TANGA RAHA (26)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA
ILIPOISHIA...
Kutisha na kunifanya nistuske ila nikaona kama anashangaa shangaa huku akinusa nusa kwenye sehemu niliyo simama na nikagundua hanioni ndio maana ana nusa nusa.SASA ENDELEA...
Nikasogea pembeni taratibu pasipo kumgusa kisha nikamyooshea mkono wa kushoto wenye pete na kustukia mtu huyu akianza kuyumba huku akitokwa na damu iliyo chananyikana na uweusi mdomoni mwake na hapa ndipo nikaamini kuwa pete aliyo nipa Yudia inafanya kazi vizuri.
Nikaushusha mkono wangu na kumfanya mtu huyo kupotea mbele ya macha yangu na damu zote zilizo tapakaa chini zikawa zimepotea kwenye sakafu.
Sikuogopa sana kutokana vimbwanga kama hivi nimevizoea na kwanu ni kawaida sana kuona vitu kama hivi.
Nikatoka bafuni na kujifuta maji na taulo kisha nikajiweka sawa nguo zangu na kutoka ndani kwangu na kuelekea sebleni na kuwakuta watu wote wakiwa wamejumuika mezani kwa ajili ya kunywa chai,nikakaa kwenye kiti kilicho andaliwa na kusalimiana na kila mmoja na mchunajia akatuomba tufumbe macho yetu ili aongoze sala.
Tukaanza kunywa chai taratibu huku mara kwa mara macho yangu yakiwatazama mchungaji na mke wake na kujikuta nikijisemea kimoyo moyo
“Kwa mtindo huu mbinguni kufika ni baadaye sana”
Tukamaliza kunywa chai na kuwaomba mchungaji na mke wake waniruhusu kuna sehemu ni-nahitaji kwenda
“Sasa Eddy huoni kama tutachelewa kufanya maombia nyumbani kwako?”
“Hiyo seemu ninayo kwenda sio mbali sana na hapa....Ninakwenda kuchukua pesa yangu mara moja kisha nitarudi”
“Ahaaa huyo mtu unamdai kiasi gani cha pesa”
“Laki nane”
“Mama Yudia nenda kwene koti langu la suti niliyo ivaa juzi kuna pesa naomba utoe laki nane na nusu uje nazo hapa”
“Lakini baba si mumuache aende zake munamng’ang’ania nini kwani ni ndugu yetu huyu?”
Yudia alizungumza kwa kisirani kama alivyokuwa akifanya jana usiku na kuwafanya watu kad-haa walio kaa mezani kuguna akiwemo na Junio
“Dada Yudia kwanini unamchukia sana kaka Eddy?”
“Na wewe koma sizungumzi na mbwa naongea na mwenye mbwa.....SAWA?”
“Ehhe Yudia mwanangu mbona unatabia mbaya kiasi hichi hata hupuumziki hujui kama kuna wagani au hakuana”
“Mama na wewe hizo roho zenu za ajabu ajabu zitawaponza na sitaki mumpe pesa yoyoyte”
“Mama Yudia hembu achana neye nenda kalete hizo pesa”
“Mama ukienda kuanzia leo mimi sio mtoto wenu wa kumzaa.....Hamuwezi kumpa mtu baki pesa zite,Yeye amekuwa nani hadi mumpe?”
“Mchungaji ili musigombane na Yudia ngoja mimi niende mara moja ila nitarudi muda sio mre-fu”
“Basi ngoja nimuambie Joseph akaupeleke na gari”
“Hapana mchungaji nitarudi muda sio mrefu”
“Sawa”
Yudia akanyanyuka na kutoka nje na mimi nikaagana nao kutoka na sikumuona Yudia sehemu alipo ila sikuwa na shaka sana,Mlinzi wa gatini akanifungulia geti na kumkuta Yudia akiwa amesimama pembeni ya geti huku machozi yakiwa yanamwagika
“Yudia mbona unalia?”
“Eddy najua kwamba huto rudi tena huku na nilifanya vile ili wasielewe kitu kinacho endelea japo nimekudhalilisha ninakuomna unisamehe”
“Usijali asante kwa yale yote uliyo nifanyia kwan sinto weza kukusamehe”
“Ngoja nikupe namba yangu ya simu”
Yudia akaiandika namba yake ya simu kwenye simu yangu kisha na nikamtajia na yakwangu na akaiandika na akanikumbatia huku machozi yakimwagika kisha akiivua cheni aliyo ivaa shingoni na kunivisha
“Ho ni ukumbusho wangu kwako”
“Asante ila tutawasiliana”
Nikamuachia Yudia na kuondoka zangu huku nikimuacha Yudia akinipungia mkono na mimi nikampungia na kuongeza mwendo na kuondoka katika eneo la nyumba ya mchungaji na nikafka kwenye kituo cha waendesha pikipiki na kukodi pikipiki ikanipeleka hadi kwenye shule ninayo ifundisha na baadhi ya wanafunzi wakaja kunipokea kwa furaha.
Wakanisindikiza hadi ofisini na kuwakuta waalimu wengine nao wakaonekana kufurahi kwa kuniona japo nimewakuta wapo kwenye kikao.Wanafunzi wakarudi zao madarasani na mimi nikasalimia na waalimu wote na kukaa kwenye kiti changu nilicho kizoea na kikao kikaendelea kama kawaida na mada kubwa ilihusiana na utivu wa nidhamu kwa baahi ya waalimu wa kike.
Mwalimu aliye kanywa sana ni Madam Recho ambaye amezoeleka kuwa anatabia ya uchonanishi kwa baadhi ya waalimu na hata baadhi ya wazazi wanao taka kuwahamishia watoto wao kwenye shule yetu.Sikuchangia kitu cha aina yoyote hadi kikao kikaisha.Mwalimu mkuu akaniita ofisini kwake na sikuwa na tukaongozana hadi ofisini kwake
“Sir Eddy unaendeleaje?”
“Salama tuu mkuu sijui nyinyi hapa?”
“Sisi tunaendelea salama”
“Vipi Zena Alisha toka hospitali?”
“Ndio aliruhusiwa jana yupo nyumbani kwake kama utapata muda tunaweza kwenda kumuona”
“Sawa”
Kabla mkuu wa shule hajazungumza chochote mlango wa ofisini kwake ulagongwa na akamruhusu anaye gonga kuingia.
Akaingia rafiki wa Rahma na kumuomba mkuu wa shule boksi za chaki ambazo ameagizwa na mwalimu wa taaluma.Akaonyeshwa boksi kubwa lenye chaki analibeba na kuondoka nalo na kumfanya mkuu wa shuke kubaki akimtazama rafiki wa Rahma kwa nyuma jinsi makali yake yanavyo tingishika
“Mmmm watoto wa siku hizi”
“Wana nini mkuu?”
“Wanadatisha sana mtu unaweza ukajikuta unafungwa hivi hivi”
“Haaa ndio hivyo mkuu”
“Ila kuna mtoto wa kiarabu ninamfukuzia hadi leo ila bado hajanikubalia”
“Kwa nini hajakukubalia?”
“Mtoto kila nikimpa maneno matamu ya kiutu uzima anadia kuwa atanijibu na tayari ameshanilia pesa yangu si chini ya milioni”
“Ehee”
“Kweli Eddy ninakuambia hivi kama mwanangu na hapa shule nataka nifanye mapinduzi kidogo ya utawala....”
“Kwa nini?”
“Nimeamua tuu nataka nifanye mpango wa kukupandisha wewe na kuwa makamu mkuu wa shule”
“Huyu wa sasa hivi naye atakuwa wapi?”
“Huyu anahama zimebaki siku tatu za yeye kuwepo hapa na mimi kama mkuu wa shule ninahi-taji kupendekeza mtu mwenye akili timamu.....Sio kama hawa kina Recho akili zao zipo makalioni hawaheshimu kazi kabisa”
“Mkuu huoni majukumu unayo nikabidhi nimakubwa tofauti sana na muda wangu nilio kuwepo kazini?”
“Ahaa muda wako wa kuwepo kazini hauna shida cha msingi ni utendaji wako wa kazi kuna watu wapo kazini sasa ni mwaka wa 30 ila utendaji wao ni mbovu kupindukia”
“Sasa itakuwaje kwa waalimu wanao nichukia?”
“Wewe unaogopa kuchukiwa potelea pote ila cha msingi ni kwamba unakuwa msaidizi wangu ila kuna kajikazi nahitaji nikupe kwa maana wewe unapendwa sana hapa shule na wanafunzi wengi hilo halipingiki”
“Kazi gani mkuu?”
“Nahitaji unifanyie mpango kwa yule msichana niliye kuambia”
“Anaitwa nani?”
“Anaitwa RAHMA anasoma kidato cha nne”
Nikajikuta nimekaa kimya nikimtazama mkuu wa shule huku nikijiuliza kama akili zake zina-fanya kazi sawa sawa au ndio uzee unamchanganya
Nikakaa kimya huku nikimtazama mkuu wa shule machoni kwani sikujua ni nini nimuambie
“Eddy ukihitaji hata pesa mimi nitakupatia ili tu nimpate Rahma”
“Ila mkuu mbona msichana mwenyewe simuoni hapa shule”
“Amesafiri ila akirudi tu nataka niweke mambo sawa”
“Usijali mkuu wangu”
Nikajikuta nikinyanyuka kwenye kiti nilicho kaa na kumuaga mkuu wa shule na kumuahidi nitalifanyia kazi na nikarudi ofisini kwa waalimu wengine na kuwakuta kila
Mmoja akiendelea na shuhuli yake kutokana sikuja kikazi nikabaki nikiwa ninajisomea baadhi ya vitabu vinanavyohusiana na masomo yangu ninayo yafundisha.Simu yangu ikaingia ujumbe mfupi wa meseji na nikakuta ni namba ya Rahma
“BABY UWAHI KURUDI NIPO NYUMBANI KWAKO NA HALDA”
Mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio baada ya kuona saa ya kwenye simu yangu inaonye-sha zimabaki dakika kumi kutimu saa sita kamili kabla haujafika muda tulio ahidiana na mchungaji juu ya kwenda kufanya mamombi ambayo kwa wakati huu kwangu
Sikuyaona na umuhimu wa aina yoyote kwani mchungaji mwenyewe anaushirikiano na Olvia Hitler.Nikanyanyuka kwa haraka na kabla sijaufikia mlango wa kutokea ofisini simu yangu ikaita na kuikuta ni namba ya mchungaji,nikabaki nikiitazama pasipo kuipokea na kumfanya madam Recho kuzungumza
“Jamani si mzime misimu yenu inatupigia kelele”
Niakageuka na kumtazama madam Recho na sikuseme kitu cha aina yoyote zaidi ya kuminya kitufe cha kupokelea simu na kuiweka sikioni na kuisikia sauti ya mchungaji
“Mpendwa tumefika nyumbani kwako tupo hapa getini tunaomba utufungulie mlango kwa maana tunapiga honi nahisi uisikii kutokana na mziki ulio ufungulia kwa sauti ya juu”
“Ahh...Sawa mchungaji nakuja”
Nikakata simu na kubaki nikiwa nimetizama chini huku nikishush pumzi na sikujua nifanye nini kuhusiana na swala la kwenda nyumbani kwa kwangu kwani hali ya hewa imesha haribika.
“Eddy unapakwenda?”
Mkuu wa shule aliniuliza na nikamjibu kwa kutingisha kwichwa nikiashiria kuwa sina pa kwenda
“Basi twende sehemu moja kama huto jali”
“Sawa mkuu”
Tukatoka ofisini na kuingia kwenye gari ya mkuu wa shule na sikujua ni wapi tunakwenda na ndani ya gari sikuzungumza kutu cha aina yoyote hadi tukafika kwenye moja ya mtaa ambao sikuujua jina lake na sote tukashuka kweye gari na mkuu wa shule akaminya
Kengele ya getini kwenye nyumba nzuri na baada ya muda geti likafunguliwa na akatoka msichana mdogo anaye onekana ni mfanyakazi wa ndani na baada ya kumuona mkuu wa shule akaanza kumchangam-kia huku wakitaniaana kwa baadhi ya maneno
Kisha akatukaribisha ndani na moja kwa moja tukapitiliza hadi sebleni na tukakaa kwenye sofa na msichana wa kazi akasimama na kuiwasha tv iliyopo ukutani na kuaanza kuadilisha badilisha chaneli zilizopo kweye king’amuzi wanacho kitumia
“Babu siku hizi mambo yako sio mabaya naona dada akakupendezesa ana”
“Kawaida babu yangu”
“Mmmm kweli ni kawaida kwani hiyo inye uliyo ifungashia utaweza kusema kuwa wewe ndio mwenye nyumba”
“Babu jamani hujaacha vituko vyako?”
“Ndio ukweli na siku hizi unanga’aa sana”
“Asante”
“Haya huyu mwenzako yupo wapi?”
“Dada amekwenda hospitalini mara moja ila muda si mrefu atarejea”
“Ahaa amakwenda hospitali gani?”
“Buriani”
“Eddy hapa ni nyumbani kwa madam Rukia”
“Ahaaa asante”
Mfanyakazi wa ndani akaondoka na kwenda jikoni na kutuacha tukia tunatazama Tv baada ya muda kidogo mkuu wa shule akanyanyuka na kuniambia anakwenda mara moja jikoni kuzun-gumza na mfanya kazi wa ndani.Nikabaki nikitazama
Tv galfa nikasikia simu yangu ikiita na ni-kaitoamfokoni na kuikuta ni namba ya mchungaji,Sikutaka kuipokea nikaiweka simu pembeni huku nikitafakari ni kitu gani nifanye.
Simu ikaita kwa mara tatu mfululizo na sikuipokea na kwabahati nzuri ikaanza kutoa ishara ya kuishiwa na chaji na taratibu nikanyanyuka na kuele-kea jikoni kumuuliza mfanyakazi wa ndani kama anaweza kunipatia chaji ya pini nyembam-ba,Kila ninavyo
Karibia kufika jikoni nikazidi kuisikia miguno ya watu kulalamika ikanilazimu kunyata taratibu na kwakupitia kajiuwazi ka dirisha nikamuona mkuu wa shule akinyonya ma-ziwa ya mfanyakazi wa ndani anayeonekana kulegewa na kunogewa na penzi la mkuu wa shule.
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni