Notifications
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…
  • MY DIARY (50)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA HAMSINITULIPOISHIA...Nilimnongo’oneza kuwa atumie kinga ili nisimwambukize ukimwi akanijibu kwa sauti ya mahaba nisiwe na hofu yeye yupo tayari kufa kwa ajili ya penzi langu hivyo hawezi kutumia kinga kwa mke wake aliyemoa tena siku muhimu kama hiyo.Sikutaka kumbishia yeye ndo muaamuzi wa mwisho kuhusu afya yake hivyo nilimuacha aendelee kufanya yake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kumbe na…
  • MY DIARY (49)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya maneno ya kusilimu ambayo waliambiwa wayatamke kiongozi huyo alisema neno ya mwisho kabla hajashuka.” Kila alie na akili timamu, mwenye busara naa anaetaka haki, na kusimama pamoja na haki, basi akiangalia dunia ilivyo na jinsi inavyokwenda basi lazima kutakuwa na nguvu kuuu nayo ni mwenyezi mungu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuna vitu vingi sana…
  • MY DIARY (48)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NANETULIPOISHIA...Familia yangu haikukubali kabisa mimi kuolewa na rangi nyeusi hivyo walinitenga na kusema hawanitambui kuwa mimi ni ndugu yao.Lakini kutokana na mapenzi mazito niliyokuwa nayo kwa baba yake na Leah nilijikuta nipo tayari kwa lolote hivyo nikahama na kwenda kuishi Tanzania.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Katika miaka hiyo tuliyokaa nilibahatika kupata mtoto huyu…
  • MY DIARY (47)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SABATULIPOISHIA...Lakini ilifikia mahali ndoto hiyo inanijia hata mchana nikiwa nimekaa mahali tulivu.Ilikuwa inanipa taswira nzuri ya sehemu ambayo madini yalikuwepo.Basi nilianza mikakati ya kulitafuta eneo hilo na hiyo ni mara baada ya ushauri wa mpenzi wangu Candy hapo akimaaanisha yule dada aliyekuwa naye pale jukwaaani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Candy alinisihii sana…

MUUZA CHIPS (103)

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA MIA NA TATU
ILIPOISHIA...
Ikiwa ni mida ya mchana miriam na kijana chidi wakiwa katika jukwaa maalum la mabwana harusi, wakati huo shekhe akiwa pembeni tayari kwa kuwafungisha ndoa,…

"tuna furaha sana juu ya tukio hili kwa watoto wetu kufunga ndoa"

Aliongea shekhe huyo aliokuwa kashika vitabu vya mungu na kutaka kuwafungisha ndoa,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"nawauliza tena vijana wenu,.. Mnapendana na mmeridhia kuoana??"

Miriam na chidi waliitikia kwa furaha tena kwa sauti moja, wakati huo miriam kafunikwa shera mpaka usoni afu chidi kavaa suti kali sana akiwa na mpambe wake saidi, na miriam akiwa na mpambe wake ambae ni mke wa chidi japo alikuwa mjamzito

"ndio, tunapendana"

"basi nawakaribisha kuchukuwa pete hizi kwa ajili ya ndoa kamili"

Lakini chidi alipomwangalia miriam usoni alimuona analia kana kwamba kama vile hakupenda ndoa hio.. Sasa shekhe yeye hakulijua hilo mana miriam alikuwa kafunikwa na shela mpaka usoni

"je? Kuna mwenye kipingamizi na ndoa hiiii??"

Aliongea shekhe kwa kuwauliza waalikwa, lakini kulikuwa kimyaaa

"narudia tena, tunakwenda kukamilisha ibada hii muhimu kwa vijana hawa… Je kuna mwenye kipingamizi na ndoa hiii"

"ndio"

Heeeeeeee watu wote walishangaa na kuamka kumwangalia huyo mwenye kipingamizi na ndoa hio, sii mwingine bali alikuwa ni sarah, tena alikuwa kashika mkanda wa video kumaanisha kiwa ana ushahidi wa kuipinga ndoa hio… Mama sarah haamini kitu anachofanya mtoto wake, mama miriam hata yeye haamini macho yake..

"mama sarah?? mwanao anafanya nini sasa"

"mwache afanye anachotaka, kwani hata yeye ni mpenzi wake"

Mama sarah nae kamgeuka mama miriam, sasa Sarah na mama yake wamekuwa kitu kimoja…

SONGA NAYO…..

Ndoa ya kijana chidi na miriam imekuwa ndoa ilioandamwa na mambo mengi sana…. Lakini kabla ya kuanzia hapo hebu tuanzie ile saa 11 asubuhi chidi alipokuwa anapelekwa chumbani kwa miriam wakati huo chidi hajui asubuhi yote hio anapelekwa wapi, mana jumba ni kubwa, na wakati huo kafungwa kitambaa cha usoni hivyo hakiwa akiona kitu,…

Lakini tukiachana na hayo huku mama miriam alikuwa na hofu sana, sasa sijui kulikuwa kuna ishu gani,..

"mama miriam, usiwe na hofu kiasi hicho, kwani hata asipo olewa na mtoto wangu, ataolewa na mtu mwingine"

"lakini mama chidi, kama mtoto wangu atakosa bikra basi mtoto wako ndio aliomtoa mwenyewe"

"una uhakika gani kama ni yeye,… Sisi hatuwezi kulikubali hilo, mtoto wangu nataka apate mke bora na sio bora mke"

Sasa kumbe hofu ya mama miriam ni kwamba anahofia mtoto wake anaweza kuikosa bikra… Mama miriam alikumbuka muda ule walipokuwa kwenye kikao cha utu uzima aliambiwa kuwa…

"endapo mtoto wako atakosa bikra, basi sisi kama familia hatupo tayari kumpokea"

"na kama mtoto wenu ndio kamtoa je itakuwaje"

"kama katolewa na mtoto wetu, basi tuleteeni KITAMBAA CHEUPE tukione"

Aliongea bibi yake chidi huku mama miriam akiingiza hofu, kana kwamba hata kama ni chidi ndio kamtoa bikra, je familia italigunduaje hilo… Hapo mama miriam ujanja mfukoni, na kujua kiwa kumbe wazazi wanaofatilia hali kama hii bado wapo

Lakini ghafla bibi yake miriam alisema kiwa

"naamini na nina uhakika mjukuu wangu ana bikra,… Lakini je, tukimkuta mjukuu wangu anayo, sisi tunataka mali yeyote tunayoihitaji"

Aliongea bibi yake miriam huku bibi yake chidi akiamka juu…

"hata mtake zizi zima la ng'ombe tutawapa, lakini mtoto akutwe nayo"

Mama miriam alipomaliza kukumbuka hicho kikao hana hata raha, mana familia ya akina chidi imekubalo kutoa mahari yeyote ile kama miriam atakutwa na bikra,.. Lakini swali linakuja hivi, miriam atakutwaje na bikra na wakati waliishi na chidi chumba kimoja, shuka moja, kitanda kimoja, tena wakiwa uchi.. Ndani ya siku nne nzima, hivi kweli ni mwanaume gani ataweza kulala na demu wake na amuache, mana kule mjini nakumbuka siku ya kwanza walishindwana je siku ya pili na tatu na nne walishindwana kweli??… Hebu tuone..

"mama chidi, hebu tuwekane wazi, ina maana mtoto wangu miriam akiikosa bikra ni kwamba huu umati niliokuja nao nitafanyeje"

"kiukweli mama miri, mimi sijui… Mtarudi tu na watu wako"

Mama chidi aliondoka hapo na kumuacha mama miriam katika dimbwi zito la mawazo…

Wakati huo chidi anavuliwa kitambaa na bibi yake,.. Sasa alishangaa kumuona miriam mbele yake akiwa uchi,.. Tena alikuwa na bibi yake, yaani kila mtu na mimi yake… MILA NA DESTURI ZA KISAMBAA ndivyo zilivyo pale wazazi wanapotaka kujua kuwa mtoto wa kike ana bikra,.. Hua wanandoa hao huingizwa katika chumba kimoja ili waweze kuitafuta bikra, ili mahari halali iweze kutolewa kwa wazazi wa mwanamke… Chidi alikuwa anaona aibu kuvua nguo mbele ya bibi yake miriam, mana bibi yake miriam alikuwa hajazeeka sana kwasababu si alikuwa mjini, hivyo alikuwa sio mzee kivile na sio bibi yake mzaa mama bali bibi yake na huyu bibi yake wamezaliwa na baba mmoja hivyo ndio kaja hapa kuwakilisha…

"weeww babu vua nguo"

Aliongea bibi yake miriam…

"jamani baba vua"

Yaani hapo walikuwa ni mabibi tupu hakukuwa na mtu yeyote yule, tena walikuwa wawili tu… Daahh chidi na miriam hawalijui hili na kama ingelikuwa wanajua basi wangelifanya usiku sana japokuwa saa hio ilikuwa ni alfajiri muda ambao mtoto wa kiume ambae ni rijali hua jogoo lake huwika ifikapo saa 11 alfajiri… Chidi alivua nguo zake zote,..

"waooooo mjukuu kama huyu ndio tunamtaka sisi"

Walimtamani chidi ile kiutani utani….

Sasa ghafla wale mabibi wakamkimbilia miriam pale kitandani na kumshika miguu,.. Mana miriam alikuwa anaogopa na kuona aibu mbele za watu lakink ndio mla za kisambaa pale wanapotaka kujua ubora wa mwanamke… Basi chidi alipanda kitandani huku mabibi wakiwa wameshika miguu ya miriam ili asije kuibana na kumsumbua chidi, Chidi aibu ilimtoka na kumsogelea miriam huku mabibi wakiangalia zoezi hilo, yaani kama una aibu unaweza kusinyaa muda huo huo ukatia aibu… Lakini mabibi wanajua kuwa ukimtoa asubuhi Zakaria haiwezi kulala hovyo mana ilisimama yenyewe pasina hisia zozote za kike

Wakati huo mama yake miriam analia hapo mahari alipo, yaani ana hofu, atawaambia nini waalikwa aliokuja nao huku, na kama angelijua hilo ni bora asingekuja huku, yaani hata hio ndoa isingelikuwa,… Mama miriam leo ujanja hana tena yaani ule ukali wote uliishia hapa, na ukiangalia ni kweli, unajua sisi vijana tunajiolea tu lakini kisheria tulitakiwa tuoe mwanamke ambae ni bikra,.. Ila kwakuwa wanawake hao hawapatikani inabidi tuoane tu hivyo hivyo, mana tunaowataka hawapo… Ila kijijini kuna wazazi ambao bado wana itikadi hio ya kutaka wakwe mabikra, na wazazi wa chidi ni namba moja,… Wakati huo baba yake miriam hajui lolote kuhusu hilo, alikuwa mahari fulani na baba mwenzie ambae ni baba yake chidi, wakiwa wametupia vyuti vyao (suti zao)… Baba ana raha lakini mama ndio kwanzaa anatamani warudi mjini kabla haijagundulika, mana anajua lazima wasikute kitu kama hicho na aliokitoa ni huyo huyo chidi, kwasababu walishii siku nne chumba kimoja,.. Yaani hawawezi

"kama ni hivyo bora nisitishe swala hili, siwezi kueibika kwenye miji ya watu"

Aliongea mama miriam huku akiamka na kwenda huko chumbani,.. Lakini sasa ile anapiga tu hatua ya kwenda huko,.. Alisikia zile kelele za furaha kuashiria mambo ni mazuri.. Hua vinaitwa VIGELEGELE

"tururururrururururururururururururuuuuuuuu"

Zilikuwa ni kelele za mabibi hao wakifurahia kana kwamba mambo ni mazuri,… Mama miriam haamini maskio yake kwa kile anachokisikia,.. Yaani mama miriam mpaka analia kwa furaha, tena alikuwa kakaa chini analia,…. ghafla mama chidi anakuja

"hongera sana mama miriam,.. Umenizalia mkwe"

Mama miriam hata kuongea hawezi kwa furaha alionayo, na muda mchache tu alikuwa anakwenda kusitisha jambo hilo, yaani ni kama mungu tu kaseidia,..

Wakati huo huku ndani mabibi wanabadirishana wajukuu, Yaan bibi yake chidi anakwenda kumuogesha miriam na bibi wa miriam anakwenda kumuogesha chidi,.. Yaani mpaka wamalize kuoga ndio waachane na mabibi hao..

"mama chidi ngoja nikamuone mwanangu mpendwa"

Aliongea mama miriam kuwa anataka kwenda kumuona miriam wake kwa jinsi alivyompa furaha yaani mama huyo kafurahi kupita kiasi

"mama miriam,.. Hakuna anaeruhusiwa kuingia huko ispokuwa mabibi zao tu,.. Yaani mpaka wamalize kuoga"

Mama chidi na mama miriam walikumbatiana kwa furaha sana huku machozi yakiwatoka kwa furaha..

Basi kutokana na furaha hio wote walianza kuandaa harusi kwa furaha,.

BAADA YA MASAA KADHAA KUPITA

Miriam akiwa chumbani kwake na chidi akiwa chumbani kwake pia, yaani wametenganishwa,.. Miriam alitolewa huku chidi nae akitolewa na kupelekwa msikitini,.. Miriam ni Mkristo hivyo anapelekwa msikitini kusilimishwa na kuwa muislamu, mana yeye ni Mkristo na ndio mana anaitwa MIRIAM…. Taratibu zote zilifanyika na kupewa jina lile lile lakini lilibadirika herufi mbili tu… Kutoka MIRIAM ambalo ni jina la kikristo, na kupewa jina la MARIAMU ambalo ni jina la kislamu… Dakika chache mbele hakuna miriam tena, bali ni Mariamu,.. Hivyo kwa sasa ataitwa Mariamu, na kama unakumbuka chidi anapenda kumuita MAMUU.. Na Mamuu ni kifupi cha Mariamu,.. Hivyo chidi alikuwa analazimisha jina la kislamu na wakati alikuwa Mkristo,.. Miriam Maria ni kwa Kiswahili, ila kwa Kingereza ni Marry (Merry)….. Kwa sasa hatuna mtu anaeitwa miriam tena bali ni Mariamu… Hii ni sheria na sio ombi, kuwa mwanamke hana dini mfano kama muislamu na mumewe ni Mkristo basi mwanamke huyo atatakiwa kubadilisha dini awe Mkristo kama mumewe… Yaani mwanamke hana dini.. Na endapo mwanamke atakataa kubadili dini, na wanapendana, basi hio sio ndoa ya kidini bali ni ndoa ya kiserikali, haihusiki na dini yeyote hivyo hata kuachana wataachana kwa njia za kiserikali zaidi,.. Na hapo ni mikataba itahusika na sidhani kama ndoa ya kiserikali ina talaka, sina hakika na hili

Walipofika nyumbani, moja kwa moja walipanda katika jukwaa maalum kwa ajili ya wanandoa hao,

Shekhe alisoma dua zake ili kuiombea ndoa hio inayokwenda kufungwa dakika chache zijazo, Baada ya kusoma dua zake… Shekhe aliomba kuuliza umma uliopo hapo kama kuna mwenye pingamizi na ndoa hio, na ni lazima liulizwe swali kama hilo..

"je? Kuna mwenye kipingamizi na ndoa hiiii??"

Aliongea shekhe kwa kuwauliza waalikwa, lakini kulikuwa kimya kana kwamba hakukuwa na mtu mwenye kipingamizi chochote kile juu ya ndoa hio…

"narudia tena, tunakwenda kukamilisha ibada hii muhimu kwa vijana hawa… Je kuna mwenye kipingamizi na ndoa hiii"

"ndio"

Heeeeeeee watu wote walishangaa na kuamka kumwangalia huyo mwenye kipingamizi na ndoa hio, sii mwingine bali alikuwa ni sarah, tena alikuwa kashika mkanda wa video kumaanisha kiwa ana ushahidi wa kuipinga ndoa hio… Mama sarah haamini kitu anachofanya mtoto wake, mama miriam hata yeye haamini macho yake..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
52 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni