Notifications
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…

TANGA RAHA (12)

SEHEMU YA KUMI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Tukatuka na safari ikaanza ya kwenda sehemu ilipo nyukmba aliyo nitafutia sikujua ni maeneo gani ila nimaeneo ambayo wanaishi matajiri kwani majumba yaliyo jengwa katika eneo hili ni makubwa sana
SASA ENDELEA...
“Huku kunaitwaje?”
“Raskazoni”
“Ehhee huku ndio umenitafutia nyumba?”
“Ndio nimekutafutia sehemu yenye hadhi na wewe”
“Mmm shemeji kodi yake ni bei gani?”
“Kila mwezi kwa nyumba nzima ni laki mbili na nusu”
“Mmmm si nusu ya mshahara wangu”
“Haaa wewe usiwe na tabu kwani mama si yupo”
“Alafu kuna kitu nahitaji nikuulize baada ya kufika kwenye hiyo nyumba”
“Sawa”

Tukafika kwenye nyumba yenye geti kubwa Halda akapiga honi ya gari baada ya muda geti likafunguliwa na tukaingia ndani.

Tukamkuta mzee mmoja mwenye kitambi kikubwa kiasi na mweusi kiasi kwamba nikaanza kumuogopa akatukaribisha kwa furaha na kuanza kututembeza ndani ya nyumaba hiyo ambayo kusema ukweli ni nzuri kwani imepangiliwa vizuri katika kila sehemu ya vyumba vyake
“Eddy huyu ndio baba mwenye nyumba”
“Nashukuru kukufahamu mzee wangu”
“Mimi pia”

Akatukabhi mkataba na kuanza kuusoma taratibu,nikakubaliana na mashati yake kwani hayau-wa yananibana sana.

Tukapigiaa mahesabu ya kiasi tunacho takiwa kumlipa kwa miezi sita huku Halda akitoa pesa nyingine za miezi miwili kwani mfukoni mwangu nilikuwa ninamilioni mbili tu aliyo nipa Rahma jana usiku.Baba mwenye nyumba akaondoka sisi tukabaki nyumabni tukitembelea tembelea katika baadhi ya maeneo
“Halda ile pesa uliyo itoa umeipata wapi?”
“Alinitumia Rahma asubuhi”
“Sawa”
“Shemeji nimekubuka uliniambia unataka kuniuliza kitu?”
“Ehh nilitaka kukuuliza hivi Rahma anafanya kazi gani hadi awe na pesa kiasi hichi alafu yeye bado ni mwanafunzi?”
“Rahma ni mfanya baishara na wazazi wake walimfungulia miradi tangu akiwa mtoto mdogo na uzuri kwao wapo wawili na dada yake mmoja yupo Dubai”
“Alinigusia gusia juu ya dada yake”
“Ana dada yake ameeolewa na tajiri moja la kiarabu basi pesa kwao ni kama maji”
“Ahaaa mimi nilitaka kfahamu hilo kwani mtu unaweza ukatumia pesa za watu na mwisho wa siku ukajikuta unatakiwa kuzilipa”
“Ila shemeji Rahma ni mtu mmoja mwenye hasira sana na jana mulivyo gombana mimi ndio nilijitahidi kumtuliza hasira”
“Kwani alikasirika sana?”
“Weee muone vile vile alipandwa na hasira kiasi kwamba alikutumia watu waje kukuteka”
“Mmmm”
“Ndio ila baada ya kumbembeleza sana ndio akanielewa na akawazuia watu wake kufanya ma-tukio lolote juu yako”
“Mbona ni majanga nimepata mwanamke mbabe kiasi hichi?’
“Weee acha tuu Rahma ni bora umuibie pasa ila si mtu anaye mpenda”
“Shem unavyo zungumza hivyo jua na wewe pia ni muhusika katika wizi?”
“Kwa mimi nitajua jinsi ya kuepukana na hilo swala”
“Uta epukana nalo vipi?’
“Mimi Rahma ninamjua sana”
“Kumjua sana isiwe kigezo cha kumuibia furaha yake”
“Hapana tena shemeji nimekumbuka juu ya lile swala langu?”

Halda alizungumza huku akinisogelea taratibu na kunishika kiuno changu na kuanza kukiminya minya kiasi na kunifanya taratibu hisia zangu kuanza kupanda taratibu na kujikuta nikiaanza kusahau aliyo nieleza Halda muda mchache ulio pita.

Nikamuegemeza Halda ukutani na tukaanz akunyonyana denda huku taratibu ukiwa tunavuna nguo taratiu mapaka yukabaki kama tulivyo zali.Kabla hatujaanza mechi simu yangu ikaita na kukuta Rahma ndio anapiga nikaipokea taratibu huku kidole changu kimoja kikiwa mmdomoni nikimuashiria Halda asizungumze kitu chochote
“Mambo baby”
“Safi mke wangu umesha fika?”
“Ndio ila Eddy kwanini una nisaliti?”
Moyo ukanipasuka nikajikuta mwili mzima ukianza kunitetemeka na kuanza kujiuliza imekuwaje mpaka Rahma anajua ninamsaliti na kujikuta nikipata kigugumizi cha gafla

“Ninakusaliti…..vipi ba..bay?”
“Jana si nilikuambia kuwa ukipata nyumba unijulishe?”
Nikashusha pumzi huku taratibu sura yangu ikitwaliwa na tabasamu kwani swali alilo niuliza Rahma lipo tofauti sana na tukio lililopo mbele yangu
“Baby mbona jana hukuniambia?”
“Baby nilikuambia mbona au umesahau?”
“Mmmm labda nitakuwa nimesahau”
“Niambie”
“Safi tu mke wangu mumesha fika uwanja wa ndege?”
“Ndio tumefika tunasubiri kuondoka na ndege ya saa tisa alasiri.Hapa nilipo nipo chooni nime-wakimbia wazazi ili niaongee na wewe ila samahani mume wangu kwa kukukatia simu wakati ule ulipo kuwa unanipigia”
“Bila samahani mke wangu vipi utarudi lini?”
“Eddy najua utakasirika ila nakuomba unielewe mume wangu,Jana mama aliniomba niende naye Dubai kuna mizigo ninakwenda kuchukua kisha nitarudi ndani ya wiki moja”
“Mke wangu nimesha kuzoe sijui kama nitapata hata hamu ya kufundisha”
“Mume wangu usijali nitarudi nitakuletea zawadi nzuriii wewe mwenyewe utafurahi”
“Kweli mke wangu?”
“Ndio mume wangu”
“Ok safari njema”
“Mmmm baby naomba uniambiea maneno mazuri”
“NAKUPENDA MKE WANGU,WEWE NDIO USINGIZI WANGU, WEWE NDIO PUMZI YANGU ,WEWE NDIO MALAIKA WANGU NAKUPENDA SANA RAHMA WANGU”
“Hata mimi nakupenda EDDYwangu sina mwanaume mwengine zaidi yako wewe ndio umeya-shikilia maisha yangu nipo tayari kufaya chochote ili kukulinda na waizi wanao iba waume za watu”
“Waizi gani?”
‘Mmm mjini hapa kuna mashangingi kibao wanao tafuta vijana wenye mvuto kama wewe nita-watoa roho”
“Baby ikuulize kitu?”
“Niulize baba yangu”
“Hivi ikitokea kuna mtu anakuibia mali yako utampa azabu gani?”
“Eddy nisikufiche nipo hata radhi nimtumie watu wamnyonge na kumtosa baarini ila si kukupoteza wewe mume wangu”
Jibu la Rahma likanifanya nikaae kimya kwa sekunde kadhaa huku nikimtazama Halda machoni akionekana kuwa na hamu ya kujua ni kitu gani ninacho kizungumza kwenye simu
“Eddy mbona upo kimya gafla?”
“Hapana mke wangu.Nakupenda”
“Nakupenda pia mume wangu”

Nikakata simu kisha Halda akanipokonya simu na kuiweka pembeni kisha akaanza kunishika kwenye koki yangu taratibu huku akiichua chua hadi ikasimama kama mlingoti kisha taratibu akaidumbukiza mdomoni na kuanza kuinyonya taratibu,japo Halda anajitahidi kunipagawisha kwa kuinyonya koki yangu ila kichwani mwangu nina muwaza Rahma kwani nafsi yangu ilian-za kunisuta kwa kitu ninacho kifanya.

Halada akaniomba nilala chini sakuafuni kutokana hapakuwa na kitu hata kimoja,nikalala bila kuwa na hiana yoyote kisha Halda akaikalia koki yangu taratibu na kuaza kuikatikia kiasi kwamba mawazo ya kumfikiria Rahma yakaanza kutoweka kichwani mwangu.

Nikairudisha akili yangu kwenye mechi inayo endelea kati yangu na Halda kiasi kwamba Halda akazidi kutoa vilio na vicheko vya raha na kunifanya mimi niongeze kasi ya mashambulizi katika ikulu yake.

Tukaenda mizunguko miwili ya pambano kusema ukweli Halda ana utamu wa tofauti na Rahma ila sikutaka nimsifie kwani ingekuwa ni nafasi nyingine kwake kuniomba mechi kwa wakati mwengine.

Tukamaliza na kuingia bafuni na kuoga kwa pamoja kisha tukaanza kufanya utaratibu wa kutafuta gari litakalo kwenda kubeba vitu vyangu na kuvihamishia kwenye nyumba mpya niliyo panga
Tukapata gari aina ya Fuso na tukaanza kupakiza vitu kwenye gari hilo nikisaidiana na vijana wa kwenye gari hilo,nikiwa tunaendelea na kazi ya kuhamisha vitu bibi ninaye ishi jirani naye akaniita
“Naam bibi”
“Mjukuu wangu mbona unaondoka hata kuniaga?”
“Bibi kidogo akili yangu haipo sawa ila ningekuaga”
“Mmmm sio vizuri mjukuu wangu…mmm unahamia wapi?”
“Naamia maeneo ya Raskazoni kule kuna nyumba nimepangisha”
“Ahaa ngoja nikupe maji fulani hivi yatakusaidia ukifika kabla ya kulala unyunyize nje ya kona zote za nyumba yako huku ukiwa unaizunguka kwa mara saba bila kusimama na ufanye hayo yote usiku wa saa sita pale siku inapo gawanyika na hakikisha hakuoni mtu wa aina yoyote”
“Kwanini bibi?”
“Mwanangu hayo maji yanasaidia kufukuza pepo wachafu na vitu vyam ajabu ajabu”
Bibi akaingia ndani kisha akatoka na kichupa cha maji kisha akanikabidhi huku akinihusia ni-weze kufanya hivyo hata kabla sijalala
“Asante bibi yangu”
“Usiwe na shaka mwanangu basi uwe unakuja kututembelea tembelea”
“Sawa bibi yangu ila ninakuomba usimwambie mtu yoyote sehemu ninayo hamia”
“Sawa mjukuu wangu nakutakia maisha mema ila angalia usije ukawaruhusu wale wezako walio pigana jana usiku ulipo kuwa haupo ikawa ni tatizo katika maisha yako”
“Sawa bibi kwani jana walipigana nikiwa mimi sipo?”
“Ndio walizichapa humo ndani kwako mpaka ikanilazimu niwarushie kombora la usingizi ndio fujo zikaisha la sovyo wangekitia hatiani mjuku wangu….kimfano kama wangeuana humo ndani na wewe umewafungia unadhani ni nani angekuwa wa kwanza kukamatwa?”
“Mmmm kweli bibi ningeanzwa mimi”
“Ndio maana nikaona nikunusuru mjukuu wangu”
“Bibi uliwarushia kombora gani hadi wakalala?”Niliuliza huku nikicheka kwani kwa jinsi bibi anavyo zungumza ni vituko tu
“Ohoo kuna makombora yangu ninawafanyia wote walikaa kimya baada ya kuwatandika kom-bora moja takatifu ila ulipo rudi wewe nikasikia tena fojofujo sijui na wewe uliwafanyaje?”
“Bibi wale wazembe ila nilimalizana nao”
“Ahhaa sasa mbona jana hukuniambia ilikuwaje kwa yule binti?”
“Nilimkuta amesha amka akanirudisha hadi hapa kisha yeye akaenda kwake”
“Ahaaa basi kama ni hivyo mshukuru Mungu kwa maana mjukuu wangu na wewe una majanga kama nini”
“Bibi wee acha tuu natamani hata nihame huu mkoa”
“Mjukuu wangu Tanga huku rahaa huko kwengine huto pata bahati kama hizi”
“Eti eheee”
“Ehhhe kwengine huko ni fujo fujo tuu zimejaa”
“Sawa bibi yangu ngoja mimi nikamalizie kupakiza vitu kwa maana bibi yangu wewe ukianza kupiga story hapa haziishi”
“Kweli mjukuu wangu wewe ndenda ukashughulike kwa maana muda umeshaa enda na giza ndio hilo linatanda”

Nikaachana na bibi na kwenda kumalizia kukusanya vitu vyangu na safari ya kwenda kwenye makazi yangu mapya ikaanza huku nikiwa nimeongozana na Hilda.Tukafika katika nyumba ni-liyo pangisha na kuanza kuvishusha vitu kwenye gari.Nikawalipa wenye gari lao na wakaondoka na wakatuacha mimi na Hilda tukianza kupanga vitu kimoja baada ya kingine.Hadi tunamaliza kupanga vitu ikawa imesha timu saa nne usiku
“Eddy leo nalala hapa hapa”
“Halda nakuomba uende kwako kwani Rahma anaweza akaweka watu wakawa wanatufwatilia”
“Hawezi na Rahma ananiamini kupita maelezo nakuomba kwa usiku tu wa leo nilale hapa kwa-ko”
“Na hilo gari?”
“Halina tatizo si lipo ndani hakuna mtu atakaye weza kuliiba”
“Maana yangu sio hiyo namaanisha kama kuna sehemu unaweza kwenda kuliweka ili uje kwa miguu huku kwangu isionekane umelala kwangu hata kama Rahma ameweka wapelelezi”
“Acha uoga hilo swala niachie mimi kama Rahma akileta shida mimi ndio nitajibu kila kitu”
“Mmmm sawa vipi swala la msosi?”
“Chakula labda twende tukale town kisha turudi”
“Powa ngoja nibadilishe nguo kwani hizi nilizo zivaa zina nuka jasho kama nini”
“Powa”

Nikabadilisha nguo na kuvaa nyigine kisha safari ikaanza,tukafika kwenye moja ya vibanda vya kuuza chipsi vilivyopo maeneo ya uwanja wa mpira wa Mkwakwani tukaagiza chakula na wakatufungia kwenye mifuko kisha Halda akanipeleka kwenye baa moja iliyopo maeneo ya ka-ribu na sehemu tulipo chukulia chipsi na tukanunua bia za kopo za kutosha na kurudi nyumbani kwangu.Tukaaanza kula taratibu huku mara kwa mara 

Hilda akinilisha chakula.Kutokana kesho sikuwa na sehemu ya kwenda nikafakamia pombe nyingi kuondoa mawazo.

Tukajikuta mimi na Halda tukiingia kwenye dimbwi kubwa la kuepena raha huku kila mmoja akijitahidi kumburudisha mwenzaka kwa mitindo anayo ijua yeye mwenyewe hadi ikafika hatua sote tukawa tumechoka kiasi kwamba hakuna aliye kuwa na hamu na mwenzake na sote tukajilaza na usingizi mzito ukanipitia

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

17 Simulizi Tanga Raha
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni