Notifications
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…

DHAMANA (17)

Jina: DHAMANA

SEHEMU YA KUMI NA SABA
TULIPOISHIA...
Hamis na Hassani walikuwa wapo ndani ya gari binafsi wakielekea Pangani na muda huo tayari walikuwa wanaimaliza barabata ya Taifa wakiingia katika mzunguko wa magari unaounganisha barabara nne zikiwemo barabara ya Taifa, barabara ya Pangani, barabara ya jamhuri na barabara iendayo kukutana na barabara ya Chuda.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA CnZ Media APP INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO

SASA TUENDELEE...
Waliuzunguka mzunguko huo wa unaounganisha barabara hizo na wakafuata barabara ya pangani kwa mwendo wa wastani kutokana na uwepo wa baiskeli nyingi zikiwa zimebeba wasafiri, walitembea kwa mwendo huo hadi walipofika jirani na duka la dawa la Mang'ombe. Hapo walijikuta wakiingiwa na moyo wa huruma na kusimamisha gari baada ya kijana mwenye asili ya kisomali aliyekuwa amevalia kinadhifu alipowapungia mkono kuwasimamisha, waliegesha gari pembeni na kijana huyo aliwaomba wamsaidie afike Pangani kwani alikuwa ameibiwa pesa yake yote ambayo ingemtosha kuifanya nauli ya kuelekea huko.

Kijana huyo alikubaliwa kwa moyo mkunjufu kupanda gari hilo kutokana na moyo wa kusaidia watu alionao Hamis, alipanda kwenye gari akakaa kiti cha nyuma na safari ikaendelea kama kawaida. Njiani maongezi yalitawala kwenye gari hilo kutokana na ucheshi mkubwa aliokuwa nao huyo kijana ambao uliwavutia sana kwani alitokea kuchangamsha safari yao isionekane imepooza, Hamis ndiye alikuwa dereva wa gari hilo na alionekeana kutendea gia za gari hiyo kwa kubadilisha gia moja na kwenda nyingine na mwendo wa gari aliuzidisha kutokana na uchache wa magari.

Baada ya mwendo takribani saa moja wakiwa njiani mvua kubwa ilianza kunyesha na ikamlazimu Hamis apunguze mwendo ili kuepuka ajali kwani mvua hiyo ilifanya kioo cha gari kiweke ukungu kwa ndani na kusababisha iwe tabu kuona mbele, ukungu ulipozidi Hassani aliufuta kwa kitambaa kilichopo ndani ya gari.

"Dah hili eneo kila nikipita huwa nakuta mvua" Yule kijana aliongea

"Labda ulipita kipindi cha mvua tu ila si kila muda tu linakuwa na mvua, hivi unaelekea Pangani sehemu gani?" Haasani aliongea kisha akamuuliza swali huyo kijana.

"ninaelekea Kuani kumuona babu yangu maana ni muda sijamtembelea" Yule kijana alimjibu.

"Imekuwa kama bahati na sisi tunaelekea hukohuko sasa nafikiri utafika moja kwa moja hadi huko, si tunaenda kumuona mzee Mafindo nafikiri unamfahamu" Hamis naye aliongea huku akibadilisha gia ya gari.

"Said Humud au ukipenda gaza wa mafindofindo, ndiye babu yangu ninayeenda kumtembelea imekuwa kama bahati yaani ila bahati hii imeingia dosari" Kijana huyo alianza kuongea kwa uchangamfu hayo maneno yake lakini mwishowe akamaliza akiwa amekunja sura na macho yakawa mekundu.

"Kijana unamaanisha nini?" Hassani aliuliuza huku akimtazama yule kijana lakini alijikuta na hofu zaidi baada yakuona sura ya yule kijana imebadilika na kuwa ya hasira"

"Unataka kuelewa siyo? Haya ngoja nikueleweshe" Yule kijana alisema kisha akajibadilisha sura na kuwa ya mtoto yule aliyewatokea watoto wa mzee Buruhan muda mfupi tu kabla hawajafa kwa kuuawa na mikono yake.

"Ushaelewa au bado unataka uelewe zaidi" Yule mtoto alimuambia Hassan ambaye alipatwa na mshtuko sana baada ya kuiona sura ya yule mtoto.

"Jamadin! Hapana siyo wewe" Hassan alisema na kupelekea Hamis naye ageuke aangalie kwani aliona kama ameangalia vibaya alipotumia kioo cha kati, Hamis alijikuta akikanyaga breki ya gari lakini gari halikusimama bali ndiyo lilizidi mwendo.

"Hamuwezi kunikimbia nyinyi wanaharamu na huu ndiyo mwisho wenu" Yule mtoto wanayemtambbua kwa jina la Jamadin aliongea kwa hasira kisha akamuangalia Hassani akamuambia, "nipe kile ".

"Si....sina"Hassani aliongea kwa uoga huku akiweka mikono ishara ya kuomba msamaha lakini alijikuta akipigwa shingoni na mkono wa yule mtoto hadi kichwa chake kikakatika na kuruka kwenye mapaja ya Hamis na damu zikawa zinatoka kwa wingi, Hamis alijikuta anatoa yowe la woga baada ya kichwa cha Hassani kutua kwenye mapaja yake hadi akajikojolea papo hapo.

"Mjomba leo ndiyo unakuwa na uoga siyo wakati mlipokuwa mkifanya yenu wala hakuwa unaogopa, nadhani umetambua kuwa ubaya huzikwi nao bali unalipwa hapahapa na leo ndiyo hukumu yako" Yule mtoto aliongea kisha akampiga Hamisi ngumi ya kichwa iliyotoboa kichwa chake hadi ubongo na mabonde ya damu yakaruka kwenye kioo cha mbele.

Huo ndiyo ukawa mwisho wa Hamis na Hassan katika dunia hii baada ya kupatiwa malipo kwa kila walichokitenda kwani ndiyo mwisho wa yoyote afanyaye balaa kana walilolifanya wao, hakika mshahara wadhambi ni mauti kama wahenga walivyonena tangu zamani na ndiyo kilichowapata Hassani na Hamis.

Siku zote mchimba kaburi huingia mwenyewe ndiyo atafanikiwa kulichimba haitotokea mchimbaji wa kaburi akachimba kaburi na kulimaliza pasipo kuingia yeye mwenyewe, Hamis na Hassani hivyo hivyo ni wachimba kaburi waliochimba kaburi na wakaingia ndani yake na matokeo yake wakakutwa na kisanga kizito kilichosababishwa na uchimbaji wao wenyewe. Walichimba kaburi pasipo kujua kama kaburi hilo litakuja kuwazika wenyewe na wamekuja kujua kuwa kaburi hilo ni kaburi lao wenyewe na wamekuja kujua tayari wameshachelewa, laiti wasingefanya hivyo tangu awali wangekuwa ni miongoni mwa waliosalimika hadi muda huo.

****

Baada ya dakika takribani kumi tangu Hassani na Hamisi waiage dunia, hali ilikuwa shwari katika jiji la Tanga na hakuna aliyekuwa na habari ya kutokea kwa tukio la kinyama katika barabara ya Pangani likiwahusisha watu maarufu waliouawa kinyama kutokana na kisasi kizito cha mabaya waliyoyafanya kipindi cha nyuma. Nyumbani kwa mzee Buruhan muda huo alitembelewa na rafiki yake kipenzi aitwae Mahmud ambaye anafahamika sana huko Mkinga kama mganga maarufu sana na aliyetatua matatizo mengi yaliyowakumba watu na familia zao na hata yenye utata.

Mzee huyu alikuja kwa lengo la kumpa pole rafiki yake kipenzi kutokana na vifo hivyo kwani hakuwepo ndani ya Tanga kipindi msiba unatokea na ndiyo amerejea na ameamua kupitiliza nyumbani kwa rafiki yake moja kwa moja baada tu ya kupumzika nyumbani kwake. Mzee Mahmud alikaribishwa kwa utiifu na rafiki yakr kipenzi na akapatiwa kinywaji anachokipendelea kila awapo nyumbani kwake, alikaribishwa kahawa na rafiki yake huyo kisha wakachukua bao wakaenda kwenye kibaraza cha nyumba ya mzer Buruhan wakakaa na wakaanza kucheza kama ilivyo kawaida yao.

"Mzee mwenzangu unajua kazi zetu hizi za kuagua zilinitoa huku Tanga nilipozaliwa na kukulia hadi Mombasa nikaenda kumuagua bwana mmoja aliyetupiwa jini zito, basi hiyo shughuli ilinichukua mwezi na nusu na hadi namaliza huku mshazika ndiyo maana hukuniona" Mzee Mahmud aliongea huku akiwa na kikombe cha kahawa mkononi.

"pole na majukumu mzee mwenzangu ndiyo kama nilivyokueleza yaliyonifika na hata sijui chanzo chake nini?" Mzee Buruhan aliongea kwa unyonge.

"haina haja ya kuhuzunika mzee mwenzangu bali inabidi uwalaumu wanao na janga hili mzee mwenzangu limeanzwa na wao na sasa mwenzao wanalimaliza" Mzee Mahmud aliongea kisha akanywa kahawa funda moja bila hata kumtilia maanani Mzee Burhan aliyeonekana kutoielewa kauli hiyo.

"Mzee mwenzangu mimi ni rafiki yako wa muda mrefu sana na kuhusu hili suala jua mwanao mkubwa analielewa fikra, na kama yupo tayari kuliweka bayana utabaki na nguzo tu lakini kama hataki kuliweka bayana hutabaki na nguzo hata moja" Mzee Mahmud alizidi kuongea maneno yaliyomfanya Mzee Buruhan abaki akimtazama kwani anamtambua fika ni mganga mwenye uwezo mkubwa wa kujua yaliyojificha.

"Sijakuelewa mzee mwenzangu" Mzee Buruhan alisema huku akimtazama Mzee Mahmud kwa umakini, Mzee Mahmud alipotazamwa alitoa tabasamu tu kisha akasema, " zamu yako kucheza mimi nishalala mzee mwenzangu".

Mzee Buruhan aliacha kumtazama akaliangalia bao kisha akachukua kete akaanza kucheza huku akiwa njia panda kutokana na kauli ya Mzee Mahmud ambaye huwa hafafanui akishaeleza mambo kama hayo halafu akabadili mada ghafla.

****

Maneno ya mzee Mahmud bado yalibaki ndani ya kichwa chake ingawa yalikosa ufafanuzi wa kutoka kwa mzee huyo aliyebobea katika uganga, Mzee Buruhan aliendelea kucheza bao huku akiwa na mawazo sana juu ya  maswali ya maneno ya utata aliyoambiwa  na mzee Mahmud. Hadi alipolala katika mchezo huo wa bao bado mawazo lilikuwa juu ya maneno hayo, mzee Mahmud alipoanza tena kucheza bao huku ameinamisha kichwa chake  akitazama kwenye bao kwa umakini hakujua kama mzee mwenzie alikuwa akimtazama sana kichwani mwake na alitamani hata akione ndani hicho kichwa chake ili atambue ni nini anachowaza lakini suala hilo lilishindikana kabisa kwani yaliyomo katika ubongo wa mtu huwezi kuyaona hata ukipasua kichwa chake na kuangalia ndani.

"Kuna kisa cha zamani sana mzee mwenzangu nakikumbuka hadi leo hii katika kichwa changu, hakika wahenga hawakukosea kukitunga kwani ni kisa kinachohusu vijana wawili waliompenda msichana mmoja kigori huko mashariki ya mbali" Mzee Mahmud alianzisha mada nyingine huku akiendelea kucheza bao na safari hii alikuwa anamtazama mzee Buruhan usoni mwake akiwa na tabasamu hafifu.

"Mzee mwenzangu kama kawaida hukaukiwi visa vyenye mafunzo na kuburudisha, hebu nipe habari bwana" Mzee Buruhan alimuambia mzee mwenzie ili apate kusikiliza kisa kutoka kwake kwani mzee Mahmud alikuwa akijulikana kwa jinsi alivyokuwa hodari kwa kusimulia visa na hadithi zenye kufundisha, hakika taaluma ya fasihi simulizi ya wakati wa zamani bado ilikuwa ipo ndani ya halmashauri ya ubongo wake ingawa alionekana kuzeeka sana.

"Katika kijiji kimoja cha jamii ya wastarabu alizaliwa binti mmoja mrembo sana aliyeitwa Giguna katika familia yenye hadhi duni sana katika Jamii ya Watarabu, binti huyo alianza kuwa gumzo kijijini happ tangu akiwa mdogo kutokana na uzuri aliokuwa nao uliokuwa wa ajabu sana. Hadi anavunja ungo  ilikuwa ni habari nyingine katika kijiji hicho kwani vijana wa rika lake walikuwa wakimtamani kila kukicha kutokana na umbo maridadi alilokuwa nalo, haikuwahi kutokea binti mwenye umbo kama lake ambalo lilijaa utata mtupu tena alijaliwa kuwa na kiuno kilichojitenga kama mdudu Mavu.

Usoni alikuwa na sura  yenye mvuto wa ajabu sana na jicho lenye umbo la nusu mwezi,  Giguna alikuwa ni binti mrembo haswa na kila alipokuwa akiwatazama wavulana wa rika lake walidhani kuwa wanaitwa lakini haikuwa hivyo bali asili ya jicho lake ndiyo lilimchengua sana kila mvulana. Ilipotimia majira manne ya mwaka katika kijiji hicho walihamia familia ya wasafiri kutoka mbali ambao walipenda sana kuweka makazi katika kijiji hicho na walipewa ukaribisho mkubwa kutoka kwa kiongozi wa kijiji hicho, familia hiyo nayo ilikuwa gumzo kijiji hapo kutokana na kuwa na kijana aliyekuwa na mvuto wa ajabu na usafi uliopitiliza kuliko hata vijana wengine wa kijiji hicho.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
58 Dhamana Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni