TANGA RAHA (23)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
ILIPOISHIA...
“Amini Mungu yupo na shetani huwa hana nafasi katikati ya watu wa Mungu,Pale mwanzoni Shetani aliweza kuyateka maisha yako na kuyachukua na kuyafanya ni maisha ya ajabu....Ila kwa sasa ninakuomba umpokee Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako”SASA ENDELEA...
“Mchungaji mimi nipo tayari yaani nimechoka na haya matatizo humu ndani?”
“Hii nyumba niya kwako?”
“Hapna nimepanga tuu”
“Ahaa inabidi sisi tuondoke na kesho nitakuja na wana maombi kuifanyia maombi na kuvunja ngome ya shetani iliyokuwa imejegwa humu ndani kwako”
“Ngoja kwanza mchungaji ina maada bado haya madudu yamo humu ndani?”
“Hapna ila kuna utawala wa Malaika wa bwana ila kunahitajika maombi ya nguvu kiasi kwamba tuweze kuteketeza kila lililo zao la shetani humu ndani”
“Mmmmm.....”
“Mbona unawasi wasi sana?”
“Yaani leo siwezi kulala humu ndani naogopa sana mchungaji”
“Ndugu ninakuomba ulale ndani ya nyumba yako na hakuna chochote kibaya kitakacho tokea na roho wa bwana atakufunika”
“Mchungaji ninahisi unipendi mimi ninaona twende nikalele kwako hadi kesho tutakapo rudi na hao wana maombi wako ndio na mimi nirudi humu nani”
“Basi kwa hilo hakuna shida”
Nikaingia ndani kwangu na kuanza kuvua nguo na nikabaki kama nilivyo zaliwa na kuanzakutafuta nguo ya kuvaa kabatini na gafla nikastukia mlango ukifunguliwa na Mwajuma akaingia hukua akiwa amejifunga taulo kifuni na baada ya kuniona tukabaki tukiwa tumetazamana na nikalishuhudia taulo alilo jifunga Mwajuma lilianguka chini na akabaki kama alivyo zaliwa na kuanza kupiga hatua za kunifwata sehemu niliyo simama.
“Mwajuma nini unafanya?”
“Unajua ni nini nataka”
“Ila mwajuma hao watumishi wa Mungu wapo hapo sebleni huoni kama watastukia”
“Ila wao pia si wana wake zao na mimi nataka kuwa mke wako”
“Mwajuma sio kirahisi kama unavyo dhania”
Mwajuma akanishika kiuno na kunivutia kwake kisha akaupeleka mkono mmoja kwenye kiko yangu na kuanza kuichezea chezea kiasi kwamba nikajikuta nikianza kulainika na kujikuta na kianza kumshika makalio yake makubwa na kuanza kuyatomasa kwa vidole vyangu vilaini kiasi kwamba Mwajuma akazidisha kasi ya kuichua koki yangu.
Mwajuma akanigandamiza kwenye kabati nakuendelea kufanya anacho kufanya kisha akaanza kushuka taratibu na kuanza kuinyonya kiko yangu huku mikono yangu ikiwa imemshika nywele zake ndefu kiasi
“Eeeh mola wee sijui ni lini nitaacha hii dhambi”
Nilijisemea kimoyo moyo na kumnyanyua Mwajuma na kumuweka kitandani na kuanza kuichezea ikulu yake kwa muda kisha nikakumbuka malango sijaufunga na funguo umerudishiwa tu.
Nikataka kunyanyuka ila Mwajuma akanizuia na nikajikuta nikirudi kitandani na kuendelea na shuhuli ya kupeana mambo huku mikono yangu nikimziba mdomo Mwajuma asipige kelele hadi mchungaji na Joseph wasisikie.
Kusema ukweli Mwajuma anajua kukitawala kitanda kwani kila aina ya mikao aliweza kuniwekea na kujikuta nikimaliza mechi haraka
“Eddy tuendelee”
“Mmmmm tufanye siku nyingine”
“Kwa nini wakati leo upo kwako?”
“Wewe elewa ilo sawa”
“Sawa ila bado ninahamu na wewe”
“Mmmm wewe vaa nguo zako uende sebleni ukanisubirie”
“Basi ngoja nikaoge tena”
“Ahaaa wewe vaa utakwenda kuoga kwenu”
Tulizungumza kwa sauti ya chini ambayo si rahisi kwa mtu wanje kuweza kusikia,Mwajuma akavaa nguo zake na kujipara vizuri na kutoka ndani ya chumba changu,
Nikajifunga taulo na kuingia bafuni nikaoga haraka na kurudi chumbani kwangu nakuvaa nguo zangu na kurudi sebleni na kumkuta mchungaji akimuhoji hoji maswali Mwajuma
“Mchungaji nipo tayari sasa”
“Sawa tuondokeni”
Tukatoka nje ya nyumba na nikaifunga nyumba yangu na sote tukaingia kwenye gari na safari hii Joseph akawa ndio dereva na tukaelekea hadi nyumbani kwa kina Mwajuma na kuwakuta wazazi wake na kama alivyo nieleza mwazoni kwamba wazazi wake ni wazee sana ndivyo kweli tulivyo wakuta.
Nikatoa pesa kiasi na kumkabidhi na tukaahidi kurudi siku inayofwata.Tukafika kweye jumba la mchungaji lililopo maeneo ya Sahare na nikakuta baadhi ya watu ambao nahisi ni waumini wa kanisa la mchungaji huyo ambaye hadi sasa hivi sijajua anasalisha kanisa gani
Watumishi wake tulio wakuta wakaanza kumsalimia huku wakipeana mikono kisha mimi na Joseph tukaingia ndani na kumkuta dada wa makamo na kwaharaka haraka miaka yake inaweza kuwa 31-35 akiwa amealia vitenge vya gharama na cheni za dhahabu huku mkononi mwake akiwa ameshika biblia
“Mama mchungaji bwana Yesu asifiwe?”
“Amein za huko mulipo toka”
“Ni kwema ila sio sana”
“Kaka bwana Yesu asifiwe”
Mama mchungaji alizungumza huku akinishika mkono na mimi nikaitikia kama yeye alivyo muitikia Joseph kisha tukakaa kweye sofa za dhamani sana na ukubwa wa jumba hili ninaufananisha na majumba ya matajiri wa Nigeria
“Haya Jose kuna yapi yaliyo wakuta huko”
“Mama mchungaji ya huko ni makubwa kwa maana tumetoka kuvunja ngome ya shetani yaani mtu unaweza ukasema ni filamu ya kuigiza ila leo ndio nimezidi kuamini kama shetani yupo duniani na anafanya kazi”
“Ohhh kila siku huwa vita yetu sisi si ya wili wa damu na nyama ila vita vyetu ni vya roho na shetani siku zote huwa anazunguka zunguka ili atafute mtu ammeze”
“Kweli mama mchungaji ndugu yetu Eddy hapa tulikutana naye maeneo ya bichi kule Raskazoni basi akatuomba twende naye kwake na kufika kulikuwa na nguvu fulani ya shetani ambayo tulianza kusali na baba mchungaji ila mimi nilijistukia nikirushwa na kutupwa chini na sikujua kilicho endelea ila nimekuja kuzinduka nikajikuta sehemu nzima imechanguka changuka”
“Ohhh poleni sana ila Jose siku zote huwa ninakuambia uwe unasali hadi mwisho wa ibada ila wewe kabla hatujamaliza muda wa kusali unachomoka na kwenda kulala leo naona umepata changamoto”
“Kweli ni changamoto....Ndugu yangu Eddy huyu ndio mke wa mchungaji anaitwa mama Yudia”
“Nashukuru kukufahamu mama mchungaji”
“Hata mimi nashukuru kukufahamu karibu,Jisikie upo nyumbani na sehemu takatifu yenye ulinzi wa bwana”
“Nashukuru”
“Mama mama....Mbona mwalimu mwenyewe haji?”
Tulisikia sauti ya msichana ikitokea gorofani na sote tukajikuta tukitazama juu na nikamuona binti mmoja mrefu na mwenye umbo la kujazia kiasi kwamba anasifa na vigezo vyote vya kuitwa msichana mrembo akishuka kwenye ngazi huku akiwa amevalia bukta fupi na tisheti kuwa
“Nimepigia simu yake amesema atakuja”
“Saa ngapi mama wakati hadi sasa hivi inaenda saa moja hii hajafika kama hataki na yeye aseme”
Nikahisi msichana huyu ndio atakuwa ni Yudia kwani anafanana sana na mama yake,Akakaa kwenye kochi alilo kaa mama yeka huku akizichomeka earphone zake masikioni akisikiliza mziki kupitia simu yake kubwa screen touch
“Hembu usinilalie hapa nilipo nimechoka kama nini?”
“Jamani mama nakulalia kidogo hembu weka paja vizuri”
“Yudia nitakuchapa hembu niondolee uvivu wako hapa”
“Mama akikulalia Junio wala haumchapi ila nikikulalia mimi unaongea”
“Sasa wewe uanjifananisha na Junio mwenzako yeye ni dogo wewe jidada lizima la form four unanilalia lalia”
Yudia akanyanuyka na kukaa kwenye kochi hukua akiendelea kuminya minya simu yake
“Yudia mbona hujawasalimia kaka zako”
“Shikamoo kaka Jose huyo mwengine mimi wala simjui”
“Kisa humjui ndio humsalimii?”
“Sasa mama nitamsalimiaje mtu ambeye mimi simjui”
Yudia alizungumza huku akinitazama kwa macho ya dharau ikanibidi nikae kimya kwa maana watoto wengi wanaoishi kwenye mazingira mazuri kama haya ya mchungaji huwa mara nyingi hudekezwa na wazazi wao kwa madai wanaishi maisha ya kizungu
“Junio mwenzako yupo wapi?”
“Amelala ndani kwake?”
“Anaumwa?”
“Wewe si unakijua toto lako la mwisho kila likitoka shule inakwenda kulala”
“Samahani jamani kwa kuyakatisha mazungumzo yetu”
‘Hakuna shida mama mchungaji”
“Eheee kaka Eddy ilikuwaje?”
Nikajikoholesha kidogo na kuanza kuzungumza kwa sauti ya upole
“Kunanavitu vilikuwa vina nisumbua nyumbani kwangu basi leo mchungaji alipo viombea nahisi vitakuwa vimekwisha”
“Mama mama”
“Nini wewe?”
“Kuna watu wanapenda sana kuiga majina ya watu?”
“Hembu niachie upuuzi wako?”
“Kweli mama kuna watu wanapenda sana kuchukua chukua majina ya watu”
“Nani aliye chukua majina ya watu?”
“Si huyo kaka hapo eti na yeye anajiita EDDY”
“Kwani mtu akiitwa Eddy kuna dhambi?”
“Sio dhambi ila ameliiga jina la kaka mmoja hivi Facebook anaandika story naye anaitwa Ed-dy....Yaani nikoboko”
“Hembu nitolee upuuzi wako na hayo mafacebook yako ndio maana unafeli darasani”
“Sasa mama kufeli darasani ndio kumechangiwa na facebook?”
“Ndio kila saa ni simu na wewe sijui ni muda gani utapata muda wa kushika daftari na kusoma”
“Nitasoma”
“Samahani mdogo wangu Yudia kwani ni masomo gani yanakusumbua darasani?”
“Biology,Math na Physics”
“Ugumu wa hayo masomo upo wapi?”
“Mmmm waalimu wetu wakifundisha wala siwaelewi wanakazi ya kutufokea fokea na kusema tutafeli”
“Basi kama huto jali nitakufundisha”
“Mmmm mtu mwenyewe mbona unaonekana hujui chochote sijui haka kama umefika form four”
“Wewe Yudia acha dharau.....Kwanza nyanyuka uende chumbani kwako sitaki fujo au umfwate huyo baba yako huko nje”
“Sawa najua mama siku hizi hunipendi”
Yudia akasimama kwa hasira na kuondoka na kupandisha nagazi za kuelekea gorofani huku akizungumza maneno ya chini chini
Tukaendelea na mazungumzo huku na nikaanza kumuadisia Mama mchungaji kila kitu kilicho tokea na akabaki akinipa pole kwa yale yaliyonikuta.
Mchungajia ajaingia huku akionekana ku-choka na moja kwa moja akaanza kupandisha ngazi na mke wake akawa anamfwata kwa nyuma nikabaki na Joseph
“Hivi mchungaji ana watoto wangapi?”
“Wawili,wa kwanza ni huyu wa kike na wapili ndio huyo mdogo wa kiume amelala”
“Ahaa anafamilia ndogo na nzuri?”
“Ndio hawa ndio watu wanaojua kupanga maisha...Sema maisha yake mengi mchungaji ameishi Marekani”
Tukaendelea kuzungumza zungumza na Joseph hadi muda wa chakula ukawadia na tukaalikwa kwenye meza ya chakula na tukajumuika na familia nzima ya mchungaji pamoja na wafanyakazi wake wa ndani wapatao wanne
“Jamani huyu ni kaka yenu anaitwa Eddy na atakuwa nasi leo hadi kesho kwahiyo ninaomba mumuheshimu kama munavyo niheshimu mimi.Haswa wewe Yudia nimepata malalamiko yako kutoka kwa mama yako kuwa umeonyesha tabia chafu mbele ya Eddy sasa sitaki hilo swala ljirudie tena”
“Lakini baba mimi mtu simjui ila mama ananilazimisha niweze kumsalimia”
“Sawa ila sitaki hiyo tabia mbaya ijitokeze tena la sivyo nitakurudisha shule za bodi au nikupe-leke kijijini kwa bibi yako ukaishi huku”
Yudia akakaa kimya na kunitazama kwa jicho kali la hasira kisha akaendelea kula huku sura yake akiwa ametazama chini
“Kaka Eddy unafanya kazi gani?”
Junio aliniuliza swali na kunifanya nitabasamu kisha nikamjibu kwa sauti ya upole
“Mimi ni mwalimu wa sekondari”
“Waoo unafundisha masomo gani?”
“Physics.Mathe,Biology na Chemestry”
“Alafu leo nimepewa homework ya Mathematics alafu sijaifanya hadi sasa hivi sielewi elewi na kesho madaftari yanahitajika”
“Upo kidato cha ngapi?’
“Form one”
“Usijali nitakuelekeza”
Tukaendelea kula na baada ya kumaliza watu waote tukakusanyika sebelini na mama mchungaji akasoma neno kutoka kwenye biblia na kuanza kututufundisha kama anahubiri kanisani kisha baaya ya kumaliza tukaimba nyimbo kadhaa na mchungaji akaongoza sala ya kulalia na baada ya kumaliza akatuaga na kwenda chumbani kwake kulala.Junio akaniomba nimsubiri aniletee vitabu na madaftari yake nimeulekeze
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni