Notifications
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (17)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Amatagaimba kabla ya kuondoka akachukua maji kutoka kwa Seidon na kumpa Anna, akayanywa kwa fujo na kuyamaliza. Nguvu zikamrejea. Anna akapanda juu ya farasi na Amatagaimba akatua nyuma yake, safari ikaanza.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Seidon akapiga mbio kwa ustadi akipita vijilima vilivyo ndani yake, “Amatagaimba, Sherhazad na Wafuasi wake…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (16)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Seidon alikuwa katika hali mbaya sana, kama ni kupambana basi alikuwa kapambana na jitu la kutisha linalowaka moto kila upande. Ilikuwa ni wakati wa kumaliza kazi aliyotumwa, akasikia radi zikipiga huku na huko, yule malaika wa moto akashtuka na akajua kwa vyovyote mvua itapiga hapo muda si mrefu, na kweli alipogeuka ulikotokea mlio ule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (15)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Amatagaimba akarudisha upanga wake na kumpa mkono, akamwinua.“Wewe ni nani?” Amatagaimba akauliza.“Anna, naitwa Anna, Anna Davis,” akajitambulisha kwa sauti ya kukwamakwama.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“We umeingiaje huku?” Amatagaimba akauliza tena mara hii kwa mshangao zaidi.“Nilikuwa na wenzangu, tulikuja ah, sijui hata kufanya nini, mimi nika,…

MTAA WA TATU (28)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
Yusra nae akafanya hivyo ndio kwaanza wanaingia nchini na kukalibishwa kwa chai ya kikubwa, ndani ya nnje kidogo ya jiji ikawa balaa
Hafidhi akiwa ndani ya pikipiki

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Akicheki nyuma kuna gari aina ya Vogue inakuja kwa speed ya ajabu.
Nae hakuwa na jinsi ni kuzidisha kasi ya pikipiki sema ilikuwa cha mtoto tu sema
Mwanaume akakaza
tu ilikuwa mkimbize mkimbize mpaka wanaingia pande za Kimara suka
“Yusra mpige kitu cha moto huyo kenge"
Yusra nae akachomoza kichwa kabla ajafyatua risasi
Hafidhi akakunja na kuingia kwenye mitaa fulani hivi akienda kijiweni
kwa speed ileile akaingia nayo
Ghafla Vivian akaizungusha gari ilikuwa bado kidogo tu agongane uso kwa uso na Buss ya Abood
Akafunga break, hakutaka kuzubaa akaingia kwenye ile barabara ya vumbi.
Watu wakabaki kushika vichwa tu maana dahaa ilikuwa ni bonge la dhoruba si kidogo
Hafidhi akaipaki pikipiki kwa madereva bodaboda
Kisha akanyuti pembeni
Kama kuzuga tu sekunde si nyingi kina
Vivian wakapita kwa kasi na kuacha vumbi,
“duhuu watakuwa majambazi nini? Mbona wako speed vile"..
Itakuwa maana mwendo waliotoka nao huko si mchezo mnaonaje tuwaungie tunaweza kupata chochote kitu"
“wee acha upimbi yani uwafatilie majambazi wanakuwasha shaba faster tu"
Walikuwa madereva bodaboda wakiongea kuhusu jambo hilo
mmoja akamuuliza Hafidhi
“oyaa wee jamaa ni member mpya nini hapa kijiweni kwetu ushapitia kwa msimamizi
Embu tuonyeshe risiti"....
Hafidhi akujibu kitu akapanda kwenye pikipiki yake na kuondoka eneo lile
Mpaka hapo kina Yusra washapotezwa maboya.
Hafidhi akiwa maeneo ya kimara baruti akaweza kupishana na gari za polisi kama sita hivi zikiwa mwendo kasi ving'ora vikilia gari zote zikapaki pembeni kupisha njia nae akapaki, pembeni.

Kwa upande mwingine tunamuona bwana J Ikram akiongea na simu,
“ndio Wilbert
niambie mmefikia wapi kijana?"
Akauliza hivyo
sauti ikasikika upande wa pili ikimjibu
“kusema kweli mkuu kazi inaenda vyema siku si nyingi tutaweza kumfikia mwanao
maana baada kufanya uchunguzi mara ya mwisho tuliambiwa alionekana maeneo
ya Mabibo hostel akifanya mauwaji"
(What)?"
Unataka kusema kauwa tena?"
“ndio mkuu ilikuwa ndani ya gym moja hivi kamuuwa mwalimu wa mazoezi sijui imekuwaje aisee"...
Hakika mzee J Ikram akakata simu huku akisikitika
Mlango ukagongwa kuashilia kuna mtu anabisha hodi.
“karibu pita tu mlango upo wazi"
Basi mgongaji akaingia hakuwa peke yake walikuwa vijana kama watatu na mtu mzima wa makamo kidogo.
“ahaa Dennis kijana wangu naona umekuja kalibu sana"
“asante sana mzee wangu tushakalibia, kwanza samahani sana kwa kutoweza kutimiza ahadi baada kuongea na simu siku ile.
Nilikwambia nitakuja kesho yake sema imepita wiki ndio nimekuja
Kwa kifupi nilikuwa nawasaka hawa vijana.
Sasa nimekuja na nguvu kamili"....
Dennis akaongea hivyo basi wageni wakapewa vinywaji
Na kuanza kunywa
“Dennis tambua kitu kimoja wewe ni kijana wangu kuhusu kuchelewa kwako usijali kabisa maana nilitambua unawasaka wababe wa Hafidhi kalibuni sana vijana"....
Dennis akacheka kidogo na kuanza utambulisho kwa kusema
“ha!ha!ha! Sasa mzee wangu huyu anaitwa Kessy
Ukipenda Scot, ni mmoja kati ya vijana wangu hatali sana kwenye mapigo ya taikondo short kani, alikuwa anampiga makonzi Hafidhi kwa kifupi
Hafidhi mbele ya huyu asimami dakika tano anaomba pohoo"...
“mmh!"
Mzee J Ikram akaghuna kwa sifa za yule kijana Kessy
“tukija kwa huyu
Anaitwa Muna mwenyewe anapenda kuitwa
Boyka, kwa upande wake kafunzu kila kitu kusema kweli
Hafidhi alikuwa anaogopa kufanya na sparring kwa kisingizio anapiga kweli, na
Huyo uliekaa nae hapo ndio mwisho wa matatizo
Yeye alikuwa msimamizi wa mazoezi vijana wote yeye ni fighting with machine muite
Taqawa au Takeda"

“vizuri sana Dennis binafsi nimefurahishwa na sifa za vijana wako
Naomba nikwambie kitu kimoja kuhusu
Hafidhi unaemfahamu wewe sio huyu wa sasa.
Kumbuka wakati namleta kwako alikuwa hajui kurusha hata ngumi moja tuseme ndipo alipoanzia kingine alikuwa mdogo sana.
Baada kufunzu kwako akaenda nchini Thailand akakaa huko miaka saba kwa kifupi kapitia mikononi mwa mamaster sita"..

“Duhuu kumbe alienda hadi nnje ya nchi kujiendeleza?"
“ndio maana yake ndio maana nataka kukwambia mapema vijana wako wawe makini Hafidhi sio yule"
Basi mikakati ikawekwa na kupewa ramani nzima ya jiji la Dar es salaam.
“ohoo shit! Kumbe huyu muuwaji anatisha hivi mbele yetu kamuuwa mkuu wetu wa kazi na kutoweka shenzi zake tutamnasa tu
Ilikuwa kauli ya bibiye
Mariam baada kutomuona muuwaji kule Kimara wakarudi zao makao makuu, hakika ulikuwa msiba mwingine mkubwa wa kushtusha hata yule mwanajeshi ajazikwa kauwawa mwingine.
Muheshimiwa Raisi akavimba kwa hasira na kuomba aitiwe mkuu wa majeshi bwana J Ikram, kitendo bila kuchelewa akapigiwa simu na kupewa maagizo ya kuitajika Ikulu haraka sana anaitajika. Akajibu yuko busy atakuja kesho kutwa,
Hafidhi baada kufanya mambo yake alikuwa anarudi kwake.
Kufika kichochoro kimoja hivi akakutana na
Mpendu Bwawa.
”shemu mambo vipi?"
Mpendu akaanza kujishauwa kwa kutoa salamu, basi akaitikiwa,
”powa tu niambie shemu wangu"..
“nina msemo basi nilikuwa nakupa hi tu unipe umatemate nikanywe hata bia moja nilainishe kohoo langu"

“usijali shemu wangu twende ukachukuwe ghetto"
Wakaongozana mpaka kwa Hafidhi akafungua mlango na kumkuta
Amina kalala chini ya sakafu huku kavaa lile bagi
Mwanaume akashtuka na kumwita
Mpendu si ndio Dada wa Amina
“Mpenduu!!!
“abee unasemaje shemu?
”embu njoo"....
Mpendu akaja mbio hakuweza kuamini kumkuta mdogo wake hajitambui kabisa akaita
“Aminaa!!! Amka tafadhali fanya hivyo
Mwanaume hakutaka kuzubaa akambeba na kutoka nae nnje wakakodi bajaji na kumuwahisha hospitali.
“kwani imekuwaje shemu mbona Amina yuko vile?"

“mimi hata sijui kabisa nilimuacha akiosha vyombo nikatoka zangu kuingia kwenye mishemishe na muda ule ndio narudi nakutana nawe kuingia chumbani ndio namkuta kalala chini
Sijui nini kimemkuta"
Ghafla sauti ya kilio ikasikika kutoka wodini
wote wakashtuka

Niachee nakufaa!!! Huyoo anakuja"....huyoo mshikeni nakufaa"....
Zote zilikuwa kelele za Amina yani alipiga kelele na kuitaji kukimbia. Ikabidi Madaktari wajitahidi kumshika kwa kumzuia asiweze kuondoka,
Sema ikashindikana hakika alikuwa na nguvu za ajabu,
Hafidhi akiwa na Mpendu wakaingia wodini humo na kupishana na Amina akitoka mbio
Mpendu akapigwa kipushi na kudondoka chini, ikabidi
Hafidhi amnyanyuwe na kuanza kumkimbilia Amina kelele za mshike mshike mkamate huyo ndizo zilizosikika nnje ya hospitali hiyo
Amina akizidi kukimbia na kuvuwa nguo moja baada ya nyingine.
Binafsi tayari amekuwa chizi sijui aligongwa na kitu gani.
Mwanaume ikabidi atumie akili na kuongeza kasi ya kumkimbiza.
Lakini kabla hajamfikia ghafla bin vuu Amina akagongwa na gari.
Dahaa ilikuwa ajali mbaya sana maana baada kupigwa mzinga akarushwa hewani huku kichwa kikipasuka, hakuwa tena Amina zaidi ya kuwa marehemu,
Mpendu akabaki kulia tu huku watu walioweza kushuhudia tukio lile wakibaki kujishika vichwa na kuacha vinywa wazi,
Hafidhi nae hakuweza kuamini aisee Dereva wa gari hakusimama akaondoka kwa speed ya ajabu.
Basi ilikuwa ni siku ya hudhuni kwa familia ya marehemu ndugu jamaa na marafiki walifika,
Ikiwa imepita kama wiki moja hivi tokea kifo cha
Amina kitokee siku hiyo
Hafidhi alikuwa yupo chumbani kwake akitafakali mustakabari mzima kuhusu kipenzi chake, kwanza alimkuta kalala sakafuni hajitambui kabisa, kingine kalivaa hili bag sasa nini kilitokea juu yake.
Akazidi kuumiza kichwa akashtuka baada kuhisi kuguswa begani na kitu kama cha moto hivi, kitendo cha kuangalia tu ndio akashtuka zaidi baada macho yake kugongana na sura ya kiumbe cha ajabu alikuwa ni kiumbe cha kutisha yani sura yake imebaki fuvu tu haina ngozi.
Hayo macho yake kama vile makaa ya moto yanawaka na kufuka moshi.
Hiyo pua yake kama vile shimo la choo
Mdomo wake una minjino miwili imechongoka na kuwa mikubwa
Ulimi kama mjusi kenge,
Hafidhi akarudi nyuma kwa uwoga kile kiumbe kikaanza kucheka kwa kusema
“hahahaha kijana hutakiwi kuogopa kabisa tambua kitu kimoja mimi ndio
Surtani wa makata niliyetumwa na
Baba yako kukulinda wewe.
Ndio ninaefanya kazi ya kuibadirisha sura yako watu wasikutambuwe.
Sasa basi yule binti amekufa kutokana na kuingiwa na tamaa tu"....
Hafidhi akabaki kimyaa kijasho kikimtoka na kupiga mahesabu ya kukimbia kwanza aliona kama ndoto tu anazootaga kila siku atakuja kushtuka muda si mrefu.
Kiumbe kikaendelea kusema
“usikimbie wala usiogope mimi ndio bodyguard wako mkuu"
Ghafla akatoweka ndipo Hafidhi akakurupuka na kukimbia.
Ndani ya mtaa wa tatu tunamuona bwana Dennis akiwa na vijana wake wapo katika mawindo ya kumsaka Hafidhi moja kwa moja wakafikia kwa Ankor wake"
“Kessy kijana wangu wewe itabidi uishi ndani ya nyumba hii ipo siku Hafidhi atakuja hapa"

“sawa mkuu usijari kabisa maadam nimepata chumba sio mbaya nitaishi hapa,

Basi taratibu zikafanyika Kessy akahamia hapo wakati Muna au Boyka akipata chumba maeneo ya mtaa wa kwanza,
“Boyka kuwa makini kama jina lako lilivyo tambua ya kwamba tumekuja kufanya kazi si kingine"
“sawa mkuu nimekuelewa kuhusu hilo swala nitalifanyia kazi vilivyo,
Basi bwana Dennis akaondoka na yule kijana mwingine mpaka maeneo ya
Mabibo hostel kijana yule anaekwenda kwa jina la Taqawa nae akapanda chumba kwenye nyumba ya kina Amina
maana baada
Amina kufariki chumba kilikuwa hakina mtu wa kukaa ikabidi wapangishe tu,
“hivi mama ni upuuzi wa kiasi gani mnaufanya huu"
“upuuzi gani tena?
“yani hata arobaini ya marehemu bado watu tukiwa na machungu ya kufiwa leo hii mnakipangisha chumba chake"...
Hafidhi akauliza hivyo.
“sasa wewe ulitakaje inamaana unauchungu sana kuliko mimi niliyembeba Amina tumboni miezi tisa nikaenda Reba
Wewe unaongea tu hujui jinsi moyo wangu unavyojisikia"....

“hata kama ulimbeba ulimtema kitendo cha kupangisha chumba chake sio kabisa
Sasa natoa amri huyu mpangaji
Mwambie atoke ndani ya chumba kile"

“sasa utoe amri hiyo wewe kama nani ndani ya nyumba hii ujachangia hata shilling kumi
Kingine sikutambui kama ni mkwe wangu"
Hafidhi baada kuambiwa vile akasema
“thamani ya Amina kwangu ilikuwa kubwa sana sasa basi
Kama hutaki kumtoa yule mpangaji ndani ya kile chumba subiri na uwone"
Hafidhi akaondoka zake akimuacha mama mkwe wake akiduwaa tu.
“Huyu kijana mwehu nini naona anataka kunipanda kichwani hanijui ehee haya tutaona".
Taqawa siku hiyo alikuwa anafua nguo zake watoto wa mama mwenye nyumba kina
Asha-Aisha- Mpendu washaanza shobo za kumshobokea kidume

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni