Notifications
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

TANGA RAHA (11)

SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
“Unakunjika kwani huo mmfupa una viungio vya kawaida kama watu wengine.Na watu wa aina yako hukwa wananguvu nyingi sana za mikono na huwa wakimpiga mtu wanaweza hata wakamuua”

SASA ENDELEA...
Nikakaa kimya huku akili yangu ikianza kukumbuka tukio moja kipindi nikiwa kidato cha pili katika maswala ya mpira wa miguu kuna kaka wa kidato cha nne nilimchezea rafu kwa bahati mbaya ila mwenzangu akaanza kunirushia ngumi ambazo zilinipata vizuri na kunipandihsa ha-sira kiasi kwamba ikanilazimu na mimi nimjibu mashambulizi ila kwa numi moja niliyo mpiga kwa mkono wa kushoto nikashangaa mwenzangu akianguka na kuzimia na kuanzia hapo wanafunzi wengi wakaanza kuniogopa
“Sasa bibi mimi nitafanyaje wakati mtoto wa watu bado yupo hotelini”?”
“Ngoja kuna dawa nitakupatia kamuwekee puani atazinduka huku akipiga chafya”

Bibi akanyanyuka na kuingia ndani kwake akarudi na kikopo kidogo cha mafuta ya ‘baby care’ na kunipz mkononi
“Ukifika utakitingisha kidogo na utakifungulia karibu na pua zake na vumbi vumbi la dawa lita-muingia puani mwake na atazinduka”
“Asante bibi ngoja mimi nimuwahi”
“Kabla hujaondoka hembu nenda kawafungulie hao mabinti kwani muda Fulani walikuita sana ila hukutoke kiasi kwamba wakaanza kufungulia mziki kwa sauti ya juu na kutufanya tusikae kwa amani sisi tui karibu na wewe”
“Sawa bibi”

Nikapiga hatua za kuelekea kwangu nikaufungua mlango na kuakua Mama Fety,Zena na Recho wakiwa wamelala kihasara hasara huku wakiwa watupu kama walivyo zaliwa na nitedio ndio inafanya kazi ya kuzungumza.Nikaanza kumuamsha mmoja baada ya mwengine
“Wewe mwanaume ulikuwa wapi?”
Mama Fety aliniuliza huku akiwa anapiga miyayo ya usingizi
“Wee acha tuu kila mmtu ajiandae aende kwake”
“Eddy unatabia mbaya umetukimbia na ukatufungia kwa nje”
“Jamani si muda wa kuulizana maswali kila mtu avae aende kwake”
“Ngoja mimi nikaoge”
“Zena wewe oga tu ila bili ya maji ikija hapa utanisaidia kulipa”

Akaingia bafuni na wengine wakiendelea kuvaa nguo zao huku mama Fety akijafanya kuvaa taratibu ili kuwatega wezake.
“Mama Fety hembu vaa haraka haraka jamani mimi nataka nitoke nitawafungia tena ohoo”
“Jamani Baby saa hizi unataka uende wapi wakati mimi ninataka unikamue”
“Hembu usiniletee ujinga vaa nguo zako na ukakamuliwe na mume wako ila si mimi”
“Ehhe jamani baby hayo yote yametokea wapi?”
“Wewe mwanamke iwe mwanzo na mwisho kukanyanga hapa kwangu”
“Hilo nalo nenooo…”
Madam Recho akadakia huku akicheka na kumfanya mama Fety amtazame kwa jicho kali la hasira
“Na wewe Recho ukome kuingilia maongezi yangu mimi na Eddy hayakuhusu?”
“Bibi weee nitakomaje wakati ndio hivyo bwana hakutaki”
“Recho Recho nitakuvuruga Malaya mkubwa wee”
“Weee weee jaribu kama ni mwanamke kweli kunigusa……Hembu jiangalie juu mpaka chini una hadhi ya kutembea na Eddy wewe mwanamke mwenyewe darasa la saba”
“Nyoo wewe ndio unajiona una hadhi elimu sio mapenzi shughuli ni kitandani”
“HEheeheee Kaogee”
Mama Fetry akamrukia Madam Fety na kumlaza kwenye kochi na wakaanza kuminyana na kumfanya madam Zena kutoka bafuni uchi huku akiwa ana mapovu kwenye baadhi ya sehemu za mwili wake”
“Jamani shost zangu mbona munakuwa kama watoto wadogo kupigana pigana.Hilo swala si tu-shalizungumza kuwa Eddy akija atachagua nani amtakaye.Na wewe Eddy mwanaume mzima wezako wanapigana wewe umesimama unawaangalia”
“Tena koma wewe manamke usen*** wenu kaufanyieni kwenu musitake niwazabe amkofi hapa”
“Msen*** mwenyewe wewe na wazazi wako walio kuzaa”
“Zena unasemaje wewe”
“Kama ulivyo nisikia”

Nikamsogelea Madam Zena kwa hasira na kumkaba koo na kuwafanya Mama Fety na Recho kuacha kupigana kuja kuingilia ugomvi huku wakianza kunipiga makofi ya mgongoni baada ya kumsikia mwenzao akiomba msaada anakufa

Nikamuachia Madam Zena na kuwageukia Mama Fety na Madam Recho na kuwafanya warudi nyuma kwani sura yangu imetawaliwa na asira kiasi kwamba kila mmoja akaniona ni mtu watofauti
“Changanyeni mbaliga zenu na mtoke ndani kwangu kabla sijafanya kitu kitakacho wapotezea maisha”

Kwa jinsi sauti yangu ilivyo badilika na kuwa ya kutisha masikioni mwao kila mmoja akaanza kuvaa kilicho chake na kutoka ndani ya chumba changu na nikaufunga mlango,baada ya dakika kadhaa mlango ukagongwa nikapiga hatua za taratibu kwenda kuufungua na kukuta na madam Zena
“Samahani Eddy niimesahau funguo za gari langu hapo juu ya meza”

Nikazichukua funguo zake kisha nikampatia na kaondoka zake,nikabadilisha nguo na kuvaa nyinine na kisha safari ya kuelekea kwenye hoteli ikaanza huku nikipita ile njia ya vichpochoro hadi nikafika Hotelini,Nikapiga hatua mpaka ninafika usawa wa chumba nikamuona muhudumu akigonga mlango ikanibidi kuongeza hatua za kwenda sehemu alipo
“Samahani dada nikusaidie nini?”

Nilizungumza huku nikishika kitasa cha mlango na kumfany muhudumu kusogea kando kidogo na kunipisha mimi nisimame usawa wa mlangoni
“Nyinyi si ndio mulio kuja na ile gari aina ya Spacio?”
“Ndio”
“Basi nilikuwa ninawomba mukaisogeze pale mlangoni kwani sio sehemu za parking za magari”
“Sawa dada nimekuelewa….Je maegesho ya magari yapo wapi?”
“Upande wa kushoto wa hoteli kuna geti amapo humo ndani ndio maegesho yapo”
“Asante:

Nikamuacha aondoke usawa wa mlango na mimi nikafungua mlango na kukaa ndani nikastuka kuto kumkuata shem Halda kitandani,Nikapiga hatua hadi bafuni na kumkuta akiwa amesimama kwenye huku ameegemea ukutani huku akiwa analia
“Halda nakuomba twende nyumbani”

Halda hakuzungumza kitu zaidi ya kukaa kimy huku akinitazama kwa macho ya hasira kiasi kwamba mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio
“Halda nakuomba twende nyumbani kwani usiku umesha ingia”
“Niache wewe ndenda zako”
“Hapana tumakuja pamoja kwanini unahitaji kubaki peke yako”
“Eddy niche peke yangu hunijui sikujui kwahiyo usiwe mtu wa kunisumbu hembu nenda kwako au nimwambie Rahma kuwa unanisumbua?”
“Hapana shemeji utakuwa hujatenda haki kwani hembu basi jaribu kulifikiria swala la mimi ku-fanya mapenzi na wewe endepo Rahma siku atafahamu wewe unahisi itakuwaje?”
“Wewe ni mtoto hadi mwambie kuwa umefanya mapenzi na mimi?”
“Hapana ilAa….”
“Eddy hakuna cha ila.Nakuomba utoke ndani ya chumba changu nitalala mwenyewe sawa”

Halda alizungumza kwa hasira na kunifanya nianze kupiga harua za kuelekea mlangoni taratibu kabla sijaufikia nikaisikia sauti yake kwa nyuma
“Eddy ndio unaondoka?”
“Halda ni bora niondoke kuliko kumsaliti mpenzi wangu”
“Eddy nakuomba usimwambie Rahma kuwa nilikufanyia hivi”
“Snto mwambia endapo wewe huto endelea kunisumbua”
“Sawa Eddy mimi sinto kusumbua ila nakuomba unifikirie japo kwa siku moja na mimi niweze kupata kile unacho mpa Rahma”
“Sawa”
“Basi ngoja nivae nguo zangu nikurudishe nyumbani kwako”

Halda akavaa nguo zake kisha tukaondoka na safari ya kuelekea kwangu ikaanza,njia nzima ha-kuana aliye msemesha mwenzake zaidi ya ukimya kutawala ndani ya gari
“Ingia barabara ya mtaa huo”

Nilimuelekeza Halda hadi tukafika nyumbani kwangu na akasimamisha gari nje ya nyumba yangu kabla sijashuka ndani ya gari akanishika mkono wake kisha akauweka kifuani mwake ila sikujua lengo lake ni nini
“Eddy kila mapigo ya moyo yanavyo dunda ndivyo jinsi ninavyozidi kukupenda sijui ni kwanini nimetokea kumpenda mwanaume uliye penda tena na mtu wangu wa karibu”
“Halda najua hisia ni kitu kingine sana katika maisha ya mwanadamu ila tambua ya kwamba unaweza kuzizuia pale tu unapohisi kuna haja ya kuzifanya hivyo…..Mimi ni mwanume sijajua ni wapi wewe na Rahma mulippo toka na sihitaji kuwani chanzo cha nyinyi kugombana”
“Eddy hilo mimi nimekuelewa najaribu kukutoa akilini ila ninashindwa kiasi kwamba ninaanza kuhisi nina bahati mbaya katika maishayangu.Nakuomba japo unipe nafai ya siku moja katika moyo wako ili niweze kujua na mimi nina pendwa”
“Usijali…..tene nimekumbuka kesho Rahma ameniagiza kuwa unitafutie nyumba ili niweze ku-hama huu mtaa”
“Ahaaa ondoa shaka kwa hilo kesho ni muda gani utatatoka shule?”
“Mchana”
“Basi ninakuomba kesho ukitoka unitafute kwenye simu tujue tuna anzia wapi na hii ndio na,ba yangu ya simu?”
“Sawa nitakupigia namba yangu inaishia na 88”
“Powa Eddy usiku mwema”
“Na wewe pia”

Nikashuka ndani ya gari na Halda akaondoka na mimi nikaingia ndani kwangu huku awazo yakinitawala na kujiuliza ni kitu gani kilicho mvutia mpaka inafikia hatua tukawa tunavuta-na.

Usingizi mzito ulio changanyikana na uchovu ukanipitia.Saa yangu ya ukutani niliyo itega muito wa kuniamsha ikalia ikiashiria ni asubu.Nikamka kitandani na kuanza kujiandaa kwa ajili ya kwenda kazini.

Kama kawaida yangu nikafika shule ninayo ifundisha lakini katika siku hii ni-po tofauti sana na siku nyingine mpaka waalimu wengine wakajua labda ni kutokana na kuum-wa kwangu ila ukweli ni kwamba nimetokea kuwachukia madam Zena na Recho.
“Sir Eddy unaendeleaje?”
“Sipo sawa mkuu”
“Kama haupo sawa ni vyema ukaenda nyumbani kwani jana ulikwenda hospitali?”
“Ndio nilikwenda kupima malaria na wakanipa mseto”
“Pole sana mwangu basi wewe nenda nyumbani na vipindi vyako nitampa mwalimu mwengine na ukae mpaka utakapo pona”
“Sawa mkuu”

Nikamaliza kuzungumza na mkuu wa shule nikabeba kila kilicho changu na kuondoka huku moyoni mwangu nikiwa ninafuraha kwamba nimepata muda mzuri wa kwenda kufanya mipango ya kuhama katika mtaa ninao ishi kwani tayari niliashaa anza kukosa amani.

Nikafika nyumbani kwangu na kuwasiliana na Halda na kumuomba aje nyumbani kwangu.Haukupita mua Halda akafika nyumbani kwangu huku usoni mwake akiwa anafuraha kupita maele-zo,nikamkaribisha ndani
“Mbona leo unafuraha sana?”
“Nina furaha kutokana Rahma amekwenda dubai na mama yake”
“Acha kunitania shem”
“Kweli Eddy amenitumia meseji hii hapa”

Halda akanionyesha meseji aliyo tumiwa na Rahma masaa mawili yaliyo pita.Nikaishika vizuri simu ya Halda na kuanza kuisoma

{Shost mimi ninakwenda Dubai na mama kuna mzigo nakwenda kuuchukua ila nakuomba usi-muambie Eddy atajisikia vibaya ndani ya wiki moja nitakuwa nimesharudi}

Nikajikuta furaha yangu ikianza kukatika taratibu ila kwa mwenzangu Halda ikazidi kuongezeka nikaitoa simu yangu mfukoni na kuanza kulitafuta jina la Rahma kwenye mpangilio wa majina mengi
“Eddy unataka ufanyaje?”
“Ninataka nimpigie Rahma”
“Eddy ninakuomba usifanye hivyo kwani utanisababishia mimi matatizo na Rahma huwa ha-pendi akinimbia kitu kama hichi nimuambie mtu”
“Sawa mimi nazungumza naye vit vya kawaida”
“Ila nakuomba Eddy usije ukamuambia juu ya hili swala kwani utaninisababishia matatizo”
“Sawa”

Nikaiweka masikioni simu yangu na kuanza kuisikilizia na kila ikiita kidogo ikakata-wa,nikarudia zaidi ya mara tano ila matokeo yakawa ni yale yale ya kukatwa.Baaada ya muda kidogo akanitumia meseji
{Baby nipo na wazazi kwenye gari nikifika airport nitakupigia}
{Powa}
“Mmmm niambie tunaanzia wapi?”
“Kivipi?”
“Tunaanzia wapi katika kutafuta nyumba kwani wewe ndio mwenyeji wangu?”
“Nyumba nimeshapata”
“Wee mara moja hii?”
“Ndio twende nikakuonyeshe”

Tukatuka na safari ikaanza ya kwenda sehemu ilipo nyukmba aliyo nitafutia sikujua ni maeneo gani ila nimaeneo ambayo wanaishi matajiri kwani majumba yaliyo jengwa katika eneo hili ni makubwa sana

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

17 Simulizi Tanga Raha
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni