MTAA WA TATU (7)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA SABA
"Sehemu ipo hapo kwa mbele kidogo sema nimekwita hapa nikwambie kitu hivi wewe ni mgeni ehee".....
NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
"Ndio mama yangu sema sina kamba mguuni"
yule mama akacheka na kusema
"ndio hauna kamba mguuni. Nimekwita hapa nikwambie
kitu kimoja mwanangu'
nilikuona jana kwa jinsi ukimpiga Cholo
kwa kifupi tu yule kijana wazazi wake ni wachawi wakubwa sana
kama usipofanya jambo watakupoteza.
Mimi nafahamu kila kitu kuhusu Cholo
usione mtu anajiamini kufanya mambo ya ajabu basi tambua kitu kimoja ana siri nzito ndani ya moyo wake".....
Hafidhi akatabasamu na kusema
"wala usijali mama yangu kuhusu mimi kila kitu kitakuwa sawa wala usiohofie
Wacha mimi niwai kunywa supu si umesema kwa nyuma hapo"......
"ndio kwa nyuma ukipita kichochoro kile tu
Sasa mbona unaondoka hata kuniungisha vitumbua au chapati hutaki ehee"
Ikabidi Hafidhi anunuwe chapati kama tatu
Chenji akamwambia abaki nayo tu maana alitoa elfu tano
ndani ya kibanda kulikuwa na vijana kwa
wazee wakipata supu wengine chai
Hafidhi akaingia kila mmoja akashtuka
kama vile kaingia simba hata story walizokuwa wakipiga
zikanyamaza ghafla kama vile tanesco washafanya yao
Hafidhi akatafuta sehemu na kukaa.
Kuna binti kashombe shombe akaja
na kuuliza nikusaidie nini kaka yangu" kabla ya kujibu mwanaume akatamani zigo yani
Mtoto kajazia si mchezo hapo kifuani sasa"
Akaulizwa tena
"nakuuliza wewe kaka yangu nikusaidie nini?"
"Ohoo samahani sana mrembo niletee supu
na chapati nne"...
yani Hafidhi kadata mpaka kajisahau kama kaja na chapati.
Basi akaandaliwa na kuanza kunywa supu yake wakati wote macho yapo kwa binti,
"duhuu kumbe nimekuja na chapati kudadeki mawazo mengine mabaya sana"
yule binti akaitwa na kijana mmoja hivyo
"Mwajuma ehee"
"abee Musa niambie mpenzi"
Kusikia neno mpenzi Hafidhi akakunja ndita wivu ukamshika kama vile tayali amekuwa demu wake.
Basi
Mwajuma akatoka nnje kwenda kumsikiliza
Musa wakati
Hafidhi kakodoa macho tu
"vipi niambie kipenzi changu"
"unakosea kuniita kipenzi chako bwana umemuona yule jamaa aliyeingia sasa hivi?"
"ndio nimemuona kwani kafanyaje?"
"sikia nikwambie kitu yule jamaa ndio habari ya mtaa wa tatu ndio aliyemfumua
Cholo na Thabiti jana
na leo asubuhi
kakupiga kikundi cha
Nyonya mavi kwa urimi
kwa kifupi jamaa ni
Jinnias
anatisha kama njaa
sasa tufanye kitu nimeona kama kakupenda hivi.
Sasa wewe jilengeshe tupate shemeji
Mashine"......
"umejuwaje kama kanipenda?"
"si nimeona fanya hivyo sister dada binamu nitakutowa mshiko maana akiwa shemeji yetu
kuanzia
Mtaa wa kwanza hadi wa pili tutafunga ile".......
Mtoto wa kike baada kuambiwa vile, kwa mwendo wa mapozi akarudi kibandani.
Tena kwa makusudi zaidi akiyatikisa makalio yake.
Hafidhi akabaki kutoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,
Ndani ya kibanda kile wateja wengi walishaanza
kuondoka hatimae akabaki
Mzee wa nyapu na Mwajuma
“samahani Dada yangu supu ndio shilling ngapi?"
Hafidhi akauliza huku
akitowa wallet yake
“ayiii wee kaka yani umekunywa
supu yote
kisha unauliza bei je kama ukitajiwa pesa ambayo
hauna hapo itakuwaje?"
“si nitaacha smart phone yangu hii"....
“yani uache simu kisa supu mbona vituko"
“sio vituko si umesema kwa mfano
au"......
Basi bibiye akasogea na kuitaji kutoa vyombo
kitendo cha kuinama tu
Hafidhi akacheki kushoto na kulia baada kuona hakuna soo
Kwa kutumia mkono wake wa kushoto
akalishika tako la mtoto wakike
“mmmmm,,,,,hooooo,,,,wee kaka mbona mchokozi"...
Kwa sauti yenye kutia huruma
Mwajuma akaongea hivyo na kujikuta akimkalia Hafidhi mapajani
Kumbuka mtoto amepewa ishu,
“vipi unataka au?"
Mwajuma akauliza kwa macho ya aibu akimtizama
Mwanaume usoni
“ndio nataka hakika wewe ni binti mrembo sijawai kuona kama wewe katika dunia hii".....
“Mmh wee kaka acha uwongo bwana hivi katika warembo wakiambiwa watoke mimi nitatoka kweli"
“ndio utatoka tena utashika number moja
Samahani unaitwa nani?"
“naitwa Mwajuma ukipenda niite Mwajey
sijui wewe waitwa nani?"
“mimi naitwa Hafidhi j ikram
Ukipenda Dhifiha j.
Ndani ya utamburisho mwanaume akiwa anaitomasa chuchu ya
Mwajuma na kumfanya atatalike kwa nyege.
sauti kama katoka usingizini vile
Mwajuma akatamka
“mmh tuingie mule basi"
Mwanaume hakutaka kuzubaa mtoto si kakubali mwenyewe.
basi akamshika na kuingia kwenye kichumba fulani kidogo hivi sijui ni
Store ile
kitendo cha kufika tu wakaanza kunyonyana denda
Assssssssss,,,,,,,ahaaaaaaaaaa,,,,,
Opsssssssss,,,,,,,,ohooooooo,,,,,,babiiiiii
Aaaaaaa,,,,,
Hafidhi akiwa kaivamia chuchu moja wapo na kuinyonya yani akafanya kama anaing'ata hivi
“haaa babi una Condomu?,,,
Mwajuma akaulizia condomu wakati huo
Hafidhi akajifanya kama ajasikia vile.
Ndio kwanza akakipekenyua kitumbua na kuingiza dudu lake"......
Ndani ya mtaa wa kwanza siku hiyo kulikuwa na kigodoro vijana wa mtaa huo
Wenye kujiamini kuliko mitaa yote
wakaanza kupanga mikakati ya kuweka ulinzi kila kona.
Yani wakataka kuhakikisha hakuna kukatiza hata N'zi hakika walijipanga vilivyo.
Kuna binti mmoja hivi kutoka mtaa huo
alikuwa ni rafiki kipenzi na
Salma basi akaongea na kaka yake.
“kaka mimi nataka kwenda kumfata rafiki yangu tuje kusheherekea wote".....
“huyo rafiki yako anaitwa nani na anaishi wapi?"
Yani hiyo sauti tu inatisha
utasema mlio wa mgongo chura"
Binti akajibu japokuwa kashaanza kuingiwa na hofu
“anaitwa Salma anaishi kule mtaa wa tatu"
“ok! Sasa fanya kitu kimoja kabla hujaenda kule vaa ile T-shirt ya team
Kisha nenda yani kila mtu akiona lile
Chata tu atafahamu wewe nani".........
Binti akaingia ndani na kutoka akiwa katinga T-shirt moja matata kisha huyo akaondoka zake
“Sharifa wapi hiyo shogaangu?"
Kumbe yule binti anaitwa Sharifa basi akamjibu
“naingia hapo mtaa wa tatu kumcheki
Salma mitako".....
“haya bwana jiangalie tu
Usije kufanywa asusa tu usifikilie kama hiyo
T-shirt itakulinda"
Sharifa hakutaka kuongea zaidi akaendelea na safari yake hatimae akaingia mtaa wa tatu
“oyaa cheki demu yule"
"Ebwanaee zinga la demu subiri nimfate"
“wee tuliza kitobo hiko embu angalia chata lile ni
Black sneak kama ujitaki kamguse"
ni moja kati ya vijana waliokuwa wakicheza
Draft pande hizo baada kumuona
Sharifa akikatiza mmoja kati yao akataka kumfata.
Baada kutambua ni binti kutoka mtaa wa kwanza
Ikabidi wawe wapole tu
Sharifa nae akatembea kifua mbele mpaka nyumbani kwa kina
Salma ile anafika tu akakutana na
Mzee wa nyapu sijui kule kwa muuza supu katoka saa ngapi.
Hafidhi kitendo cha kumuona
Sharifa tu akahisi mapigo yake ya moyo kwenda kasi
Sijui anatatizo gani yani asione kichaka
anataka kwenda haja.
Ndioo maana kwao Iringa kunaongoza kwa ukimwi
Sauti tamu na nyororo ikamshtua katika mawazo yake ya kishetani yani kama Shahrkhan akiona
demu mawazo
yana mpeleka mbaali.
“za sahizi kaka yangu"......
Hafidhi akashtuka na kuitikia
“ahaaa powa tu sijui hali yako".....
“mi mzima nilikuwa namuulizia Salma sijui nimemkuta au?"
“ahaaa unamtaka Salma mitako"..
Sharifa akacheka hiko kicheko chake sasa
Hafidhi hoi mtoto akicheka ana
Mwanya hapana chezea
Salma nae akatoka nnje kitendo cha kumuona
Sharifa basi akaja kumkumbatia kwa furaha
“whao shost huyoo baada kupeana
Salamu wakapiga story mbili tatu,
Kisha
Sharifa akaaga anaondoka huku akimsisitia
Salma asikose kuja".....
Wakati Sharifa anaondoka
Mwanaume akazunguka kwa nyuma na kumkimbilia,
Sharifa hatua si nyingi akamfikia na kumwita
“Sharifa"
Si kalisikia jina la binti akitajwa na binamu yake.
Kwanza bibiye akashtuka kuitwa jina lake
katika maeneo hayo,
akageuka kumtizama anaemwita na kusema
“haaa Kumbe wewe yani umenifata hadi huku
haya niambie unataka nini?
Siku zote Hafidhi ni mtu wa kupenda madsmu na tabia yake ishaanza kujionesha kipindi anaingia tu
kwenye nyumba ya Ankor wake.
Kama tulivyo muona akiwatizama Zulfa na Joyce pale ukumbini
japokuwa ni mkali wa mapigo
huyu jamaa ni kama yule Jean claud Vann damme
Au wale wazee wa Spartacus, yani ni balaa tupu
Baada kuulizwa nikusaidie nini,
Mwanaume akasema
"Sharifa kuna kitu kimoja naitaji kuongea nawe kama hutojali, nikusindikize mpaka home
kwenu huku tukiongea
mawili matatu".......
Sharifa akaguna
"Mmh!"
"mbona waguna vipi kuna tatizo au?"
Ikabidi Sharifa amwambie ukweli
"Sikia nikwambie kitu kaka yangu mimi unionavyo si msichana wa kawaida kabisa kwa kifupi nakuomba urudi nyumbani
achana na mimi"
Hafidhi kuonyesha katokea kumpenda akamshika kiuno na kumvutia kalibu yake.
Sharifa akajitahidi kujitoa kwa kusema
"wee kaka niache mbona usikii nitapiga kelele unanibaka ohoo".....
Hafidhi hakujali hilo akamtizama
mtoto usoni kuna kitu kama kilitokea kutoka machoni kwa
Hafidhi na kumuingia
Sharifa basi mtoto akalegea na kuacha kichwa wazi ni nafasi hiyo
Mwanaume akaitumia kumnyonya denda
Sharifa nae akaonyesha ushilikiano kwa kujilaza kifuani kwa
Hafidhi wakati wakiwa wamekumbatiana
Si akapita
Cholo akiwa kabeba begi lake bila shaka anakimbia mtaa wa tatu.
Hafidhi akamuona na kumwita
"oyaa wee jamaa vipi".....
Cholo kukimbia alitaka tatizo hatua alizokuwa si mbali na alipo Hafidhi,
Ikabidi asimame tu na kujiandaa na chochote kitakacho tokea kwa wakati huo.
"Sharifa unaweza kwenda nyumbani nitakucheki baadae"
Hafidhi akamwambia hivyo
bibiye
Sharifa macho yakiwa mekundu bila shaka wadudu wa nyege washaanza kumtambaa mwilini akaitikia
"sawa my dear"
yani kirahisi tu jamaa kapata demu.
Basi akamsogelea Cholo pale alipo na kumuuliza kwa sauti ya chini kidogo
"vipi kaka mbona una mabegi
unaenda wapi tena?"
Cholo hakujuwa ajibu nini
Zaidi ya kubaki kubabaika yani kama ungefanikiwa kuwaona
kwa jinsi walivyo
Cholo ni zinga la jitu mbavu nene wakati
Hafidhi ana mwili wa kawaida uliojengeka kimazoezi.
Sasa Cholo kawa mdogo mbele ya jamaa
"mbona haunijibu ok!
tusipoteze muda nafahamu fika unanikimbia mimi subiri nikwambie
kitu kimoja siku zote dawa ya tatizo si kulikimbia.
Suruhisho pekee ni kutafuta
ni jinsi
gani utalitatua tatizo
hilo maana
ukilikimbia utaacha madhara kwa watu wengine wenye kutaka kuwa
na tabia kama yako.
Nikwambie kitu
mimi sina bifu nawe
kabisa na
kilichotokea baina yetu mimi na wewe ni
kama heshima tu nakuomba usiondoke tuungane tuwe kitu kimoja tuweze kuulinda mtaa wa tatu".......
Hafidhi akazungumza kwa hisia kubwa sana,
Cholo akatikisa kichwa kuashilia ni kweli akiongeacho.
Wakapeana mikono kutakiana
Amani
Cholo akasema
"Shukrani sana ndugu yangu hakika nilikuwa mkosaji sana kwa kufanya vitendo vya kishenzi
kwa wakazi wa mtaa huu sikujali chochote kile
Niliiba nikabaka nikauwa
yote ndani ya wakazi wa hapahapa
wakija wababe kutoka mtaa wa kwanza au wapili tunakuwa wanyonge".....
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA NANE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni