael na kwenda kumkumbatia mama yake basi ni miaka takribani sita imeweza kupita tokea Hafidhi aagane na mama kutoka Iringa na kuja jijini Dar es salaam ndio ikawa mwisho wa kuonana mama na mwana, sasa leo mama kamuona mwanae na mtoto kamuona mama yani walikumbatiana huku machozi yakiwatoka kwa furaha na huzuni ndani yake polisi wao wakawai kumbeba kijana Michael na kumkimbiza hospital.

Kwanini lakini? ukaniacha mama yako niteseke Hafidhi nimeumia sana ndani ya moyo wangu, kwa matendo uliyoyatenda kwanini umekuwa hivi?
Mama yake akazidi kumuuliza maswali mwanae huku machozi yakimtoka
wakakumbatiana kwa muda kabla ya
Polisi kumuomba mama yule atoke ndani ya chumba kile kwani mtuhumiwa anahitajika kufungiwa
“hapana haiwezekani mumfungie mwanangu kwani yeye kuku au ng'ombe tambuweni yeye ni binadamu,"
Mama mtu akapinga vikali kufungiwa kwa mwanae na kusema kama kufungiwa basi wafungiwe wote
“Afande wee nenda tu haina haja ya kuufunga huo mlango kwani hata kama utaufunga sio suruhisho la kunizuia mimi nisitoke msikilize mama yangu nini anataka
Wee nenda,"
Hafidhi akaongea hivyo kumwambia yule Afande ambaye alitaka kuufunga mlango,
Nae hakuwa na jinsi ni kuondoka zake
“Inspector Emma mbona wakati wa mpambano tuliona Hafidhi kachomwa kisu cha tumbo
Ajabu tumemkuta hana jeraha hata moja,"

“Dahaa hata sijui niseme nini mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza kuhusu hiko kitu, kumbe hata wewe umeona ehee binafsi Hafidhi hafai kabisa!"

“mama"
“abee mwanangu"
“kwani baba yuko wapi?"
“baba yako ameelekea kwa wakili wa kujitegemea bwana George Iron Mosenya aweze kuisimamia hii kesi yako"

“Mmh! Mama"
Hafidhi akaguna na kumwita mama yake.
“Abee mwanangu mbona unaguna tena?"

“ndio mama naguna kwa sababu katika kesi yangu sihitaji Wakili wala mashahidi
Sihitaji nyinyi mjihusishe kwa lolote lile.
Siku ya hukumu yangu kaeni nyumbani msije mahakamani nyumbani.
Nafahamu ni jinsi gani mnavyoumia mkiwa kama wazazi,"
Hafidhi akaongea hivyo huku akimfuta machonji mama yake
aliyekuwa akilia yani vazi alilovaa
Na heshima aliyokuwa nayo
Jeshini vyote akaviweka kando
Akiwa kama mwanamke aliyeingia Reba
ukizingatia huyo ndio mtoto wa pekee
Itakuwaje akipewa hukumu mbaya,
Iliwachukuwa takribani
Masaa mawili wakiongea mwishoe mama mtu akatoka ndani ya chumba hicho
Akiwa hajiwezi kwa kilio
Kuna vijana kama wawili hivi ndio aliokuja nao, baada kumuona mkuu wao
Akitoka ikabidi waende kumshika na kumsaidia kuingia ndani ya gari.
Nchini Tanzania kulikuwa hakuna habari nyingine zaidi ya kukamatwa kwa muuwaji wa kutisha, wakati
Wananchi wakipinga vikali kwa kudai sio muuwaji kwani
Serikali inataka kuficha mazambi yao
wakati kila kitu kimewekwa wazi.
Kuhusu ufisadi ubadhilifu
Mauwaji unyang'anyi uonevu
kwa wanyonge juu ya kuonewa na matajiri.
Ndani ya mahakama ya Kisutu
Umati wawatu ulifurika si mchezo kwa Mara ya kwanza mtuhumiwa Hafidhi j Ikram anafikishwa ndani ya mahakama hiyo
Juu ya kusomewa mashitaka yake.
Waandishi wa habari kuanzia wale wa television radio magaazeti
Walijazana kwa kutaka kupata habari nyeti zaidi
Mwandishi wa kutumainiwa bwana
Hussen de Molito akiwa shingoni ameivaa Digital camera.
Hakutaka kuwa nyuma kabisa katika kuzipata taarifa za moja kwa moja akapigana vikumbo na Wananchi pamoja na waandishi wenzake mpaka kufanikiwa kujipenyeza ndani kabisa ya mahakama hiyo,
Kwakuwa mlango wa mbele kulikuwa kumefurika watu
Na itakuwa vigumu kwa mtuhumiwa kupitishwa ikabidi Apitishwe mlango wa nyuma,
Molito akapiga picha za haraka kama tatu baada kumuona kumuona mtuhumiwa akiwa kaongozana na kikosi cha
Maafande
Mahakama ikawa kimyaa kelele pekee ziliweza kusikika nnje kutoka kwa wananchi.
Hafidhi akiwa kafungwa pingu akapanda kizimbani
Wakati wakili
Bwana Georg iron Mosenya akiwa ametulia kimyaa
Ni kesi ambayo ni baina ya Hafidhi na serikali si mtu mwingine,
Jaji bwana
Dominick Luis akapanda juu ya korti watu wote
wakasimama kisha wakakaa sehemu zao
Hafidhi akageuza kichwa chake huku na kule na kuweza kuwaona wazazi wake, Ankor wake, kina Salma na wengineo
Akashtuka baada kuweza kuwaona
Mamaster wake nao wapo mahakamani hapo
“Ndugu bwana Hafidhi j Ikram mahakama kabla ya kukusomea mashitaka yako na kutoa hukumu
Juu yako je una lolote la kuzungumza,"
Bwana Mosenya akaongea hivyo baada kesi kuanza kusikilizwa.
Hafidhi akatikisa kichwa kuwa hakuwa na chakuzungumza,
Basi kesi ikaendelea kwa kusomewa mashtaka yake
Kila kitu alikubari katenda hakuweza kupinga chochote.
Kesi ikasogezwa mbele kwani upande wa mashtaka haukuwa na mashahidi.
Upande wa mshitakiwa
Mashahidi kibao.
“jamani kumbe ni kijana mdogo hivi"
Binti mmoja alimwambia mwenzake baada kuweza kumuona live Hafidhi akipandishwa kwenye karandinga safari ya kupelekwa gerezani ikaanza
“ndio ni kijana mdogo ndio kwanza ana umri wa miaka 26 kaweza kufanya jambo ambalo atabaki kukumbukwa daima,"
Mwenzake akamwambia hivyo.
Mama yake Hafidhi na kina
Salma waliangua vilio kumlilia wakati hata hukumu haijatolewa
“embu acheni kumchulia mwanangu mnalia nini sasa.
Kwani amekufa au?!
Mzee J Ikram akang'aka kwa hasira, ndio kwaanza vilio vikazidi.
Wale
Walimu wake wakaongozana huku wakizungumza kuhusu kijana wao,
“Sasa Yuan Chen tumeweza kuafikiana kumtorosha huyu kijana wetu,"
Mmoja kati ya walimu akamwambia mwenzie kwa lugha ya kizungu
“haina shida chaumuhimu tufanye kwanza uchunguzi wa kina tuweze kufahamu. Gereza gani atakuwa kapelekwa kisha tuanze hiyo Operation,"
Kila mmoja akaafiki na kukubaliana kumkomboa
Hafidhi"........

Ndani ya gereza la Segerea kwa mara yakwanza kijana Hafidhi akafikishwa Askari jela wote wakapewa tahadhali kuwa mtu huyo sio wa kumfosi au kumpiga kwa namna yeyote ile
Kwanza haitajiki kuwekwa pamoja na wafungwa watukutu kwani wakilikoroga tu watalinywa kuweni makini sana,"
Ilikuwa kauli kutoka kwa mkuu wa Magereza akiwaambia vijana wake.
Basi mwanaume akashushwa kutoka kwenye gari kwa hatua za kujivuta akaingia ndani ya mjengo huo, kula bure kulala bure
Wakati kuna kazi na suruba za kiume zinafanyika utakulaje bure,
“Mletee mrembo huyoo",,,,,,wakwangu, mchumba",,,,mlete humu,,,,,psiiii
ii,,,,"mrembo,
Zote zilikuwa kelele kutoka kwa wafungwa baada kuwaona Askari jela wakiingia na mfungwa mpya, hakuwa mwingine ni
Hafidhi.
“Peter unaonaje huyu jamaa tukamuingiza ndani ya chumba cha kina
Black Forest, afundishwe adabu,"
Askari mmoja akamwambia mwenzie hivyo,
“wewe embu acha ujinga ujamsikia mkuu kasemaje pale huyu kijana hafai.
Peter akasema hivyo,
Lakini mwenzake akasema kama ubabe sijui nini itakuwa hukohuko ulaiyani sio hapa kwa wagumu akamshika Hafidhi mkono na kumuongoza chumba cha
Black Forest,
“tunamtaka mke wetuu",,,,mlete huyoo muingize huyoo",,,,
Kikundi cha black forest wakaanza kushangilia na kuimba baada kuona huyo mfungwa mpya
Anaingizwa kwenye selo yao,
Geti likafunguliwa na Hafidhi akisukumiziwa ndani yake,
Wakati huo Afande Peter kaondoka haraka sana kwenda kutoa taarifa kwa mkuu wa gereza,
Baada Hafidhi kuingizwa ndani ya chumba hiko vijana wakamdaka na kuanza kumgombani huku mwingine akitaka kuivua
Suruwali ya Hafidhi
Mwanaume akachenji kwa kukata pingu kama vile kafungwa kamba ya mdizi.
Akafanya kumpushi yule aliyetaka kumvua nguo kisha akazunguka na kuachia mateke ya kuzunguka kila mmoja akatupwa kule
Sasa kilichowakuta
Black forest ni balaa
Kwanza aliwatembezea kichapo kisha akachukuwa kisu na kukata naniliu zao,
ndani ya dakika kumi selo nzima kulikuwa kume tapakaa damu
watu wamelaliana
“ohoo shit! Kwani huyu Mkude kashindwa kufata amri yangu shenzi sana huyu
Bwege embu tuwahi haraka sana kabla hajafanya mauwaji,"
Mkuu wa magereza akaongea kwa hasira na kutoka ndani ya ofisi yake.
Hakuweza kuamini kwa kile alichoweza kukiona baada kufika kwenye selo ya
Black forest na kukuta
vijana wote wapo uchi huku
Naniliu zao zimeondolewa
Afande Mkude alikuwa kakaa chini akilia maana aliweza kushuhudia kila kitu
jinsi Hafidhi akifanya ukatili huo.
Kwakuwa Mkude geti alikuwa ameshafunga kwa nnje ikabidi lifunguliwe
Askari wakaingia kwa tahadhali kubwa tena kwa heshima
Wakamshika Hafidhi na kumuomba aongozane nao.
Unaweza kusema jamaa kawa kama zezeta fulani hivi kwanza alikuwa mkimya sana
sio mtu wa kuongea yeye yuko kivitendo zaidi, basi akaongozana nao
mpaka kwenye chumba kimoja hivi wakamuomba aingie humo nae hakutaka kubisha akaingia mlango ukafungwa.
Mkuu wa gereza akataka jambo hilo iwe siri sema nikitu kisichowezekana kwani baadhi ya Askari jela
washa vujisha taarifa zote kwa kutumia
simu zao,
Video na picha zikasambazwa kwenye mitandao ya kijamii,
“mmh! Duhuu ebwana dahaa hakika huyu mtu hafai kabisa yani wafungwa walijuwa wakuja ehee
Wacha awaonyeshe kazi"

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITINI NA MBILI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
10 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni