TANGA RAHA (10)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI
ILIPOISHIA...
“Najiandaa kwa ajili ya shemeji yako akija anikite katika hali nzuri”
“Mmmm lakini si kukaa hivyo mbele yangu tambua kuwa wewe ni shemeji yangu”
SASA ENDELEA...
“Jamani shemeji kwani tatizo lipo wapi kwani zikikupanda si nitakushusha mimi mwenyewe”
Nikakaa kimya na kujikuta nikianza kumtathimi kuanzia chini miguuni hadi kichwani kwake jambo lililo pelekea koki yangu kusimama.
Halda akajilaza kitandani kifudi fudi huku miguu yake akiichezesha chezesha kwa nyuma na kulifanya kalio lake dogo kiasi kuanza kutetemeka tetemeka.
Nikasimama na kuanza kupiga hatua kuelekea katika mlango wa kutokea
“Shem unakwenda wapi?”
“Kwenye gari huyo shemeji yangu akija utakuja kunistua kwenye gari”
Halda akasimama haraka kitandani na kuja kusimama katika mlango na kuziba njia ili nisiufungue mlango
“Halda nakuomba nitoke humu ndani”
“Eddy sitaki nafanya kila kitu ili kukuashiria kuwa na mimi nahitaji kitu ulichompa Rahma”
“Lakini shemeji Rahma si ndugu yako?”
“Hata kama cha ndugu kizuri tunakula pamoja”
“Una maaana gani?”
Halda akanirukia na kunikumbatia huku akiwa ananing’inia katika shindgo yangu huku akinilazimisha nimnyonye denda
“Shem unaiumiza shingo yangu”
Halda hakunielewa hadi akafanikiwa kuzinyonyz lipsi zanu yapo mwanzoni nimekuwa mbishi ila kila muda unavyo zidi kwenda nikajikuta nikilainika taratibu nikaipitisha mikono yangu kwenye kiuno chake na kukishika vizuri kiasi kwamba muhimili wake wa kuning’inia kwenye shingo yangu ukapatikana kwenye mikono yangu.
Nikambeba na kumuweka kitandani huku na mimi nikivua nguo moja aada ya nyingine hadi nikibakiwa na boxer
“Halda tutafanya siku nyingine sijisikii vizuri”
Nlizungumza huku nikishuka kitandani kwani raho yangu ilinisuta kwa kitu ninacho mafanyi Rahma kwani sio haki kabisa.Halda akanivuta boxer yangu ila kwa nguvu nilizo nazo nikaweza kuitoa mikono yake
“Eddy sikubali uondoke uniache na nye** zangu”
Halda alizungumza kwa hasira hadi akabadilika rangi ya mwili wake na kuwa mwekundu kiasi na kuendelea kuning’ang’ania mkono wangu
“Halda nakuomba niache siwezi kumsaliti Rahma kumbuka nyinyi ni ndugu na Rahma hana kosa lolote nililo mfanyi hadi mimi nichukue uamuzi wa kumsaliti”
Nilizungumza kwa ukali ila Halda hakunielewa kabisa na kitu alicho zidi unikasirisha ni kuanza kulazimisha kuishika koki yangu.Nikampiga kibao kimoja cha nguvu kilicho muangusha Halda chini na akatulia tuli huku akiwa amejikunja.
Nikavaa nguo zangu haraka haraka kabla sijatoka nikaona nimtazame Halda kwani wakati wote nikiwa ninavaa nguo zangu hakujitingisha wala kustuka.Mapigo ya moyo yakaanza kunidunda baada ya kumkuta Halda akivuja damu za puani
“Mungu wangu nimeua”
Nilijikuta nikianza kuropoka huku nikirudia mara kwa mara kumtazama Halda,Nikapata wazo la kuondoka ndani ya chumba na nikaanza kupiga hatua kuufwata mlango kitendo cha kufika mlangoni na kuufungua nikakutana na muhudumu akiwa amabeba sinia la lenye chakula huku mkononi akiwa na mzinga wa whyne
“Nliagizwa na dada mmoja wa hichi chumba nilete chakula”
“Sawa”
Nikampokea vitu alivyo vibeba na sikuhitaji aweze kuingia ndani kuhofia kumuona Halda
“Ila bado hajanilipa pesa”
“Unamdai kiasi gani?”
“Kwa ujumla vyote ni elfu hamsini na sita”
Ikanilzimu kumpa muhudumu vitu vyake anishikie ili niweze kutoa pesa kwenye wallet.Nikatoa noti sita za shilingi elfu kumi kumi na kumpa muhudumu
“Chenchi utakaa nayo”
Nikavichukua vitu vyangu na kuufunga mlango kwa funguo na kuviweka mezani,nikamtzama Halda kwa muda kisha nikapata wazo la kumyanyu na kumuweka kitandani.
Nikamfuta damu za puani kwake kwa kutumia kitambaa cahngu na nikamfunika kwa shuka vizuri ila hata nikiondoka nimuache katika mazingira mzuri
Nikaingia bafuni na kuchota maji kwenye kopo na kurudi alipokuwa ameanguka Halda na ku-pamwagia maji nikachukua taulo na kuanza kupafuta,nikiwa ninaendelea kupafuta nikasikia mlango ukigongwa na sauti ya kiume nikaisikia nje ya mlango
“Mtaja mwenye chumba namba 115 fungua mlango sisi ni jeshi la polisi tunataka kukagua chumba chako”
Mapigo ya moyo yakazidi kunienda mbiona kujikuta nikianza kuweweseka huku taulo nikiwa nimelishika mkononi.Nikaingia bafuni haraka na kuliosha taulo ili lisionyeshe damu na mbaya zaidi taulo ni la rangi nyeupe.
Nilipo ridhika kuwa limetakata nikaliweka kwenye ndoo iliyoupo ndani ya bafu hilo na kurudi chumbanni.Askari alaiye zungumza kwa mara ya kwanza akayarudia maneno yake yale yale huku akiniomba kuwa wanahitaji kwenda katika chumba kingne na tusiwapotezee muda.
Nikavua nguo zangu haraka haraka na kubakiwa na boxer ili hata wakiingia wajue nilikuwa nimelala,Nikamuweka vizuri Halda na kichwa chake nikakigeuzia ukutani ili isiwe rahisi kwa askari kugundua kitu chochota
Nikashuka kitandani na kwenda kuufungua mlango na kukutana na askari wawili wakiwa wamevaa nguo za kiraia huku mmoja wao akiwa na redio ya upepo.Nikasalimiana nao na kuwapisha waingie ndani na kuanza kukagua na mmoja wao akaingia bafuni
“Hyo ni nani yako?”
“Mke wangu”
“Ahaa hembu muamshe tuzungumze naye”
Moyo ukazidi kunipasuka ila nikajikaza ili wasinistukie kwa chochote na nikaanza kufikiria ni kitu gani nitakifanya hada Halda kunyanyuka.Nikapiga hatua za kuelekea kitandani kabla sijafi-ka kitandani redio ya upepo ya askari aliye ishika ikaanza kuzungumza
“Afande Basesa unanipa? OVER”
“Ndio ninakupata mkuu OVER”
“Mupo chumba namba ngapi? OVER”
“Chumba namba 115 OVER”
“Nakuja nisubirini hapo OVER”
Simu ikakata na kunifanya nicganganyikiwe zaidi kwani askari ndio kwanza wanaongezeka katika chumba changu
“Eheee afande Kabelwa leo RGP yupo kwenye mzunguko”
“Mungu wangu hatujavaa uniform sijui tutamuelezaje huyu mzee”
“Mmmm hapa mwenyewe nimesha changanyikiwa”
“Mtu asilale na mkewe anakuja kutembea tembea huku”
Polisi walizungumza mabi yao na nikawa na kazi ya kumuomba Mungu asiwakumbeshe wazo la kumuamsha Halda.
Baada ya muda wakaingia askari wawili huku mmoja akionekana kuwa na vyeo vingi katika nguo alizo zivaa huku mwengine akiwa na nguo za kawaida.
Wakampigia saluti na wakasimama kama moja
“Sare zipo wapi?”
Lilikuwa swali la kwanza kwa mkuu wao na wote wakabaki kimya huku wakiwa wameendelea kusimama kama namba moja
“Mbona nyinyi vijana mulio ajiriwa miaka ya hivi karibuni munakuwa munavunja vunja sheria za jeshi.Tena kama wewe umeziachia kabisa ndevu zako”
“Mkuu nilipatwa na matatizo kwahiti nilikwenda kijijini na nimerudi jana na leo ndio nimeingia kazini”
“Huna sababu ya kujitetea kwani huo una uzungumza wewe ni ujinga.Kama hujanyoa ndevu zako ni kwanini usiendelee kukaa nyumbani.Sasa kesho nyinyi nyote nawahitaji ofisini kwan-gu.Hivi hata huyo raia hapo anaweza kuwaamini kuwa nyinyi ni askari kwa mionekano yenu ya ajabu ajabu?”
“Hapana mkuu”
“John niandikie majina yao na namba zao za kuajiriwa na ole wenu kesho musiripoti ofisini kwangumutanitambua”
Mkuu wao akatoka na kumuacha askari aliye ingia naye akiwauliza wezake majina yao mmoja baada ya mwengine
“Kaka yaani mzee leo kachachamaa tunameanzia kituoni huku kuna jamaa kibao hawajavaa sare”
“Eheee basi hayo ni majanga tulizani tupo peke yetu”
“Hapana na hapa mimi mwenyewe sijui tunaelekea wapi?”
Wakaniaga na kutoka chumbani kwangu na wala hawakujishughulisha Halda,Nikaenda kuufunga mlango na kurudi na kukaa kitandani huku mapigo ya moyo kidogo yakiwa yemenitlia ila kitu kikubwa ninacho kiwazia ni
Halda aliye lala kitandani,nikamgauza na kumlaza chali nikamuwekea kiganja changu kwenye kifua chake nikagundua mapigo yake ya moyo yanadunda kwa uataratibu kidogo matumaini yakanijia nikaanza kujiuliza kama nikimpelea hospitalini Rahma ataniuliza amepatwa na nini na nimazingira gani yamepelekea hadi akazimia.
Sikupata jibu la maswali yangu ninayo jiuliza na kujikuta nikibaki nikiwa ninajikuna kichwa,Nikavaa nguo zangu nakutoka ndani ya chuma na kuanza kwenda nyumbani kwangu kwa kutumia miguu.
Nikiwa njiani nyuma yangu nikaanza kusikia kelele za mwizi zikija kwa nyuma yangu,nikageuka ila sikuona huyo mwizi akija njia niliyo kuwepo mimi zaidi ya kuona watu wengi wakija kwa kasi huku wengine wakianza kunirushia mawe,Kwa kasi ya ajabu nikaanza kukimbia huku nikitazama taama nyuma ila watu wakawa wananifwata nyuma huku wengine wakiwa na magongo na marungu.
Nikazidisha kasi kitu kilicho nisaidia zaidi ni mimi kuwa mwepesi wa kukimbia kutoka na kipindi nipo shule nilikuwa mwanariadha bora wa mkoa wa Iringa katika mashindano ya UMISENTA yanayo fanywa na wanafunzi wa shule za sekondari
Nikafanikiwa kuwaacha kwa umbali mrefu na kuingia katiaka kichochoro kimoja na kuwafanya watu hao wapiti kwa kasi ya ajabu huku watu wawili kati ya hao ni wale vibaka nilio kuwa ni-meongozana nao wakati wa mchana nilipokuwa nimetoka kununua chakuka hotelini.Nilipo ona hali imekuwa shwari nikatoka na kubadilisha kabisa njia japo sio mwenyeji wa
Tanga ila ikanilazimu kupita njia ambazo nikajikuta nimetokea mtaani kwetu.Nikaikuta gari ya Madam Zena ipo pale pale alipo isimamisha wakati wa asubuhi.
Nikakumbuka kuwa niliwafungia mlango kwa nje kabla sijaingia kwenye usawa wa nyumba yangu nikasikia sauti ya bibi ikiniita
Nikamfwata hadi kwenye kibaraza cheke na nikamsalimia na akaniomba nikaae pembeni yake
“Mjukuu wangu Eddy unatoka wapi saa hizi?”
“Bibi hapa ninapo kuambia ninatoka sahare ila hapo katikati chupuchupu nipoteze maisha yan-gu”
“Kwanini?”
“Bibi kuna watu walikuwa wakinikimbiza na kuhisi mimi ni mwizi”
“Loo salalee wana hao hawana aibu hata wewe mtu mwenye heshima zako wanakupakazia wewe mwizi”
“Ndio bii yaani ningekuwa si kuwa na kasi ya kukimbia basi mungesikia nimekufa”
“Hao nimesha wajua ni wale wenye mabichwa yao walio pita mchana ulikuwa umeongozana nao”
“Eheee bibi wale jamaa pia wale nimewaona”
“Wale watototo wana haramu wameshindwa na dunia.Na nikawaida yao wale kumsingizai mtu mgeni kuwa ni mwizi na hao wote walio kuwa wakikumiza ni wahuni wa maskani ya pale bon-dini”
“Ahh ndio nilipo kuwa nimepita na kukuta watu wengi ila sikujishughulisha nao kutokana mimi wmenyewe hapa nilipo nimesha changanyikiwa”
“Umechanganyikiwa na mimi mjukuu wangu?”
“Bibi kuna binti nilikuwa naye hotelini ila akawa ananilazimisha nifanye naye mapenzi”
“Ni yule wa kiarabu anaye kuja kuja na gari?”
“Hapana sasa huyo niliyekuwa naye alikuwa ni rafiki yake ila kwa wanavyo ishi ni kama ndugu wa tumbo moja.Sasa katika kuminyana minyana mimi nikiwa ninikataa nisifanye naye chochote nikajikuta nikimzaba kofi na kufanya azirai hapa nimefanya kumkimbia”
“Hembu naomba mkono wako ulio mpigia”
Nikampa bibi mkono wangu wa kushoto na akaanza kuuminya minnya kuanzia kwenye ki-ganya hadi kwenye maeneo ya kisuku suku kisha akaniachia
“Mjukuu wangu wewe una mfupa mmoja”
“Mfupa mmoja kvipi bibi?”
“Yaani kuanzia hapo kwenye kiganja hadi hapo kwenye bega unamfupa mmojaa na si miwili kama binadamu wengine”
“Sasa bibi kama nina mfupa mmoja si mkono usinge kunjika?”
“Unakunjika kwani huo mmfupa una viungio vya kawaida kama watu wengine.Na watu wa aina yako hukwa wananguvu nyingi sana za mikono na huwa wakimpiga mtu wanaweza hata wakamuua”
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni