Notifications
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…

TANGA RAHA (19)

SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
Matatu huku jicho moja likiwa kubwa katikati ya uso wake huku mengine madogo mawili yakiwa pembeni kwenye usawa wa mashavu yake.Kichwa chake kina mapembe marefu pamoja na ulimi mrefu na ndevu nyingi huku mwili wake ukiwa na umbo la Rahma
SASA ENDELEA...
Nikachomoka kwa kasi ya ajabu hadi getini na kukuta limefungwa na funguo ambayo sikujua ni wapi Hilda ameiweka cha kushangaza mtu huyo ambaye kwa haraka haraka nikajua atakuwa ni jini akapiga hatua za taratibu huku akicheka na kupiga 

Makofi huku ulimi wake amabao ni mrefu kama ulimi wa kinyonga akiutoa nje na kuuingiza ndani huku vidole vyake virefu vikiwa na kicha ndefu kiasi kwamba nikazidi kuchanganyikiwa
“KWA JINA LA YESU PEPO MCHAFU TOKAA MBELE YANGU”

Nilizungumza huku nikiwa nimeunyoosha mkono wangu wa kulia kama wanavyofanya wachungaji wangi wanao ombea watu katika huduma zao mbali mbali za kidini na wala sikujua ni wapi maneno haya yalipo tokea.Mtu huyo akazidi kupiga hatua za taratibu huku akiendelea kucheka kwa kicheko cha kejeli
“Eddy wewe una dhambi kama sisi Halllllooooooo…kwahiyo huwezi kunidhuru kwa lolote”

Alizungumza huku ulimi wake akiutoa na kunilamba lamba nao kwenye mashavu yangu huku taratibu kucha zake akizipitisha kwenye kifua changu kusababisha shati nililo livaa kuchanika na kujikuta nikizidi kutetemeka na kuchanganyikiwa
“Kuomba kwenyewe huwezi sembuse leo uje kunikemea……UMESHINDWA BWANA MDOGO”

Nikaanza kusali kimoyo moyo huku nikizidi kuongeza juhudi za kuliita jina la Mungu wangu amweze kuniokoa.Jamaa akaninusa nusa kisha akapiga hatua mbili nyuma
“UNA BAHATI LEO DAMU YAKO NA NYAMA YAKO HAIJAIVA IKIIVA JIANDAE KUWA CHAKULA CHANGU KAMA ULICHOKILA MEZANI LEO”

Jamaa alizungumza huku akipiga hatua za kurudi nyuma na kuufanya mwili wangu uzudi kutetemeka hapo ndipo nikamuona Hilda akiwa ameegemea kwenye mlango wa kuingilia ndani huku akiwa analia,Jamaa akamsogela 

Hilda na kumsika kichwani na kumuachia kisha akapotea na kujikuta nikiburuzika taratibu kwenda chini huku mgongo wangu ukiwa unaburuzika kwenye geti nililo liegemea na kunifanya nizidi kuchoka kwani kwa siku mbili nilizo hamia kwenye hii nyumba zimekuwa ni sawa na miaka 200 ya mateso na shinda nynigi

Nikazidki kuchanganyikiwa baada ya kumuona Halda akinifwata getini kwa haraka nikanyanyuka na kuanza kujaribu kulifungua geti
“Eddy usinikimbie mimi sio jini”

Halda alazungumza huku akiongeza kupiga hatua za kunifwata getini na nikajikuta nikisitisha zoezi la kwenda nje na kumtazama kwa umakini
“Edy nakuomba unielewe mimi sio jini kama unavyo fikiria wewe.Kuna kitu ambacho sikuhitaji nikuambie mapema ila nitalazimika kufanya hivyo”
“Hilda sikiliza kama ulinileta kunipangisha kwenye hii nyumba ili muje kunila nyama mume-shindindwa nipo tayari nipoteze pesa nilizo lipa kodi niondoke zangu kwenye hii nyumba”
“Eddy kukimbia nyumba sio suluhisho lamatatizo”
“Ila”
“Kuwa na mimi ili haya matatizo yaishe”
“Wee wee weee usinichanganye kabisa kwanza sijui yule aliyekuja kunilamba lamba sijui ni mumeo alafu bado unaniambia mimi nibaki na wewe.Ndio maana tangu jana nilikuwa niki-kuambia uondoke ila hukutaka kunisikia”
“Eddy hembu tulia nikusimulie ninacho hitaji kukuambia ukweli kuhusu mimi”
“Hiyo ndio gia yako ya kunitongozea mimi si ndio?”
“Hapana Eddy tulia basi nikuambie kitu…….nakuomba twende ndani tukazungumze hilo swala”
“Wewe na giza lote humo ndani unataka mimi niingie”
“Wewe twende”

Hilda akanishika mkono na kuanza kunikokota japo nafsi yangu inasita ila sikuwa na ujanja zaidi ya kumfwata Hilda anapo elekea.Kitendo cha kufungua mlango taa za nyumba nzima zikawaka pasipo kuwashwa na sisi,Michirizi ya damu yote nikakuta haipo kwenye sakafu na nikabaki nimeduwaa hadi Hilda ananikalisha kwenye Sofa ndio nina stuka
“Eddy”
“Naam”
“Upo tayari kusikliza nitakacho kuambia?”
“Nipo tayari endapo na wewe utakuwa tayari kuondoka ndani ya nyumba yangu”
“Sawa nitafanya hivyo…….Eddy ninakuomba unisamehe kwa kukuficha ukweli wa maisha yan-gu,Mimi nimezaliwa katika mchananyiko wa binadamu na Jini”
“TOBAAAAA….KWA HIYO WEWE NI JINI?”
“Usiwe na papara…….Siwezi kusema moja kwa moja kuwa mimi ni jini japo ninazitambua sheria na misingi yao…..Baba yanguni ni jini ila mama yangu ambaye sasa ni marehemu yeye alikuwa ni binadamu wa kawaida….Wtu wengi husema watoto wa aina hii wengi wao hawaonekani ila si kweli kuna mambo ukiyafanya kipindi mtoto wa aina hii akiwa mdogo basi maisha yake ataishi kama bidanamu wengine…..Mimi nimeolewa na jini na yule aliye kuja pale ni mdogo wa mume wangu aliyopo gerezani”
“Haaa shemeji gani ana sura mbaya kiasi kile?”
“Hahaaaa pale alijaribu kukutisha ila kama mwanzoni ulimuona alivyo kuja katika muonekano kama Rahma”
“Sasa kwanini siku zote hukuniambia hili swala?”
“Usinge weza kustahimili na ungepata wasi wasi ambao ungeyagharimu maisha yako”
“Kivipi?”
“Ungeweza kuwa hata kichaa au ungekufa kabisa”
“Mmmmmmm…….”
“Usigune kila ninacho kuambia kipo kwenye ukweli wa maisha yako na kinacho kutokea si ndo-to japo kwa wakati huu mimi sina nguvu za kijini na nibinadamu kama ilivyo wewe”
“Acha zako wewe haupo sawa na mimi…..Sasa lipo wapi jeraha la kichwani mwako mbona silio-ni?”
“Niliponywa na shemeji yangu”
“Sasa ilikuwaje nilisikia unazungumza naye chumbani na huku yeye akiwepo hapa sebleni”
“EADDY SIKU ZOTE MAJINNI YANAWEZA KUJIGAWA KATIKA MAUOMBO TOFAUTI TOFAUTI KWA WAKATI MMOJA”
“Basi ninakuomba mimi leo nisilale hapa”
“Unataka kwenda wapi?”
“Popote bora iwe nje ya hapa”
“Sawa nenda kajiandae”
“Wewe huondoki?”
“Wewe nenda kajindae”

Nikanyanyuka na kuingia ndani kwagu nikafungua droo na kutoa nguo nyingine safi na kuzivaa nikachukua kiasi chote cha pesa kilichopo kwenye kabati langu na kurudi sebleni na kumkuta Hilda akiwa amesimama akinisubiri huku akiwa amevali kanga moja
“Unakwenda hivyo na kanga?”
“Ndio”
“Kwa nini sasa?”
“Nimeamua”

Sikutaka kubishana naye zaidi ya kutoka nje na sote tukaingia ndani ya gari na tukafika kwenye hotelo moja iitwayo NAIVERA nikaingia ndani na kumuacha Hilda kwenye gari.

Nikalipia chumba na kutoka nje kuzungumza na Hilda ila sikumkuta yeye wala gari lake,nikaingia kwenye chumba nilicho kodi kwa siku tatu ili niipumzishe akili yangu kwa majanga yaliyo nikuta kidogo nikapata usingizi ambao sikuota kitu ca aina yoyote.Nikaja kustuka baada ya simu ya mezani kuita.Nikaitazama kwa muda kisha nikaipokea na kusikia sauti nzuri ya kike
“Za asubuhi ndugu mteja”
“SALAMA”
“Unakaribishwa katia kupata kifungua kinywa je uletewe chumbani kwako au utakuja kunywa katika kumbi zetu”
“Nileteeni huu huku”
“Asante na asubuhi njema”

Simu ikakatwa na nikajirudisha kitandani na kuanza kufikiria hii hatua ngumu ninayo ipitia kwenye maisha ya ngu,Mlango ukagongwa na nikaufungua akaingia msichana mwenye uzuri wa pekee huku akiwa ameshika sinia lenye vikombe vya chai na sahani iliyo funikwa.

Kiuno chake chembaba kimebeba mzigo wa makalio makubwa kiasi yaliyo jifichwa kwenye kijisketi cheusi kifupi kinacho yaacha mapaja yake wazi kwa sehemu kubwa na nikajikuta mwili wangu ukianza kusisimka.Kifua chake kikabeba chuchu kubwa kiasi na kunifanya nibaki ninameza mate ya uchu huku koki yangu ikisimama taratibu.

Kwenye sura ndio amenimaliza kabisaa kwa jinsi alivyo jipara huku nywele zake akiwa ameziweka kama Rihana nikabaki nimeduwaa huku nikikiangalia kidoti chake cheusi kilichopo karibu na pua yake
“Karibu kifungua kinywaa”

Nikaendelea kumtazama kwa mshangao na wala sikuweza kusikia anacho niambia ni nini
“Kaka karibu chai”
“UMEOLEWA”
“Ndio na nini mtoto mmoja”
“Ni muda gani unaweza ukapata muda tukazungumza?”
“Sasa hivi tunaweza tukazungumza tuu kwani ndio muda wa mimi kutoka kazini”
“Una itwa nani?”
“Habiba”
“Ohoo unajina zuri kama wewe mwenyewe”
“Asante zungumza haraka haraka kwa maana ninahitaji nika singout niende nyumbani”
“Ok unakalia wapi?”
“Karibu na Makorora Hospitali”

Nikajikuta hata ninacho hitaji kumuambia kikiyayuka akilini mwangu kama barafu ukiliweka juani na kubaki nikimtazama kama ninajiandaa kupiga picha ya mnato
“Halooo kaka”
“Eheeee”
“Mbona kimya?”
“Mmmm haya mwaya shemeji ana faidi”
“Asante wangu basi ninaomba niende”
“Haya mwaya ila jioni si utakuja?”
“Wapi?”
“Kazini”
“Ndio ninaingia saa nne usiku”
“Haya mwaya”

Habiba akafungua mlango na kutoka nikabaki nikijirusha kitandani na kuurudia tena usingizi na wala sikuwa na wazo la kwenda shule kufundisha.

Nikastuka mida ya saa saba mchana nikaingia bafuni nikaoga na kunywa chai kisha nikawasha tv na kuanza kutafuta kipindi kizuri kitakacho ifurahisha nafsi yangu.Nikapata kipindi kizuri na kuanza kufwatilia kwa umakini mchezo wa mereka hadi inatimu saa tisa na nusu nikatoka nje ya hoteli nikapata chakula cha mchana na kurudi chumbani kwangu na kujitupa kitandani na kuanza kuutafuta usingizi ambao haukuja kabisa.Mida ya usiku nikatoka na kwenda kula chakula cha usiku.

Nikiwa ninarudi chumbani kwangu nikamuona Habiba akiwa anaingia Hotelini akiwa amevalia nguo za kawaida kiasi kwamba uzuri wake umezidi kuongezeka.

Akanipungia mkono kwa ishara ya kunisalimia na mimi nikamjibu kwa kumpungia mkono kisha nikapiga hatua za kumfwata ila akanikonyeza na kunionyesha mzee wa pembeni aliye kaa kwenye kiti na nikajikuta nimesimama huku nikizuga kwa kuitoa simu yangu mfukononi na kuanza kuiminya minya.

Kwa ishara akanimbia aliye kaa kwenye kiti ni bosi wake sikuwa na jinsi zaidi ya kuelekea chumbani kwangu,Hazikupita dakika nyingi mlango ukagongwa na nikaufungua mlango na kumkuta Habiba akiwa amevalia nguo zake nilizo muona nazo,nikamkaribisha ndani na moja kwa moja akakaa kitandani
“Za muda Habiba?”
“Sio salama”
“Kwa nini?”
“Ninamatatizo makubwa kaka yangu wee acha tuu”
“Matatizo gani hayo ndugu”
“Ni historia ndefu kidogo ila ngoja tu nikuambie”
“Ehee”
“Nilikuabia nina mume na mtoto mmoja?”
“Ndio”
“Basi mume wangu mimi anafanya kazi Saruji…..na siku zote huwa nilikuwa ninasikia kuwa anamwanamke wa nje tofauti na mimi”
“Ehee”
“Watu ambao walikuwa wananimbia siku zote nikawa ninawabishia nikijua ni wafitinishaji wa ndoa yangu…..Sasa leo mchana muwe wangu amefumaniwa na mke wa mtu,amepigwa kiasi kwamba amelazwa hapo Bombo hospital”
“Duuu pole sana”
“Weee acha tu kaka ninaumia sana mwanaume ninaye mpenda na kumuamini kunifanyia kitu kama hiki sijui ni nini alikosa kwangu”

Habiba alizunumza huku machozi yakianza kumwagika na taratibu akaanza kujifuta kwa kutu-mia kitambaa alicho kishika
“Sasa hali yake inaendeleaje?”
“Hali yake sio nzuri…..na mbaya zaidi huyo mwanamke aliyekuwa akimchukua mumewe ni bondia maarufu hapa mjini”
“Duuu pole sana kwa hilo sasa itakuwaje?”
“Yaani hapa nilipo sielewi…..kurudi kwangu ni aibu watu wananicheka mimi?”
“Mtoto wako yuko wapi?’
“Yupo Kange kwa bibi yake mzaa baba”
“Mmmm pole sana”
“Yaani kaka yangu hapa sijui nifanyaje nimeomba ruhusa ya kumuuguza mume wangu ila hata hamu ya kwenda huko hospitalini sina”

Habibi alizungumza huku taratibu akijisogeza nilipo huku akiendelea kulia na taratibu kichwa-chake akakilaza kwenye mapaja yangu na mkono wangu mmoja nikauweka kwenye ziwa lake na kuliminya kumfanya astuke na kunitazama kwa jicho kali la hasira

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

17 Simulizi Tanga Raha
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni